Amina kubwa sana Mtumishi Abiud.... ubarikiwe sanaaaa
@LylianeBaumaLylyАй бұрын
Hawa ndo watumishi wa Mungu tumewatambua kwa matendo yao ubarikiwe mutumishi wa Mungu mafundo mazuri
@rehemakipesile493023 күн бұрын
Injili ya uzima itakiwayo ndiyo hii, Mungu akutunze mtumishi wa Bwana.
@CatherineOngondi25 күн бұрын
Amen namtaka yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yangu
@user-nx9qt3tp5s25 күн бұрын
Nashukuru MUNGU kwahajili ya kua wasi mbele za MUNGU, MUNGU aliye tufia msalabani anafurahi,anatukuka,akutie nguvu zaidi kushuudia jina lake🇰🇪AMINA
@FiniasDogeje22 күн бұрын
Ameen mtumishi wa bwana
@filsdepaluku3174Ай бұрын
Ubarikiwe sana muchungaji , naitaji siku Moja niudhuriye ibadani live I'm blessed and I want to change
@stephenmutinda736217 күн бұрын
😢😢😢mchungaji MUNGU akubariki
@mwambakibucheche1119Ай бұрын
Ee Yesu naomba unirehem.
@Melinajohn33012 күн бұрын
Nikwer dunia imesha Kama sasaiv watu wanauliwa wanatolewa vitu vya ndan mungu simama mwenyewe ututetee
@user-fy5wc8gt2o25 күн бұрын
Mungu mubariki mtumishi abihudi
@BENARDBARASA-ze6nmАй бұрын
Asante mhubili abiud. Barikiwa....nnapo kutazama nakunbuka kanda mwambie yesu, simama mwenyewe beans.... what atestimony
@BENARDBARASA-ze6nmАй бұрын
Sima mwenyewe bwana
@user-ed2jz5ym9u11 күн бұрын
Bwana akubariki. Na. Akutie. Nguvu
@mchjohnmasegese81934 ай бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu
@neemakameka363111 күн бұрын
Amen and Amen Dad
@evelynmollel9720Ай бұрын
Barikiwa sana mpakwa mafuta wa Bwana!
@BintEnockАй бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu hakika mafundisho Yako yanabariki sana mungu akulinde uishi miaka mingi
@andrewkasongo1368Ай бұрын
Ameeen, tusaidiye e Bwana
@ObadiaMwaseleАй бұрын
Amen mtumish mahubili ni lin kwenye Chanel ya sibuka samahan
@straton3722 күн бұрын
Amen
@Gwa-KayagaАй бұрын
Wito wangu kwa TV hii, isirushe uimbaji wa kisasa usiozingatia maadili ya kiroho hata kama ni zile za ki- E.A.G.T😢
@Mwasengadaniel9Ай бұрын
Amen ubarikiwe sana
@ELIASOINGEI-ir2ch4 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@emmanuelsichula71174 ай бұрын
Somo zuri na la BARAKA
@eliudmangure898226 күн бұрын
Amee
@user-hp4oh3mm9oАй бұрын
Ameni
@DelightfulArcade-nv7ju14 күн бұрын
Mahubir yaliyo ya kwer ndo msingi wa mkristo
@estherwilliam51253 ай бұрын
asante sana mchungaji,
@suzankamguna2 ай бұрын
amen Baba
@eliudmgani16154 ай бұрын
Amina
@janekulwa32692 ай бұрын
Ameeeen!
@EmmanuelGibson-sg5pu4 ай бұрын
🙏🙏🙏
@mikbeteАй бұрын
Hatuna wahubiri, nimegundua sasa! Lakini ABIUDI UNATISHA wewe ni mhubiri hadi naogopa.
@mikbeteАй бұрын
Sisemi hakuna wengine sisemi hivyo I was trying to emphasize on how limited people like him are! Nakupenda mtumishi wa Mungu ni aibu kwangu maana mimi ni mwenye dhambi ( nisaidie ee Yesu)