Tazama patashika hii ya makocha wa mabondia Selemani Kidunda na Erick Tshimanga Katompa wakati wa kupima uzito mapema Songea.
Пікірлер: 6
@joramkatemana65252 жыл бұрын
Azam TV, huku kwenye Live mnaona ni Bora tuangalie wachambuzi wanavyoongea au ni Bora tuangalie mapambano ya utangulizi? Camera haziwezi kuzungushwa au hizo mechi za utangulizi hazina maana? Nijibu.