Poleni sana familia, wafanyakazi wenzie na wote waliiguswa. MUNGU amuweke mahala pema peponi amina.
@rithakuyala99512 жыл бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani
@arafakiloli7492 жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu
@fruitfulmpanduji24942 жыл бұрын
Hugo atakuwa amepuliziwa dawa ya usingizi kisha wakachoma Nyumba .maana mida ya SAA saba Kwa mwalimu si rahisi akapata ajali kama hiyo ashindwe kutoka nje. Ukizingatia mlango ulikuwa wazi.Polisi wachunguze vizuri kuna mbaya wake aliyetenda hilo.
@tranchescoanthony25092 жыл бұрын
Afadhal wewe unaweza kuchangia ushahid
@reginamanyangu66822 жыл бұрын
Hata mi nimewaza hivo watu wamekosa utu jmn
@missmoona44972 жыл бұрын
Au wali mwagia petrol kisha wakamlipua?🤔🙌😭😭😭😭inna lillah wainnah illah rajiuna
@emmyedward65412 жыл бұрын
Sana huyu kuna kitu sio sawa tuwe na huruma
@sahlamussa85382 жыл бұрын
Wanaoamini kwamba wamemuua ndowakachoma moto nipe like yangu r I p techer
@munnahbakari7252 жыл бұрын
🤚
@mwanahamisbwanga11842 жыл бұрын
Iyo gar ndy waliikuja kumchoma jaman 😭 jaman uwiiii binadam sis mmmmmh
@lalalalala36292 жыл бұрын
We will miss you so much in our class and your subjects 😭😭
@didowamchops92292 жыл бұрын
Pole Sophia kwa kupoteza mume wako
@rechokb19722 жыл бұрын
Daaaah jmn mungu ampumzishe kwa aman
@davidmbwilo49542 жыл бұрын
Rest an peace brother
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Innalillah wainna ilaih rajiun
@telaamtauta22272 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 jamani poleni sana wafiwa wotee sasahilogari nilanani kwanii
@evansmtalo94062 жыл бұрын
Mwl atakuwa ameuwawa nje ya eneo lake mwili ukaletwa na wauwaji wakauweka ndani ndipo wakachoma nyumba kupotezea uchunguzi.hiyo gari yake ndo ilileta mwili. Ndio maana ufunguo unaonekana nje waliusahau. Kama mwili unaonekana eneo kitanda kilipokuwa huo ni ushahidi mwingine kuwa mwl hakufia ndani kwa kuwa lazima mwl angehangaika kutafuta pa kutokea.aidha mwili ungekutwa mlangoni ama kwenye Kona ya hicho chumba. Uchunguzi ufanyike Kama hiyo siku alikuwa mtaani. Na pia Kama ana tabia ya kurudi usiku na kampani yakeijulikane.
@munnahbakari7252 жыл бұрын
Yani nataman hao wapelelezi wangepepata ufunuo wa akili kama wako wallah huyo wamekuja kufuta ushahidi tyu ila mungu kataka kiwadhiri kuacha mlango wazi na funguo zikining'inia kwa nje ni ishara tosha kua kauwawa Allah kareem watapata watakachostahili mbele za hesabu InshaAllah
@evansmtalo94062 жыл бұрын
Mungu kawaumbua.ni kweli.we fikiria TU funguo nje zimetoka wapi?!
@ياسمينسالم-ك8ص2 жыл бұрын
Evans umeongy point.
@ياسمينسالم-ك8ص2 жыл бұрын
Unafa kuwa mpelelezi
@lalalalala36292 жыл бұрын
Rest in peace our class teacher 😭😭.
@sondasamame23002 жыл бұрын
Kitendo cha kuokoa mpaka uende kwa kiongozi jamani na hiyo gari ilifata nini pale na ilikuwa ya nani
@jamesjoseph68252 жыл бұрын
Kwa mujibu wa shuhuda wa kwanza anasema alipoenda alikuta gari, hiyo gari ilifuata nini? Wamemuua mwalimu wa watu, Tz kila siku majanga, wivu, dhuluma, mapenzi, dah, matatizo tu
@leilasaid36232 жыл бұрын
Polen sana wanafamilia
@babusadala57322 жыл бұрын
Unajua kutangaza ila mbwembwe nyingii sana punguza Ndugu mtangazaji 🎥🎥
@zakiamseka96982 жыл бұрын
Mmmh😭😭😭😭
@claudiangowi96282 жыл бұрын
Rip mwalimu
@jamilahassani7722 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Inalinllah wainalinllah raajun...
@tatumussa6512 жыл бұрын
Ges
@aloycekiwia86132 жыл бұрын
Kuna mtu alikuwa na Ugomvi naye, siyo ajari hiyo. Ila kibongobongo ndiyo hivyo tena.!!??
@ahmedysaidy98742 жыл бұрын
Mapenzi hakuna kitu kingine
@zainabzain34342 жыл бұрын
Ifike wakati nao walimu watambuliwe kimakazi ni aibu kwa Taifa leo mwalimu makazi kama hayo chumba kimoja kila kitu hapo mtihani inakuwa
@hisanmwakijungu102 жыл бұрын
Sisi wengine ata icho chumba kimoja tunakitamani ,, wew unadharau
@zainabzain34342 жыл бұрын
@@hisanmwakijungu10 ni vizuri ukatambua nilichomaanisha
@hisanmwakijungu102 жыл бұрын
@@zainabzain3434 mimi nina kichwa kigumu nieleweshe kiundani
@hadijamwanana24712 жыл бұрын
@@hisanmwakijungu10 amemaanisha hivi Leo hii Kuna viongozi wanalipwa pesa na wanathaminiwa Kama kuishi nyumba nzr ikiwa viongozi wote wamepita mikononi mwa walim ifike wakati walimu waheshimike nawao
@johnkiimbila67992 жыл бұрын
Labda alikuwa anaendelea kujenga.
@alimakame56452 жыл бұрын
Wewe mtangazaji hujui kuhoji habari ikajitosheleza. Hapo umetajiwa gari ulipaswa uhoji kuhusu hilo gari, na hujatoa habari kwamba Alikuwa na familia au ni yy pekee
@jamalamon58462 жыл бұрын
Sijui kwann waandishi huwa waijazi habari mtu ukatosheka, wanashindwaga kabisa kujiongeza!!!!
@prettyh75092 жыл бұрын
😭😭😭😭 jamani
@mariasixmund79642 жыл бұрын
RIP Mwalimu
@fakhiayoub90622 жыл бұрын
Rafiki yangu Daudi ni kweli umetangulia 😭😭😭😭😭😭
@consolatablasi62122 жыл бұрын
Doooo Acha tuu
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
Unamjua?
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun
@nolimittvonline68222 жыл бұрын
Kafa vibaya sanaaa
@maryamalli90902 жыл бұрын
Mtihani kwa kweli
@fakhiayoub90622 жыл бұрын
R I P Daudi Senyagwa 😭
@MohamedSaid-il3bo2 жыл бұрын
Gas kama ingekuwa inatoa lazma angejua tu alafu ni mtungi mdogo ...ona iyo bunner inaonekana ilikua imefunguliwa kabisa apo kwaiy sizan kma chanzo kitakuwa ni gas
@munnahbakari7252 жыл бұрын
Sisi huku ndo tunapata vielelezo tosha vyakua hayo ni mauaji yaliyopangwa wala sio ajali lkn sasa hao wenye matumbo makubwa huko ndo mtihan wallah
@MohamedSaid-il3bo2 жыл бұрын
@@munnahbakari725 dah polen
@janetdaniely79452 жыл бұрын
Pole ndugu jamaa na marafk pumzika kwa hamani mwalimu😭
@allyhassan83572 жыл бұрын
mh hata hilo jiko halionekanai kama halina majivu/ halikuungua.... uchunguz Zaid unahitajika inna Lillaah wainna ilayh ra'jiuun
@faustinombilinyi98092 жыл бұрын
Jamani nawaomba wananchi wote mchukue tahadhari ges ni hatari Sana hasa hii mitungo midogo SN hii NI HATARI SN huyo Kaka kafa lazima ni kwa ajili ya gesi jaman jaman natoa tahadhari nasema hivyo muhimbili tumepokea majeruhi. Wengi wanaotokana na vimitungi vidogo vidogo hivyo Bora ununue mikubwa afadhali niushauri wngu WATANZANIA tunateketea kwa sababu zinanazoweza kuzuilika ..
@seifkopa40962 жыл бұрын
Ni kweli kabisa duh
@joycekunyanja10272 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Eeh Mungu wangu
@joycekalago5322 жыл бұрын
Kuna mtu kamchoma huyu wala sio kwamba ni mlipuko hapana nakataaa mimi
@mwaijakhalfan78172 жыл бұрын
Ee mungu tupe loo zaimani ukatili umezidi jamani wamuua mwenzio wewe utakwenda wap
@kudrawanguvu59232 жыл бұрын
Innalilah wainnailah rajiun
@aminaomaryaliy32262 жыл бұрын
Mmh hapo kuna ulakin hakim ni mungu
@shamilamuhamedi79042 жыл бұрын
Jamani uchunguzi ufanyike
@rashdiyange77582 жыл бұрын
inaweza kuwa ata wanafunzi wake wezi jua jamani walimu achen kupiga awa watoto mana wanafunzi wanakuaga washez sna
@nasraabdallah8502 жыл бұрын
Inalilahi wainalilahi rajiun 😭😭😭
@samsonkeheye19962 жыл бұрын
We mwandishi Bado hujaelewa kufanya mahojiano balozi amesema alifika kwenye tukio akakuta gari hapo inje Wala hujadadisi hiyo gari ni ya marehemu au vip pili hujataka kujuwa marehemu alikuwa anaishi mwenyewe ?
@steramwanakira71832 жыл бұрын
Tanzania so sad.cha first wee ungepiga fire straight away not police????
@fatmafatoom65532 жыл бұрын
Maana apo kuna dawa ya mbu chin na ges
@husseinkarim92112 жыл бұрын
Kumwita mwenyekiti badala ya kuzima Moto.
@farijalakhalid55582 жыл бұрын
Jamaa kavaa jezi ya mabingwa
@amadasaloon1012 жыл бұрын
mimi na gesi aaa wapi naokopa mbaka basi
@florahmushi7482 жыл бұрын
Hiyo gari si isngeahikiliwa mpk apatikane nani mhusika
@glorynguma35932 жыл бұрын
Kwa nn ufunguo ziwe nje za nyumba
@faithjonathan38452 жыл бұрын
Kuna mtu hapo juu kasema atakuwa aliuwawa nje ya hapo na mwili ukaletwa na kweli inaleta maana. Ina maana walimleta wakafungua na kumuacha afe ndani. Na ndio maana hakutoka kitandani coz alikuwa ashakufa wakati moto unawaka
@joshuarichad10002 жыл бұрын
Polen
@malugubrithon14782 жыл бұрын
Duh
@steramwanakira71832 жыл бұрын
So neighbours wanasongea instead of calling fire to save life????
@wazomyakinifu23012 жыл бұрын
Yaani wanapitia mzunguko mreeeeefu halafu mwisho hawaokoi maisha. Mjumbe unaitwa halafu mjumbe unaita mwenyekiti. Naye mwenyekiti mpaka aje ndiyo naye aite polisi si fire. Shida tupu yaani ktk urasimu huu
@berthamakortha83872 жыл бұрын
Wamemuuwaa wabaya
@victoravelin5752 жыл бұрын
Gariii ya nani???
@deusraphael29542 жыл бұрын
Wee mtangazaji nafkiri unatakiwa kwenye burudan huko ndo usema hizo a.k.a mwana si mwana sio huku kwenye hot news tena yenye content ya huzun 😓😓
@asmarajabu57862 жыл бұрын
na kweli kabisa
@dorisfabian47762 жыл бұрын
Kweli kabisaa hata hajafikiria etiii
@tatuuhmputen62692 жыл бұрын
Jaman shemeji angu baba cathhe umetuachia watoto wadogo sanaa 😭😭😭
@janejohn10832 жыл бұрын
Pole sana
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
Du poleni lakini najiuliza wakat wa iyo ajali mkewe na watoto walikua wapi?
Ajali ikitokea hamuingii mbaka aje mwenyekiti au polisi?huu itakuwa uzembe
@mwatatuhassan46632 жыл бұрын
Itakuwa ni watu
@fatmafatoom65532 жыл бұрын
Huyu anaonekana alipuliza dawa ya mbu huku gesi inawaka.
@ameenaameena12242 жыл бұрын
Sio vizur au
@zubedamagambo96002 жыл бұрын
@@ameenaameena1224 hutakiwi kupuliza dawa ya mbu karibu na moto.
@pendokomba83222 жыл бұрын
Yeah haitakiwi kabisa kupuliza dawa ya mmbu uku umewasha ges
@norberthyera34742 жыл бұрын
@@ameenaameena1224 Haitakiwi kabisa tena hasa ukipulizia na kufunga milango.....maana ile dawa ya mbu Ni gesi pia....!! So ukipulizia dawa ya mbu hakikisha kabla hujawasha moto fungua kwanza milango na madirisha ili ile dawa ihame kwanza mle ndani!!!
@maijohn48152 жыл бұрын
Sio kweli maana hawezi puliza dawa ya mbuu na yeye akiwa ndani...itakuwa kuna mtu kamuua alafu akachoma nyumba moto maana ufunguo kwanini uwe nje na mlongo wazi alfu yeye kakutwa chumba kwaiyo moto unavyo Waka yeye katulia tu jmn Dah poleni saana wafiwa wote
@mustafaalli46982 жыл бұрын
😢😢
@dakotakipaji22702 жыл бұрын
hi tanzania ya sas duuuuh so ya Amani tena
@baamed27942 жыл бұрын
R.I.P mwalimu
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Toba Yarrab😭😭😭
@tumainimwakafuta59692 жыл бұрын
R I p
@nolimittvonline68222 жыл бұрын
Hyu itakua Dem kamsaliti kamchoma
@sheldonford95042 жыл бұрын
Gesi ililipuka labda
@joycekaguo84762 жыл бұрын
Sio ges
@dorisfabian47762 жыл бұрын
Mhh hasa itakua nn jamn
@richardboaz-mashagospel23462 жыл бұрын
Yesu ni jibu, jamani tukumbuke yesu ni jibu... kzbin.info/www/bejne/raOXf3-FmLeVicU
@paulinakelvin10372 жыл бұрын
Gali lililokuwa nje nilamwalimu au
@beatricemkassa93402 жыл бұрын
Gari la mwl. Huyo mwl anamaisha mzr na nyumba anayo nzr..tofaut na hyo iliyoungua