No video

KHAAN MBAROUK: WATU wa karibu walisema nimemtoa KAFARA mwanangu, nilipoteza MUELEKEO

  Рет қаралды 22,360

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 76
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 Ай бұрын
Sijuwi kwanini nimeangukia kwahii clip😏 opening yenu imenipa moyo!.. Binti yangu ana lungs 🫁 diseases, she is using oxygen! Naomba dua zenu ili Mwenyenzi Mungu ampe shifaa, arudishiwe hali yake ya kawaida🤲 pia tuwaombee wagonjwa wote na wenye shida mbalimbali🤲
@ibumajaamillah3195
@ibumajaamillah3195 Ай бұрын
Pole sana sana Dear Allah atampanya Insha’Allah
@Madam255
@Madam255 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi afya. Yake irejee
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 Ай бұрын
@@Madam255 amin ya'arab 🤲
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 Ай бұрын
@@ibumajaamillah3195 amin ya'arab 🤲
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 Ай бұрын
@@Madam255 amin ya'arab 🤲
@user-jb2hw5zz6l
@user-jb2hw5zz6l Ай бұрын
Asanteni sana niukweili kabisa wanangu tumshukuru mungu kila siku
@EmanueliShirima
@EmanueliShirima Ай бұрын
Kbs best
@MagrethCharles-ne2ts
@MagrethCharles-ne2ts Ай бұрын
Jamani hata mimi kaka Haris Kapigaa tbt Prays power nikiwa na ndoto ya kuja mbele alikuwaa na msemoo, "ni marufukuu kukataa tamaa"..mpaka nikatoboa leo naongelea dream country kikweli mimi binafsi natamani nimuonee kwa shuhudaa na shukrani !😅😅🎉❤hopeful soon!
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 Ай бұрын
Kweli hii ni school of thought. Asanteni sana 🙏
@user-kt3bb7mr4e
@user-kt3bb7mr4e Ай бұрын
Hili chimbo nimelikubali Sana na sitaacha kufatilia,mungu awatunze mzidi kutujenga,asante sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Shukran Sana kwa darasa zuli nimeondoka na kitu kizito hapa
@sisifaty9183
@sisifaty9183 17 күн бұрын
Mungu Awabariki mmenikumbusha mengi sana ila muelewe wanaadamu hawana jema .nimefisha binti wangu wawili na ninaishi inje ya inchi wamefariki niwatu wazima .ila kunawao nisema nimewatowa kafara.ila Mungu ndo Anajuwa .na rizki inakuja kwa wakati
@surgeondoctor16
@surgeondoctor16 Ай бұрын
Ukifanikiwa hakikisha walio kuzunguka nao wanaishi vizuri~chuki ni mbaya sana ikianzia nyumbani
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 Ай бұрын
Daah aisee huyu khaan Mbaruku ni mtu tatu, sio mtu na nusu.
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe Ай бұрын
Kaka Henry kiukweli mtaji mkubwa ni afya njema🎉
@rae4132
@rae4132 Ай бұрын
Hahahha huyu mbaruk kanikosha asee kwei kweli . Hawa wasio weza kukemea na kuwapa haris sokomoko la madawq ya kulevya ili apone. Aseee umetumia semo muzuri sana na nitautumia kwenye maisha yangu ahsante
@Njeriii536
@Njeriii536 Ай бұрын
Khan kaongea vizuri mno
@muna1165
@muna1165 Ай бұрын
Khan una macho mazuri sana mashallah ❤❤❤❤
@Keyjop
@Keyjop Ай бұрын
Much love brother kapiga
@issataslima9846
@issataslima9846 Ай бұрын
Kaka mwinuka TAIFA hili linakutegemea Sana kwa mawazo mazuur Ila tunataka ukweli uuuseme hii kitu sis tunaijuwa, alie ingia ubia na serikali kwa mi situ yet yoote nchi nzima ni Dubai falme, tunajiuliza kwa nini serikali yetu ipate mapato kutooka kwa mtu ambae byeye binafsi Hana mti hata mmoja, labda hujawahi fika Dubai sisi tunaishi Huku
@verroallex9144
@verroallex9144 Ай бұрын
Speak out bro
@halidijuma1884
@halidijuma1884 Ай бұрын
Huyu mwamba anaongea vizuri sana maashaAllah
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 Ай бұрын
Pongezi kwake mbunifu wa hiyo logo ya chimbo, inapendeza hakika. Carbon credit naichukua hii maana binafs ni mdau wa mazngira. Nakiri sikuifahamu ispokua hapa chimbo, ni wazi tunaishi kwa kutegemeana chini ya jua.
@imanimwakinga4934
@imanimwakinga4934 Ай бұрын
Ni mwenyewe Harris kapiga anayeongea ndio mwenye brand yake ya "chimbo school of thought" . Ukienda Facebook andika Harris kapiga then mfuatilie hapo
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Ай бұрын
Jirani yetu pia alifiwa na mtoto baada ya msiba kuisha wakaanza kujenga nyumba nyingine pemben ya nyumba yao walikua na nyumba mbili na hio walikua wanajenga ya 3 loooh watu wakaanzkusema kamtoa kafara mtoto wake yani watu huoenda kujaji maisha ya watu bila kujua mtu anapitia maumivu kiasi gani yule mama alikua analia kila mara juu ya mtoto wake na alifariki mtoto akiwa na mwaka mmoja na na miez nilikua na mazoea naye sana na mara nyingi tukikaa anamuongelea mtoto wake mpaka analia coz mi nilikua siishi nyumban nalipoenda alikua ameshafiwa km mwaka ushapita lkn bafo alikua ananihadithia huku analia jiansi mtoto wake alivyokufa kila akikumbuka analia maskin
@fanityubu
@fanityubu Ай бұрын
Dakika ya 29 anapozungumzia kuhusu kupona maumivu ni maneno aliyoyaongea Masoud Kipanya
@user-xr5xx7bq3p
@user-xr5xx7bq3p Ай бұрын
Kweri❤
@AhmedyMahmudu
@AhmedyMahmudu Ай бұрын
MUNGU AJALIE WANAUME WOTE AMANI YA MOYO
@successplatformtv1823
@successplatformtv1823 Ай бұрын
Hustle harder, hustle smarter
@FlavianMwalyego-fj1nl
@FlavianMwalyego-fj1nl Ай бұрын
Chakula Cha Ubongo💐💪
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Ай бұрын
Mungu hakimu wa haki
@spreadlove5300
@spreadlove5300 17 күн бұрын
Hiyo ni biashara au rewards sasa
@waltermichael9429
@waltermichael9429 Ай бұрын
Jamaa very Genius an..... Anaongea tofauti na nyie Mahost ndo maana mshikaji anadeals nyingi
@ismaililuhunga7254
@ismaililuhunga7254 Ай бұрын
It should be read "School Of Thoughts" the word Thought should be in plurality and not in singularity.
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 10 күн бұрын
Hapo ni Bilion 30 au Million 30?
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx Ай бұрын
Hii nikwl school
@Igauf3
@Igauf3 29 күн бұрын
Kama hela zitakuwa kwenye mikono sahihi. Mengi yatafanyika. Tunza mazingira.
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 Ай бұрын
chimbo mko moto sna 😂😂🔥🔥🔥🇧🇮
@charlesolomi9514
@charlesolomi9514 21 күн бұрын
Waandishi mnaongea sana😢
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi Ай бұрын
Hyo ya mwsho I real ime ni tach Kuna jamaa alinisalit 😢😢😢
@jumahamiss6522
@jumahamiss6522 Ай бұрын
Poleee dadaaa
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 Ай бұрын
Hakun mungu bana acheni hizo story
@jumakasim8784
@jumakasim8784 Ай бұрын
Tuamini ndugu yangu changamoto zipo na tunaishi nazo
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Ай бұрын
👁️👁️🇫🇮🤝
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f Ай бұрын
Leo nimemwona Henry Mwinuka namsikilizaga çlouds kwenye terminal
@ZahraZahra-wy6gc
@ZahraZahra-wy6gc Ай бұрын
❤❤❤❤
@juniorshilinde4624
@juniorshilinde4624 Ай бұрын
Mahost wanaongea san, stick to the interview mnatuchosh.....dk 2 za mwnz
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Ай бұрын
kuanzia dakk 1 ad dakk 23 cjaona shot ya wide.. yaan mwanz mwsho ni closeup.. tunajuaje kam wte wamekaa sehm moja
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi Ай бұрын
Et mke wangu kampoteza mtoto Ila mm nimepoteza mtoto na hela goddammit
@sofiasimbasimbasofia2420
@sofiasimbasimbasofia2420 Ай бұрын
Huyo mwenye madevu anazungumza kama mboso saut yake
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 Ай бұрын
Halafu ni pasta huyo
@josephjosephat4792
@josephjosephat4792 Ай бұрын
Watu mna taarfa kwelkwel yan​@@adrianomaulaga1599
@manlizertz9558
@manlizertz9558 Ай бұрын
😂😂😂😂ila wewe
@Keyjop
@Keyjop Ай бұрын
Aisee😅
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 71 МЛН
Salama Na Masoud Kipanya
52:05
YahStoneTown
Рет қаралды 18 М.
FULL INTERVIEW MKE WA MZEE YUSUPH,KIFO CHA MKE MDOGO,KUACHA MZIKI
47:22
ReyTox Pro Network
Рет қаралды 40 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 97 М.