Mm shabiki sana wako w movies zenu mbwela yani sina Tv ila simu ndio tv tosha nazipenda sana movie zenu jamani❤I'm from🇰🇪🇰🇪
@davykisabo8755 ай бұрын
Leo ndiyo nimeona uzuri wa kimu kwa jicho la kipekee sana
@SaudaIbrahim-xr4fw11 күн бұрын
Pambee tuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ShanyAbuzefa4 ай бұрын
Kimu hongera sana umeweza endelea dada uko vizuri ila huku Kwa uchawi Kwa tisha
@NifferWagee-kz2sv3 ай бұрын
Napendaga staili ya mbwela akiwa anaambiwa jambo na adui kama ana watu anawaangalia wote ndio anajibu ,kama yupo peke ake anaangalia kulia na kushoto ndio anajibu aisee napenda sana
@wizaraxx12565 ай бұрын
Hii movie ninzur sana lakin mwishoni mlifeli kaena makin napenda sana movie zenu 🇰🇪🇰🇪
@MaryamSaid-s3v2 ай бұрын
Yani hawa muvi zao nyingi nzuri ila zinavyoisha ndio mtihan sijui wanafeli wap
@OMOYUDATV2 ай бұрын
Mimi na mlevi tuko kimoja naomba likes hapa kutoka Kenya 🇰🇪 ❤
@TomJangal-l4l5 ай бұрын
Jamani kama mwasi ajaolewa naomba mawasiliano yake
@PaisibleKasamukulu5 ай бұрын
Kim naku penda sana toka rdcongo
@KibwanaJohn4 ай бұрын
Safi sana
@عليعلي-خ2م9د2 ай бұрын
Haa jamani ndipo mwavuka mipaka mlev katusi et sura kama nn chagueni matusi
@GodwinOmulamaАй бұрын
Napenda movie zenu sana
@AbediKanu-xt3iq14 күн бұрын
Eti tuliza nini yako!!!aibu hadi watoto wamekimbia kwend lala
@Director___Mwadadu3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉nice movie ❤
@SultanSultan-q6b3 ай бұрын
Hongren Kaz nzur
@BarasaRose8 күн бұрын
One love from Kenya manze
@ShijaJagady5 ай бұрын
jamani mwasiiiiiiiii umenitoa checked kwa sambwanda lako kudadeki😍😍😍
@anethkidai10604 ай бұрын
Duh! Mwasi anamtako huo❤❤
@GracedamaKasiwa5 ай бұрын
Like kwa mwasi
@Bint-Zanzibari3 ай бұрын
Sio mwasi NI kakoso😂😂❤
@SaudaIbrahim-xr4fw11 күн бұрын
Bi mgomba umetishaaa 😂😂😂😅😂😂😂😂😂😂
@MwanahamisiSalumu-uq2pj5 ай бұрын
Mme jua kutuonyesha sambwanda la mwasi😂😂 ila kazi nzuri sana sana kim
@ashajao4 ай бұрын
Mumeanza vizur mukmaliza ndivyo sivyo but mmejaribu❤❤
@FaithMalonza-l7t2 ай бұрын
𝙆𝙖𝙯𝙞 𝙨𝙖𝙛𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖💖💖💝💯
@danielaloyce84182 ай бұрын
mwasi humu ni laana🤤
@SaimonAlphonceLuoga5 ай бұрын
Mwas umesema uko singo naomba uwe mshangazi wangu😢😢😢😢😢❤
@fatumaandrea2475 ай бұрын
Mwasi dah Yale mavazi ya kwenye snek boy kumbe Yana kuficha msabwanda 😂😂😂 hahahaha mkovizuri
@davykisabo8755 ай бұрын
Kim Kim Kim Kim
@alexkatana50375 ай бұрын
Kazi Nzuri sana
@FatumaNasoro-z2b5 ай бұрын
Wakwaza mie Leo
@AbdalaYahaya-g3o5 ай бұрын
Daah mwas
@RoseOenga4 ай бұрын
Kazi safi dada ❤❤ keep it up ❤❤❤
@dicksondigungu39492 ай бұрын
Mwasi kiboko
@yusuphmdoe54515 ай бұрын
Ila hii kitu kali sana
@priscillahsirya65444 ай бұрын
Kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤
@RaimamomedSaide22 күн бұрын
We butua😂acha ujinga unasemaje pombe ni nzuri kuliko mke?nani angezaa km tungeowana na pombe?kazi nzur hongeren sana 💯 ila mwanji leo kawa nahasira zaid ya sana nahua sio kawaida yake 😢.
Mzidole iyo staili ya mdomo haijakupendeza😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EstherMaturi3 ай бұрын
Kim napenda inavyoonekana we ni mrembo sana❤❤❤❤❤❤❤
@MwizineMsangi4 ай бұрын
Utam kunogaa❤
@fadhilirighton9225Ай бұрын
Movie ambayo butua sijapenda ndio hii
@JafarySadick5 ай бұрын
Kazi kazi
@TantineZuzu5 ай бұрын
Good job 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮
@MongaNgoy-b2r4 ай бұрын
😂❤❤ ok slt
@fadhilirighton9225Ай бұрын
Wonder
@LaveLavy4 ай бұрын
Kim mi na kukubali sana endelea kuchenza kama wewe
@ponji_wana_man5 ай бұрын
all in all mwasi uo msambwanda omba nisiwe tajiri 😁😁🤣
@Twahamwela-ch5lzАй бұрын
Huyu tanu mtu mbadi sana yupo vzur
@nashclien76885 ай бұрын
Wa nne Leo kutoka 🎉🎉🎉
@DismasiHokororo5 ай бұрын
Du mwasi anamakalio 😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋
@Aisha-ld3ol5 ай бұрын
Mwasi hio kaza haikufai kabisa jamni daaah😢😮
@diakissd83534 ай бұрын
Iyo inatu furahisha Sisi wana Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@symorebeatztz66645 ай бұрын
Nimependa color grade.imetulia
@Mamu-w4k4 ай бұрын
Nampenda sn mwasi jamani
@chelahkenyah35962 ай бұрын
Wanaopenda matako ya mwasi tujuane😂
@OmmyMarx-d7w4 ай бұрын
Nimelizoooom 😊
@RoseOenga4 ай бұрын
Eti wanawake nyoko tena nyoko kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂anguka nayo😂😂😂😂
@DismasiHokororo5 ай бұрын
Mjamaa ambae anabeba manat ajui ndo amearbu h movie
@Midekotee4 ай бұрын
Butua🎉❤
@AlmasHussein-d8m5 ай бұрын
kumbe mwasi yuko vzr nimezoey akivaa manguo ya ajabu leo ndan ya kanga
@OthumankibabiKocho4 ай бұрын
Mwasi ana nyashi
@TightnotChome-fn2jy5 ай бұрын
Mwasi wewe nimrembo usije ukajiharibu kutengeneza uzuri zaidi kwenye mwili wako kama wengine hakutajwi watu sikuhizi😂😂
@rajabkiti8965 ай бұрын
Ooomay😂😂😂
@SammyEkai-r2x2 ай бұрын
Kim VEVO kufuli
@ValentineChepkemboi-jt7it3 ай бұрын
Nyc movie❤❤❤
@EstherMaturi3 ай бұрын
Mwasi anawezab❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SudimakukaMakuka4 ай бұрын
Jamani kama atujali nilikuwa naombi moja mwasi nimemuelewa
@SudimakukaMakuka4 ай бұрын
Kim nimsani mwenye uweredi wa kuingiza nampa bigap
@venancemwamfise75104 ай бұрын
Movie Ni nzuri Sana. Ila punguzeni lugha zisizofaa kwenye movie haswa pale msanii anapokua anaigiza akiwa na bad mood mfano hasira. Movie zenu tunaangalia na watoto wetu sasa maneno mfano MATAKO YAKO Alivyosema chapombe wetu butua Sio mazuri. Pia maneno kama PUMBAVU WEWE kama yalivyotumiwa na baadhi ya characters pia Sio mazuri. Vinginevyo mko vizuri Sana. Mkirekebisha Hayo,,, nawaona Mbali Sana nyie wasanii wetu.
@mymussept36623 ай бұрын
Mmmmh sasa hayo si maneno ya kawaida km pumbavu had kwenye biblia lipo sasa nawee kaaa mkuu wa nidhamu
@gershomchallo3 ай бұрын
Nimeipenda, natamani movie nitazame na wanangu au wazazi wakiwepo. ❤
@PelesianaBukuru2 ай бұрын
Hakuna watu wanaongoza kuongea matusi kama movie za kizungu ila sijaona hata mtu akisema ila watu kusema pumbavu tu inakua mbaya