Hawa mzuri jamani mwenye anamjua anipe no yke jamani
@SalmaShalifu13 күн бұрын
Heee hii move mzuri sna
@Farouq-p6wАй бұрын
What a movie!!!!! Kazi swafi sana masha Allah 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@AgapeIsanja7 күн бұрын
Move Kali kweli aise imenidatisha
@FatmaAlly-b7i9 күн бұрын
Hongera sana Hawa umeonyesha msimam wako
@Salma0-u3e12 күн бұрын
Nampenda saana mwasi analiyA huku anatabasam ❤❤❤ pongezi yenu 🎉🎉
@BaligeBetriceАй бұрын
Movie nzur Sana na inatufundish meng Kwa wale ambao hawajaingia kwenye ndoa na pia ambao wap kwenye ndoa zao, kaz nzur Sana.
@HamisiMachinda7 күн бұрын
Kazi nzul sana 🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤🎉
@khamiskhamis12057 күн бұрын
❤❤❤ Safi sana Maganga anaweza 🎉🎉🎉
@WilsonOsamaiАй бұрын
Iko fty kabisaaa ❤❤❤
@SharonMuhuyiАй бұрын
Ama kweli hii movie ni funzo zuri Sana Kwa wanandoa Aja mungu atusaidie sana
@Lameck-g4nАй бұрын
Hawa ni mjinga sanaa uyo mwanamke hata kama ni pole hadi kwene ndoa
@Ann-Strong17 күн бұрын
Filamu nzuri yenye mafunzo Lakini mchina na kipara mtaniua na kicheko
@SalamaJuma-uf7doАй бұрын
Kupenda gan huko au uzamwamwa
@beautifulafrica688626 күн бұрын
Uwo ni uzamwamwa
@Silas-l6f2 ай бұрын
Ni movie nzuri sana❤❤❤❤❤❤
@JanetNjobvu-xf4vq2 ай бұрын
Movie nzuri sana inaelimisha sana❤
@EmmanuelMwachitiАй бұрын
Weee Mwasi Bana Kiukweli umeweza big respect uko vzuri
@fridahlenah-cf2ni2 ай бұрын
❤ Kenya Nairobi nzuri sana ongela sana mungu akubariki sana ❤️
@azizimhina670527 күн бұрын
maganga ametuangusha sana wanaume kw kukubali uchawi kufanya kaz kwake...😅😅😅 bonge la movie
@RokaiRokai-j6w23 күн бұрын
Nzuri Sana inafundisha
@ZacariasJoaquim-j9vАй бұрын
Ndani ya Mozambiq: Maganga, maganga, maganga we boya Kaká. Umesikia maneno ya Awa
@A7films255Ай бұрын
@@ZacariasJoaquim-j9v 😅😅nimejifunza kaka
@DianaMkembelwa2 ай бұрын
1mapema sana😅😅😅😅😅 like jamani
@edsoncavan2973Ай бұрын
Hii movie ina mafunzo mazuri sana
@DolphineNyanchokaАй бұрын
Walai movie imenifanya nitoe machozi na nimkumbuke mumewangu❤
@shabaningayamaАй бұрын
Alikuacha akaenda kuoa?
@beautifulafrica688626 күн бұрын
itakua
@witnessmaturege2944Ай бұрын
Hiii move imenikumbusha mika kadhaaa iliyopita nilipitiwa maumivu mpaka nikatamani kufaa Kama hawa niliendelea kuvumilia LA nikini wapi, nikaachwa pamoja na dua uvumilivu upole ndoa😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nikizisikia moyo unatetema naogopa balaaaa
@A7films255Ай бұрын
@@witnessmaturege2944 pole sana
@ZacariasJoaquim-j9vАй бұрын
Ndani ya Mozambiq: nyie vijana, funzo iliapa, kumuomba msamaa mkeo kwenye kosa sio ujinga,siku moja mutakufa kwa mawazo! kwetu tunaita (arrependimento)! Bom trabalho maganga!
@LomayaniLaizer2 ай бұрын
hawa mungu akubariki huo moyo wako
@PhilemonMaduhuАй бұрын
Nimeipenda hiyo 🎉🎉
@EmmanuelMwachitiАй бұрын
Uyu Mwamba,,,mbna anamcheza Hawa Hawa njoo mm nko Apa achana na uyo jamaa😂😂
@AishaZuber-z6gАй бұрын
Hawa ungekuwa ndo kama mm wowiiiiiiiiii lingekufa jitu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SalamaJuma-uf7doАй бұрын
Huwo sio upole bali niujinga NA utaila
@ChausikuAli27 күн бұрын
Mashalah hawa kwa kweli mola kakubariki kwa uzur uliokuwa nao umejaliwa mashalah sio kwa msambwanda huo😂😂😂😂 lakin mumeo mpuuzi watu wanawatafuta wake Kama hao
@grasygrasy1701Ай бұрын
Hawa wewe ni mzuri sana kuliko mchepuko wa mume wako❤
@PeterKimani-w1sАй бұрын
Kim from Kenya mko poa wasee
@RachaelMchanda27 күн бұрын
Movie kali sn mafunzo kaa yote nawapenda sn
@ZurahMukoya-r5q13 күн бұрын
Mambo mengine msiachukulie kivirahisi kama uigizaji wa kua tasa mkifanya movie,mungu anaichukulia serious, watch Nigerian movies
@AishaZuber-z6gАй бұрын
Haki ndoa mmmmmh ngoja nikae single😢😢😢😢😢😢
@Lameck-g4nАй бұрын
Upole pia niujinga mkubwa sanaa
@rahemh1234Ай бұрын
Bora niendelee nausingle wangu 😂🤣🤣 raha sana mbona sina moyo wa chuma mie
@MaryamHaidar-k4gАй бұрын
Uvumulivu kama wa hawa sifikirii kama ntawahi kuwa nao😢 c uvumiliv tena huo ni maradhi
@Farouq-p6wАй бұрын
Huyo kihara mwenyewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PendoHillary-tj7ul2 күн бұрын
😂😂😂😂nacheka kama mazur maganga kula chuma icho
@witnessmaturege2944Ай бұрын
What goes around comes around hawa umeanza kunifurahisha❤😅😅😅
@FadhilRashid-k2fАй бұрын
Nakubali famliya kubwa umo umo
@TeddyPaul-j3g2 ай бұрын
Daah amaizing
@KalumeKoiАй бұрын
Sana yn Iko poa
@Fiddkim2 ай бұрын
❤❤❤❤kenya😮❤
@A7films2552 ай бұрын
🔥
@rahemh1234Ай бұрын
Pamoja ❤🎉😂🇰🇪🇰🇪
@SalamaJuma-uf7doАй бұрын
Hawa mzuri jamani
@rahemh1234Ай бұрын
Hapo kwa piddy sasa😂😂😂😂😂
@Salma0-u3e12 күн бұрын
Kipara oro ni oro🎉
@JenniferRobert-ql6nnАй бұрын
Kiparakipara weeee😅😅😅
@FadhilRashid-k2fАй бұрын
Mwnangu dh itamthilia mume uwa dh sjawai pata tamsilia kali kama III dh oya wengine waitazame sana ili wapate fundisho dh
@IradukundaEvelyneEvelyne2 ай бұрын
Mwasi nakupenda bure wewe yanga kweli 😃😃😃😃 hutaki masiara kwenye doa yako nakubari
@A7films2552 ай бұрын
Uyo ni simba
@Fibi-og9ce2 ай бұрын
Daah funzo zuri sana...uvumilivu ni jambo muhimu sana ....tusisahau dawa ziko na mwisho wake 😂😂😂😂
@rahemh1234Ай бұрын
😂😂😂😂😂 Kipara kaz unayo et maganga ana tumbo kubwa kama sanduku la chip's wow 😂😂😂😂
@mahamoddales4443Ай бұрын
Napendaga mwasi anavo liyaga
@NikolausKelmenc2 ай бұрын
Jaman hii movie nizuri sana au nyie mnasemaje
@A7films2552 ай бұрын
Sanaaaaa tuuu
@IgnaseTalaboe2 ай бұрын
Asante kwa moovie kaka
@IgnaseTalaboe2 ай бұрын
Sizani kama kuna mwanamke mwenye busara na tabia za upendo kama dada hawa
@ummulkulsum6124Ай бұрын
Yes of course mume akianza usijiumize nawe mwaactie
@rahemh1234Ай бұрын
😂😂😂 mwanaume akikucheat ku double cheat . bana 🤣 🤣 maisha ya songe @@ummulkulsum6124
@Juma-v8u2 ай бұрын
Sinema ni mzuri lakini majina halisi hayakuchspishwa ila ni majina ya kubandika
@A7films2552 ай бұрын
Yote yaliyotumika umo ni majina halisi kaka hila tutafanyìa kazi
@AnneNabwire-t7hАй бұрын
Nitam.sana
@VeronicaJonh-b5iАй бұрын
Hawa namwonea huruma sana jaman
@mahamoddales4443Ай бұрын
والله حتى بكيت 😢
@KanyerereThomassАй бұрын
Ani ukiludiana na maganga sifatilii hi move
@rahemh1234Ай бұрын
Daa Hawa unaendana na huyo Nibra achana nahuyo mwenye kitumbo kaa stoo ya chips 😂😂😂 kipara kajua kunichekesha hatar 😂😂
@RamzJay24 күн бұрын
Hawa ni mwanamke wa pekee sana na mvumilivu kwenye ndoa ila akapta mume wa hovyo kabisa😂
@LaitoniRugendo7 күн бұрын
Mmh hii movie xo pw Kam unamoyo mwepesi unaweza kulia
@ChingaWanamaАй бұрын
Iyoo I meheenda
@Lameck-g4nАй бұрын
Hawa namuonea huruma lakin ni mjinga sanaa hatakagi kusema ukwel asaidiwe
@ChristopherChristopher-v3m29 күн бұрын
KaKa maganga umetisha sana ❤❤❤❤❤❤❤
@RachelJulius-fh9nl2 ай бұрын
Yaan nampenda mwasi❤❤❤
@LilianJuma-q6y2 ай бұрын
Filamu Iko sawa kabisa
@aminaramadhani81282 ай бұрын
Nani mwengine ameona hii movie Iko na mafunzo makubwa🔥🔥🔥
@UluMbwana2 ай бұрын
Kazi nzur tuu
@omaar5693Ай бұрын
1:39:42 vimakofi hivyo vinalia kama mateke ya BOLLYWOOD
@FARIDASAID18 күн бұрын
Kifungo
@KanyerereThomassАй бұрын
haki ya mungu ww dada ni mzr ww
@DianaRose-v4oАй бұрын
Mtu ajichanganye kwa mahi wangu aone😅😅😅
@A7films255Ай бұрын
@@DianaRose-v4o 😆😆
@DianaRose-v4oАй бұрын
Ukweli😂😂@@A7films255
@rahemh1234Ай бұрын
Akikucheat mdouble cheat 😂😂😂😂😂😂
@IgnaseTalaboe2 ай бұрын
Asante sana mwasi kwakumshahuri mke mwenzako
@NoorEesa2 ай бұрын
Wanne leo kutoka kenya ❤❤❤❤❤
@Irenefindason2 ай бұрын
Hawa nakupenda bure
@MATANOMBETSA2 ай бұрын
Ni nzuri
@LyidiaRupia22 күн бұрын
Ila kipara
@JohnNjuyuwi-c2tАй бұрын
Mbona mwisho haueleweki
@NasraMohamedi-f3m2 ай бұрын
Mm napenda Mr kawaida akifanya naaarabuka 😂😂😂
@EuniceOyamoАй бұрын
Hta kwa dawa siwezi vumilia
@ZacariasJoaquim-j9vАй бұрын
Ndani ya Mozambiq: We hii koboko yao nimechelewa kuipata!
@FrancisKaranja-h3s2 ай бұрын
Hi movie imenifunza sana 😢
@KanyerereThomassАй бұрын
maan maganga alikwamby humpi mapenz kama yul ten umrudie sitafatilia hii mov
@ZulfatRamadhani2 ай бұрын
Nimependa manganga na mke wake kuna sehemu wametupigia mambo ya India penda sana.
@A7films2552 ай бұрын
Asante sana 😢
@LilianJuma-q6y2 ай бұрын
Tumbo kubwa kama sanduku la chipsy nmecheka aisee hyu kipara ywanichekesha sana
@SwafaaMohamed-e2d2 ай бұрын
Hivi mwasi wewe ni muislam nakama ww ni muislam mbona hufuniki mwili wako sielewi ?
@IreneLaurian-q5q2 ай бұрын
Ayo nk maisha ake binafsi
@SaraRobert-io8xvАй бұрын
Kwaiyo hapo yuko uchi
@ZurahMukoya-r5q14 күн бұрын
Maisha yake binafsi hadi peponi nyinyi hamuogopi kiama
@witnessmaturege2944Ай бұрын
Kwani nibra ni ndugu nazumbaa au maana unafanana
@hateemmerj6020Ай бұрын
hiyo ngoma ya why ndo kero yangu tupeni link
@PendoHillary-tj7ul2 күн бұрын
😂😂😂eti mechi dakika 90 hujui kua waeza cheza ata masaa 5 na usifunge bao mjinga
@A7films255Күн бұрын
😀😀😀
@JustinMk-v3r2 ай бұрын
filamu nzuri, ndiyo dawa ya ndoa ni Subira.
@NgidaSiwe2 ай бұрын
Wanawake kama uyu kweli wapo
@salhamlanz98062 ай бұрын
Ndoa inamambo mengi jmn😢😢
@A7films2552 ай бұрын
Sanaaa
@Lameck-g4nАй бұрын
Part 3 A7 tafadhar
@A7films255Ай бұрын
Sawa kaka lameck
@omaar5693Ай бұрын
1:18:09 😅😅😅😅😅😅
@KanyerereThomassАй бұрын
kama huna chakumushauli toka hapo sasa apambanie ndoa mume wak hamtaki unazingua dada angu