Usicheze na bahari imagine 8k containers,, that wait na yote imekolea juu ya bahari god is great ,,,
@matts689410 ай бұрын
That's a small vessel
@mediacare674410 ай бұрын
Weight 😂
@Holysimba2110 ай бұрын
Indeed God is great but use your head and give thanks to science yaani watu husahau not everything is about Him give credit where credit is due. God did descend from wherever just to build a fuckin ship. Thank those Marine engineers and the rest of the crew
@abdab846610 ай бұрын
@@Holysimba21for sure everything is about god,god gave smart brain to engineers,and if god wants to bring big wave to sink it is just a second
@eduvanquizdevonshire459510 ай бұрын
@@abdab8466u answered him nicely. He doesnt know they are built and manned by human beings who were gifted great knowledge by God
@thomasmwakilenge894810 ай бұрын
Safi sana mtalaki kazi njema bro sauti safi 🤔👍🙏
@bonifacekisoiofficial86810 ай бұрын
Niliiona kama tu meli ya kawaida kumbe ingetokea kwenye taarifa kuu😂
@KeNewsNetwork10 ай бұрын
Mmetunyima full view
@wawerukamau126010 ай бұрын
Nilijua tu imepitia cape-of- good-hope, South Africa. Kichochoro cha Suez canal Egypt hakipitiki tena kwajili ya visho vya houthi. Ata hivyo mgetueleza ni bitha aina gaina ziko katika haya makasha kwani bidha nyingi za kwetu hutoka China,India na japan,ambapo meli za kutoka huko huja moja kwa moja .
@marytomas-x4b2 ай бұрын
Kabisaa kabisaaa 😢😢😢😢imebeba nini
@judyowiso329010 ай бұрын
Kenya my country ❤❤❤
@Benazir25410 ай бұрын
Hii imeenda Kenya kumekujwa govt to govt biz kubeba kubeba
@scolas31342 ай бұрын
Vizuri sana ila hayo makasha yamebeba Nini tuambiane ukweli ndani ya hayo maconteinar Ninini
@moshantoj10 ай бұрын
Hiyo inasaidia wezi lakini siyo masikini
@kilokelly10 ай бұрын
could be ni ya zakayo 😂😂😂
@beatricengedzo750110 ай бұрын
Wow mombasa raha ndio mana sihami pwani 😂😂😂
@variousplaces10 ай бұрын
😂
@rosekadzokillian970010 ай бұрын
Washing machine and Oven am waiting for you, which suppermarket can I get you.. After kupakuliwa.. 😂😂
@nlgolo10 ай бұрын
Imebeba nini. Hicho ndicho cha maana zaidi! Isikuwe ni silaha za hawa mabeberu wamarekani kuenda Sudan. Looto anatumia nchi yetu kusafirisha silaha za magaidi kuenda kumwaga damu Sudan.
@marytomas-x4b2 ай бұрын
Msenge yeye 😢😢😢
@gibrankenya518910 ай бұрын
Si tupewe iyo kazi jameni
@mikeodek453610 ай бұрын
Hata mimi niliagiza machupi/ngodha zaa Wana dada container mzima i hope imefika pia atleast nitakua na Amani warembo wamekwa wakinipigia kelele saaana mara ooooh tunatembea na server Wazi bila kitu Nahii ni hatari Sana nasii kwa mafisi walanguzi it's now going to be sorted,
@kennethkiema592010 ай бұрын
😂
@marytomas-x4b2 ай бұрын
Walai hongera Sana
@beholdtheresaking881910 ай бұрын
"Big ass ship just docked at mombasa port"😂😂
@AhmedmohamedNur-cr7su10 ай бұрын
Meli hii ni mtoto Kuna meli kubwa zaidi yahii inabeba makasha 10.000 na kitu
@aliceosita380910 ай бұрын
Waauu from Abudhabi ,Uea
@marklangat995710 ай бұрын
Good work your Excellency 🙏🙏🙏
@elishaogembo928610 ай бұрын
Credits to the former president Uhuru Kenyatta(his projects)
@miltonjohn977910 ай бұрын
Mbona meli za namna hyo Dsm zinakujaga sana
@mohammedshishishi637510 ай бұрын
Kweli wewe ulisoma mana unaongea vtu ambe ata ujui
@tonitonito9010 ай бұрын
Ulishawai fika dsm @@mohammedshishishi6375
@AthmanHamid-gx2bn10 ай бұрын
Dsm gani ..meli kubwa kuingia ilikua 250 meter
@miltonjohn977910 ай бұрын
@@AthmanHamid-gx2bn huna kumbukumbu vzr ww! Hiyo 250 unayoisema ilikuwa mwaka gani?
@chimbukojnrbaraka267810 ай бұрын
Wacha kubweka hovyo hakuna nchi east Africa ilikuwa imewahi kupata meli kama hii .DSM wisho n 230
@LeonardKoskei-xj4ft10 ай бұрын
So huge and Big indeed
@HylightKisii10 ай бұрын
Thus good
@HappyChameleon-xm7gs10 ай бұрын
Aerial view please
@Josegimu10 ай бұрын
Hii pia itabebwa ikielekea Kisumu.
@omarjeylan411310 ай бұрын
YEMEN HAVE RIGHT TO DEFEND ITSELF.
@variousplaces10 ай бұрын
The dredging Uhuruto adminstration did a few years ago has really helped. I wonder why Ruto is not progressing with Lamu port as faster as we Kenyans want
@gideonkipkoech380310 ай бұрын
Safi sana
@omodesigner10 ай бұрын
Bonge❤❤
@matts689410 ай бұрын
Hopefully Zakayo is not looking at taxing the vessel
@alicemalombo681310 ай бұрын
😂😂😂 watu niwaoga Sasa ..
@frimmbits10 ай бұрын
How does it concern you?
@popod17710 ай бұрын
Hata kuje titanic,ss wa coast hatuoni faida yake
@lilianjebet64810 ай бұрын
Zakayo is very interested 😢😢
@sirryhmes527710 ай бұрын
Titanic jr😂😂
@royphaskazungu144910 ай бұрын
Fala...
@labantuikongkangogo700710 ай бұрын
Na sasa hiyo meli ilipita aje red sea hapo katikati ya Egypt na Israel😊
@Saidmlako33610 ай бұрын
South Africa indeed
@bahatisuleimangowa198010 ай бұрын
Saa hii mnasherekea alafu mwataka bandari mmyuuze. Ama ishauzwa na watu wa Dubai?
@johnmiiri992910 ай бұрын
We moving
@mohamedfuad0910 ай бұрын
Makasha makasha makasha..word used more than 100000000000 times
@kamahuha10 ай бұрын
I was the one that piloted MV Kotka 😅
@kamahuha10 ай бұрын
Haiya no ukweli 😂
@DirectortristanKevin_POKOTTV10 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤
@josesnjoroge91910 ай бұрын
Makasha ni nini?
@evansogutu416710 ай бұрын
Container
@nyembomajid126210 ай бұрын
ma boxes
@nyembomajid126210 ай бұрын
shehena ni cargo
@Maugali797310 ай бұрын
Bonge la dudee la maji
@captainzelifilms296410 ай бұрын
Mbona bendera ya Marekani hapo?
@paulinewangila-cs6ys10 ай бұрын
Imagine😢
@thedaveiknow.10 ай бұрын
Ships carry flags of origin/registration country
@MaryNyota-z1c10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@chris_statiq10 ай бұрын
Inawezafika apa Kisumu; L.Victoria?
@evanskirangi466410 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@abdab84667 ай бұрын
Bonge la meli ndio nini
@RealRaeRodney10 ай бұрын
Kenyans not using metric system now?
@ylace4tune10 ай бұрын
Aerial view would be better
@Felix.M.Shikoli10 ай бұрын
Kiswahili ni ngumu....makasha ni mawhat????
@Mohammadbora-cd6jg10 ай бұрын
Makasha n zile container
@johnchege579410 ай бұрын
318 meters in length .
@eduvanquizdevonshire459510 ай бұрын
This is unproffesion from citizen tv😢😢😢. Why not take a full view using drones???
@yasiniyusuph35010 ай бұрын
😊😊
@mbagajmfalme-simbaa10 ай бұрын
Toka juzi naíona ferry pale
@aminsalim-bn7jt10 ай бұрын
Upuzi mtupu
@AnkoLolo-mv5bk10 ай бұрын
Upuzi ulipita enzi ya uhuru na joho
@hazaryyoung789210 ай бұрын
Is this news really??
@samsonokenye413010 ай бұрын
Uhuru's project
@AnkoLolo-mv5bk10 ай бұрын
Hatukuona vitu Kama hivi enzi ya uhuru wivu utawanyonga mahasidi
@samsonokenye413010 ай бұрын
@@AnkoLolo-mv5bk use ur brains. It's uhuru who expanded this project. Stop being an idiot 🙄
@kibetedimon804710 ай бұрын
titanic 254
@HubasaFamily25410 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nonsense, Kenyan broadcasting houses are petty, meaning ikidock ni yenu 😂😂😂😂.....mna upuzi sana why lie.
@justinebosire980410 ай бұрын
titanic
@EveMediaKenya10 ай бұрын
Watching ❤❤❤
@paulinewangila-cs6ys10 ай бұрын
Congratulations Eve kwa kuwa mzalendo continue watching ❤🇰🇪
@kevinkamau900710 ай бұрын
where is the aerial view, poor kenyan journalism
@kukuzambawazambanga10 ай бұрын
Wacheni ushamba this is not news 🤣🤣🤣🤣🤣 Sometimes mezeeni mambo zingine 🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa munashangaa nini Nakuna vingi tu za kushangaza kama shillingi inapo zama kiholela 😂😂😂😂😂😂 Alafu ni kama matangazo inahubiriwa alshabaab Jee nawakiiteka mutamulaumu nani Munatangaza hata bahari Jamani 🤣🤣🤣🤣
@jeffwakamu17510 ай бұрын
Thats so small now we are having the post Panamax and VLCS and ULCS era Carrying 20,000 & 25,000 TEUs Huyu bado ni mtoto
@charlesmuriungi454710 ай бұрын
Vry boring wapi Meli ????😂
@jonathanokumu792510 ай бұрын
Ilikua ferry toka juzi
@Diani_lifestyle-254.10 ай бұрын
Nop hii ni ingine..imeingia leo asubui...yenye iko pale ferry ni tofauti
@markosewe313210 ай бұрын
What of Noahs ark if at all it ever existed...
@evanskirangi466410 ай бұрын
😂😂😂
@Marc-g2i10 ай бұрын
some shiet with american flag not kenyan flag disappointed.