KIJANA MZALENDO ACHARUKA "ALIYETOA VIBARI JENGO LIKARABATIWE AKAMATWE AFUNGWE NA ANYONGWE"

  Рет қаралды 8,710

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@HilaryNjama66
@HilaryNjama66 6 күн бұрын
Safii sana umeongea ukwel vibal kavipata wapi
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 5 күн бұрын
Point 🎉
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 5 күн бұрын
Asante upo sahihi mtowa kibali ndio wakwanza hapo
@asifiweKilasi
@asifiweKilasi 4 күн бұрын
Hilo jengo imiliki selikali maana wengine tumepoteza ndugu wawili kutoka makambako bado hawajaonekana
@AshaAbass-n7f
@AshaAbass-n7f 6 күн бұрын
Nakubaliana ma ww asilimia mia moja ni lazima hao wahusike ikiwezekama na ss wananchi tujue lila kitu kuwahusu.
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 6 күн бұрын
Hata Mimi nilishangaa kuona mawaxiri wamekunja nne kwenye benchi wakiangalia watu wa wakiangalia. Duu
@sikukuudena2929
@sikukuudena2929 5 күн бұрын
Asate sn mngu akubari mm n mkenya lkn kaka yangu umaogea sahihi❤❤❤
@AngelFelix-wz2ry
@AngelFelix-wz2ry 6 күн бұрын
Umeongea pwenti sana
@amosisamson-f1d
@amosisamson-f1d 6 күн бұрын
umeandka nn😮😮😮😮
@jovithakawimbe7472
@jovithakawimbe7472 5 күн бұрын
​Ameandika pwenti😂😅?​@@amosisamson-f1d
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko 6 күн бұрын
❤❤❤
@GideonNzige-k7i
@GideonNzige-k7i 6 күн бұрын
Umeongea ukweli jengo kwanza hukaguliwa mchoro yapili wakati wa kujenga hukaguliwa hatua kwa hatua, na Store huwa zinalipiwa na serikali huchukua kodi je hawakuliona hilo?
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 6 күн бұрын
Kijana mzalendo napenda kumfatilia akili nyingi sana
@HilaryNjama66
@HilaryNjama66 6 күн бұрын
Umeongea ukwel mung akubarik
@HilaryNjama66
@HilaryNjama66 6 күн бұрын
Kwel kabsa
@miriamjohn7644
@miriamjohn7644 Күн бұрын
Eeeeeeh hejeje anyongwe?
@Nasibu-i6b
@Nasibu-i6b 5 күн бұрын
Mbona Huwa anatukana watu
@SaveraRwezaura
@SaveraRwezaura 5 күн бұрын
yaani hawa wanachekesha kweli jamani, wanashindwa kuokoa watu wanabaki kwenye mijadara ambayo haina maana na mantiki, jamani serikalini muwashauri wakandarasi jamani wawr na plan B sio wanashauriliwa ujinga mtupu
@Teaching356
@Teaching356 5 күн бұрын
Ndio fanya ivo ili wengine wapate funzo na kuongeza umakini maana watu wamefanya vitu makusudi na kwa dharau upuuzi mtupu
@maase2023
@maase2023 6 күн бұрын
Na ikisha hajui sheria zinasemaje yy anarukia wanyongwe mpumbavu huyu
@MuhemeliChikoti
@MuhemeliChikoti 6 күн бұрын
Sasa kama mwenye mjengo hana makosa ni nani ambaye ameweza kutoa maamuzi ya kurekebisha mjengo usiomuhusu?
@boscomwangosi1042
@boscomwangosi1042 5 күн бұрын
Swalilako la kitoto. Huwezifanya Chochote mjini bila kibali, inamaanisha alitakiwa akataliwe na wagsguzi asijenge. Sasa wakaguzi wakimluhusu na wao ndio wataalamu yeye anakosa gani?
@HilaryNjama66
@HilaryNjama66 6 күн бұрын
😂😂😂😂
@maase2023
@maase2023 6 күн бұрын
Anaongea pumba tupu huyu
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 32 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 34 МЛН
SHUGHULI ZA BIASHARA ZAREJEA KARIAKOO
5:38
Wasafi Media
Рет қаралды 1,2 М.
APOCALYPTO 2006 FULL MOVIE SUB INDO..
2:18:22
Sheva.05
Рет қаралды 13 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59