Рет қаралды 2,456
Khaa! Huyu JACOB MAGANGA ni KIBOKO, Amwambia MAIGWISYA - "UKILETA USO NAKUFUMUA Kweli, SINA UTANI"
MABONDIA Wote watakaopanda ulingoni katika pambano la 'USIKU WA MABINGWA' Desemba 26, 2023 katika ukumbi wa Ubungo Plaza wakiongozwa na Twaha Kiduku wamekutana na kufanya 'FACEOFF' leo Desemba 24.