Mambo ya kuyapinga na kuyakemea. i.) Mzito katika maamuzi ii.) kufanya kitu chini ya viwango iii.) Kafanya vitu viovu katika jamii ambavyo havifahi
Пікірлер: 26
@shantabengАй бұрын
Mungu akubariki sanà mchungaji.jaribu sana ufungue kanisa huku Kenya.
@MagretJonas2 ай бұрын
Asante ubarikiwe mtumishi abiud misholi
@KamugishaSupe7 күн бұрын
Huwa na jengwa sana na mahubiri Yako baba
@mwatelamakonde9 күн бұрын
Amen
@ALESIACHIJOKA7 ай бұрын
Mchungaji abiudi nakufurahia sana kwa mafundisho yako naomba msaada wako wa maombezi yako juu ya familia yangu. Haina upendo kabisa wa maelewano na mimi sielewi nakufuatilia sana pia napenda nyimbo zako hasa ule wa lini.utapita kwangu unanifariji sana uwa napata AMANI JUU WA WIMBO HUO ..NAJIPA MOYO SANA.
@estersteven59147 ай бұрын
Barikiwa Sana mtumish was mungu
@user-hs3us5fi3f5 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji , Samuel toka Congo Bukavu
@user-wu8ul3ri7l7 ай бұрын
Mungu ni mwema sana Damu ya yesu Inaponya Inaokoa Inasafisha Inaondoa mapepo ya kila namna Ashukuriwe Yesu
@veronicageorge84817 ай бұрын
Atukuzwe Yesu Kristo sana kwa neno hili la uzima Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Abiud
@josephkeah87347 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba ninakufatilia sana kutoka mombasa kenya
@moseskivinda-vl6fx7 ай бұрын
Amen,🙏🙏🙏 nimembalikiwa sana👏mtumishi wa mungu REV
@ElijahAmon-uq6zk7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Wa MUNGU napenda mafundisho yako Huwa yananijenga
@MicahWetunde-zv8ix5 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu misholi
@bonfacekenga10746 ай бұрын
Mungu akubariki muchungaji injili yakweli
@abednegosimoni77166 ай бұрын
Haya mahubiri Nayataka kwenye flash
@KiswahiliTV277 ай бұрын
Hii ni injili ya kweli.
@fedrickchongela33716 ай бұрын
Ameen
@ETTCTV-rb1tn7 ай бұрын
AMEN
@user-ll3jl7xf6e7 ай бұрын
Nasema Mungu akubariki sn Zaid sn mruhusu kudownload maana huwa najifunza mitamdaon kwa kuandika kabisa maisha yangu ni km nipo Iraq ila mitandao hii inanifanya nimfurahie Yesu
@FURAHATWINZI6 ай бұрын
Ubarikiwe
@user-vd8eq6eq5t5 ай бұрын
Nimebarikiwa Nina amani nimefunguliwa maana nimepiga miayo muda mrefu