Nyayo za Mwai Kibaki

  Рет қаралды 68,613

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

22 күн бұрын

Na katika kile kinachoonekana kama histori kujirudia, tunalinganisha hatua ya kufutilia mbali baraza la mawaziri aliyochukua Rais William Ruto hii leo na mkondo aliochukua hayati Rais Mwai Kibaki ambaye pia aliwafuta mawaziri na mawaziri wasaidizi mwaka wa 2005. Sawia na mtangulizi wake ambaye kushindwa kwake kwenye kura ya maamuzi kuhusu katiba mwaka 2005 kulionekana kama kura ya kutokuwa na imani na serikali yake, Rais Ruto amekuwa akipata shinikizo kubwa kuhusu utendakazi wa serikali yake huku wananchi wakionyesha kutoridhishwa kwao na serikali

Пікірлер: 67
@djkool5991
@djkool5991 14 күн бұрын
To be honest if he continues with the same consistency he may atleast reach 2027 as president.
@rihkaa6289
@rihkaa6289 14 күн бұрын
We may not forget what you have done to us 😭but ruto you are still our president,, so do your best to deliver the best but first release those protestors you are holding in the cells and without charges.
@DamarisWangui-xq5wd
@DamarisWangui-xq5wd 14 күн бұрын
I wish ni mpigs wamenda hope aky anyway our president you have to do more mbn mudavadi amebaki
@YunisVanisa
@YunisVanisa 14 күн бұрын
rais amefanya vizuli sana kuafutilia mbali hao watu
@charlessiguna859
@charlessiguna859 14 күн бұрын
Nyayo gani za kibaki, labda kisigino tu😂
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 14 күн бұрын
Amejaribu sana...sasa police,boss dci boss resign aje mandungu zetu wanapotezwa kila kukicha????halafu bado vunja bunge sasa
@mohamedmustafa2656
@mohamedmustafa2656 14 күн бұрын
Kweli kabisa raisi amejaribu sana
@The_sultans
@The_sultans 14 күн бұрын
😂😂😂😂Alhamdulillah🎉
@davidkamau8317
@davidkamau8317 14 күн бұрын
😮 lakini hakuafuta wasaidizi kama kibaki
@mutiojunior
@mutiojunior 14 күн бұрын
Kidiki hiyo sauti yako sasa pelekea bibi yako💪💪
@josphatmogaka8668
@josphatmogaka8668 14 күн бұрын
Mwai Kibaki did it from his heart, Ruto was forced.
@peardselrvssian6292
@peardselrvssian6292 14 күн бұрын
You see kibaki didn't read his speech at first unlike these other ones
@shukrishuu9672
@shukrishuu9672 14 күн бұрын
Nilikua deep state ya obako niwasaidie aje in shaa Allah??
@paulwambugu-pk2eu
@paulwambugu-pk2eu 14 күн бұрын
mudavadi pia must go
@elishatotolela3843
@elishatotolela3843 14 күн бұрын
Now I support you my president for listening to your people. The remaining part give directions to constitutional bodies to investigate and prosecute people who have stolen public money
@daviessimiyu7259
@daviessimiyu7259 Күн бұрын
Ruto mast go go go
@dominickrono4937
@dominickrono4937 14 күн бұрын
Remember what he said when he was at Nyeri funeral"My government is like for the late Rais Mwai Kibaki" now that it's confirmed
@abdullahiomar1687
@abdullahiomar1687 14 күн бұрын
Obako was legend,he didn't from papers 😂😂😂
@user-ju5jz3rj9y
@user-ju5jz3rj9y 14 күн бұрын
Hon Joseph itaaba, more inforce profile y,
@user-ju5jz3rj9y
@user-ju5jz3rj9y 14 күн бұрын
Joseph itaaba more inforce profile picture update,😢😮😢😢😢😢😢
Ex-President Uhuru tells President Ruto to arrest him
6:25
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 582 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 83 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4 МЛН
PART 1-3 CHURCHILL SHOW S1E3
20:29
Churchill Television
Рет қаралды 258 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 6 МЛН
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 42 МЛН
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
Kufutwa kwa mawaziri wandani wa rais Ruto ni zaidi ya hasara
3:37
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 83 М.