Millard naomba umuongezee huyu kijana wako Mshahara plzz, anafanya kazi poa sana na anajituma plzz
@giftmeela62503 жыл бұрын
Millard muongezee mshahara huyu bro anajituma sana
@nessa48993 жыл бұрын
🎊💫🍹🎉🥇Congratulations Mr&Mrs Brian and Sarah, we Tanzanians love you guys, and we will support you in prayers, what a beautiful and wonderful couple.
@sweetluc26603 жыл бұрын
Tunawatakia maisha meme
@felisterligwa3 жыл бұрын
proud to be catholic,may God bless their holy union
@rlh-tz3 жыл бұрын
Brian Huyu Hapa akiwa kwa TB Joshua kzbin.info/www/bejne/Z4vcYoWgrqurZqc
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Good Job My fellow Men....Sio tu Elimu tu nje ya nchi yetu tunatafuta hata ndoa....Safi Sana.... Wanaume wa Tanzania....
@shiksshiks84943 жыл бұрын
Congrats to them! Huyu mzee victor babake mdogo Brian weuh anaonekana alikuwa anatesa sana akiwa kijana😜😜😜😜very handsome🥰🥰🥰
@halimajuma30773 жыл бұрын
Kama Nawewe umeona biharusi ana mimba weka like tujuane,,
@brigithadidas51283 жыл бұрын
Eh ndg yangu hyo binti tangu nimjue huo ndo mwil wake mbona
@sylvesterjose32863 жыл бұрын
We unafikiri wanaoana wale viazi au hujui majukumu ya ndoa?
@myunaniniahmad64633 жыл бұрын
@@sylvesterjose3286 sasa mimba ni kabla ya ndoa au ni baada ya ndoa?
@rlh-tz3 жыл бұрын
Kama ni Mimba kweli basi ujue kama walivyoeleza ndoa ilifungwa muda mrefu ila sasa ili Brian aweze kushiriki taratibu zote za kikatoliki lazima afunge ndoa katoliki hivyo hapo ilikuwa kumpa Brian haki yake km mkatoliki lkn ndoa ilishafungwa muda mrefy
@patrickKitambo3 жыл бұрын
Lazima utest mitambo usije ukaiziwa mbuzi kwenye gunia
@chimaegbe17113 жыл бұрын
GOD is good i LOVE that. May the right hand of GOD be with u in ur marrital life in JESUS CHRIST NAME AMEN. CHIMA EGBE
@bienvenuebisimwa93083 жыл бұрын
Félicitation mon frère,vous avez une bonne belle belle-famille 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mamikashoba33723 жыл бұрын
To God be the glory thank you lord Jesus Christ for this couple 🙏❤️❤️❤️💕💕💕
@vero573 жыл бұрын
TANZANIA SAFIRI HII, TUNA HISTORY, HONGERA SANA
@tiamo7263 жыл бұрын
Kwani before mlukuwa hamna history
@makulaikuku69093 жыл бұрын
Huyu kaka kazi yake nzuri sana anaijua kazi yake hongera kwa hili
@salhamrisho81383 жыл бұрын
Woow watu na mapesa yao hapo ata ukimkanyaga m2 ujue kuongeya kizunguzungu mweeeh🤩
@malopemaliyamungu52433 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@olivervalentino97883 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Vyote hivyo tunaviacha very soon!!
@salhamrisho81383 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 kabisah 😀
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Honger zake huy kijan👍💕💕
@goodnesschukwu43553 жыл бұрын
God's grace and Strength blessings be upon them in Jesus name Amen
@hadasaisraeli29713 жыл бұрын
I wish long life and happily ever after for both Brian and Serah now they are Mr & Mrs Brian.
@paulamaya94723 жыл бұрын
Sasa unamsaritije mtoto wa prophet safi saaana.❣️❣️❣️❣️
@innocentmality19903 жыл бұрын
Wishing them Happy marriage after..God bless them. Big up Newlookbridal Arusha Tanzania 🇹🇿
@sweetletmushi14103 жыл бұрын
Ninawatakia marquis Bryan na Serah maisha mema gente amani ni furaha. Hongera sana Bryan kwa kimura mtoto wa mtumishi maarufu duniani ,Mungu ni mwema sana
@raphaelkatanga53353 жыл бұрын
Safi
@nessa48993 жыл бұрын
Woww thank you prophet Tb Joshua for allowing us to marry your daughter. God Bless you more and more.
@vibetz99913 жыл бұрын
Mwana akitaka kucheat, mzee nigeria anaoneshwa ndotoni, siku mbili kabla hajachepuka,,,,,, kwaio Atulie...
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Dah.... mkali umewaza Sana
@brigithadidas51283 жыл бұрын
Kijana mwenyewe mtumishi wa scoan😀
@sarahgaula22203 жыл бұрын
Hahahahaha
@JOHN16verse333 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@corethasanga1073 жыл бұрын
Nacheka mno kama mazuri, ila wanaume wetu jamaa ajitunze maana kale kamsemo la wataachana tu kasitokee
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Weeeeeeeeeuuuuuweeeeee Tanzania tumepata mkwe wa kichungaji weeeeeeuuuuweeeee
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
Hongera sana kaka,goli LA ushindi hilo....Tanzania kama Tanzania,kazi iendelee
@mwikalijoeephine15223 жыл бұрын
Ur blessed
@sarahoginga58193 жыл бұрын
Wow that guy is cute...
@onesmodaniel10063 жыл бұрын
ARUSHA WAS OYEEEEEEER
@josephluvanga52333 жыл бұрын
Vyuma Vyenyewe Tu Hatari Aiseee 🗣🗣
@olivervalentino97883 жыл бұрын
Sio vya inch hii😂
@dorcyjohnson54313 жыл бұрын
Weee ma V8 ya maana uku ni magar ya serikali ayo
@nurukwilabya27903 жыл бұрын
Waooooh karibu wifi yetu Watanzania wako poa
@zakyahya46453 жыл бұрын
Mmh sio wa Tanzania nao wajua mimi walivyo na midomo mawifi wa tz
@mabelgonzalez49293 жыл бұрын
Tradusca a español.escriban desde aqui Managua Nicaragua centro america veo Emmnuel tv
@EricaSumary7 ай бұрын
😊o 0:46
@tresiakaovela91093 жыл бұрын
Padre ameongea vizuri saana
@emmypaschal51853 жыл бұрын
Mashallah
@jeanneirakoze67993 жыл бұрын
Ndio Sababu Marehemu TB Joshuwa akuuzulia iyi ndowa bi Harusi ana mimba
@unknownbutterfly63103 жыл бұрын
Huyu Briyan nae anaoa Asubuhi, Mchana na Usiku kama dozi ya Maleria.....🙌🙌
Kwa hiyo kijana amefunga ndoa tatu yaani ndoa kiserikali na ndoa kipentecostle na ndoa ya kikatoliki??? Kazi ipo pesa in kitu engine kabisa
@wlkmwlkm33813 жыл бұрын
Really 😳😳
@nyasiopascal18673 жыл бұрын
Ndoa wamefunga Mara tatu🤣🤣🤣🤣 haijawahi tokea toka Adamu mpaka hii leo mmevunja record duniani
@fjojoly3 жыл бұрын
😂😂😂
@davidlukumay22263 жыл бұрын
Hahahha
@debrahcharz43063 жыл бұрын
Unakutana na mawifi wa kibongo dada jikoki
@cheiknamouna20583 жыл бұрын
Haya utambulisho wa ndoa juu ya ndoa umeisha maisha yaendelee
@gilliansiara3324 Жыл бұрын
Ok
@azizawadh59733 жыл бұрын
Kumfundisha kichaga kwanza
@barankotv94623 жыл бұрын
Sure
@upendolaizer7613 жыл бұрын
Mungu ataleta hukumuni kila kazi neno La Mungu haliruhusiwi kuongeza wala kupunguza cheti cha ndoa huwa kinatoka serikali iweje Leo ndoa inafungwa Mara tatu Mungu turehemu
@bernadetamodest61703 жыл бұрын
Ndyo maana kuna m2 anafanya kaz serikalin means ana chet cha serikali but yampasa kuangaika na vyet vingine vya kiiman,pili sheria za kikatolik hazimruhusu m2 atoke kanisan kwake akafungie ndoa dheheb lingine hivyo ilimpasa afunge ndoa kwake pia
@omgsafaris3 жыл бұрын
Machalii wa Chuga si wa mchezo mchezo, wamegwara kitu ya mukubwa pasi ya fasi , chaaap
@bakariamour60243 жыл бұрын
Wewe padre usituongopee toka lini ndoa ikafungwa mara mbili ? Hiyo si ndoa ,
@josephluvanga52333 жыл бұрын
Nouma Sana Aiseee 🙏🙏
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Kwanino
@petroniammasi69993 жыл бұрын
Hata @masipety kaolewa ba Mzungu na @pesa_mjini_heshima ni shidaaaa
@Joymosi-x3l12 күн бұрын
Kwn wengine walimpa mungu nn
@liliankiondo44573 жыл бұрын
Kumbe ndomana nili kutana v 8 zakutosha nikajua labda harus ya mkubwa flan hiv
@@tanzaniatouristsattraction1622 we soma vzur bhana
@mariamsuma30033 жыл бұрын
Mashaallaah
@saidymsangi77853 жыл бұрын
Chalii wangu leo ndio anavuta mama li-ndari
@greatiq78353 жыл бұрын
Hivi, "kijana" umefikiria kweli? Au tayari una "ng'ombe" wa kutosha "kuwabigijiisha!?
@magiehermess99493 жыл бұрын
Let me mind my own business ooh
@barikielisaktay74043 жыл бұрын
In spiritual platform this's none sense
@shamimushittindi14183 жыл бұрын
Heshimu maisha ya watu
@jannuary263 жыл бұрын
never judge man
@soniasinclair4593 жыл бұрын
NOH COMPREHEND
@massoudjr61463 жыл бұрын
Kwaiyoo
@furahasanga25343 жыл бұрын
SI TU AMEOWA MWAFRIKA MWENZAKE ANGEWEZA KUOA HATA MZUNGU, ANGESEMA VINGINEVYO NISINGE MWELEWA MUNGU AMBARIKI BABA PALOKO.
@magrethmollel10783 жыл бұрын
hata angeoa mzungu la ajabu ni lipi kuoa si kuoa shida ya wabongo wanaju kushobokea ujinga
@dominicjulius31083 жыл бұрын
Kwann msiseme mtanzania wa arusha ndo nn
@hatumpika79753 жыл бұрын
😅😅😅😅🤣unaona eh
@eddybrokali36003 жыл бұрын
wachagga og
@babyneytemu5253 жыл бұрын
sisi ndo wachaga bn
@brysonuronu58623 жыл бұрын
Santeee
@jaklinifaustini42593 жыл бұрын
Honger
@azizaisack25723 жыл бұрын
Mh kumbe ndomn Jana yamepita magari yamaan nikashangaa
@myunaniniahmad64633 жыл бұрын
Ungefatilia ujue kuna nn?
@azizaisack25723 жыл бұрын
@@myunaniniahmad6463 nmeambiw nishereh ila sikufatilia vzur
@myunaniniahmad64633 жыл бұрын
@@azizaisack2572 ok my, kwema lakini?
@azizaisack25723 жыл бұрын
@@myunaniniahmad6463 kwem
@KADALAtv2553 жыл бұрын
Muandishi hujaitendea haki habari hiyo NI kubwa. Muandishi hujui kabisa eti wanasema alifunga ndoa huko sasa Padre unamchosha tu inamuhusu nini?
@valerianmchau51883 жыл бұрын
Mangi kachungulia fursa
@minmaxc4853 жыл бұрын
😁😁😁😍
@toweman64843 жыл бұрын
😁😁😁
@josephluvanga52333 жыл бұрын
Joe na Lydia soon 🤣🤣
@jacklinethomas1103 жыл бұрын
Padri endelea nautapeli wakufunqisha ndoa juu yandoa ila tambua munqu anakuona
@hellenmgungus29353 жыл бұрын
Mh??kwanini
@eddyjuniortz22343 жыл бұрын
Jamaa alikuwa na mke nn
@shamimushittindi14183 жыл бұрын
Ndoa ya serikali na kanisa ni muhimu kwa watu wa mataifa tofauti kama hujui uliza kuliko kukashifu
@faustampunza16543 жыл бұрын
Nilichoelewa hii ni ndoa Mseto Yani Kaka ni mkatoliki dada ni mpentecoste sasa ili kkaendelee na kanisa lake imefanyika hivyo
@bibianabenedict24593 жыл бұрын
Padre yupo sahihi ,hii ni ndoa ya mseto ili bwana harusi abaki kuwa katoliki ni lazima wafunge pia ndoa ya katoliki.ni taratibu na sheria za kanisa la Katoliki
@dibabatv57613 жыл бұрын
Nimegundua ndyo maana Baba yake hajaja Tb Joshua,coz yy mpentecost halafu harus inafungwa kiserikalin mala Catholic Mmmmh?!
@shadrackdamiani14183 жыл бұрын
Utasikia Ora mamse usiniltee izooo
@amosmahona4333 жыл бұрын
Mimi niliona mzungu Arusha HUKO ukoo mzima ukataka kunitenga
@corethasanga1073 жыл бұрын
Hahaha
@chiefmahucha68473 жыл бұрын
Jamani tunamjua TB Joshua ni M-pentecoste, na kule Dubai Further kasema Pastor wa Ki-pentecoste alishuhudia hiyo Ndoa, na hapa wamefunga ya Kikatoliki. Swali langu ni; Binti alibadili Dhehebu ama kila mtu anaabudu kivyake..? Hapo ndo watangazaji huwa wanashidwa kujua Maswali ya kuuliza
@sarahmgabe97853 жыл бұрын
Yeliko
@paulamaya94723 жыл бұрын
Kwakweli ni baraka
@tonymilwardsichali85683 жыл бұрын
Ivi vituko sasa
@tanjaniyoman31603 жыл бұрын
Duu..mnamambo ya ajabu kweli...
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Kwa hiyo kufunga ndoa mara tatu? Hhm dunia ipo kas sana
@chikusangalala77593 жыл бұрын
😁😁😁😁
@tiamo7263 жыл бұрын
Bora kuliko kuishi na mtu bila ndoa
@mzalendomzalendo25673 жыл бұрын
Wengi mtanunua mbuzi kwenye gunia,
@nassibuduma71623 жыл бұрын
Binti kaanguka na mume Kwa lugha za rohoni.
@tingbatuuka72783 жыл бұрын
Dah wamefunga ndoa Tatu 🤣🤣🤣
@dorcyjohnson54313 жыл бұрын
Hapana hizo ni za kiserekali lakin ndoa kamili ndio hiyo sasa ya kanisani
@neemachavala65533 жыл бұрын
Katumbo nakaona kwambaaaalii
@hidayamotto72103 жыл бұрын
Ndoa 3 Kw iyo Ana vyeti vitatu duh
@tingbatuuka72783 жыл бұрын
Kijana ole wake azingue. Atatabiliwa kifo🤣🤣🤣
@rosenaadolfu993 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@davidlukumay22263 жыл бұрын
Hehhehehe😂😂😂
@shadrackdamiani14183 жыл бұрын
Tb hiii au tb gani ooh tb joshua
@sandrandai61803 жыл бұрын
Mbn kama mjamzito
@nyamangaking66083 жыл бұрын
Kwani Pentecoste anaruhusiwa kuoa katoliki?
@khdigahk42463 жыл бұрын
Ndoa iyo Mara 3 mmmmh nashukulu kua muislam jmn
@mohgamhooga12703 жыл бұрын
Hakika
@emmanuelshayo47033 жыл бұрын
Shida zako hizo, uwe muislamu haituhusu sisi. Hayo ndio maisha yetu.
@papaashirima58753 жыл бұрын
Binafsi nashindwa kuelewa mtu mmoja unawezaje kufunga ndoa Mara tatu? Alafu zote nizakikristoooo? Aya tuulizane je watakuwa na veti vingapi vya ndoa yao? Na je, serekali inawezaje to a veti vitatu kwenye ndoa moja?
@braysonmatoy82203 жыл бұрын
Pambana na uislam wako
@eastcuisines1243 жыл бұрын
hahaha pambana na uislamu wako dada acha watu wafurahie maisha yao