Wallahi I miss my birth place...my home...kibokoni...am recently in Qatar I miss home watching this
@carolynedurstcarolynedurst93467 жыл бұрын
I miss Mombasa so much!My city,my town,love you Mombasa
@taherajamal25956 жыл бұрын
Thanks Bro Shukran kwa majibu. My birth place, Mis Soooo much Mombasa! 🤔
@Shiraz3547 жыл бұрын
Thanks for uploading this my place of birth
@kigombaself550310 жыл бұрын
Nimetokwa na machozi kuona mji wetu mzuri ambao ulikuwa wanukia asmini na vilua na udi wa kihindi kila upitapo na hasa asubuhi ya saa kumi na mbili,ukiangalia upande huu au upande ule waona vijana wa Mombasa wafanyao kazi sehemu mbalimbali anaefanyisha gari lake yuwenda kazini na alio na baiskeli yuwenda zake skuli na wanaotembea kwa miguu wako mbioni wamechelewa wakimbilia Kenya Bus,wakati huo wapigwa na kipepo cha baharini kitokacho kipenuni ukiwa umesimama kando ya jumba lolote old town,huo ndio mji ambao hautanitoka mawazoni wala hausahauliki,kilichonitoa machozi ni kuuona mji huo nilioueleza hapo juu umekuwa kama kwamba sio mji wetu tena,ulivyo badilika kwa wageni waliotufunika tumekuwa hatuonekani tena,mji umejaa Wakimbizi kutoka kila nchi za jirani na cha kusikitisha zaidi ni kwamba wakimbizi hao wameshajitolea vitambulisho wakajiandikisha ni wazaliwa wa Mombasa yaani sasa wanahesabika ni wa kenya,mji wa Mombasa sasa sio wetu tenaaa,ni karibu sio mbali tena mwenyeji atalala barabarani na wageni ambao sasa sio wageni tena ndio walionunua majumba yetu yote na zikapandishwa ijara bila huruma,zamani viosk vilikuwa vikivunjwa na manispaa kwa hoja ya kuwa hawakuwa na leseni leo barabara za mji wetu zote zimetandikwa na bidhaa mbalimbali zilizoletwa kutoka nje au zilizoibwa,zote zinauzwa barabarani zikachafua mji wetu uliokuwa msafi.Siku hizi Mombasa yetu umekuwa na biashara ya madawa ya kulevya kwa wingi kuliko muda wowote na siajabu hata silaha zinauzwa na wachuuzi hao kwani haja yao ni pesa sio kujali vijana wetu ambao tayari wengi wao wameshapoteza maisha yao na wengine hawajiwezi na familia nyingi za wenyeji HALISI wa mombasa zimeshindwa na maisha kutokana na kumiminika kwa wingi kwa wageni hao,hatujui miaka inayokuja itatuletea balaa gani zaidi ya haya yaliyotufikia. By Mwana wa Mvita.
@samhaina6 жыл бұрын
0:06 Si Peugeot ni Pigot Place, musi tu aibisheni.😅 Mombasa ime badilika sana. Still miss ma Home Sweet Home!
@ebrahimbhatti43437 жыл бұрын
proud to be kenyan no place like kenya boss poa kabisa
@Naya180195 жыл бұрын
Ooo😔😔😔 I miss you mombasa 😔😔😭😭😭😢😢💔💔💔 i will came back
@hafidhabrishaabrisha8483 ай бұрын
Wallahi inasikitisha miji wetu huu ulikua naamani upendo huruma, Adabu zake vijana watulivu, ulikua unatembea Usiku wa manane bila wasi,wasi, chakula rahisi ukiwa na mia moia,ni kama Elfu unanunua vitu vingi,lakini Sasa ni masikitiko 2, mji Umeja makabila watu hupiga vipanga huibia watu,kwa kweli inasikitisha sana unaliza sana ..,
@taherajamal25956 жыл бұрын
Thanks for showing a nice Video. I feel tears in my eyes. Miss you Soooo much Mombasa! Nakuomba PLZ niambie Mwenzangu. Hiyo Music ni Nani aliyeimba.Mashallah Music nzuri Sana Sana.🇰🇪
@abdulfattahali88176 жыл бұрын
Tahera Jamal yaitwa kul ma gafayet by Muhammad abdo
@hajiadmani20325 жыл бұрын
@@abdulfattahali8817 Music ni Haraam.
@ocroafff55273 жыл бұрын
Mombasa my favorite city
@sassyn79438 жыл бұрын
I wanna know what song this is. and also loved this video. miss Mombasa so much
@tifu6787 жыл бұрын
Not sure of the song name, but the singer is Mohammad Abdu.
@henriknielsen66363 жыл бұрын
It sounds like Kuwaiti Arabic, it could be another Gulf Arabic dialect, but definitely the northern part of the Persian Gulf
@macnatulimaan11 жыл бұрын
The place I grew up in...in shaa Allah one day I''ll go back
@taherajamal25956 жыл бұрын
Nani Aliyeimba hi Nyimbo. Ni nzuri Sana
@abdulfattahali88176 жыл бұрын
Tahera Jamal Muhammad Abdo - Kul Ma Gafayet
@aabhah10 жыл бұрын
maalimmakoti1: check 'Streets of Mombasa. Old Town....' in the right Panel...,,very clearly done.
@leymansalim1626 жыл бұрын
Mijitu imetuharibia mji wetu kwa tabia zao mbovu kila mmoja akitoka mwituni akimbilia mombasa pumbavu zenu
@omiflaniflani272910 жыл бұрын
nakubali bro na hiyo video
@coolvidic745710 жыл бұрын
I really missed Mombasa. its a dream city. Its the only city in kenya where u can walk in the middle of the night with your smark phone worrying nothng. jaribu hiyo in Nairobi. Mombasa is in my hrt altho nt born there. I never missed to come mombasa in ramadhan now planing to move 4 good frm Sweden. Mohamed Banow where are u bro?
@maalimmakoti110 жыл бұрын
Majay (Majengo). Wakwaribishwa nyumbani, ahlan wa sahlan!
@hussain116712 жыл бұрын
la munani kumbusha, good job
@munirashid10636 жыл бұрын
pls fanya moja ya kuonesha mitaa yote yalo karibu kama kib-forodhani-mkanyageni-inglani, ntashkuru sana uki focus in this areas. thanks
@chrismohavez49827 жыл бұрын
miss sana mombasa
@aabhah10 жыл бұрын
This Clip is an effort to picturise Kibokoni. However and unfortunately, the only Person able to follow and understand the contents is the clip maker himself or then Msa residents. As stated, it is an effort. Keep it up Bro, but make your clips clear....Best wishes and greetings from a Msa 'fellow'.
@maalimmakoti112 жыл бұрын
Kul Ma Gafayet, Muhammad Abdo
@ocroafff55274 жыл бұрын
Who is the singer of this song?
@ocroafff55274 жыл бұрын
Can u anyone tell the name of the song ?
@Slixx0112 жыл бұрын
UKWELI MOMBASA RAHA
@awadhinho371511 жыл бұрын
Ukiona hivi lazima machozi yaku toke. Mombasa Raha.
@bishoo8712 жыл бұрын
mshamba tu
@ahmedduale74956 жыл бұрын
Can any body wich music is this?
@ahmedduale74956 жыл бұрын
Can anybody tell wich music is this?
@tifu6786 жыл бұрын
Ahmed Duale muhammad abdo
@majestically111 жыл бұрын
HAHAHAHAHA..... wajinga waletana deti hapa 08:33
@AFFYJAMBO3 жыл бұрын
Mombasa is not the same with all these none muslims who have ruined the happy lifestyle of the Muslim swahili community, I could go and eat anywhere because I knew it would be halal but not now. I am sorry to this but it is true.