KIJANA ALIEBADILI MAISHA YAKE KUTOKA KWENYE UMASIKINI NA KUA TAJIRI KWAAJILI YA UFUGAJI WA SUNGURA

  Рет қаралды 3,047

SAORE TV

SAORE TV

Күн бұрын

FUGA SUNGURA KIBIASHARA NA #SAORE COMPANY LIMITED NA UPATE ZAIDI YA MAMILIONI KILA MWEZI.
#SAORE_COMPANY_LIMITEDY KWA SASA TUNAPATIKANA MKOA WA KILIMANJARO,TANGA,DAR ES SALAAM,MOMBASA ,KAMPALA NA GOMA
MAWASILIANO
+255766676837
+255754239448

Пікірлер: 26
@nsengiyishuralevis
@nsengiyishuralevis Ай бұрын
Tunaomba nasi saore mje kwetu Burundi kuwekeza kwenye ufugaji wa sungura
@user-ld8it8fh6p
@user-ld8it8fh6p 5 ай бұрын
Kali sana
@JumaMkami
@JumaMkami Ай бұрын
Naitwa Abdul Rahman nipo Kintinku Manyoni napenda ufugaji naomba mje kintinku Manyoni mtupe elimu zaidi kuhusu ufugaji sungura na taratibu za Saole ltd .
@user-ld8it8fh6p
@user-ld8it8fh6p 5 ай бұрын
Naomba kujiunga
@user-oo1bt4rw6l
@user-oo1bt4rw6l 5 ай бұрын
❤❤
@Mirongocomedy
@Mirongocomedy 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@user-cq1ps7le8p
@user-cq1ps7le8p 5 ай бұрын
NÎKWELI KAMA ULIVYOSEMA MTU KUKWAMBIA SIRI YA MAFANIKIO NI NGUMU SASA USHAURI WANGU KWENU TUNÀOMBA MUANDAE SEMINA DAR ILI WAJASIRIAMALI WOTE WAKUSANYIKE MJE MTUPE MAELEKEAO ILI KUSUDU MUWASAIDIE WATU WENGI KUITAMBUA FURSA NA KUNUFAIKA NAYO. MAANA MIMI LAZIMA NITAKUA MMOJA WAO NIMEPENDA SANA KAMA UHAKIKA WA SOKO UPO MAANA NILIKUA NAFUGA KUKU MWISHO WA SIKU IMEBAK NAKULA NYAMA TU MWENYEWE
@kissomundende3696
@kissomundende3696 5 ай бұрын
Je, kama Ninao sungura wangu lakini sijachukua kwenu hatuwezi Fanya BIASHARA??????
@Saoretv
@Saoretv 5 ай бұрын
Tunafanya biashara
@user-ws8vd3vh6k
@user-ws8vd3vh6k 5 ай бұрын
Nimevutiwa sana na hii kitu ila nahitaj kujua mengi dar es salaam mpo maeneo gani maana tunahitaj kufaham mengi n'a mtaji ni shilling ngapi
@Saoretv
@Saoretv 5 ай бұрын
Karbu kuanzia laki 6 na kuendelea
@user-ns9mq9jz8s
@user-ns9mq9jz8s 2 ай бұрын
MIMI NINA SUNGURA 10 NAHITAJI KUWAUZIA NIKO DODOMA NAWAPATAJE
@Saoretv
@Saoretv 2 ай бұрын
Piga cm boss
@user-ld8it8fh6p
@user-ld8it8fh6p 5 ай бұрын
Nahitaji kujifunza hii fursa nimevutiwa sanaaa mnapatikana wap au sisi wa manyara tunapataje huduma
@Saoretv
@Saoretv 5 ай бұрын
Manyara mnapata huduma kutoka kilimanjaro
@WitnessNnko
@WitnessNnko 3 ай бұрын
Mwanza mnapatikana wapi
@WitnessNnko
@WitnessNnko 3 ай бұрын
Mwanza mnapatikana wapi
@Saoretv
@Saoretv 3 ай бұрын
Kilimanjaro,tanga na Dar es salaam Mawasiliano +255754239448
@user-ns9mq9jz8s
@user-ns9mq9jz8s 2 ай бұрын
​@@Saoretv Mimi nina SUNGURA 10 NAHITAJI kuwauzia Niko dodoma nawapata Kwa utaratibu gani
@user-oo1bt4rw6l
@user-oo1bt4rw6l 5 ай бұрын
Nimetamqni kuwa mfugaji vip bagamoyo tunapataj huduma
@Saoretv
@Saoretv 3 ай бұрын
Tanzania nzima mtapata huduma Piga simu +255754239448
@ali_ford
@ali_ford 3 күн бұрын
​@@Saoretvzanzibar hampo?
@priscuskii9800
@priscuskii9800 5 ай бұрын
Arusha mpo?
@Saoretv
@Saoretv 4 ай бұрын
arusha mnapata huduma kutoka bomang'ombe
@JumaMkami
@JumaMkami Ай бұрын
Naitwa Abdul Rahman nipo Kintinku Manyoni napenda ufugaji naomba mje kintinku Manyoni mtupe elimu zaidi kuhusu ufugaji sungura na taratibu za Saole ltd .
@Saoretv
@Saoretv Ай бұрын
@@JumaMkami tutakaribia ndugu kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa 0766686837
UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI BIASHARA | Biashara ya Kuku wa Kienyeji
10:05
WASILIANA NAS KWA NAMBA 0754239448
0:47
SAORE TV
Рет қаралды 66
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
MAKABIDHIANO YA SUNGURA TUANGOMA DAR ES SALAAM
15:58
SAORE TV
Рет қаралды 1,5 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 52 М.
MABANDA BORA YA UFUGAJI SUNGURA KIBIASHARA
2:23
Makupa rabbits
Рет қаралды 3,2 М.
Mkulima Ni Ujuzi : BioGas From Rabbit Waste #FlexiBiogas
44:24
Flexi Biogas
Рет қаралды 35 М.
KILIMO BIASHARA | Kilimo cha Sungura mjini
2:57
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,4 М.
Leaves/food that rabbits eat
10:56
Chidera Nwafor
Рет қаралды 125 М.
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН