Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@nargishans24318 ай бұрын
Do long interview jamani kwa watu kama hao mwenye mambo mazuri❤❤❤❤
@ZuhuraAthuman-u2iАй бұрын
Majirani mpoooooo,,,,🤣🤣🤣Bi Subira upo vizuri Mashaallah...kweli bi subira mtaka sifa🤣🤣🤣
@PrincessMaryam-c1rАй бұрын
😂😂😂😂😂😂Ety bisubira mtaka sifa
@rahmaeluzs31612 ай бұрын
MashaAllah ubarikiwe sana kwa kutuelimisha bibi etu Nimekupenda
@HelloKwt-xl1ls6 ай бұрын
Mansha allah tabataka arahman nime mpenda bure bibi yang allah akuhifadhi insha allah sijuwi nitampate bi subira AMIDA ISMAIL KUTOKA BURUNDI 🇧🇮
@fatmaally72528 ай бұрын
Fafi sana mambo kwa tungo❤❤❤
@IgiranezaCynthia-p2hАй бұрын
Kwr asante sana
@aishavogelmann50217 ай бұрын
Santaaaaa hongera
@BimHamdi6 ай бұрын
Mama yupo vizuri mashallah
@MwanasheheKibiga-o3e5 ай бұрын
Mashaallah
@rukiaussi27647 ай бұрын
Kipindi kizur sana cjaolew lakin nimekuw nikifatilia tok zaman😘 big up 👍
@IbrahimMohd-f2u5 ай бұрын
HELLO
@IbrahimMohd-f2u5 ай бұрын
Habari za hukoo
@OmariAdam-jz2hm4 ай бұрын
Unasubili nn
@omarabulbustsalim5316 ай бұрын
C wengee anashereheshaa ksha na yye alitafuta huyo mtto mdogo😅
@fatmaally72528 ай бұрын
Eshi hadha asanteeeeee tumeelewa tulio soma quba
@SadatiRajabu7 ай бұрын
Umeonaeeee
@BimHamdi8 ай бұрын
Yupo vizuri mashallah
@ukhutfatumah11547 ай бұрын
Haaaaaa leshi adhaaaaa maana yake NINI HIKI❤
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج5 ай бұрын
Kwel huyu bibi kaongea ukwel. 😢😢😢😢kuna vitu nmepitia hiyo hali .now mtumzm 35 ndio naelewa nikadhan nnatatiz la afya.
@amisafaraji57964 ай бұрын
Mwatutisha tunaotaka kuolewa😢
@Salamah-z5t8 ай бұрын
nakupenda bi subira
@felisterturubuza74744 ай бұрын
Esh hadha tupe maana
@rukiyyarukiyya63178 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@rehemamchomvu1729Ай бұрын
Mashalaaaaa
@fatmaally72528 ай бұрын
Uyu bibi arudiwe arudiwe tena ana vitu ana madini
@khadjaiddlis2837 ай бұрын
Turejeshee huyu bibi mm nimemuelewa mno na nimefurahi saana
@gloryshayo4 ай бұрын
Omba namba zake
@PillyKhamis5 ай бұрын
Kweli Bibi maneno yako matam 11:10
@omarabulbustsalim5316 ай бұрын
Bisubira na yye arud chuoni pia 😅
@MomyMany4 ай бұрын
Bisubira majiran huku😂😂😂
@fatmaalnabhani36097 ай бұрын
Majirani hukuu 😂😂
@ukhutfatumah11547 ай бұрын
Yaaaan huyu bibi Kanifunda jamn uwiiiii majiran ukuuuuu Umefurahisha hapo kwenye nyimbo ya UKEWENZA MKE WA HALALI NI WEWE AZIZA TUMETOKA MBALI NAOMBA KUBALI LALAAAAAAAA BAADAE KAJA KUKUBALI NAIPENDA HII NYOMBO NA IYO Rejea Tena chuon Bi subira umenikonga rooho uwiiiii naomba uje Tena kwenye kipindi Alafu nitakufatuta Nina jambo langu soon nalud bongo uwe kungwi wangu