Kasida Mpya Ya 2024, Vumilia Shida. Ziara Kuu Ya USIKU WA SAFAR...!!! KASIDA YENYE UJUMBE MAALUMU KWA WAKATI HUU.
Пікірлер: 22
@abhaaly11 ай бұрын
USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA KUKOMENT VIDEO ZETU ILI TUPATE VIZURI ZAIDI NYENGINE KWA WAKATI SAHIHI. TUCHUNGE SANA MAANDISHI YETU YAWE YA STAHA. SHUKRAN SANA. 🤝
@saidbahanuzi11 ай бұрын
Hiii qaswida itaishi miaka 100 iko powa mashallah
@shafiejuma10 ай бұрын
Had nimeidownlod hii qaswida ni hatar nlikutana na kipande chake tiktok imebid niitafute ni hatar💥💥🔥 mnajua hatar😍
@abhaaly10 ай бұрын
Karibu Sana
@ashacarzola689310 ай бұрын
Nawaoenda sana ,halafu kaswida nzuri na imerekodiwa vizuri 😊
@abhaaly10 ай бұрын
AHSANTE tunakupenda Pia, USISAHAU KU-SUBSCRIBE na Kulike page yetu
@omarymahamudu750410 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 kwa sasa hakuna kama mahabibi kharidi bin waridi
@SofiyaDullah11 ай бұрын
Maashaallah kazi nzuri kharid
@abhaaly11 ай бұрын
Ahsante, USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA KU-LIKE page Yetu.
@ashacarzola689310 ай бұрын
Khalid bin walid
@harunisengo334811 ай бұрын
Weka za el ghazal
@dullnach231011 ай бұрын
Ndo Nani hao ghazal
@abhaaly11 ай бұрын
Ghazali zipo Nyingi Sana Endelea Kuangalia Kwenye Page Yetu, Na USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA KU-LIKE. Ahsante
@dullnach231011 ай бұрын
Shida kweli
@banjuta218611 ай бұрын
Naomba adees zenu munapatikana wapi
@RamadhanMasoud-jv5pk11 ай бұрын
Wanapatikana jangombe zanzibar
@abhaaly11 ай бұрын
Ni Jang'ombe, Zanzibar karibu na Msikiti Shurba. Karibu Sana. USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA KU-LIKE Videos Zetu. Ahsante sana
@FatahSaleh626810 ай бұрын
Zanzibar hio
@HamadiKassim11 ай бұрын
Ghazali wa kaz gani
@mummywawili10 ай бұрын
Sawa lkn mbn mahadh yana fanana yaan mtunz hatumii sauti nyingine hata mipigo pia yafanana hyo inafanana na ile usiegemee tawi tafuta pa kuegemea kwanini sasa
@abhaaly10 ай бұрын
Wewe Umesikiliza Kasida Ngapi Za KHALID? Mbona Zipo Nyingi Sana tofauti Kabisaaa