Lulu unafanya kazi poa sana,be blessed again and again amen
@sheemaryam5 жыл бұрын
Martin Njaramba wamefuata inooro
@VeronicaDunbar4 ай бұрын
Bi Lulu, story za kipindi chako husemwa kwa utaratibu fulani. Lakini mara ingine unaipanga na kuongeleq isivyo eleweka vizuri. Nimeielewa kidogo tu, hapo mwisho. Ambapo huyo mama alitoa mfano wa bibilia wa Caine na ndugu yake Abel. // Turahihishie stories in future, ndio tuzielewe. Otherwise, napenda vipindi vyako.
@faizabaishe51725 жыл бұрын
MaashAllah, KAZI mzuri Lulu Hassan Rais MOI aliomba msamaha Kwa watu na mungu watu walimsamehe maisha yende mbele shukran sana my sister
@catewambui95285 жыл бұрын
Sometimes its good to forgive for easing your hearts..its hard to forget but good to forgive.God will forgive you coz already wewe umeomba msamaha ni wao wameachwa na burden ya kutokusamehe
@Elidandeb5 жыл бұрын
Hapa ndio unajua kweli mbinguni sio kila mtu huita Mungu, Mungu ataingia mbinguni if mtu anasema ameokoka and can't forgive.
@wanyoikenaftali41145 жыл бұрын
This is best posts from our media,who have been long been pumping us with hatred ,,,reconcilliations is the key
@BoblexMwangi5 жыл бұрын
It's always good to forgive but never forget, good job Lulu
@nnbb84025 жыл бұрын
Hongera lulu hassan Allah akuzidishie moyo wa iman Inshaa Allah
@maggievlogskenya31095 жыл бұрын
Sometime hasila huleta hasala 😢😢😢 May God bless you Lulu
@jubilientjubilee5 жыл бұрын
Lulu let God bless you because you are doing wonderful work, in other terms you are a mediator for those family members
@mikegitumambae59055 жыл бұрын
Kazi nzuri hio Lulu, vile wamebaki they'll ease their heart en give room for forgiveness!!
@hamishemed91795 жыл бұрын
Lulu unafanya kazi nzuri sijapata kuona kuwapatanisha watu waliokosana nijambo zuri zaidi
@samanthaali8735 жыл бұрын
Masha Allah Lulu kwa kazi yako nzuri
@pastorjohnmburu60485 жыл бұрын
May GOD bless you Lulu for the good work ,to the mother of the late Mwangi..pliz consider forgiveness
@maureenjannephar35075 жыл бұрын
My heart almost dropped when t but mama spoke, the sadness and anger in her is way too much for person to carry, may God forgive us for putting our parents in situations that make them this sad, may God see them through
@njeshkaris89575 жыл бұрын
Wamsamehe tu juu ilitendeka ingine wawachie mungu lulu barikiwa sana
@annechris63335 жыл бұрын
Forgiveness is the thing that will heal our land, may the Almighty God help us to do it
@johnmunge97875 жыл бұрын
Thank you Lulu Hassan good job
@florencenduta36605 жыл бұрын
This is what I call hearts of stone....
@sheillachisika26005 жыл бұрын
Dar LULU barikiwa maanake unajituma sana kwa Kazi yako na huyo shosh nae mbona hio story nikama Accident mbona asimsamwhe
@bettyoluoch97745 жыл бұрын
Lulu God bless you kwa hii kazi
@stacylovelovestacy37325 жыл бұрын
I love you lulu God bless you
@realthingstv33735 жыл бұрын
Eti Buda yake anasema ,""NAYE AMENONA""6:58😂😂
@7428tony5 жыл бұрын
Blessed are the merciful for they shall obtain mercy, they should let it go and forgive him. Matthew 5:7
@elizabethkeya8285 жыл бұрын
It's good to forgive. So that you can also be forgiven. God has already forgiven him. May GOD give you strength Mr mwangi. One day it shall be well.
@adantoo73075 жыл бұрын
Kazi Mzuri lulu, hii ndio media inafaa kuangazia sio siasa tu kila siku.
@zuberigasper64934 жыл бұрын
Adan Too kweli kabisa
@platumkoshy99305 жыл бұрын
Good job lulu hassan..hii familia ingemsamehee tu ju anaomba msamaha mwenyewe
@annebiego31865 жыл бұрын
well done Lulu... keep up.. aki siwamsamehe aky...
@jesinteranyango58385 жыл бұрын
Kazi mzuri lulu
@livity10035 жыл бұрын
Forgiveness is key😐😐😐 Everybody deserves forgiveness.
@hanningtonkubwa43295 жыл бұрын
It’s hard to forgive ata kaa ni wewe if you’re in that position try to fit in their shoes...but it’s good to move on
@marynjengah27715 жыл бұрын
They should forgive him and leave the rest to God.. It's hard but the right thing to do even for them to be at ease.
@clarionphilips25565 жыл бұрын
Shukrani lulu
@wardarober14985 жыл бұрын
Forgive him and live the rest to God, kila mtu ni mwenye thambi
@penninahthegrace30365 жыл бұрын
😭😭😭 inafaa wamsamehe,ashakubali makosa yake,for the sake of God,yes it's painful but God will reward them.
@maggiebernard5 жыл бұрын
Imgn ata Huyo ako na kiremba mtu wa kanisa she is not ready to forgive
@penninahthegrace30365 жыл бұрын
@@maggiebernard too sad! What if God could be human being,sisi wote tungekufa kitambo!!
@nzisakasau82345 жыл бұрын
lulu unafanya kazi nzuri sana barikiwa
@marthakaluhi33165 жыл бұрын
KZbin girl, how are you😏
@nzisakasau82345 жыл бұрын
@@marthakaluhi3316 am fine😊
@waitherakinuthia79915 жыл бұрын
“Forgive us our sins as we forgive those who sin against us” from the lords prayer, we all are sinners and we should also be ready to forgive others if we want God to forgive us. Ni hayo tu.
@hammerQ9544 жыл бұрын
Lulu: amebadilika? Baba: eeenh amenona🙌
@apostlejanegracegidraph20542 жыл бұрын
Ooi my God May bring healing to that family it's too much.
@osawawinfred2 жыл бұрын
Nivizuri kusamehe....jama amechange....kutoka rohoni....i hope familia iliweza kumsamehe
@emanuelmutisya84075 жыл бұрын
Lulu kweli umetumwa uwaokoe wana wa israel usichoke. Mzazi lazima awe wakusamehea juu unao watoto. Kesho uenda ikawa kwako.4give mama
@ericnjaga11265 жыл бұрын
Its good to forgive...goof job lulu
@simplequickrecipes25 жыл бұрын
Mara nyingine sisi hufanya makosa makubwa,but God always forgive us,is painful but nothing can be done to bring the deceased back to life,they should find a place in their hearts,our God is just and merciful,
@marykalei32775 жыл бұрын
Amenona mpaka babake anasema. Mungu yupo
@priscamaina47035 жыл бұрын
Blessed
@christineadam93415 жыл бұрын
Good job Mrs Hassan 🤗
@p8out605 жыл бұрын
Hasira mbaya
@lionsdota19895 жыл бұрын
(Uyu muhonoki) hapo hakuna kuokoka Kama hawezi samehe mwangi na anakili yakwamba alitenda na mwanawe hata muona tena itaishi kuwa mzigo kwao.
@samroymen49804 жыл бұрын
good job citizen
@daniels98355 жыл бұрын
Even when forgiving people need to be careful in action they do. The decision we make affect the rest of life
@withoutjesuschristofnazare27465 жыл бұрын
miaka kumi baadae jameni msameheeni angalau pia nyinyi mioyo yenu ipone
@mercylynekuin48635 жыл бұрын
Forgiving is very important it mainly frees the one holding unforgivess; tell you it is a burden and a heavy one that is why God advocates for forgiving 70×7 times
@Mr.George.N5 жыл бұрын
Oh🤔🤔🤔🤔
@hamishemed91795 жыл бұрын
Lulu mnafanya vizuri kwakweli kuwakutanisha watu waliomiss kuonana kitambo
@khadijahtumna20165 жыл бұрын
7:01 aty Amenona!! 😂😱
@jaredkiplagatletting47055 жыл бұрын
Khadijah Tumna 🤣🤣🤣🤣😂
@khadijahtumna20165 жыл бұрын
@@jaredkiplagatletting4705 😂😂😂 maajabu hii dunia
@jaredkiplagatletting47055 жыл бұрын
Khadijah Tumna some people are not serious in this world 🌎.
@JosephItaaba2 ай бұрын
See more about Joseph ☺️😂☺️😂🤣
@rosemutinda30764 жыл бұрын
Hutaki kusamehe binadamu mwenzio na ilhali unataka Mungu akusamehe😏😏Hiyo mbingu itaingia wachache 😁😁😁
@sarahwaithera45845 жыл бұрын
They will only find healing in forgiveness, its a hard thing to do but thats the only way out of their pain.
@carolinetalam58325 жыл бұрын
Wooiye 😥 wamusamehe tu
@Kimani-g4wАй бұрын
Saa hii yuyo baba maina alikufa
@JosephItaaba2 ай бұрын
See more about Joseph ☺️😂🤣🤣🙂🤣
@peterwandera98912 жыл бұрын
Forgiveness is key
@periswanjiru87105 жыл бұрын
i feel for the parents
@lilykanevergiveup22825 жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢so sad
@raelk665 жыл бұрын
God has forgiven u even though they will not forgive u time will tell thanks Lulu
@bahatisichone61824 жыл бұрын
mungu amewabariki Wapatanishi On Bible
@gracekamau44135 жыл бұрын
Lulu gud job by peleka huyo mama na watu wake gerezani wasameheane
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Hakuna acye dhabi musamehe tu kwani ata mungu tunamkosea na tukitumbu tunasamehewa
@vivianodhiambo23945 жыл бұрын
men day don't forget lulu
@strongmummy5802 жыл бұрын
Already in the eyes of God is free, although recret comes after.
@mahadahanip53125 жыл бұрын
They should forgive him...aaiii the woman ameokoka n she can't find a place in her heart to forgive 10 years down the line..huh I'm surprised..someone is already jailed for 30 years and u can't forgive..chaaaaiii
@lucypeter66625 жыл бұрын
Hawa watu wa hii kitambaa nakuanga nawaogopa sana sio haraka kwa msamaha
@mahadahanip53125 жыл бұрын
U can't heal if u can't forgive...forgive then u will heal
@benedictmwangi-5 жыл бұрын
Ukiskia mtu akisema ameokoka ogopa....
@adammjomba15544 жыл бұрын
Imeandikwa usiue ,Sasa hapo ipo kazi kweli kweli ,unajua kosa lenyewe ni kuua ingekua kuiba sio tatizo kihivo ,Sasa kuna vitu viwili hataka hao walio uliwa ndugu yao watasamehe je hiyo Amiri ni ya Ahlla alisena usiue je Atakusamehea ? Au itabidi uende motoni ?
@mikegitumambae59055 жыл бұрын
Good work, soonest state house ama BBC inshallah 👐👐
@binttsulu6475 жыл бұрын
ati eeh amenona
@kennetholaka4575 жыл бұрын
never make a decision when your angry you will regret the rest of your life.
@florencewilson48215 жыл бұрын
Forgiving is for oneself and not for the accused.
@keziahnduta27403 жыл бұрын
Everyone who does not forgive will NEVER BE FORGIVEN by GOD and will end up in ETERNAL HELL 🔥 it's that serious Forgiveness determines one's eternity
@khadijahtumna20165 жыл бұрын
It is written forgive one another as many times as possible.... If u Don't then even ur father who is in heaven will not forgive you....... Mbinguni ni mbali and hell is real
@wagakuu68505 жыл бұрын
Its allready 10years he got enough punishment better to forgive him
@maggynish43415 жыл бұрын
Forgiveness is the only medicine
@erickwainaina15045 жыл бұрын
what was this fight about I don't quite understand??
@stephenmwangi93113 жыл бұрын
Ni mambo ya sijui ng'ombe ziliingia kwa shamba ya kina maina, wakabishana wakapigana mwangi akapata amemuua
@Kimani-g4wАй бұрын
Waligombana mchana mwangi akamngojea Kwa Barbara jioni akamdunga kisu akamtoa matumbo
@meshackojiambo2745 жыл бұрын
huyu jamaa anaongea kama pastor..utasamehewa bro
@jaklinifaustini42594 жыл бұрын
Msamehe
@phoebemukhwana83815 жыл бұрын
People should learn how to forgive
@grammamresh88485 жыл бұрын
Hii familia ya Njogu wako ivyo roho ya firauni, Mwangi we miss u ata kama u did the worst.
@Geekay19975 жыл бұрын
Was he defending himself ama kuliendaje
@grammamresh88485 жыл бұрын
@@Geekay1997 kulikuwa na fight kati two brothers hao wazee umeona babake mwangi na bro yake,so mwenye aliuliwa alikuwa amejificha na kisu auwe mwangi so ile hali ya kujidefence akamuua.
@AZoneeducationalconsultancy2 жыл бұрын
Everyone deserves a second chance
@millicentdayo20605 жыл бұрын
OMG.l think it was an accident,just forgive him plzzzz.
@rosewambui80265 жыл бұрын
Self-defence gone wrong.
@jdrealtimemedia37135 жыл бұрын
bana these people will never see heaven..the guy was defending himself. what if ni yeye aliuliwa.
@scholasticawashuka82945 жыл бұрын
Huyo mama asamehe tu ndio atapata roho yake ikiwa huru lakini akieka kwa roho hayo machungu amani na uchungu haitaisha haraka mwoyoni mwake.kusamehe nikitu cha maana ispokua kusahau ndio ngumu.
@nancynyutu40915 жыл бұрын
Hasira hasara, but they forgive him coz mwenye alikufa hatarudi ndio pia wao waheal roho zao
@suziecutecute62745 жыл бұрын
Sijawlewa alimuua Kwani I,ngombe ilido?
@maggiebernard5 жыл бұрын
Umechanganyikiwa Kama Mimi😁😁
@aminasaid83115 жыл бұрын
Nafkiri ni ngombe alivuka mpaka akaenda kwa mwengine
@bonifacekisina5 жыл бұрын
Ng'ombe yake iliruka kwa jirani then huyo jirani akaisukuma kuelekea mbali. Huyu jamaa alipoenda kupata Ng'ombe yake, akaambiwa mwenye aliipeleka huko ni jirani yake. Hapo ndio vita ilianza.
@essnjrnjr36355 жыл бұрын
It all about 🐄
@willywathuta37885 жыл бұрын
Hata mimi nimeshaganyikiwa si heri ageua ngombe
@jdrealtimemedia37135 жыл бұрын
that was self defence, what if ni yeye aliuliwa.nkt
@terrynjeri80755 жыл бұрын
⌚👀👂
@kokudo83895 жыл бұрын
Hii kipindi hua inaletwa siku gani kwa wiki?
@sabinaviolet8055 жыл бұрын
Ukitoka hufungue Church unakipawa Cha pastor
@ericmonax56664 жыл бұрын
Uchungu wa mwana haijuae ni MAMA amekana kumsamea
@ruthnjambi7285 жыл бұрын
Ata kama inawauma heri wamsamehe aki
@karendikitchen84395 жыл бұрын
Haiyaaaiiii.... Mama umeokoka????? Huna roho ya utu kaa mama na mwenye dhabi humu duniani. Wewe ni mkamilifu????? Mwamgi ndiye atakufungulia mlango na kukuelekeza jehanamu akiwa jannah!
@kamauwilliamk5 жыл бұрын
You give the parents, a lot of pain...which is not good...
@mohamedAli-vf8hp5 жыл бұрын
Lulu nakupongeza ila pia gerezani kuna ndugu zako waislam kwann nao ucwafatilie hivyo ckwaubaya nasema uangalie pande zote mbili
@nzilofaiba58555 жыл бұрын
@ 6:57min amenona. Hahahahaha!
@privatepilot99455 жыл бұрын
Huyu cucu Ana roho mbaya sana😢if she doesn't forgive him that won't bring his son back
@gladysnganga66623 жыл бұрын
You all won't understand the pain she's going through,this is the death of her son,it must be so painful