Рет қаралды 6,730
Mali yenye thamani ya mamillioni ya fedha imeteketea baada ya moto kuteketeza nyumba 10 katika kijiji cha Mbwajumwali kilichoko kisiwa cha Pate, kaunti ya Lamu. Moto huo umeripotiwa kuanza kutokana na mzozo wa ndugu wawili nyumbani kwao