nalipwa kwa miezi mingapi baada ya hiyo miezi mitatu ya mwanzo?
@digitalaffiliatemarketing210Ай бұрын
Tunaomba ufafanuzi zaidi kuhusu hizo pesa anazozipata mfugaji kila mwezi baada ya mavuno ya miezi mitatu ya kwanza
@digitalaffiliatemarketing210Ай бұрын
Kawaida sungura anachukua mwezi mzima hadi kuzaa watoto..sasa utapataje hizo pesa za kila mwezi wakati sungura mmoja anachukua miezi isiyopungua mitatu kukua na kufikia uzito wa soko 3kg+??
@michaelooko17779 ай бұрын
Kenya mnapatikana wapi
@Saoretv8 ай бұрын
kitengera count
@kassimsuleiman7338 ай бұрын
Jee hii 600000 au hii 2400000 mutanijengea na banda la kuwaweka au ni juu yangu ?
@Saoretv7 ай бұрын
Piga simu kwa maelezo zaidi +255754239448
@CatherineNoya3 ай бұрын
Atachukua kwa miezi mingapi baada ya miezi mitatu kupita?
@Saoretv3 ай бұрын
@@CatherineNoya miezi 21
@FatumaKabihogo9 ай бұрын
Shikamo sasa nikiwa Burundi naweza kujiunga n'a saore jibu mutakuwa mumenisaidia jirani zetu wazuuuri
@Saoretv9 ай бұрын
Popote ulipo tunaKufika kwa Burundi tupo Bujumbura Mulamvya
@peterkaji75529 ай бұрын
Safi sana.
@FatumaKabihogo9 ай бұрын
Shikamo sasa nikiwa Burundi naweza kujiunga n'a saore jibu mutakuwa mumenisaidia jirani zetu wazuuuri