My brother Karibu Tanzania nimependa sana maneno mazur hongera kwa kudumisha uhuru
@LizenMaker12 күн бұрын
Kweli kabisa
@aminaabubakar377712 күн бұрын
Umeongea kama watu mia😂😂😂
@naimanimo492512 күн бұрын
Wow is on point
@mustafarajabu400512 күн бұрын
Ww point yako hipi?.mziki ni ela weka pesa kwa mziki upate pesa,utasaport kitu kibaya?.mbona amsaport sasa sikwajili wakenya awajui kuimba,ndio maana wanawapa wakina diamond pesa nyingi kwasabbu anafanya mziki mzuri na anaweka pesa kwenye mziki wake.huyo willy hata gari zuri hana anahazima tu nguo nzuri hana,nani hatampa pesa nyingi amsaport MTU ajielewi,utasaport chizi
@rosemuba253212 күн бұрын
Tell them wamezidi chuki na roho mbaya Diamond to the world 🔥🔥🔥
@DanKaranja-q3u10 күн бұрын
Worship that illiterate clown alone
@sylviamakamu268412 күн бұрын
Very true
@tabasamtv672812 күн бұрын
Huyu kapiga kwny mishono.🤣
@SaumuNasenya12 күн бұрын
Ukweli kabisa 🙏
@Yusco-gx2dx12 күн бұрын
Ni wakenya wachache sana watakao ongea ivo, wengi wao utasikia "support cha nyumbni kwanz"
@trybznyn181710 күн бұрын
We want good muzik kiki wachia pikipiki. Watu waimbe waache utoto.
@rahmarajab36887 күн бұрын
Hata matope utasapot kwasababu ni ya nyumbani, Kama hatuambiani ukweli tutaangamia, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa,,,,
@agustinorichadi125312 күн бұрын
umeongea vizuri sana❤
@galaking112 күн бұрын
Safi sana bro point
@ramahkesh936011 күн бұрын
KARIBU TANZANIA RAISI WA GHETTO HUNA BAYA😂😂😂❤❤❤
@ombenipallangyo306712 күн бұрын
Mojawapo ya mtu ambae ameongea ukweli ivi vita tusipo angalia itakuja mpaka mtu moja mmoja 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@davidolal410812 күн бұрын
Facts............ Le grand Ghetto presidente. 👌
@tanzalandtv331111 күн бұрын
Safi sana kaka. Njoo Tanzania uishi
@SIAZMEDIA12 күн бұрын
Nimshamba Willy Paul Alibehave Kiutoto.
@issapagali133012 күн бұрын
HAWEZI KUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI.
@boyfromtansania778811 күн бұрын
@@issapagali1330 ukweli upi
@NgasaMaduhu11 күн бұрын
@@issapagali1330Na uwezi kua rafiki kama unalazimisha usikizwe wewe tu.
@EmmanuelShausi-ff8fu10 күн бұрын
We unaakili sana ,we unafaa kua kiongozi aisee
@wilsoncrespo65449 күн бұрын
❤
@BigZhumbe12 күн бұрын
It was all good mpaka Nikasikia Willy Wa Mutego as NAY WA MITEGO 😂😂
@simbaedouardo849911 күн бұрын
Yani wewe ni Gaucho kweli kabisa na Ronaldinho big up
@SwaibuMikidadi-r3y12 күн бұрын
Sisi wa Tanzania tunawapenda wakenya
@ShedrackFaustin12 күн бұрын
Mungu abaliki kizazi chako
@dorothyannan81844 күн бұрын
Mimi ni Mtanzania na napenda sana nyimbo za wakenya. Mkenya ni ndugu wa Mtanzania.Preach Love.
@judithkirenga997712 күн бұрын
💯🤝🏾 ndio charity begins at home but sio kwa kuta kuangusha juhudi za wengine, Wakenya hampenda ndio maana mkenya akija Tanzania anafanikiwa kwa haraka kwasababu ya upendo hatuna ukabila na chuki mbaya
@yusuphmohammad138511 күн бұрын
aunga mkono hoja wakenya wapo mpka mtwara wanaishi maisha ya burdan kabisa na zungjka hotel zote kubwa hutakosa mkenya sababu ya upendo wetu
@jumambarale69912 күн бұрын
Asiende kwa promoters wamwambie shida nini anaenda kwa diamond mpaka kutaka kufanya fujooo
@LeiyoLaizer12 күн бұрын
Hongeraa 🎉🎉na pongezi kaka huo ndo ukweli sisi sote ndugu tuambizen ukweli lakini sio kiki
@samwelsebastian467812 күн бұрын
Safi sana 😂😂
@Rukaka_jr12 күн бұрын
Ukweli ila ni mchungu kwa wakenya
@directorwilly-f8w10 күн бұрын
Kabisa 🎉🎉
@fredyjunior69615 күн бұрын
BIG BRAIN MAN❤❤❤❤
@BarackaNgasala12 күн бұрын
Mkuu. Unatakiwa. Kuwa kiongozi coz unabusara sanaaa ❤❤❤
@chizashungu836411 күн бұрын
I SALUTE YOU.WELCOME TO TANZANIA.GREAT MAN.
@Hbk20612 күн бұрын
Ukweli 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@nelsonbisi649910 күн бұрын
Mtu wa maana sana karibu sana Arusha 🇹🇿
@MsatiOne12 күн бұрын
Jamaa umeongea point sana mziki mzur haujufichi na ndo maana hapa Tanzania kuna wakongo wanaita na kazi wanafanya vzr kabisa
@godfreygideon262412 күн бұрын
wakenya ni watu wazuri mshamba mmoja asiwachafue wakenya ndio maana wanawaita wasanii wetu tanzania hatuna ukabila wala udini africa mashariki wenzangu tupige vita vitu vya ajabu mungu tusaidie
@dorothyannan81844 күн бұрын
We need love around East Africa . We are one
@tomsijohni12 күн бұрын
Point
@EmaleftDejong6 күн бұрын
😂😂😂 Nachoka mie jamon lakini ukweli 100%
@BabuLodge10 күн бұрын
Point kabisa
@yonga-o3n6 күн бұрын
ukweli mtupu broo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mbona hatupendi ukweli
@MohamedSahera-z6i11 күн бұрын
Utafikambali brother
@silasmarandu148510 күн бұрын
Big man big brain 💪🧠💪🧠
@CharlesRehani12 күн бұрын
Wewe ni mwanaume kabisa hupindishi maneno safi
@stephenmelita349312 күн бұрын
Kenya mnajichukia
@MosesBarasa-ks8eb8 күн бұрын
That's true bro wakenya tuwacheni kiki
@EdwinBonta10 күн бұрын
Safi kaka ❤🎉
@rahmarajab36887 күн бұрын
Thank you bro!!!
@greatfilmsproduction254811 күн бұрын
Another wise man in my country ❤
@shadiwaigwa923012 күн бұрын
Leo umeongea fact
@khalidallynganzojr167611 күн бұрын
Big up brother. No more words. Kenya and Tanzania are not rivals but brothers. Tupendane na tuheshimiane na sio kuita wimbo uliomshirikisha Rayyvan TAKATAKA. Imeniumiza sana kama Mtanzania na mpumbavu mmoja hawezi kuondoa upendo wangu kwa Wakenya. We need people like you who think positively
@modenasayi11 күн бұрын
Juongelee wewe mwenyewe Tanzanians and Kenyans are not brothers. Tanzania isn’t related with these tribalist hoes.
@Zaqkashimoto12 күн бұрын
Huyu naye ache ujinga Ati muziki iliisha Kenya... Am proud of my luhya musicians.....😂
@latifamohammed6112 күн бұрын
Wakenya wengi wanaumia kwa mafanikio ya Tanzania na watasubir sana hawawezi kushindana na watanzania maana wako juuu😂😂
@RoroMessy10 күн бұрын
Proud of luhya musicians too❤
@Amanofpeople-p5t10 күн бұрын
Kuwa proud sio kuwa mziki aijaisha, reality z different to imagination, Nakuelewa but elewa kuwa u proud wa kitu haimaanish kusapot na ujinga
@Zaqkashimoto9 күн бұрын
@@latifamohammed61 Hamna pesa - nyinyi ni wafanya kazi wetu. We have a lot of money
@seneu.212812 күн бұрын
Gaucho uko na akili nyingi sana
@JohnKamugisha-b3y12 күн бұрын
Well said Bro🙏🙏
@adlyforcehamisi583311 күн бұрын
Umesema kitu bt ukaharibu pia .. hierarchy is something important in any ceremony or any event that requires it...willy paul ako right and being kenyan he must be respected on his motherland its not about the kind of songs,,, lifestyle,,i mean basing on the topic matter willy is right and diamond should respect kenya....rem kenya n home and nobody can bull us on our soil....nkt!
@khamisissa25210 күн бұрын
But og is higher than willy
@janefadhili838410 күн бұрын
Yes bro mwambie ukweli huyo mtu wenu Diamond ni mwanamziki bora kuliko yeye huyo wiiy Paul atulie aendelee kujifunza kwa Diamond
@IRENEIKWAP11 күн бұрын
Kweraaaaaa politics iliwashinda sasa mumerudi music😂😂😂😂😂😂😂
@gasparlubaga58667 күн бұрын
Huyu jamaa anapoint sana
@ShabanSef11 күн бұрын
Kweli kaka unajua sana from tz
@wilsoncrespo65449 күн бұрын
❤❤❤
@andreaskiema6537 күн бұрын
Wise man gaucho
@ASTONVILLA_25412 күн бұрын
Willy alikua kwa ratiba lakini alikua ananyimwa nafasi,kupanda kwenye steji hapo ndio mambo ilileta shida.
@pajokakasasa6 күн бұрын
upo sawa kaka
@herrwin.9 күн бұрын
watu kama hawa kwanii hatuwafanyi viongozi, akili kubwa sanaaa
@JuliusNzeve11 күн бұрын
Hajielewi huyu Gaucho
@eventelias356610 күн бұрын
Mziki wa Kenya ulikuwa mkubwa sana yaan ilikuwa msanii wa Tanzania apate collabo na msanii wa Kenya ilikuwa bonge la story those days za kina Prezoo,Necessary noise,Bamboo,Redson,Nyashinski,Juliana ooh those days
@tevintevin625411 күн бұрын
Umeongea ukweliii tupuuuu
@Eddylwaga2 күн бұрын
❤
@MeshiliTemba11 күн бұрын
Nimempenda huyu baba
@MohamedAbdirahman-c4u5 күн бұрын
Brother pongezi sana kwa maneno yako ya busara. Wily pozee ametuaibisha sisi wakenya
@nanatiti200611 күн бұрын
Kenya first. Gaucho ni msaliti. Na wenda wanakaa chinii na wanamskiliza.
@mwamakaassely226011 күн бұрын
Fool
@nanatiti200611 күн бұрын
@@mwamakaassely2260 Kama ww.
@nanatiti200610 күн бұрын
@mwamakaassely2260 Ni sawa, Kenya 1st.
@stephenmelita349312 күн бұрын
Kwani diamond ako na ngoma ya message
@TibihikaGerad12 күн бұрын
Usitumie chuki mziki sio siasa kwamba muongo na mkwel wote wanaweza kushida kwenye mambo ya mziki kama ni elimu bas Simba ni chuo kikuu na wili p ni baby care😂😂
@LucasDando-ru8lg11 күн бұрын
Brother hakili nyingi sana
@errydeo886510 күн бұрын
Well said
@lysonmussa924711 күн бұрын
Real fact bro
@jameshosea773111 күн бұрын
Nimekuelewa sana mzaz
@J4UPro11 күн бұрын
Umeongea vizuri sana
@sampachino518411 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ I lliovre h my bro
@mobilespecialschool421611 күн бұрын
Kuna wakenya very intelligent like this man, wanajielewa mambo ya chuki ni ushamba TZ tuna makabila not less than 120 but ukija huezi jua we are one thing. Mtu kama huyu AMEISHAELIMIKA if kenya will have many people like this man, mtakua mbali no country itawakuta in everything cause mnacourage ya kufanya vitu unlike sisi wa TZ.
@mustafarajabu400512 күн бұрын
Ww kweli rais. Kenya kumbe wanaume waukweli wapo.ww utakuwa na iQ kubwa sna,safi waelimishe mtaira hao wasiojua kitu.mziki unaitaji pesa,tumia pesa ufanye mziki mzuri uyaitwa mpka u s a,nyinyi amtumii pesa mnataka kupata pesa,mwisho mtageuzwa wanawake kwakupenda pesa ya bule
@edwinfernandes88818 күн бұрын
Verified
@wilbrodwemaonlinetv837912 күн бұрын
That's fact bro tell your musicians to work hard and not to make unnecessary prejudices
@josephbrooklyn409711 күн бұрын
Point kabisa namkumbuka nyota ndogo wa mombasa alikuwa anaimba nyimbo nzuri
@amarionnyanza795010 күн бұрын
smart man
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg11 күн бұрын
Una akiri sana
@SaidyIbrahim-f4h11 күн бұрын
Yani huyu jamaa Hana mpizani nimekubali ulicho sema safi
@Sara-iz2nr12 күн бұрын
Baba unasema ukwer ❤❤
@SultanIqbal-qe1kg11 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@billgussy609911 күн бұрын
Kama mtanzania sion Nairobi kama a safe place kutembelea au hata kwenda kwa holiday. Naona kama ni mji umejaa vurugu na hate kwa wageni.....
@WycliffeMagee11 күн бұрын
Presda Gaucho, I SALUTE YOU, waambie ukweli, pata mbili kwa Bill yangu, OUR fellow Kenyan musicians hawana CONTENT, Tanzanians hoyee.
@DaxixSeen12 күн бұрын
Noma❤
@salmamakweta119811 күн бұрын
from Tanzania umeongea fact bro
@SevarinijrChitanda11 күн бұрын
Facts
@jackisonmlaari455611 күн бұрын
Kweli kabsaa man
@sabatoager11 күн бұрын
ni wivu tu inatusumbua but in reality diamond yupo juu ya pozee
@newtonmutua218012 күн бұрын
he just talk the true, willy Paul is just young boy.