Watatu hao walikamatwa na kuhusishwa na mauaji ya Chifu
Пікірлер: 148
@farhiaenow70354 жыл бұрын
Walikupea elfu saba awa ni wazuri sanaa ,shukuru Allah uko salama
@abduswamadmohamed61724 жыл бұрын
These kind of acts are always done on innocent people without following the right laws..
@worldnews6864 жыл бұрын
Ndugu yangu sunipige subscribe
@kimkim88084 жыл бұрын
Nafikiria walipelekwa nyayo house, wanakula wanajipaka manukato pesa wanapewa kuteswa AMA holiday🤣🤣🤣🤣🤣
@lukmamy66554 жыл бұрын
Huna adabu weww umenichekesha sana hapo pakujipaka manukato😂🤣🤣😂
@aishahared8734 жыл бұрын
Labda ni holiday
@saidnassormohammed95894 жыл бұрын
Kim kim hapo sasa mtu unatekwa unajipaka manukato basi lamu raha
@nassorhamad52254 жыл бұрын
Unafirwa nn
@nassorhamad52254 жыл бұрын
Unatombwwa nn
@AhmedAli-jm5yu4 жыл бұрын
Aaha at least nimesikia vizuri the police were very good and decent
@aminakassim71494 жыл бұрын
Anyway basi hukuteswa wewe...shukuru mungu wapewa kula nguo walala wajipaka manukato na ukapewa na pesa zakwenda home shukuru sana
@worldnews6864 жыл бұрын
Amina nisaidie na subscribe
@lmashua4 жыл бұрын
Amina Kassim Nakubaliana nawe
@jacklinenatasha92072 жыл бұрын
Nauliza hio n kuteswa huyu jama ako confused kama mm
@remiomar71544 жыл бұрын
Poleni Ila ni bora munge wafunika sura Kwa usalama wao cause hujuwi the next movie it will be....
@hidayasaidi7872 Жыл бұрын
Labdamlikuwashakahola
@asiaissa9764 жыл бұрын
Poleni sana mungu awape subra amiin
@stevmwanamilongo5375 Жыл бұрын
Hao sio polisi
@simansheikh76704 жыл бұрын
Washukuru.mungu.kama.wamee.wa.cilewa.huru
@ryjalimohaa53864 жыл бұрын
Serekali waseme ukweli kuna na wengine watatu mpaka leo hawajajulikana walipo
@mwanaishahussein26354 жыл бұрын
Jamani enyi polisi chunguzeni uhalifu ufanywao kwa kina sio kuchukua watu wasio na hatia na nitehemeo la familia mkawaeke tu jamaa zao zikiwa na mitaharumi Tuweni na IMANI kwani hata hiyo Imani imezungumziwa katika vita vya dini 😭😭😭😭😭
@mohamedabdalla18364 жыл бұрын
And why is it done on only Muslims ..... Kenya haina haki na usawa
@murimikaburu13762 жыл бұрын
hakuna mateso hapa!!!
@aishasaidi1784 Жыл бұрын
Mbona hao polic washikwe kama makenzi
@abdulkadirnagib96394 жыл бұрын
Haki africa thank you
@janewangaringoiya57044 жыл бұрын
Glory b to god coz walirudi wazima.penda hawa police.
@ericmonax56664 жыл бұрын
Noma
@johnluck16104 жыл бұрын
LAMU siyo kenya twafa kuji gawa tutoka wa washenzi kenya.
@janenyambura53574 жыл бұрын
Hatali sana
@mamafatuma1384 жыл бұрын
Sasa hayo ni mateso jamani mm nilikuwa naona ulikuwa wala kichapo kumbe ulikuwa wala ukilala😅😅😅😅sema kweli
@ibnhassan99804 жыл бұрын
mateso ni kukosa uhuru wao
@ibnhassan99804 жыл бұрын
tumia uwezo wako wa kiakili
@minaziparasu33524 жыл бұрын
Unapaka manukato mmmhh ndiomateso hayo bwege weee
@aishaabdulrahman69954 жыл бұрын
Nani ameskia alikua hana freeee dome 😂😂😂😂😂😂😂😂
@sophiamacdonald27114 жыл бұрын
Kiswahili lamu
@oppsinlyf4 жыл бұрын
Citizen ushenzi itawaua. Walioshikwa hawajasema waliteswa kwa njia yoyote. Labda walikuwa wamesetiwa lakini walipochunguzwa ikawa hawana hatia yoyote
@rashidiathumani44764 жыл бұрын
Mbona magaidi niwaislamutu kunani
@janenyambura53574 жыл бұрын
izo pesa zitakula yiyi munaona Kula Tu hamjui hao watu wanawazia nn
Sasa mlikua mumefungwa macho kwanini. Kuna vile mumetuchanganya
@ukhtyalpha13444 жыл бұрын
Bora na wewe waje wakufunge macho ndio utajuwa nini
@clarionphilips25564 жыл бұрын
Hahahahah kama unakunywa na kukula na kuoga, hio ni.mateso kweli???
@mahbubdawood29094 жыл бұрын
Uhuru na jeshi lake limenunuliwa na Trump
@mufush4 жыл бұрын
Fridom ni nini?huuu ni uwongo mtuuuuuupuuu at naoga hadi kueka manukato? Ambieni watoto mateja Hii Story sio sisi? Pumpavu
@ukhtyalpha13444 жыл бұрын
Patrick pumbaavu mwenyewe
@qaasimsaid98774 жыл бұрын
wee watakasem aeleleze vp,. Huzo ni chuki zako
@AhmedAli-jm5yu4 жыл бұрын
At least they didnt beat them up
@christinabarasa55154 жыл бұрын
For my behalf I thank God because this fellow Kenyans they were brought back while alife without any damage....wacha wawasaidie kwa sababu hayo yalifanywa kinyume na polisi.
@missttruth13344 жыл бұрын
Christina Barasa ...ikiwa wamerudi sawa na wazima,basi hapo walikuwa na wapelelezi sio polisi
@mwambaowapwanichannel85724 жыл бұрын
Haki Africa kongole tunawapongeza
@Mrguykenya4 жыл бұрын
Kwani polisi wa pwani wako na adabu aje? Wah! Nyinyi inaonekana mko Marekani na bado mncomplain? Huku bara polisi hutupaka mafuta kwa mgongo wakitumia bakora na kisha they take every last coin in our pockets. Kuoga wanatwambia tunaweza tumia sweat.
@worldnews6864 жыл бұрын
Joseph sunweke subscribe
@kimkim88084 жыл бұрын
Nashangaa hata mimi hata anaoga, anapewa pesa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@viviantenai45994 жыл бұрын
Wacheni ujinga tangu lini polisi katoa pesa ampe mfungwa? Hawa ni wenzenyu tu namsipo jihadhari mtabebwa kule Somalia mkijifanya ati polisi amewashika
@hassanalhussein39824 жыл бұрын
Wacha ujinga ngombe wewe.
@hamza899454 жыл бұрын
Serikali inanyanyasa watu
@clarionphilips25564 жыл бұрын
Hao ni polisi wazuri
@aishachambo32934 жыл бұрын
Wameteswa😳😳😳😳
@ezemothesurgeon.48734 жыл бұрын
Anajua SAA mbili na SAA saba unusu kivipi?
@mahbubdawood29094 жыл бұрын
Wakenya tukiunghana mikono pamoja na kujitolea kwa nguvu kama hawa wanao hojiwa basi ndipo tuta maliza uhalifu wa mapolisi wakoloni na ikiwa hawa mashoga hawaogopi wewe mwanaume unaogopa nini?
@nusaybahbae89314 жыл бұрын
Mahbub Dawood mbona wawaita mashoga? shame on you
@mahbubdawood29094 жыл бұрын
@@nusaybahbae8931 Kwajili ni halali kusimaisha mateso za polisi wa koloni na ata hivi ni kweli na wote wanajua kwambha lamu kuna mashoga wenghi na wenghine wanawachokoza bila ya sababu mbhona haufunghi midomo zao?Hauwezi kwajili wewe ni mmoja wa wale mapolisi wa kibandia
@qaasimsaid98774 жыл бұрын
Wee babu ushoga nawapa kwa kigezo gani? (Ushoga unaujua ndo wapupia kuleta porojo zisizo na mbele wala nyuma
@mahbubdawood29094 жыл бұрын
@@qaasimsaid9877 Mkoloni wacha domo parapanda mwanzo kiswahili sanifu ni ya Tanzanian ambhayo humaanisha maana ya shoga ni rafiki
@mahbubdawood29094 жыл бұрын
@@qaasimsaid9877 Shika moo nyanya?
@supumoto68194 жыл бұрын
Kumbe polisi wanagawa PesA pia, uliangukia wewe
@priscamwita.mtotoniwakeham91264 жыл бұрын
Hawa watakuwa wamepigwa mkwala wasiseme chochote walichofanyiwa
@zanazui4 жыл бұрын
Why does someone always try to grab the mic 🤣🤣🤣
@companions.6104 жыл бұрын
Yaani that's all you could say about the whole story?
@AhmedAli-jm5yu4 жыл бұрын
Msecheze na wanawake zetu hii italeta vita this is wat makes people into TERRORISTs to pay back
we nawe awakuteswa kwani walikua kwao nyumbani mungu tu aliwasaidia
@bobbiegatimu71244 жыл бұрын
@@AaAa-kr9nb hatukatai ni Mwenyezi Mungu.....shida ni title ya mwenyewe amepost....alas
@elnorahmjomba13114 жыл бұрын
Aah hii story ikianza nilikua nimewaka hasira iweje polisi watese wenzetu kumbe ata walikua wakila wanaoga vizuri na kujipaka manukato kwani holiday?tushukuru wako hai tu ile mbaya ni kutesa na kuua watu,lakini wangewaambia wamewashikia nini hapo walikosa
@mahbubdawood29094 жыл бұрын
Kama ni wanaume kweli waende kuwasumbhua al shabaab na sio mashoga wa Lamu
@janenyambura53574 жыл бұрын
Napesa juu
@mahbubdawood29094 жыл бұрын
@@janenyambura5357 Sorry things are changing
@sophiamacdonald27114 жыл бұрын
Machachu aki nyinyi
@sylviaecke17724 жыл бұрын
This ist crazy😫😫😫
@worldnews6864 жыл бұрын
Sylvia nisaidie na subscribe
@mohammadsalim78794 жыл бұрын
Sasa hiyo ndo ume teswa
@fatumamwalimu57654 жыл бұрын
Wewe hajakufika, kwani police gani anaruhusiwa kumfunga raiya kitambaa cha macho? Hao ni watekaji na sio police, hau ulitaka wakatwe vidole?
@mariamhassan17234 жыл бұрын
Hussein sauti yako kama ya hayati Ahmed Darwesh Innallilahi wainnailehi warajiun
@sakinat25274 жыл бұрын
Ahmed Darwesh alifafiki? Allah amraham hata cjui
@mariamhassan17234 жыл бұрын
@@sakinat2527 kitambo ana miaka
@sakinat25274 жыл бұрын
@@mariamhassan1723 aaha , Allah amuepushie na adhab za kaburini
@bakarikalama60994 жыл бұрын
Mnataka makafiri wafate sheria? Apo msahau
@wangash61444 жыл бұрын
Makafiri ndio nani
@missttruth13344 жыл бұрын
Joan liz ...wasio waislam
@petermwambito23394 жыл бұрын
Elfu saba zaree hyo kazi ya kuhojiwa na Polisi na unapata mshahara. Mm sioni shida kulingana na vile wanaeleza watekaji hawana ubaya na mtu mzuri ila kwa waghaini. Hatuko salama kama serikali haitaachwa huru kufanya kazi yao jinsi wajuavyo. Sie hoja yetu ni usalama kwa wote.
@kingpharaoh69814 жыл бұрын
Hilo Jima sumbua u look like suspect
@viviantenai45994 жыл бұрын
Mliteswa na alshabab hawa sio askari
@mahbubdawood29094 жыл бұрын
Badala yakuwa kamata al shabaab wanatesa mashoga wa Lamu si wanende kuwasumbhua al shabaab?Hawawezi kwajili al shabaab na polisi ni kitu mmoja
@plmm77064 жыл бұрын
wajinga nyinyi mlipewa chakula na pesa hujafanya kazi ,bure kabisa
@ukhtyalpha13444 жыл бұрын
Mjinga wewe fataani mmoja ngoja yakufike siku moja
@mwanashajuma65574 жыл бұрын
Kuliza si ujinga uyo jamaa alie hojiwa kwa mara ya kwanza haoni au ndo amevaa glass hili watu wasiwajue?
@faridaathman77224 жыл бұрын
Ata umbea wewe kuma
@mwanashajuma65574 жыл бұрын
@@faridaathman7722 sasa matusi ni ya nn na nimeuliza umelelewa katika maadili gani lkn kuliza pia ni umtusi mtu siko tayari samahani kwa hilo
@alfanm.82214 жыл бұрын
@@mwanashajuma6557 ata mm namshanga mbona atumie matusi katika kila comment nimefatilia sana kwenye comment zake
@mwanashajuma65574 жыл бұрын
@@alfanm.8221 hana madili uyo ndivyo alivyo funzwa kwako labda
@lizkimani95764 жыл бұрын
Umeteswa wapi kama una kula na kuoga...polisi lazima wa investigate terrorists...muongo wewe...
@ruuspicyasmr16944 жыл бұрын
Wacha kuita watu waongo know how to talk
@hassanalhussein39824 жыл бұрын
Kwani hawali chakula kwao. Kuchukuliwa kiholela bila ya kujuwa wanapokwenda hayo ni mateso tosha .Lakini wewe ni punda wa bara uko na chuki na watu wa pwani mpaka ndani ya mkundu wako. Fala wewe
@janenyambura53574 жыл бұрын
Polisi upi atoa pesa zake awapea yiyi ,yeye polisi navio penda pesa hapa Kenya,😂😂7000 No No mnawajuwa hao watu