Makonda Mungu akupe maisha marefu, Mungu akuzidishie ekima kwenye uongozi wako❤🌹🌹🌹
@djchiccotzofficialdjorigin1280Күн бұрын
NICE SONG GOOD SMS THANK GOD
@DanielNsekela-d7o2 күн бұрын
Makonda, Churchill, Arusha on fire
@queenclement76762 күн бұрын
Kila jarubu linalokuja kwenye maisha yakoo linakuja kwa sababu ya kukufikisha sehemu fulanii Atukuzwe MUNGU Anaetuwazia yalio mema
@BenedictaMagantg2 күн бұрын
Indeed,and Amen
@petermanala613821 сағат бұрын
Hata Mimi Huwa naamini hivo japo kibinadam utaumia
@janechambi5352 күн бұрын
MUNGU amekuinulia watu wa kukurejesha kwenye original yako bro!
@beatricesamwel9133Күн бұрын
Jaman huyu ni janaba au?
@LidyaSilaa2 күн бұрын
Makonda njoo na shinyanga sasa ipo nyuma sana jamani duh
@idawamediaКүн бұрын
Hahaaaaaaa
@MwahijaSamata2 күн бұрын
Duhhh jamaa mkaliiiii
@Kusag-i9z2 күн бұрын
Kabangi bana anawapeleka
@KhadijamussaMachapatКүн бұрын
Kama ni Janaba? Kama ni yy basi Wakati wake umefika maana ni muda mlefu anasonta jamani nilimuona zamani Sana kwa kina Madam Rita kitambo au siyo huyu nauliza jamani?
@hellendaniel380911 сағат бұрын
Sio yeye
@patsonmshani23192 күн бұрын
Wangemwacha na meno yake ivo ivo iwe kama identity yake yaani utambulisho wake ingekuw poa sana