Tira kwenye maisha Kuna vitu vuwili muhimu Sana pesa na mapenzi ndio maana na sisitiza hii mada inawagusa watu wengi sana sana! Mmefikiria sana Sana cos watu wengi wanaumia sana na kuumizwa sana kwenye mahusiano,
@HalimaHalima-id2cb2 жыл бұрын
Mashallah Khan hongera sana stori nzuri sana mapenzi yanaumiza sana
@davidmbwambo774 Жыл бұрын
Jamani hiki kipindi ni muhimu sana tunaomba muda wa kutosha kujadili hili swala ni pana Sana na linahitaji ufafanuzi wa kutosha Kwa Wana wake na Wana ume wavulana Kwa wasichana,
@fatimajuma33302 жыл бұрын
Kumbe mtu mwenyewe ndo huyu mashallah anasauti kama malaika
@yusuphmpenja32882 жыл бұрын
Blo hongera sana kwa hatua uliopiga napenda kaziako yako unayoifanya siuti hii naitafuta story book sikujua ni wewe kumbe ulikua jirani yangu kwa azyzy ali chapa kazi