Sisi waislam huwezi ukaenda msikitini na watu wakudhanie ww mwizi. Hata uwe teja unatoka na udenda . Pale ni nyumba ya mungu sio benki kua ilindwe na atakae kuja apigwe
@GiftMariam-w2q5 ай бұрын
Ipo namna bwana
@IrakozeEv5 ай бұрын
Umesema kweli kabisa
@diegomontenego51585 ай бұрын
Ndugu zangu mnao coment Huyu kaka etu asee. Nimekaa manyoni Nimtu safi sanaa Yena mpolee nimemfahamu muda saanaaa nimesomana Mdogowake Sebastiani na Yupo vizuri kiuchumii ananyumba Anamaduka asee yena nguo na viatuu. Wakazi wa samalia hapo mwembeni jamani poleni sana. Maanq nimeumia sana Asee Kaka Domo pia pole sana asee nipo hapa chuga. Asee inaumaaa.
@EmmanuelNyangoko5 ай бұрын
Pole Sana Mungu awatiye nguvu family ya madojo.
@amadally58375 ай бұрын
Kinachoniuma sana ni kuuawa kanisani😢😢
@AminaKissawaga5 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu.awo wote walihusika wachukuliwe.hatua haraka umeniuma sana madojo pumzika.kwa.amani
@mamachris68115 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ampokee maana alienda kumrudia Mungu wake R I P
@LinnaJohn5 ай бұрын
Akika akiyake na utukufu wake utatenda mlizi alikosea angemfungia kwa nje angeita polisi yani mbwa zimuhume jmn daha sawa mlizi
@chaleboymusician5285 ай бұрын
R.I.P mandojo tutakumbuka kwa kazi zako nzuri ila inauma sana
@summanelson55235 ай бұрын
Mi nahisi huyu alienda aidha kusali na akakutana na mbwa hivyo ikabidi ajifiche kwenye banda lao lililokuwa wazi. Inasikitisha kuwa mtu anauawawa kanisani mhli ambapo mtu anatkiwa kuwa salama. Wakristo mnashambulia mtu hadi anakufa!!!! Mmetutia aibu wakristo wenzenu!!!!
Jaman polen Sana MUNGU awatie nguvu ndugu jamaa na marafiki🎉R.I.P mpendwa mandojo.
@ZainabuIddy-r1o5 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu wakurya wenzangu naombee yoyote yule aliye uzika na kifoo chake Mungu yupo
@bontamirambo5 ай бұрын
Polen san
@ZainabuIddy-r1o5 ай бұрын
@@bontamirambo asante sana na WW pole pia ndugu maana ni Mtanzania mwenzetu wote
@edwinalexander11705 ай бұрын
Mbona walisema alikutwa kwenye kibanda cha mbwa cha kanisani ? Ukweli ni upi? Hapo kwenye kusingiziwa ni mwizi na huku tulimfahamu kama mwanamuziki na anafanya shughuli zake. Inaumiza sana. Poleni sana kwa msiba
@kellyngogo33195 ай бұрын
Mlinzi muongo kibanda cha mbwa kufanya nini!!?😏
@angonzamujunangoma87755 ай бұрын
Huyu mlinzi ni muongo sana sasa kwenye kibanda cha mbwa alikuwa amefata nini
@hashimmziray74165 ай бұрын
zamani tulijua nyumba za ibada ni nyumba salama Kumbe ni sehemu za tahadhari kubwa
@shafiiiddy71715 ай бұрын
Pumzika kwa amani mandojo mungu akulaze mahali pema peponi
@idrssakhajenje60825 ай бұрын
poleni sana familia
@controlTheoryChamps5 ай бұрын
Na huyu ni famous, just imagine watu wa kawaida wangapi yanawatokea haya mambo
@angonzamujunangoma87755 ай бұрын
Pole sana ndugu na jamaa wa familia.Bora wewe kaka umeongea na umeeleweka.Pumzika kwa amani Dogo😢😢.
@mohamedhamisi97665 ай бұрын
Huyu kaka yake ako na busara sana tofauti na yule wa siku ile
@AminaKissawaga5 ай бұрын
Masikini jamani wamemuuwa mtu asiyekuwa na hatia.tutakukumbuka sana madojo wetu pumzika kwa amani
@rosehaule67655 ай бұрын
Aisee Mungu ni.mwema tumshukuru tu😢
@RehemaMsengi-rp5wg5 ай бұрын
R.I.P Mandojo,hatuna mji udumuyo hapa Duniani tunapita,wamekufupishia maisha yako jamani inauma sana😢😢😢
@emmanuelsumagizi5 ай бұрын
unauwaje mtu asiye na silaha, Mungu ndo humleta mtu duniani na ndio anawajibu wa kuitoa roho. Ukiua hiyo dhambi itakutafuna mpaka kizazi chako cha 7
@kellyngogo33195 ай бұрын
Walinzi fake
@JuliusMakumbi-t3s5 ай бұрын
Jamni siamin kama kwery mandojo kafarki naliemuuwa nae auwawe
@amadally58375 ай бұрын
Kanisani😢😢
@salmamlokela19875 ай бұрын
Polee dada yangu maryam
@jusilinantony87025 ай бұрын
Pole sana afande criss
@allyahahmed10915 ай бұрын
The whole world is not the better place 💔💔kama hadi kanisani hakuna wema basi tumeisha sisi
@MalaikaBernice5 ай бұрын
Hichi kifo cha mandojo kina siri fulani..ila Tumwachie Mungu r i p mandojo
@minaelnathanael18465 ай бұрын
Jamani hawa walinzi wa baadhi ya makampuni Wanafanya kazi kama wachawi. Tunazalilishwa na walizi serekali tusaidieni kujua mipaka yao😢.
@rachelndaki56425 ай бұрын
Nakumbuka kama mwaka juz iv niliona mandonjo akiwa nakesi ya kubomolewa nyumba yake ambayo ilivunjwa na kubondwabondwa kwavitu ilikuwa niuhalibf mkubwa sn familia kutolewa ije na watu wasio julikana wawo nikina nani mpaka kupelekea kuhama dar kiivyo inawezkana nihao watu walimfata tena humo dom au uhasama tu
@Aida-qh3jq5 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajighun poleni sana ndugu zangu
@mohammedabdullah58955 ай бұрын
Poleni sana
@shakilamasoud29835 ай бұрын
Poleni sana wafiwa 💔😭
@FloraTarimo-dq5bv5 ай бұрын
Watu wanafanya zambi nakuona kanisa ndio sehemu yakujifichia mabarabarani wafe watu nakanisani pia jamani tujifiche wapi eee Mungu tujalie mwisho mwema
@bbrunotz81915 ай бұрын
Sasa huyu ni msanii Tu Ameua Pasipo Na Hatia Ebu Fikilia ni vijan wangapi wanapigwa na kufa kwa kuhisiwa Tu Tuweni Na Ubinadamu kidogo Bas
@DoreenShuma5 ай бұрын
Long time brother xriss umeeka bro miss u
@allymsafi17165 ай бұрын
Alikuwa Ana vizimba mbande kisewe sokoni anakodisha wajasiliamali wadogo wadogo jamaa alikuwa mpole mtaratibu sana ukifika kisewe ulizia kwa mandojo
@alfanboblice91505 ай бұрын
Hii nch inauhuru sana ilo jambo watalizima juu kwa juu mtu wamemkamata walishinwa kumfikisha kwenye vymbo vya sheria mpk wajichukulie sheria mkonon na hapa ndio habr inaishia hp hp viongoz wetu waangali hili jambo kwa jicho lingine tunaumia sana kuona wanavyo potezea matukio meng!
@ReginaUshaky5 ай бұрын
Mungu ampe pumziko la amani mandojo.jamani hao walinz nao walikuwa kazini hawakujua Kama ni msanii.lakini ndiyo hivyo ningelijua inakuja baada ya
@saidbakari79985 ай бұрын
Au angeenda kumekucha vzur dah anyway polen sana sadness 😢
@mariamfanuli50705 ай бұрын
Poleni sana hatua kali zichukuliwe
@Mkatili5 ай бұрын
Ni kanisa gani kwanza ?
@lulurubby22355 ай бұрын
Kaka kama kapata farujohn kidogo
@spantonsamba61915 ай бұрын
Kaka wa mchongo
@rachelmuhehe77895 ай бұрын
Mimi navyojua mwizi akikamatwa Kanisani anafungiwa humo na uongozi wa Kanisa ukifika unamuonya na kumshauri na kumsamehe. Sasa kama Kanisa linaua nini maana ya Msamaha wa Mungu kwetu? Hilo siyo Kanisa ni kijiwe kwa jina la Kanisa serikali iingilie kati liwajibishwe kwelikweli
@Maryjames-f1o5 ай бұрын
Harafu tunaambiwa tusiue😢😢😢
@annavictor-vc9zn5 ай бұрын
Bora tusalie nyumbani maana 🏃🏃
@RosemaryMalya5 ай бұрын
Niseme Nini Mimi tuache kuchukua Sheria mkononi huyo mlinzi angemkamata Sasa amepoteza ushahidi
@MaliusMaliuskagumisa5 ай бұрын
Kiukweri tunako elekea basi syopazuri watanzania yn tunatoana lohoo kamakitu chakawaidatu mimi sikubariani nolokabisa kwanza kijana nimtu mwenye cheochake coz kajitunza nakajitafuta mpaka utuhuzima huu 😢😢😢😢😢 akafanyeivi apana mimi ninawaza apa kunatriki zabifutu serikari ichunguze kwaufanisi waotu
@NapatNapat-x6i5 ай бұрын
Poleni Sana wafiwa
@MayungaMpanduzi5 ай бұрын
So sad kaka rest in peace and joy daa watanzania ni nn tunafanya kujichukulia Sheria mkononi maana yake mahakama hazina kazi pole watoto wa mandojo
@redemptajerry54465 ай бұрын
Roho imeniuma sana jamani jamani...kweli maisha ya mtu yamepotea bila sababu ya msingi
@NellyFrancis-nn3qb5 ай бұрын
Mh Jaman mbona imenisikitisha Sana .Kwan amekosea Nini Jaman ,aah imeniuma Sana .
@rosehusein5 ай бұрын
Kweliii km kuna nguvu Imepita apo iyo ni sababu tuu na yy uyo mlizi asitoke
@LuluElisanta5 ай бұрын
Poleni sn ndungu na family yote mungu awape faraja
@kafirsantana86315 ай бұрын
Ukimsikiliza vizuri yule Msafiri hutashangaa kwanini Mandojo alienda kukutwa kwenye banda la mbwa.
@MaryAdam-ow2jh5 ай бұрын
duh inaumizaaa😢
@AgnessCostantine-l6z5 ай бұрын
Polen jmn kwa msb
@MariaOtto-u3q5 ай бұрын
Polen sana
@pharesmitarya48925 ай бұрын
Kwa hiyo waumini baada ya kufanya mauaji wakarudi Kanisani kuendelea na Misa,na kusali utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyowasamehe wengine!!!shame on you
@NOELAMAKOYE-qs7eu5 ай бұрын
Ukristo na ulokole wa sasa ivi ni shida sana mungu atusaidie kwakweli
@AngelMazola5 ай бұрын
Basi tu hatuna jinsi mandojo keshaapotea lakini mi cjaona cha maana ambacho mandojo angeiba apo kanisani😭😭😭😭😭
@GoldBizzo5 ай бұрын
Sijui alikuwa akiiba kinanda dar 🤔 au alitka kuiba sadaka nn yan ata atuelewi
@HappyKitindi5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@GoldBizzo
@Cavonmateiofficial5 ай бұрын
Au mishumaa
@AngelMazola5 ай бұрын
@@Cavonmateiofficial yani niwashenzi sana awa watu awajifkilii ata kidogo wamenikwaza sana we kanisani mtu ataiba kitu gani viti au misalaba wameniudhi sana
@AngelMazola5 ай бұрын
@@GoldBizzo izo sadaka watu wakitoa tu makapu yote wanaamisha hawayahachi kanisani niwashenzi tu awa na loho mbaya zao ila damu ya mtu ni kitu kingine yatawafika tu makubwa na wao
@husseinmwanjela86445 ай бұрын
Wafungwe kifungo cha maisha
@mr_voiceeyounghustler1495 ай бұрын
Sisi huku WA dar tunataka hao walioshiliki kumua huyu msanii wetu wakamatwe chapu
@alexlingwendu67805 ай бұрын
Daa hili doa chafu kwa kanisa.Najaribu kufikilia tu Hata kama alikua muizi Yesu kwe bible anasema Sikuja kwa jili ya watakatifu bali wale wenye dhambi nipate kuwaondolea dhambi zao.Hakika waliohusika wapewe adhabu kali ili iwe fundisho.
@Daudi-r4j5 ай бұрын
polen sana
@annajohn33775 ай бұрын
Kumbe alikua nimfanyabiashara hapo knsani angeiba nin jmn pombe zilimzidiii tu
@zuumlondwa95185 ай бұрын
Kaka mkubwa kafanana sana na marehemu
@KassimAlly-w4y5 ай бұрын
Waache usenge mandojo kanisan ataiba nn?
@asteriashios18525 ай бұрын
Duh kumbe alklewa kwani ndo wamuie mlevi ? Hatua za kisheria zichukuliwe lakini wameshaua Sasa harudi Tena mlinzi wa hovyo sana
@MsNajma-j7e5 ай бұрын
Wagogo hacheni roho mbaya ya kuwa wenzenu hovyo tu mwenye kupewa haki ya kufa ni yule harie huwa hata angekuwa mwizi hakusitairi kuriwa
@JumaHamis-j3z5 ай бұрын
Inauma cna mbn alikua hana shida huyu mwambaaaaa
@MsNajma-j7e5 ай бұрын
Hapo kanisan kuna nn cha mahana cha kuiba wasenge wote wario shiriki kumpga mbaka kuperekea kifo chake huu ni unyama wa hari ya juu wananchi ebu tuachen usenge kama huu hakikisha mtu kam kweri mwizi na usibtisho uko wap aricho iba aise inauma hii
@leokamil62845 ай бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa
@QueenCharles-b9h5 ай бұрын
Aligombana na mkeo kwaiyo hasila zimemfanya zimpelekee kwenda kanisani kwaiyo mwanamke naye atusaidie kwa uchunguzi police ombia
@jamesndossy58355 ай бұрын
RIP BROTHER DOJO
@MarthaMangula5 ай бұрын
Yaani kiukweli mlinzi anyongwe kitendo alichokifanya nichaunyama Sana sisi watu wamanyoni tumeumia Sana Kwa kitendo hiki
@Freeedom-e4h5 ай бұрын
Mm sina usjabiki wa wana muzuki.lakin kwa hili nilivyo soma ktk kitandao sijamin km anaweza kufanya hayo.zaid mtu na biashara zake kanisan akaibe nn au uhalifu gani.mtihan
@adolfmashele49595 ай бұрын
Hii ni point mkuu....hata Mimi nashangazwa na kitendo Cha mtu kuuliwa kwa kusingiziwa mwizi wakati Hana hata kitu kimoja Cha wizi...mtu ameamua kumkimbilia mungu wake wao wanamtenganisha na mungu.....inauma sana
@antonyiyona59375 ай бұрын
R.i.p man dojo
@betitympeleta96975 ай бұрын
Jamani kauliwa kinyama
@mustafamakonyola78255 ай бұрын
Pole sana afande KRISS kwa kuondokewa na mdogo wako alikuwa anakutembelea babati
@mohamedhamisi97665 ай бұрын
Kumbe huyo bro wake ni afande
@ChoroTesla5 ай бұрын
@@mohamedhamisi9766yeah
@infodigtechforcommunityemp41035 ай бұрын
Kanisani mnaua mtu duuuu
@JeannetteManirambona-o6m5 ай бұрын
Rip
@BayaAmina5 ай бұрын
Ukweli hapo ni upi maana haruelewi
@roselinasandi65095 ай бұрын
Labda kaitiwa mwizi akakimbilia kweny kibanda cha mbwa,kanisani angeiba nini sasa
@FrenkMassaweFrank5 ай бұрын
Yani hilo kanisa linatakiwa litunze familia ya Marehemu takriban miaka 20
@sampeter58575 ай бұрын
Litunze maisha yao yote sio miaka 20 tu
@FatumaBakari-nx1wg5 ай бұрын
Mlinz akamatwe
@RehemaMagoire5 ай бұрын
Dah inauma saaana
@annamussa1855 ай бұрын
Kwanini aingie ndani ya Banda Kuna ukweli umejificha
@priscarkasitu81015 ай бұрын
Angefika kwa Mlinzi kwanza ,akajieleza kilichompeleka pale kanisani, kisha Mlinzi angejua afanye nini.kumbukeni mlinzi nae alikuwa kazini.na kazi yake ni kupambana.na Mlinzi haruhusu watu kuingia ndani ya kanisa Muda ambao sio wa ibada, ata angekuwa Mtu anaeendesha ibada .kuna Muda Maalumu wa kufika.
@dennissamora7295 ай бұрын
@@priscarkasitu8101akili huna wewe! Jitafakari
@asteriashios18525 ай бұрын
@@annamussa185 inaonekana alikuwa amelewa Sasa msanii wa miziki hadi waizi sidhani na ni mchana ni pombe tuu na kwanini amuue kwanza ukishamwona mtu ni mlevi unamuua kwanini? Hapo kanisani Kuna Nini Cha kuiba hapo hadi umuue mtu au ndo hao mbwa mnaodai kibanda Cha mbwa anyongwe huyolinzi mpuuzi kwelikweli
@katotoriznath62335 ай бұрын
@@priscarkasitu8101walevi wengi wanapelekeshwa na pombe hawakiwaz unachokiwaza wew mda huu,, hiko kibanda cha mbwa labda kahis ndio kwake au polis sehem salama😂😂
@shahiduhamada92295 ай бұрын
Dah dojo
@aishamtangi72725 ай бұрын
Polesana shemeji yangu crs Mungu awatie nguvu tupo pamoja nanyi
@SAJDARAMADHANI5 ай бұрын
Sasa kanisani kuna Mali gani mpaka kubigwa na kufa magical na spika mbona hatuna ubinadamu
@yasinichambuso64365 ай бұрын
Nani ameona mic imeshikwa na watu wawili
@JahnjeanjayNjau5 ай бұрын
Tehh
@SuzanMoshi-m1s5 ай бұрын
Ivi ww vidox ni nn unakataa asishike mike mwenyew 😢
@agneskighenda37955 ай бұрын
Ni kanisa gani hili wakatili hivi?
@JahnjeanjayNjau5 ай бұрын
Kila jambo hutokea kwa sababu,ipo sababu iliyompeleka kanisani saa kumi na moja alfajiri,na wakati sio muda wa ibada,huyo huenda alilala yuko na hangover na huenda alipofika walinzi waliona ana viashiria vya kufanya uhalifu,yote hayo MUNGU anajua kila mja ataondokaje hapa duniani
@lucasmollel49195 ай бұрын
Saaa kumi na Moja katoriki Huwa wananza ibada ila tu imetokea
@itanzaniaAS5 ай бұрын
Kuna tatizo kwenye maelezo. Mtu AENDE GETINI TU ALAFU APIGWE?? ALAFU SAA11 SIO MUDA WA MISA😢😢😢😢
@ubuntubantu24045 ай бұрын
Wanaficha kitu. Ila maelezo ya yule rafiki wa marehemu ndio naona yana mantiki. Ndio maana hata taarifa ya polisi inasema alikutwa katika banda la mbwa ndani ya maeneo ya kanisa. Sasa hapa kaka mtu anachofanya ni kufunika kombe.
@itanzaniaAS5 ай бұрын
@@ubuntubantu2404 YES. Alafu mkewe alisha sema akinywa POMBE inamvuruga hata alipoondoka home ni kama walitibuana kisa anamwambia asinywe. Akasusa simu kaenda kanisani. So mkewe alivyo iba muda unaenda kaanza kumtafuta kwa kupiga simu kwa marafiki . Na wakasema hawako nae. YANI HUZUNI JAMAA HAKUWA KATIKA HALI YA KAWAIDA. Na KIFO kimemchukua 🥺
@annajohn33775 ай бұрын
@@itanzaniaASumeongea point atakua alikua mlevi tu
@OmbeniMwalupindi5 ай бұрын
@@ubuntubantu2404nikweli ukweli hauwekwi wazi.hasa kama alimuga mkewe kwamba anaenda kutubu kanisa.nikwann? Mke apige simu kwandug zake kwamba hajaonekana nyumbani
@laurian275 ай бұрын
Usizahau pia RC huwa wanakuwaga na ibada ya alfajiri
@RashidaNgozoma5 ай бұрын
Sasa inakuwaje ndugu wanaongea tofauti ,mwingine kasema alikuwa ajaludi nyumbani mke alimpigia simu shemeji yake,uyu anasema alimuaga mkewe saa 11 tujue lipi
@RebecaMackenzi5 ай бұрын
Yan kuna watu wakifariki ndo wanakuwaga maarufu zaidi. Kama huyu mimi nlikuwa simfahamu lakini kwa alivyotrend imebidi nitafute kazi zake. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe🙏
@HappyKitindi5 ай бұрын
We mtoto wa juzi, unavyomsikia konde b Leo ndo hivyo kwa mandojo na domokaya enzi zao.