Tumsifu Yesu Kristu Tunakuombea baba Kimaro mama Maria mwombezi wa wapakwa mafuta azidi kukuinua kiroho na ki mwili milele
@felistamwashibanda77642 ай бұрын
Jamani nomeshindwa hata nisemaje maana kama nimajaribu tunaishi nayo kwakweli😢 yani inasikitisha mwanaume hawazi hata bili ya nyumba jamani mwe Mungu atusaidie
@felistamwashibanda77644 ай бұрын
Mwe nikama unayajua maisha ninayoishi,mpaka mme anakutishia mm nitakbia nikuache humu kisa kodi ya nyumba!!! da inasikitisha wanaume wa hivi
@estherlemburismollel590110 ай бұрын
Kweli baba, wapo sana. Mungu akutunze uzidi kutufafanulia wababa wafunguliwe
@francjose9596Ай бұрын
🙏🏽
@felsonsanga850210 ай бұрын
Barikiwa mchungaji
@saramsuya8 ай бұрын
Baba mchungaji nimesikia neno lako naona ndio wa kwangu na amekoka na kiongozi wa fellowshipanasikiliza neno ila halimsaidii hata kidogo ninafanyaje sana sana ni ukati tu ndio mwingi
@tamranadiya29627 ай бұрын
baba unaniongelea mm kbs yani wangu ameridhika na maisha hawazi akipata pesa ya kula tu basi kwanza analala hadi saa4 asubuhi mm naamka naenda kazini yy amelala
@felistamwashibanda77644 ай бұрын
pole sana Mungu atusaidie
@user-si7yn1pg2y10 ай бұрын
Yaaaa wapo
@estherlemburismollel59019 ай бұрын
Raha leo wapo wengi baba
@user-ym6jf8zo7j7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@lilianaswani544010 ай бұрын
Z saa aaw wa zßl😘❤️🙌✌️
@stanleymhozi75909 ай бұрын
Wanakatisha tamaawatu watu hao nawachukia sijui wapoje nimiziIgoeti
@jeniphajeremiah80087 ай бұрын
😂😂