Huyu ndugu inaonekana hakuwa anaishi vizur na mwenzake! Ana majibu ya KISENGE sana. Tako lake!!!😡
@ramadhanihudhaifani43765 ай бұрын
Anajifanya anajuwa kuongea kweli! Kumbe tako tu.
@nassororashidi335 ай бұрын
Dah! Ndugu yetu mandojo mtoto wa manyoni mtaa wa samalia 😭😭😭 ulituletea home studio pale kwenu tuta kukumbuka sana bro pumzika kwa amani🙏
@LindaMbilinyi-n3n5 ай бұрын
Mmmh hyu apimwe akil jmn😂😂😂😢😢
@danreckgodfrey46635 ай бұрын
Jama anajua kupanchi huyu😂😂😂😂
@johnmfungo46805 ай бұрын
Dah poleni san mungu amlaze mahala pema
@Antelius-ew6it5 ай бұрын
Huyu ni ndugu kweli au maana sijamuelewa
@elardmassawe55135 ай бұрын
Uyo mzazi mwenzakee
@abdulisiwa41185 ай бұрын
Duu Pole brother
@HassanSaid-e1w5 ай бұрын
Uyuu fala upo police ujui kakamatiwa nini na doctar sio yy
@NeemaseverineSerinesoka5 ай бұрын
Yani hajibu hata vizuri
@PendoSamweli-dz3up5 ай бұрын
Mtangazaji Kalos nisalimie mwanafunzi wangu
@HappinessDanford-v5q5 ай бұрын
Daah badala yakusalimia familia imekuwa kifo😢
@SubiraJohn-k7k5 ай бұрын
Innalilah wainnaylilah rajiuun!
@NuruKizinga-yv5bc5 ай бұрын
😭😭😭
@machintangachibwena59225 ай бұрын
Mbona uyo msela alie toa habari za uongo yupo hapo amekaaa
@IssaMgawe5 ай бұрын
Ni bola ukakaa kimyaaa kuliko kupindisha ukweli ata kama ww ni ndugu
@rithamkude16565 ай бұрын
Huyu anaficha ili iweje anabishana na ukweli mbona
@salomesalala5 ай бұрын
Duh..hajui alikuwa anaumwa nini?
@saidsuleiman17535 ай бұрын
Inaonekana kuna jambo linafichwa
@saidsalum4235 ай бұрын
Wewe vipi Ndugu yako halafu ujui watoto
@salomesalala5 ай бұрын
Duh huyu kaka ni nani kwa marehemu?
@aboudijaaboudija5 ай бұрын
😂😂😂😂anaulizwa amepata shida gani alikuwa anaumwa nini eti mimi sio daktari huyu sio mzima kwakweli na ile video yakupigwa inayosambaa ni nini huyu hajielew hata
@leokamil62845 ай бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa 😭😭😭
@andrewzimba6925 ай бұрын
Naona namaliza bando kwa issue yakijinga
@ExodusMarcStanley5 ай бұрын
Huyu ndugu kuna shida
@ubuntubantu24045 ай бұрын
Mbona huyo jamaa kaeleza kama wewe mdogo wa marehemu, hakuna mgongano wa maelezo. Kivipi useme yule jamaa ni muongo?
@stephanoNdahani-e7x5 ай бұрын
Sasa mnakana nini na msafiri yupo hapo mbele kabisa ,kwenye maisha ndugu hua wanatengwa mapambano ya maisha yanahusisha sana rafiki huyo msafiri na ndojo walikua rafiki ambao ni kama ndugu akiwa nzugun lazima awe nae huyo msafiri amekuja nae kwetu kitaa mara kibao hawawaachanag kabisa wakiwa nzuguni so yeye ndo ana taarifa zote na mkewe mtu wa kwanza kumpgia simu alkua msafiri
@ubuntubantu24045 ай бұрын
Nashangaa anamkana ila huyo msafiri katoa maelezo mazuri tu kama ya huyu, hakuna mgongano ila bado huyu anamuita msafiri muongo