Crown tv ni brand nzur ila Hans mchambuz wenu anaunaa sana na ANAIHARIBU brand before match alisema SIMBA anafugwa badae anabadil gia angani ajui mmpira arudi kule wasafi huku crown hatutaki unafki
@israelmunuo7938Ай бұрын
Umeongea ukweli hiyu angenda zake wasafi kule wapo wenziwe binfsi nimekosa Imani
@Sampovoice8088Ай бұрын
Jemadari
@why-ir8zlАй бұрын
Huyu kazumari ni kichwa kwenye uchambuzi pamoja na kuchukiwa sbb ya msimamo wake
@hastatzАй бұрын
Na siku zote hata kwenu ukianza kua na msimamo lazima uchukiwe
@fortunatusyuli4421Ай бұрын
@@hastatz😂😂
@halfanihamadi3683Ай бұрын
Kibu maji kupwa maji kujaaa
@rockygappi1018Ай бұрын
😂😂..huna uthibitisho kwa kauli zako... kama ni maji kupwa maji kujaa kwa nini aliwakazia kwenye usajili simba wakampa anachokitaka??..jibu hoja kwa facts na si kwa mihemko