KIJANA MZALENDO AMKINGIA KIFUA NIFFER "WAMEMUONEA HUYU BINTI RAIS AMUAJIRI AMPE KITENGO KUHAMASISA"

  Рет қаралды 4,533

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер
@generosennko8343
@generosennko8343 Күн бұрын
Nakubaliana na huyu mzalendo. Pengine watu wamepoteza imani na hiyo mifuko ya serikali kwamba watu hawasaidiwi kikamklifu. Watu kama niffa watiwe moyo zaidi badala ya kukatishwa tanaa. Ofcourse wawe accountable kwa kuwawekea utaratibu nje ya utaratibu wa kiserikali
@evelina9621
@evelina9621 17 сағат бұрын
Uchangishajianayejitolea Nia,,zuri
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Күн бұрын
Kijana mzalendo yuko vizuri
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s 23 сағат бұрын
Duh nilikyw nahuzun lakin mpak Nimecheka 😂😂😂, jamaa anaongea ukweli mtupu
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 19 сағат бұрын
Serkali ya ccm,kupitia kwa bestman (Majaliwa)Mzee wa send off .Maana yeye kila siku ni kupendeza tu.( Kuulamba) Wanamfiafia.Niffer eti kuwachangisha Wananchi,di bora huyo maswaiba wao akina Mwamposa.wanatuibia kila.siku na mmenyamaza.tena huyu aliua.watu arusha mkamkingia kifua.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Күн бұрын
Niffer the big brain....
@elisantemwende4956
@elisantemwende4956 Күн бұрын
Hongera Mzalendo; Rais na Waziri Mkuu watafakari, kwa kina, uzito wa hoja zako!
@ChachaNyabare
@ChachaNyabare Күн бұрын
Siwafichi raia tuliokoa watu wengi sana kuliko vikosi vilivyo kuja ni vile tu sisi hatukuwa serius kujipiga picha na wasingetufukuza huwenda tugeokoa wengi zaid mana ramani ya jengo tulikuwa tunaijua zaid yao
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s Күн бұрын
Mjomba umeongea point sanaaaa,Kweli sasa weyee mtu kutoka ujeruman atajua vip raman ya jengo ilooo😢😢😢
@SalumJohn-h2s
@SalumJohn-h2s Күн бұрын
Yaan mambo ya serikali we acha2,ovyo ovyo2
@TheodoraAnatory
@TheodoraAnatory Күн бұрын
Sawa hakufuata utaratibu, kwanini akamatwe? angeitwa akaeleweshwa basi akafuata.
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 Күн бұрын
Umeongea point zote
@youthmediatv1
@youthmediatv1 Күн бұрын
Bro umesema kweli
@Judithmlay
@Judithmlay 23 сағат бұрын
Mashaka mzima
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b Күн бұрын
Sio hizotu Za Majanga Ya Manyara. Hâta BUKOBA Kwenye Tetemeko La ARIDHI MAGUFULI AlIZUWIA Pesa Zote Zilizochangwa kwa Kifupi Serekali Na Chamachake Ni Matapeli Na Wezi Wakubwa Mnaiba Hadi Pesa Za MAITI.
@Hdhdj-t7j
@Hdhdj-t7j 20 сағат бұрын
Nifa pongezi zije kwako.
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 Күн бұрын
Ahsante kijana..Niffer alisukumwa na robot ya imani..mbona alitangaza mwenyewe kwenye mitandao..kwamba jamani nimechangiwa kiasi fulani kwaajili ya waasirika.. Tumhurumia.....
@JohnmuvungaVitale
@JohnmuvungaVitale Күн бұрын
Point 2
@MunguliloManoni
@MunguliloManoni Күн бұрын
Huyu kijana yuko sawa na usikute Niffer aliamua kuchangisha baada ya kuona vyombo vya uokoaji vinachekewa kutoa msaada kwa hiyo yawezekana yeye na watu wengine wenye ndugu walioathiriwa waliona itumike njia hiyo ya haraka kupata fedha za kuwapa motisha vijana wazalendo waokoaji wa kujitolea ili kuokoa watu.
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 19 сағат бұрын
Majaliwa na ccm wote Hovyo.Wssiwssi wa majaliwa ni palé ofisi ofisi yake kukaa kimya.Mfuko wa maafa unatumika vibaya.Ccm wanaiba kila kona,kuanzia kura mpaka mifuko ya.kijamii.Sasa wengine tukaibe wspi!!
@SalamiMzinga
@SalamiMzinga 20 сағат бұрын
Nikweli ajiliwe
@Christina-i5u
@Christina-i5u Күн бұрын
😊
@TheodoraAnatory
@TheodoraAnatory Күн бұрын
Nakumbuka kipindi cha TETEMEKO Mkoa wa Kagera, Wananchi wakachanga ili kusaidia wananchi wenzao, CCM wakasema pesa inajenga miundo mbinu ya serikali kana kwamba hakuna mfuko wa majanga. JAMANI MHMH
@Judithmlay
@Judithmlay 23 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Күн бұрын
Alikuwa hajui utaratibu wangemuelemishe tu siyo sawa kumfunga au kumpa adhabu yoyote
@dilludillu2747
@dilludillu2747 Күн бұрын
Kutokujua sheria siyo kinga
@MunguliloManoni
@MunguliloManoni Күн бұрын
Kwa hiyo inawezekana serikali hili ndilo liliwakera maana itaonekana wao walizembea kuwahi kwenye tukio
@peacemwesiga
@peacemwesiga Күн бұрын
Da!!! !!!
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo Күн бұрын
Mimi na peleka kwa nifa hata kama amefungwa selikalini sipeleki
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op Күн бұрын
Huo ndo ukweli kwenye pesa watu wafate utaratibu kuokoa je?
@samsonrusagira5168
@samsonrusagira5168 Күн бұрын
Nifa astahili kupongezwa na si kushikiliwa na Polisi.Hajafanya uhalifu wowote.
@vedastusmlavumba1158
@vedastusmlavumba1158 Күн бұрын
Niffer sio mbaya aachiwe huru bila masharti
@AshrafLema-n5r
@AshrafLema-n5r 18 сағат бұрын
Swala ni mwananchi gani alilalamika kwamba Niffer kawatapeli pesa ya kuwasaidia wahanga wa kariakoo!? "Kama hamna walalamikaji kutapeliwa pesa kwa ajili ya maafa yaliyotokea k,koo basi huyo Niffer ni mtu muhim sana kitaifa aliyeaminiwa na wananchi ambao walitosha kwa imani yao kuthibitisha kwamba alifaa kukusanya pesa kwa ajili ya wahanga.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2 МЛН
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 213 МЛН
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 21 МЛН
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 381 М.
Новости дня | 24 ноября - дневной выпуск
4:43
Euronews по-русски
Рет қаралды 30 М.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2 МЛН