Watu watano wajeruhiwa baada ya kuvamiwa na mwanamume aliyejihami na kisu kanisani Kisii

  Рет қаралды 14,539

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Watu watano wanauguza majeraha kaunti ya Kisii baada ya mwanamume aliyejihami kuvamia kanisa la Deliverance mjini humo wakati wa ibada. Mwanamume huyo aliyejihami kwa kisu akiwaacha zaidi ya watu watatu na majeraha akiwemo mkuu wa polisi wa Kisii Central Isaac Kimwele. Na kama Chrispine Otieno anavyoarifu, maafisa wa kupambana na ugaidi kaunti ya Kisii kwa sasa wanamzuilia mwanamume huyo

Пікірлер: 22
@DavidWafula-b3k
@DavidWafula-b3k 2 ай бұрын
Sasa hapa n uchunguzi gan wanafanya badala ya kuchukua hatua moja kwa moja
@petergikonyo175
@petergikonyo175 2 ай бұрын
Waisting of tym
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 2 ай бұрын
Haya mambo uwa nayaona ngambo kumbe yametufika?😢😢
@remnant.watchman
@remnant.watchman 2 ай бұрын
Shetani ashindwe.
@kiharachege64
@kiharachege64 2 ай бұрын
Damn, I think it's time some acts should stop being shown mercy.
@karitie98
@karitie98 2 ай бұрын
Wakisii mmekuja Sana😂
@AnneWanjeri-h8s
@AnneWanjeri-h8s 2 ай бұрын
I think police are highly trained to defend themselves from knife attack.
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 2 ай бұрын
Hio ni bhangi mgemsalimia kidogo
@firdausfaridosa2040
@firdausfaridosa2040 2 ай бұрын
So sad, Afanyiwe uchunguzi wa kiakili kwanza na atoa siri ambayo ameficha, Afunguliwe mashtaka na familia ya kwao itafutwe..
@lammohreports
@lammohreports 2 ай бұрын
Labda huyo jamaa alirukwa na kichwa
@Esendi564
@Esendi564 2 ай бұрын
Demon alitumwa na mtu wa cult mybe ashindwe katika jina ya yesu
@paulkonyango5687
@paulkonyango5687 2 ай бұрын
Wakisii mnaenda sana sasa
@juliamongina6084
@juliamongina6084 2 ай бұрын
Huyo kijana ni wazimu photographer they know him pole
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 2 ай бұрын
Wazimu hawezi ficha USO huyu uenda NI cult inamtuma
@SomoIya-s4h
@SomoIya-s4h 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@luciahmwai3527
@luciahmwai3527 2 ай бұрын
Wakisii na sadaka😂
@petergikonyo175
@petergikonyo175 2 ай бұрын
Wakisii wameanza
@josykogei7647
@josykogei7647 2 ай бұрын
Wakisi waliamua ama
@jenifferwanjira6124
@jenifferwanjira6124 2 ай бұрын
😂😂😂
@florencemutuku196
@florencemutuku196 2 ай бұрын
😢Poleni sana
@justinebosire9804
@justinebosire9804 2 ай бұрын
bhang tu
Masimulizi ya Birdman
14:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 399 М.
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Jicho Pevu yaangazia saa kumi na mbili za mwisho za mwendazake Jacob Juma
36:26
Majambazi wavamia kituo cha kampuni ya KETRACO ilioko Kisii
3:34
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 62 М.
Je, polisi walionaswa wakiwaua waandamanaji watahukumiwa?
2:56
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 27 М.
SHAJARA NA LULU | Simulizi ya Joseph Kimeu
43:30
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 96 М.
Kisii ukisoma saana Unarogwa😢 Engineer mkubwa anafanya kwa makaburi
23:10
Johncena Silver TV
Рет қаралды 2,2 М.