KHADIJA KOPA AWAFUNDA WANANDOA WENYE TABIA HIZI -''KACHUMBARI ZA MAHABA'' | KATIKATI ya KOKO

  Рет қаралды 89,385

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 173
@globaltv_online
@globaltv_online 2 жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 жыл бұрын
Huno ukoko ama utandu mm kila sku najiuliza una maana gani kwa mwanamume
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 2 жыл бұрын
Nahisi ungechukuwa muda huu pia ukamfunda na zuchu kuhusu utamaduni na utu wa mwanamke sio kutembea na vichupi tumbo na mapaja wazi mie nakupenda sana ila zuchu anakushushia heshima yako your best mama just mfundishe zuchu ajitabuwe pia
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe 2 жыл бұрын
😂😂😂
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 жыл бұрын
Sawa kabisa
@imranmohammed2073
@imranmohammed2073 2 жыл бұрын
waweza kuwa mwalimu mzuri tu Na mtoto wako asiwe wa kwanza darasani
@mvugwamanajeem5109
@mvugwamanajeem5109 2 жыл бұрын
@@imranmohammed2073 aminaaaaaaaaaa
@ashuu7772
@ashuu7772 2 жыл бұрын
Anasikia na na anaona
@muzAchz
@muzAchz 4 ай бұрын
Hii channel imenifanya nitake kutafuta mke mwenye asli ya Kiswahili. I lived in mombasa and loved the culture and women. This channel has made me feel like this is how i would want to be in a marriage. Thank you ladies 🎉 Keep em coming
@mouzaseif1099
@mouzaseif1099 2 жыл бұрын
Mashallah dakhadija pata mda ufunze na zuchu hizo tabia na yy anazo nayy adabu na maadili yakislam kashayasahau kabisaa mfundishe na yy arudi kwenye maadili yakislam
@saumusulaiman4742
@saumusulaiman4742 Жыл бұрын
Ahsantee Studio .Mama JJ. Mubarikiwe sana Mutupatie no zanu ili tupate mafundisho zaidi❤🙏🥰
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 2 жыл бұрын
Nina 💯 % bi Khadija anamuasa mwanawe Zuchu tuombe salama na watoto wetu hii new generation hii ni mtihani tuu.
@ffed1876
@ffed1876 2 жыл бұрын
Asante bi Khadija nakupenda na nitayafanyia kazi yote mafunzo ulotupa❤🙏
@mweshaosako2011
@mweshaosako2011 2 жыл бұрын
Waouhhh, bi khadija is so wise, I just fall in love with her ❤❤❤❤❤❤❤❤
@Hemeddymeddy
@Hemeddymeddy 2 жыл бұрын
MashaAllah..dada Khadija umenena mambo mazuri..mafundisho kamili mabinti zetu yatieni akilini..big up dada Khadija
@SaumuLuvuno-s6w
@SaumuLuvuno-s6w Жыл бұрын
Hebu acheni kumlaumu ni hadija, coz kungoka Kwa mwana ni Allah kutaka. Kwani hamjaona baba pastor mwana mlevi mbwa? Kwahyo tufateni anayotufundisha sio anayopitia ktk maisha yake kama mzazi.... Love you big mama mipasho🥰
@nahyaahmedy1382
@nahyaahmedy1382 10 ай бұрын
Asante Bi khadija nimeelimika❤
@vipvip-zv7xv
@vipvip-zv7xv 2 жыл бұрын
Shuqran jazzilah khery..muzid kutuelimish inshallah darsa zuri lenye mafunzo
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 2 жыл бұрын
Asante sana! Kipindi kizuri! Nawa fuatieni nikiwa 🇨🇦 ukumbusho mzuri kwa wana ndoa pia👏👏👌
@lailati6980
@lailati6980 10 ай бұрын
Asanteni kwa mafunzo nitayafanyia kazi inshaallah
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 2 жыл бұрын
Jamani jamani, sisi wote ni wazazi tusimlaumu bure mama wa watu, hakuna mzazi asiyemfundisha mtoto wake tabia njema, maadili mazuri, heshima
@Siti_maroneit
@Siti_maroneit 2 жыл бұрын
Mimì ya Sasà hivi aisikii Bana wewe ukiongea nae anakuambia najua mama najua mama jmn unaongeaaaa
@LutfiaMaulid
@LutfiaMaulid Жыл бұрын
Sahihi❤
@AmusedDenimJacket-pf2ni
@AmusedDenimJacket-pf2ni Жыл бұрын
Mmwa​@@Siti_maroneit
@magretherman9449
@magretherman9449 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana bi Hadija
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 2 жыл бұрын
Maasha Allah mama zetu...shukran Allah awape afya muendelee kutupa madini
@sabrinahamisi7544
@sabrinahamisi7544 2 жыл бұрын
👍👍👍
@hayudahbinthamsa9587
@hayudahbinthamsa9587 2 жыл бұрын
Huyo ni kopa huyo😁😁😁🥰🥰🥰lov you momaa
@hongerageorge3160
@hongerageorge3160 2 жыл бұрын
Ahsante mama kwa elimu binafsi nimejifunza mengi
@hibaoman767
@hibaoman767 2 жыл бұрын
Dunia ya siku hizi mungu atuepushie ibilisi zilizotawala mmmhh
@khadijakinyala9407
@khadijakinyala9407 2 жыл бұрын
Safi sana mama ,afundisho mazuriii ,
@zuhulahaluna110
@zuhulahaluna110 2 жыл бұрын
Maashaalla ningependa pia umueke zuchu chin na umfunde kwa sana mam hadija tumia muda huu kumfunza na zuchu pia asitembee nusu uchi na mm anaheshima yake anakushusha heshima yako mama
@Siti_maroneit
@Siti_maroneit 2 жыл бұрын
HILI somo zuri liwepo basi kwa wiki Mara 1
@Siti_maroneit
@Siti_maroneit 2 жыл бұрын
Mama hadija kasema kweli wanaume mchepuko mfanye kwa siri muwastiri wake zenu
@Siti_maroneit
@Siti_maroneit 2 жыл бұрын
Woow nimependa hiyo ya kufundishana mahaba Sio kumsema nje
@adronicamushumali866
@adronicamushumali866 2 жыл бұрын
Umenishibisha mama ahsante
@khadijazungu8627
@khadijazungu8627 2 жыл бұрын
Bi khadija ktk mafunzo ya Asili mwanamme halishwi makoko bali mwanamme anakula matandu
@iradukundamike5370
@iradukundamike5370 2 жыл бұрын
Asante tumejifunza vingi khadja kama unasoma komenti tunaomba urudiye kwanyaba ya mashabiki zako tafadhali😍😍😍😍
@mwanakonyaume3611
@mwanakonyaume3611 2 жыл бұрын
Mafunzo mazr nimeyapenda
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 2 жыл бұрын
Dini peke yake ndio msingi wa maisha
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 жыл бұрын
Kabisa👍
@aishamamii2942
@aishamamii2942 2 жыл бұрын
Swadakta
@sakinamursal3572
@sakinamursal3572 Жыл бұрын
Asalam aleykum nushukuru sana sio kwa wachanga hata sie wazee
@fatemafatema4780
@fatemafatema4780 2 жыл бұрын
Ahsante sana mama khadija kwa mafundisho mazuri.mwacheni mama wa watu yeye anatowa mafunzo kwako wewe unashauri yako kufata au laah usitake kujuwa ya ndani kuhusu mwanawe anamfundisha au hamfundishi hiyo ni siri ya ndani mtu na mwanawe .pilipili ale mwengine wewe inakuwashia nini?
@nigamo9645
@nigamo9645 2 жыл бұрын
Swadakta
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 Жыл бұрын
Good point
@martinehussein7261
@martinehussein7261 2 жыл бұрын
Waoooh umenena mama
@umiy1971
@umiy1971 Жыл бұрын
HAKUNA MSHINDI WA KULEA HAPA WENGI WETU TUNAJITAHIDI NA KUOMBA MUNGU TU Mlaumuni huyu mama Kwa Tabia za kwake mwenyewe Kwa mwanamke yoyote alozaa anawajua watoto walivyo hata umfunze vipi akiamua afanye tofauti sio Kosa la mzazi .
@juwairiyamambo
@juwairiyamambo Жыл бұрын
Ni utumwa😊
@jumakajembe2478
@jumakajembe2478 2 жыл бұрын
Ahsante mama
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
nimeipenda hii asanteni mama zetu
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 2 жыл бұрын
Maneno yako yapo kwenye mstari mama. Nakupenda sana
@MonnaPonda
@MonnaPonda 6 ай бұрын
Yaani hicho kipindi nakipenda sana
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Waghalaikum salamu ninatega sikio nipate kujifuza
@MonnaPonda
@MonnaPonda 6 ай бұрын
Najifunza mengi sana nawashukuru sana jamani
@hayfaswaleh8048
@hayfaswaleh8048 2 жыл бұрын
Jamani mbona bi khadija nampenda namuona kama damu yangu yakisomale
@omanigaming6430
@omanigaming6430 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@salminkhatib2211
@salminkhatib2211 2 жыл бұрын
Maneno mazima
@nurukwekwe7633
@nurukwekwe7633 2 жыл бұрын
Manenoo kuntu mashaAllah
@azizamohammad5763
@azizamohammad5763 2 жыл бұрын
Santha tuambieniii wakuskia tutaskia wengine wasiwape shida
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 2 жыл бұрын
nakumbuka kungwi wangu pia hakunifunda vizuri aki hata kitambaa cha chumbani hakuniambia nicha kazi gani nikajua badae
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 Kwaiyo kitambaa cha chumban kazi yake nini sijasikiliza adi mwisho sina bando la kutosha
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 2 жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 hajasema hapo nimetoa tu mfano ila sikuambiwa na kungwi wangu waizi tu
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 жыл бұрын
@@rahimalewe2835 ehee ndounambie icho kitmbaa ndo nini? Miye sijaelewa
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Mama asante 😍❤️
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 жыл бұрын
Nimeipenda
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 Жыл бұрын
Mmm
@deboraadolfu4011
@deboraadolfu4011 2 жыл бұрын
Mm nashidwa kuelewa mama mwanao kweli amekushinda sema neno mama kwa mwanao unazalilika halafu ni watu wa Zanziba kule mbona watu wanajisitiri sana mwanao inakuwaje
@halimawajibran5996
@halimawajibran5996 2 жыл бұрын
Unakuta mwanaume anakupa kila kitu lakini suala la tendo la ndoa ndio kasheshe jamani wanaume wapewe somo mwanamke haendi kwa mume kisa chakula hata huduma nyengn ni haki yake
@mwanahawasaid1561
@mwanahawasaid1561 2 жыл бұрын
Hapo kwenye masomo sasa ck hiz imekua fashen mtu anapewa usomo kwa ajil akapeleka kabat au sanduku basi na c kumpa neno huyo mwali aliyepewa.
@Bigmamii03
@Bigmamii03 2 жыл бұрын
❤❤
@jenipherishengoma1239
@jenipherishengoma1239 Жыл бұрын
Wagonjwa wa akili tupo weeee😢ngi mamaangu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Ww mwenyewe unataka ufundwe
@sharifaabdul4850
@sharifaabdul4850 2 жыл бұрын
Mwanaume na yeye afanye majukumu yake kama mume basi ya kutunza familia ili na sisi wanawake tupate nguvu ya kumfanyia hayo yote lakini unakuta mwanaume mwenyewe hovyo, sasa unapataje hiyo nguvu ya kumpepea sijui kumlisha sijui kumuwekea maji bafuni mfyuuuuu atajijua mwenyewe bwana.
@luluwillium1364
@luluwillium1364 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@kirapadiherbalstv9953
@kirapadiherbalstv9953 2 жыл бұрын
🤔
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 2 жыл бұрын
Hapo kwenye umbo la kiafrika nimeona hata nchi za kiarabu sisi waafrika haturuhusiwi kuvaa mavazi ya kiafrika hata kanga kujifunga ila wenzetu wahindi waphilipino wanavaa masuruali na wala hawasemwi
@raybby9291
@raybby9291 2 жыл бұрын
Tena unavalishwa linguo huonekani tako wala kiuno kiko wapi
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 жыл бұрын
Yaan ni shida ukichunguza zaid ni ss wa tz lkn wa kenya na uganda wanavaa sulual hawasemwi
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 2 жыл бұрын
@@raybby9291 umeonaee 😂😂😂 lakini hawa wafanyakazi weupe wala hawana presha nao
@raybby9291
@raybby9291 2 жыл бұрын
@@batulimabewa6953 si wanajua hawana shepu ndo maana hawapendi sana waafrika sababu ya shepu
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 2 жыл бұрын
@@zainabwage4658 Wengine hawawasikilizi wanavaa wapendavyo ili mradi kazi zako anafanya.
@nasramussa4053
@nasramussa4053 2 жыл бұрын
Ila nashangaa zuchu kukuletea daimond na nd kwanza ukampa sapoti je useme zuchu hana malezi
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 2 жыл бұрын
Wagonjwa wa akili tugonge like🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@halimawajibran5996
@halimawajibran5996 2 жыл бұрын
Wanawake tunachepuka sababu waume zetu hawatutimizii tendo la ndoa unashikwa na hamu na mumeo mpka umuite mpk umlazimishe Sasa hiyo ni haki kweli jamni
@margretben6920
@margretben6920 2 жыл бұрын
Nimependa alivyomalizia nikatamani aurudie huo wimbo kwa manufaa yetu sie.
@dhdbhdvdjh4914
@dhdbhdvdjh4914 2 жыл бұрын
Ungehanza kwako kwanza ivi mwanawo umuhonagi lakini siyo kosa lako mutoto wasasa asikii wala awoni
@neemafatu471
@neemafatu471 2 жыл бұрын
Ungekuwa hivi kwa mwanao, nahisi kufunda kwako kungekuwa na mantiki kwa kweli. Sasa Binti yetu zuchu ndio huyo tunayemuona. Majukwaani . Haya! vipi Sasa kungwi.! ILA MAFUNDISHO BORA NI MAFUNDISHO YA DINI PEKEE.NDIO MSINGI WA MAISHA.
@salmarawahy3914
@salmarawahy3914 2 жыл бұрын
Ungemfunda mwanao wa kike anavaa uchi ana fanya vitu havifai kwenye hadhara ya watu aibu yako ndo yetu sote waafrika wla ulikua hufai kukaa apo ww katika icho kipindi
@taseleli9181
@taseleli9181 2 жыл бұрын
Kwa nafasi yake ametuelimisha wengi mimi nimependa hata kama Zuchu hayuko sawa anaweza elekezwa lakini asimsikilize mama.
@yalebgalbe2163
@yalebgalbe2163 2 жыл бұрын
Hafai kabsa kuka,,,!
@elizabethtibenda7324
@elizabethtibenda7324 2 жыл бұрын
Unaeza mfunda mtoto na hakusikii, ulimwengu utamfunda, wacha wengine tusikilize, tunazaa watoto wanakengeuka
@hadijasharifu1463
@hadijasharifu1463 2 жыл бұрын
Duh sikuhuz wanawake nawanaume wagonjwa w akili
@nurabigirimana728
@nurabigirimana728 2 жыл бұрын
Nlkweli
@TimaNassor
@TimaNassor 2 ай бұрын
Ungefanya lamaana sana ungetumia mwingi kumfunda zuhra,(zuchu) maana hana maadil wa adabu wala huo sio utamaduni
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Hivyo mkiwapa sifa w'me hawatosheki ndio wanazidi na ujinga wenu. Km hatosheki si aoe yann kuzini??? Allah ameeka uhuru kwa m'me km hatosheki aongeze na m'ke km hatoshelezwi aombe talaka....nasio wazini.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Au mnafikiri w'ke wote nao watosheka??? Msiwape sifa wakazidi uzinifu, uzinifu si mzuri na unaondoa heshima na stara kwa m'ke na m'me na sio m'ke peke ake km mnavyoona.
@Worldunite
@Worldunite 9 ай бұрын
Mwalimu wa kufundisha vijana mambo ya mahusiano na mapenzi lkn unafeli wapi hasa ukiangalia mambo anayofanya mwanao zuxhu
@dhdbhdvdjh4914
@dhdbhdvdjh4914 2 жыл бұрын
Kazi yakumuruga tu diamond kawa kama zizi kwadawa diamond uyu ninayo mujuwa ange pendana nauyo mwanawo kama sio dawa
@sistersade9039
@sistersade9039 2 жыл бұрын
Si kila anofunzwa anafata alichofunzwa, na hakuna mzazi anataka mwanae apotoke. Kwanza Jitizame wewe mwenyewe kwani unayafata hayo yote yalozungumzwa hapo? kabla hujamnyooshea kidole mwenzio jitizame wewe mwenyewe kwanza kama umekamilika. Ifike wakati ushukuru kwa elimu inotolewa ujifunze, sio unatafuta lakumkosoa anokufunza. Kila mtu ana magumu yake anoyapitia.
@kidekeoveso3845
@kidekeoveso3845 2 жыл бұрын
Mm
@kidekeoveso3845
@kidekeoveso3845 2 жыл бұрын
Anapigwa was njuma
@bisurajuma8580
@bisurajuma8580 2 жыл бұрын
mbona unamuachia zuchu anatembea uchi mtoto wakike tena mtoto wakiisilamu loo hatakama nihuo usani usanii gani atuletea aibu tu wanawake sasa huo msundo wako msunde mwanao kwanza tutakuona wamaana mama
@shamsaog2998
@shamsaog2998 2 жыл бұрын
Muacheni mama. Wa watu kwani huyo zuchu ni mtoto kusema ashinddwe kujiongoza
@nigamo9645
@nigamo9645 2 жыл бұрын
Hapo chacha
@magretndengwa1983
@magretndengwa1983 2 жыл бұрын
Hahaha kungwi kama anajua kufunda kweli mbona aliwachwa
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 жыл бұрын
Kuumbe. Basi mfundishe na mwanao Zuchu asitambe kwa kujisifia na kuvaa uchi kwa Naseeb.
@abdulrahimsalim5333
@abdulrahimsalim5333 2 жыл бұрын
Hata huyo bi khadija anataka kufunda kwani yeye mwenyewe hayuko ktk ndoa
@neemamzande8547
@neemamzande8547 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fatumasaid9189
@fatumasaid9189 2 жыл бұрын
Mbona tangu lin
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Mafundishe mwanao kwanza huwenda uchi kama kima
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 жыл бұрын
Taratibu uduku waweza kua mwalimu mzuuuri na mwanao akawa wa mwisho katika tarasa zima
@nailaty
@nailaty 2 жыл бұрын
Huyo hadija mwenyewe ana talaka saba
@kirapadiherbalstv9953
@kirapadiherbalstv9953 2 жыл бұрын
Hahaaaaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Wewe mwenyewe unaachika kila siku utamfunda nani
@rehemaabdallah2181
@rehemaabdallah2181 2 жыл бұрын
Mavazi hayo kwani kaanza Zuchu ?au imekua kioja kwake,hao wengine wapo wapi ,
@salmazaidalabrawi3723
@salmazaidalabrawi3723 2 жыл бұрын
Mbona meanao anavaa uchi na mabûsa hadharani hiyo Sio sifa Wala ukhodari asome Tena Quran apate kujua maadil ya kiislam
@hibaoman767
@hibaoman767 2 жыл бұрын
Hivi zuchu hajaskia haya mafunzo au nini pili hajui kama ana mdhalilisha mama yake kuvaa uchi na kushikwa shikwa na diamond mbele ya umati wa watu mungu awastiri jamani
@rahmamollely5296
@rahmamollely5296 2 жыл бұрын
Ukisikia nyani haon kundule ndio huyu mama
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 жыл бұрын
Wee mwenyewe hukai na mume. Ovyoooo
@halimawajibran5996
@halimawajibran5996 2 жыл бұрын
SoMo Kama SoMo upo vizuri bi Khadija Ila jamani naomba SoMo hili liwafikie waume Wa Sasa hivi hawajui mapenzi hawajui nini maan ya mapenzi unayomfanyia unawafanyia lkn wao wanaona tabu wamxumbua na wanajua mwanamke ndio amuangalie yy kwa sekta hiy ya mapenzi yeye hayupo
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 2 жыл бұрын
Zuchu amechekecha???? 😂😂
@teggertegger3669
@teggertegger3669 2 жыл бұрын
Zuchu umemskia bimkubwa, hutaki mgaga umtulize simba
@prisikachande
@prisikachande 2 жыл бұрын
kweli na ukiangalia dini zote azitakiwi mwanamke kukaa utupu kama zuchu
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 2 жыл бұрын
Mhh
@rehemaabdallah2181
@rehemaabdallah2181 2 жыл бұрын
ZUCHU anajielewa sio chizi, Wala havuti,
@ndayushimiyerungarunga8712
@ndayushimiyerungarunga8712 2 жыл бұрын
😆😆😆😆
@rukiasalum9116
@rukiasalum9116 2 жыл бұрын
Wakufunda mwenziwe yuko wapi kweli maajabu ya ulimwengu
@claudiabakisa8052
@claudiabakisa8052 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅
@taseleli9181
@taseleli9181 2 жыл бұрын
Bi Khadija kaongea vizuri sana na somo limeeleweka vema
@yalebgalbe2163
@yalebgalbe2163 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maajabu kweli.
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl Жыл бұрын
Naona ujinga tu mwanao zuchu akaa uchi mtandaon na ngoko zake mbona humfundish yule kibwengo wako
@issabakar8470
@issabakar8470 2 жыл бұрын
Ungemfunza mwanao kwanza madaili mazur maana ww ndio utaenda kuwa masulia juu ya malez ya mtoto wako zuchu
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 2 жыл бұрын
Underfunded mwanao Zuchu anayekaa uchi Miele ya dunia
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 2 жыл бұрын
Zuchu kukaa uchi sio kama anapenda ni kazi yake ndio inayo muhusu akae uchi
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 2 жыл бұрын
achana na zuchu!!!! diamond amekwama hapo tangu December mpaka Sasa!!!!! ona mkenya wetu alikaa miezi 10 huyo akakimbilia Nairobi
@loserianmollel5400
@loserianmollel5400 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
Misk ya Roho | Ndoa | Sheikh juma Amir
1:02:36
islamicftz
Рет қаралды 402 М.
MKE NI MPISHI JIKONI NA MALAYA CHUMBANI
19:24
SABRINA WANGECI
Рет қаралды 101 М.
MAMA WABA PAPE  YARAKIJIJWE,IREBERE URASEKA IMBAVU ZISHYEEEEEE
41:48
Nataka mume, sipendi dhambi - Khadija Kopa
8:14
EastAfricaTV
Рет қаралды 90 М.
wanaume mnaojichubuwaaaa
3:29
mama love kungwi official
Рет қаралды 4,3 М.
Mshayasema Kimeniathiri Nini
17:00
Junior_playz
Рет қаралды 1,2 МЛН