KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (FRIDAY PRAYERS) 12/ 07/ 2024

  Рет қаралды 7,958

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

24 күн бұрын

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (FRIDAY PRAYERS) 12/ 07/ 2024
SEMINA YA NENO LA MUNGU:
MADA:
"HOFU YA MABADILIKO"
(FEAR OF CHANGE)
SOMO LA LEO:
MADHARA YA HOFU YA MABADILIKO
Kutoka 15 : 10 - 27
NENO KUU:
"UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
KUMBUKUMBU LA
TORATI 28 : 6
&
Yohana 12 : 24
24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
MAANDIKO YA LEO:
Kutoka 15 : 10 - 27
10 Ulivuma kwa upepo wako, bahari ikawafunikiza; Wakazama kama risasi ndani ya maji makuu.
11 Ee Bwana, katika miungu ni nani aliye kama wewe? Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?
12 Ulinyosha mkono wako wa kuume, Nchi ikawameza.
13 Wewe kwa rehema zako umewaongoza watu uliowakomboa, Kwa uweza wako uliwaelekeza hata makao yako matakatifu.
14 Kabila za watu wamesikia, wanatetemeka, Wakaao Ufilisti utungu umewashika.
15 Ndipo majumbe wa Edomu wakashangaa, Watu wa Moabu wenye nguvu tetemeko limewapata, Watu wote wakaao Kanaani wameyeyuka.
16 Hofu na woga umewaangukia; Kwa uweza wa mkono wako wanakaa kimya kama jiwe; Hata watakapovuka watu wako, Ee Bwana, Hata watakapovuka watu wako uliowanunua.
17 Utawaingiza, na kuwapanda katika mlima wa urithi wako, Mahali pale ulipojifanyia, Ee Bwana, ili upakae, Pale patakatifu ulipopaweka imara, Bwana, kwa mikono yako.
18 Bwana atatawala milele na milele.
19 Kwa maana farasi za Farao na magari yake na wapanda farasi wake waliingia ndani ya bahari, Bwana akayarudisha maji ya bahari juu yao; bali wana wa Israeli walikwenda katika nchi kavu katikati ya bahari.
20 Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
21 Miriamu akawaitikia, Mwimbieni Bwana kwa maana ametukuka sana; Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.
22 Musa akawaongoza Israeli waende mbele kutoka Bahari ya Shamu, nao wakatokea kwa jangwa la Shuri; wakaenda safari ya siku tatu jangwani wasione maji.
23 Walipofika mahali palipoitwa Mara hawakupata kuyanywa yale maji ya Mara, kwa kuwa yalikuwa machungu; kwa ajili ya hayo jina lake likaitwa Mara.
24 Ndipo watu wakamnung'unikia Musa, wakisema, Tunywe nini?
25 Naye akamlilia Bwana; Bwana akamwonyesha mti, naye akautia katika hayo maji, maji yakawa matamu. Basi akawawekea amri na hukumu huko, akawaonja huko;
26 akawaambia, Kwamba utaisikiza kwa bidii sauti ya Bwana, Mungu wako, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, mimi sitatia juu yako maradhi yo yote niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi Bwana nikuponyaye.
27 Wakafikilia Elimu, palipokuwa na chemchemi kumi na mbili, na mitende sabini; wakapanga hapo, karibu na maji.
HOJA ZA MAOMBI
1. TOBA
2. JIOMBEE UJASIRI WA KI- MUNGU NDANI YAKO.
3. KATAA MADHARA YA HOFU YA MABADILIKO KTK YAKO
Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
KZbin: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

Пікірлер: 28
@ruthkimani5026
@ruthkimani5026 23 күн бұрын
Asahnte kwa kutakia nchi yetu ya Kenya Amani na uongozi bora kwa Jina la Yesu
@roseasimwe827
@roseasimwe827 21 күн бұрын
Ee bwana Yesu mponyeshe mwanangu kwa damu ya Yesu,roho ya uharibufu inaondoka katika jina la Yesu,bwana atageuza mabaya kuwa mema
@reginajohnmaghisa322
@reginajohnmaghisa322 22 күн бұрын
Ameen, Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu 🙏
@PartsloveMwigune
@PartsloveMwigune 21 күн бұрын
Amina jina la bwana litukuzwe milele
@roseasimwe827
@roseasimwe827 21 күн бұрын
Nipe uponyaji bwana Yesu,nipone ugonjwa unaonisumbua
@wonderstabernaclechurch
@wonderstabernaclechurch 22 күн бұрын
Kenya 🇰🇪 tuko pamoja kiroho kwa njia ya maombi
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
Nitaishiiii, Sitaangamiaaa kwa hofu, na Sitakufaaa kwa hofu
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
Amen baba🎉🎉🎉🎉🎉
@neemasanare3474
@neemasanare3474 21 күн бұрын
Ameen
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
Damu ya Yesu ikanizingile
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
Amen, watalipaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sidingumbao9837
@sidingumbao9837 23 күн бұрын
Hallelujah
@marthamnyakindi1051
@marthamnyakindi1051 23 күн бұрын
Amen
@elyhillary2000
@elyhillary2000 22 күн бұрын
Amen 🙏
@roseasimwe827
@roseasimwe827 20 күн бұрын
Sisi niwale tunaotetewa na Mungu
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
🙌🙌
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
Napokea kufunguliwa na kujiruhusu kuenda level nyingine ya maisha
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
Amen, Huruma na Neema ya Mungu vinibebe katika jina kuu la YESU kristo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@reginajohnmaghisa322
@reginajohnmaghisa322 22 күн бұрын
👏👏👏👏
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
💯💯💯💯Amen. Bwana atanilinda na mabaya yote Na nitabarikiwa niingiapo na nitokapo👏👏👏👏👏👏
@reginajohnmaghisa322
@reginajohnmaghisa322 22 күн бұрын
Mungu nibariki niingiapo na unibariki nitokapo Ameen
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
Hawatanirudisha nyumaaaaa kwa jina la Yesu Kristo, nakataaaa
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
Watagonjekaaa mno, no way😂😂😂😂, Mungu yu Upande wangu
@helinahenry2363
@helinahenry2363 23 күн бұрын
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mellissaking9762
@mellissaking9762 23 күн бұрын
Barikiwa mtumishi 🙏🏾
@victorm9109
@victorm9109 22 күн бұрын
Amen
@giftalvin-fy4kw
@giftalvin-fy4kw 22 күн бұрын
Amenii
REV. DR. ELIONA KIMARO: UNAISHI KWA NENO AU KWA MANENO?
1:23:46
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 130 М.
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 13/ 06/ 2024
1:02:35
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,4 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 23 МЛН
DR. REV ELIONA KIMARO. NI MBAYA KUWA BABA WA FAMILIA AFU UWAJIBIKI.
2:53
JERUSALEM FAMILY TV. MWL PETRO AND EVODIA MAZWILE
Рет қаралды 28 М.
MAOMBI YA USIKU KABLA YA KULALA, - MAOMBI MAPYA - NIGHT PRAYER BEFORE SLEEPING,, NEW PRAYER. SWAHILI
7:45
MCH.KATEKELA:UKOMBOZI WA NYOTA ILIYOIBIWA
53:22
PROMOVER TV
Рет қаралды 6 М.
Live ▶|| Ibada Ya Morning Glory  |    04 - 07 - 2024
1:20:40
Azania frontTv
Рет қаралды 454
MWL GOODLUCK MUSHI - KUOMBA TOBA (OFFICIAL VIDEO))
1:27:49
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 20 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,4 МЛН