Ungekuwa Jamaica usingekipata pumba wewe!!! Huko ni Saudia nchi ya tawhiid na Sunna!! Allah aihifadhi na hawa mahasidi wasokuwa na shukrani!!!
@Official83640Ай бұрын
Mdogo wangu haisahau Umra cm yake kaisahau tafute wapi hd wanarudi hajaipata na akiipiga haipatikani kwahy wengine huwa wanaina Subhannallah mahala tukufu hiyo
@samoocoolingsystem935 ай бұрын
Amiiin ukanyage nyayo za mtume Muhammad ☺️😄🙏
@adamjutto58495 ай бұрын
Izzu ddiin yupo wapi😂
@waheeda51385 ай бұрын
MashaAllah
@maulidimolleli10335 ай бұрын
Nyao zako zitakutana vip na nyao za bw, mtume angali hapo pametiwa vigae