KIKAANGONI: Martha Mwaipaja afunguka kila kitu kuhusu maisha yake

  Рет қаралды 542,393

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Martha Mwaipaja afunguka kila kitu kuhusu maisha yake

Пікірлер: 491
@PeterwaltsGmlowoka
@PeterwaltsGmlowoka 2 ай бұрын
Congratulations madam But don't forget to live your life Martha I really love you with your songs
@saraoloo9251
@saraoloo9251 2 жыл бұрын
Asanteni kwa hii interview nilikuwa nashanga Martha katoa wapi mtoto mkubwa hivyo kumbe sio mtoto wake wa kumzaa .
@stephenchinyamuka6302
@stephenchinyamuka6302 3 жыл бұрын
Martha you are surely a great musician I wish I could see you performing rival
@helgahobiri1029
@helgahobiri1029 3 жыл бұрын
Martha be blessed Hakika umenifanya nimevuka viwango maisha ,, kupitia Kwa nyimbo zako naona maono yangu yakizimitizwa 🙏🙏🙏🙏🙏
@sharonrotich9473
@sharonrotich9473 2 жыл бұрын
God bless you Martha, The songs blesses me especially amenitengeneza... you are blessed mum.
@handersonmwandembo
@handersonmwandembo Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Martha akuzidishie alichokupa na akupe unachomwomba ,nyimbo zangu hunibariki sana zimenipa tumaini maishani kila nipotezapo tamaa ya kuishi,....asante sana Martha
@stephenchinyamuka6302
@stephenchinyamuka6302 3 жыл бұрын
Martha you are so good I really enjoy your music I wish you can send more music to Zambia we like you so much
@JanetJano-f9l
@JanetJano-f9l Жыл бұрын
I like your song they always encourage me❤❤❤
@fellyshey1798
@fellyshey1798 2 жыл бұрын
Martha you're really blessed,,, your songs actually blesses me alot,,go higher and higher in Jesus name
@WinnieNyaboke-vc3ou
@WinnieNyaboke-vc3ou Жыл бұрын
God may continue to bless you mommy ,,, actually I love the way you sing your songs,,,,sinanitia moyo saana💯💯❤
@Lilianmbeyu-ev2rw
@Lilianmbeyu-ev2rw 3 ай бұрын
Mungu akubariki Martha Mwaipaja nyimbo zako zanibariki sana ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
@dominickiplangat9758
@dominickiplangat9758 2 жыл бұрын
Martha, her songs are fully blessfull to me may God continue blessing you martha
@jacoboester4536
@jacoboester4536 6 жыл бұрын
Martha mama mchungaji, unanibariki sana kwa maneno yako ya hekima, l note something from u dear, May God grant you
@angelkesale2209
@angelkesale2209 6 жыл бұрын
Nakupenda sanaa Martha hasa nyimbo zako zinanifarij hata ninalipopita ktika magumu (naiona kesho) ilinifarij nakunipa nguvu God bless you sister
@labanmusa5876
@labanmusa5876 4 жыл бұрын
Nyimbo zako ziko poa
@marymoraa5664
@marymoraa5664 3 жыл бұрын
I love u so much I love ua songs so much. nikitazama nyimbo zako najua hata km hakuna matumaini ya maisha najua kuna kesho yangu .
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 4 жыл бұрын
Pole sana mama. Hilo ni Jaribu BWANA Mungu amemruhusu shetani-ibilisi "akupepete kama ngano" na ukiishaongoka, uwaimalishe wenzako. Mungu ni mwaminifu kwani ktk Jaribu hilo ameandaa ufumbuzi (mlango wa kutokea). Uwe na subira tu Mama. Mungu ameachia Jaribu hilo (ambalo Ni kawaida ya mwanadamu) likupate ili aidha akuinue (Yusufu); au anataka kulitukuza Jina lake (Ayubu); au anataka kuwavuta watu wamjue Yeye Mungu wa kweli aliye hai (Daniel na wenzie). Endelea na Bwana Yesu Mama.
@johnnyakeruri8094
@johnnyakeruri8094 Жыл бұрын
Your songs are inspiring,mungu akubariki sana
@sara.wanjalaalipoyesuyotey3613
@sara.wanjalaalipoyesuyotey3613 6 жыл бұрын
Amen nakupenda sana dada yangu nyimbo zako zinanibariki sana God Bless you my sister
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, Sara hata mim nampenda nabarikiwa na nyimbo zake ant yangu naye anampenda haha ananikumbusha mbali hata mim nilikuwa napendaga kuimba kanisani kwenye kwaya utanikuta na Wakubwa kama alivyosema. Martha na shushu yani ni hatar sana
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Pole Martha Kawa kufiwa na baba
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Tusikate tamaa nayo nzur ahaa Kwa Msaada Wa mungu Ni nzur nilikuwa naipenda hata Kuna muvi moja ya wema waliiweka
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Mdogo wake naye Beatrice anaimba
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Ya house girl naye ni boss imekuwa mchungaji Kuna siku alimwambia a mwambie mwenziwe wewe ni bosi wangu na mimi ni bosi wako
@RoseMunoko-rr8st
@RoseMunoko-rr8st Жыл бұрын
My best singer n am blessed with your songs
@ODINDOSOPHY
@ODINDOSOPHY 4 жыл бұрын
Mungu Azidishe Baraka Kwa Dada Mwaipaja, nyimbo zake zinabariki undani wa moyo wangu sana
@sharonkarikonyi6569
@sharonkarikonyi6569 3 жыл бұрын
Nipo apa, nmebarikiwa saaaaana, nyimbo zake ni za pole pole,na ijili inaingia vizuri,2020 mnipe hea
@agnesslyatuu993
@agnesslyatuu993 6 жыл бұрын
Waao Mungu akubariki sana dada Martha nabarikiwaga sana na nyimbo zako.Na nimependa saana hii,house girl ni bosi kwa mtoto wa bosi ! Ameni
@naomydaqaro2411
@naomydaqaro2411 6 жыл бұрын
Dada wewe huna zarau waimbaj wenzako wanaona wivu uko poa sana ubarikiwe
@eliciasamwel6624
@eliciasamwel6624 6 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako da Martha..Mungu akubariki..zaidi uzidi kumtumikia yeye
@abelanthon8863
@abelanthon8863 6 жыл бұрын
A! mtumishi wa Mungu nyimbo zako nazipenda sana zinaujumbe wa Mungu tosha
@simiyucylvia2304
@simiyucylvia2304 3 жыл бұрын
Blessings mummy Martha u r my mentor,,,,,,,barikiwa mama
@rosemalavi3172
@rosemalavi3172 4 жыл бұрын
Hi Martha u you really make me happy with your songs
@nyansomunda571
@nyansomunda571 5 жыл бұрын
Penda sana Dada Martha mungu akutunze na kkuza kipaji chako kila itwapo Leo kazi yako na muonekano wa upya tyuu
@praxidesam8373
@praxidesam8373 6 жыл бұрын
Martha we we umebarikiwa sura nzuri tabia nzuri nyimbo tamu go go go on
@leabahati7060
@leabahati7060 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana maman napenda sana nyimbo zako zinanifariji moyo piya napenda namna unavyo ongeya ubarikiwe sana
@sarahsamweli8576
@sarahsamweli8576 3 жыл бұрын
mungu akubariki sana dadaangu nakupenda sana pia na nyimbo zako
@phoebewekesa7343
@phoebewekesa7343 Жыл бұрын
Be blessed Martha I really like your songs they are so encouraging and touching God bless you
@venerandahmutiovahenryhenr6048
@venerandahmutiovahenryhenr6048 2 жыл бұрын
Martha yu always touch my hrt thru ur songs,yu are really ablessing to many.mungu azidi kukuinuwa zaidi.
@liliankapaya8017
@liliankapaya8017 5 жыл бұрын
Mungu akubariki napenda kusikiliza nyimbo zako zinamitia moyo sana Mungu azidi kuluinua
@gracediamond6574
@gracediamond6574 4 жыл бұрын
i love you Martha your songs r blessings to many souls
@bisengobubasha
@bisengobubasha 6 жыл бұрын
She's so amazing, I love the way she smiles
@florahvalema664
@florahvalema664 6 жыл бұрын
Mafanikio mema
@kipngetichkoech112
@kipngetichkoech112 2 жыл бұрын
Tabasamu lake dah!
@FaidaRuamuka
@FaidaRuamuka Сағат бұрын
Hasante sana na penda nyimbo zako sana❤
@joetemba4614
@joetemba4614 6 жыл бұрын
Dada kuna wakati nyimbo zako nilivusha haswa ule wa usikate tamaa barikiwa sn Dada Martha mungu aendelee kukuinua
@agapemajaliwa7251
@agapemajaliwa7251 3 жыл бұрын
Martha anatubariki kwa nyimbo zake nampenda kwa sababu hajirembi sana ila rangi anapaka kwenye kucha sijahukumu utanisamehe nakuombea mafanikio usigeuke ukaanza kuimbia shetani au gizani i say barikiwa sana
@geofreymwanjoka4810
@geofreymwanjoka4810 4 жыл бұрын
Dada Martha pole sana kwa hilo mimi limewahi kunipata kama la kwa nikarudiana naye mambo yalionikuta baada ya kuishi naye tena makubwa na baada ya kufariki Kwake ni aibu kusema usikubari kurudi Kwake utakufa mimi kakako nipo nakupenda na mungu nampenda toka ujana wangu. Ubarikiwe mwanjoka
@charlesboniface8944
@charlesboniface8944 6 жыл бұрын
Barikiwa sn kamanda wa Yesu dada Martha Mwaipaja nabarikiwa na huduma yk sn,kumbe dada Martha ni mcheshi sn me nakupendaga sn.
@margaretmshai7069
@margaretmshai7069 6 жыл бұрын
simple n natural beauty love you so much my best artist be blessed
@rukiamkumbwa7749
@rukiamkumbwa7749 5 жыл бұрын
Margaret Mshai in
@dorcasmayala1660
@dorcasmayala1660 4 жыл бұрын
Nimeongeza kukupenda
@augeniavitalis3380
@augeniavitalis3380 6 жыл бұрын
barikiwa sana mtumishi wa mungu nyimbo zako zinanibariki sana tena saana na kunifariji pia
@lucieharudy9780
@lucieharudy9780 4 жыл бұрын
Nakupenda sana sana nyimbo zake nzuri sana nazisikiriza kirasiku ubrikiwe na mungu
@salomemattanga7633
@salomemattanga7633 6 жыл бұрын
Mather is a humble Gospel artist hata kuongea anabariki sana. kweli wokovu ni moyo sio vazi
@margaretmshai7069
@margaretmshai7069 6 жыл бұрын
Maneno ya hekima Mungu akubariki.nangojea album ya tenzi😘😘😘
@migeraveronica7719
@migeraveronica7719 4 жыл бұрын
Ubarikiwe Mwanangu nakupenda mmmmmnoo
@evalineokuku8108
@evalineokuku8108 2 жыл бұрын
Thanks my dear sister for you encourage me somuch may God up lift you hire than this 🙏
@upendomkuwele3592
@upendomkuwele3592 4 жыл бұрын
Dada Martha uko vzr saana. Mungu aendelee kukuinua zaidi
@maggykahindi621
@maggykahindi621 3 жыл бұрын
Nyimbo zako Martha zi nani bariki sana mungu akuzidishe huduma yako ddangu ubarikiwe
@frankmichael4158
@frankmichael4158 6 жыл бұрын
Ameen isee napenda nyimbo zako sana zinanibariki, mungu aendelee kukuinua dada
@dorcussyokau7118
@dorcussyokau7118 6 жыл бұрын
God bless you Martha,,, love ur music xo much
@jumakarenmoga2604
@jumakarenmoga2604 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Dada Una kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu, yani Maneno yaki yana Hekima..Nyimbo zako zanibaliki kabisa. Jamani Mungu aipanue kazi ya Mikoni yako..
@latifaabubakar4204
@latifaabubakar4204 5 жыл бұрын
Nakupenda sana mdada .
@preciouslyakurwa8604
@preciouslyakurwa8604 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukutia nguv
@fadhilmollel6459
@fadhilmollel6459 4 жыл бұрын
Martha mama chungaji unanifariji na nyimbo zako mungu akupe kibali cha kusonga mbele 💘
@hellenchepkirui1225
@hellenchepkirui1225 3 жыл бұрын
Nafurahia Sana kucheka kwako, nabarikiwa na nyimbo zko, God bless.
@mildredkhagali8357
@mildredkhagali8357 2 ай бұрын
Martha yuko sawa katika maswali mungu akubariki sana.mahana bibilia inasema usihukumu na yeye anahenda vile inatakikana.
@richardomare3764
@richardomare3764 2 жыл бұрын
Barikiwa kuwa mvumilivu na nyimbo zako za maono nazipenda Sana. Zina cha ziada.
@fettymasoud5656
@fettymasoud5656 5 жыл бұрын
Mungu akubalk Sana Dada agu nyimbo zako in nzury Sana zinanishawsh nami siku moja niwe mwimbaji
@nobimgaya5359
@nobimgaya5359 6 жыл бұрын
Nakukubali sasa mama mchungaji nyimbo zako ni nzur sana na zinabariki
@steyllahzacharia5588
@steyllahzacharia5588 6 жыл бұрын
Yaan martha nakupenda sanà my dada,Mungu aliye hai azidi kukufksha vwango vya juu kpnzi changu, ur so beutful for everything
@elizabethnyange1711
@elizabethnyange1711 5 жыл бұрын
dada martha nakupenda mpaka najiskia raha nabalikiwa na huduma yako nataman na mimi niwe kama wewe napenda sana kuimba
@sophiamwakila3300
@sophiamwakila3300 6 жыл бұрын
Nimekupenda sana Martha unavyojieleza. Umenifanya nitoe machozi
@nurufwoma8039
@nurufwoma8039 6 жыл бұрын
Nakupenda sana Dada Martha, kila nikikuona nanikisikiliza album yako ya kwanza namkumbuka marehemu baba angu, kwani aliipenda na aliinunua na kututumia familia yake, natulibarikiwa sana. Mungu ailaze roho ya marehemu baba yangu. Amen
@nchambipeter5723
@nchambipeter5723 6 жыл бұрын
Nuru Fwoma pole kipenzi
@irenetobico1833
@irenetobico1833 5 жыл бұрын
Kuongea kwingu kunahuharibifu kwingi. Kwel kbs dada Martha. Wewe ni mama hukurupuki tu lazima uwe na msimamo wako. Kwel kbs 😘
@nickosimchimba8176
@nickosimchimba8176 5 жыл бұрын
Wanawake wachache sana kwenye kizaz hiki cha Leo wanao jiheshimu kama wewe mama!!shikamoo,YESU akutunzeeeeeeeeee
@ombolezombwanji9748
@ombolezombwanji9748 4 жыл бұрын
My dada nikumbuke namimi
@gladysnaliaka7985
@gladysnaliaka7985 4 жыл бұрын
I love you Martha
@adambinsmith6201
@adambinsmith6201 2 жыл бұрын
Dada martha miss your,mungu akubariki,from congo drc congo 🇨🇩 beni tawn.
@austinemakungu2540
@austinemakungu2540 3 жыл бұрын
you inspire me a lot martha
@risperkarimi7279
@risperkarimi7279 3 жыл бұрын
Napenda Imani yako na nyimbo zako kabisa
@graceissayandambo780
@graceissayandambo780 6 жыл бұрын
Kwa kweli nakupenda mtumishi wa Mungu Martha nyimbo zako huwa zinaniinua sana kwa kweli Mungu akubariki sana
@felicienbahati3132
@felicienbahati3132 4 жыл бұрын
je suis content de suivre cet intrvew . que DIEU te bénisse maman
@kipngetichkoech112
@kipngetichkoech112 2 жыл бұрын
Martha your always real.Kenya we love you.
@happyallen8043
@happyallen8043 6 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinuwa zaidi nakupenda naomba nikushirikishe katika huduma ya uimbaji
@irenesamwel9279
@irenesamwel9279 4 жыл бұрын
Nakupenda sana dada Martha naomba naomba namba zako huwe uninisaidia kimawazo zangu 0752224070
@hopehealthcs3294
@hopehealthcs3294 4 жыл бұрын
Gonga like kama na wewe umekuja hapa Kisha kusikia Martha kuachana na mumewe
@user-ed2jz5ym9u
@user-ed2jz5ym9u 5 ай бұрын
Nakupendaka sana katika Kristo Fanya kazı. Vizuri ili siku moja Uwe na mwisho. Muzuri
@minzajoji9231
@minzajoji9231 6 жыл бұрын
mung akupe maisha malefu Martha nakupenda sana Dada
@safaribicocero4916
@safaribicocero4916 3 жыл бұрын
Dada ubarikiwe sana chunga hudumayako mungu aendelee akuinuwe
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 6 жыл бұрын
Amen Mungu atubariki Martha you are best Singer.. Acha Yesu aendelea kutubariki wote
@norahkilemile3221
@norahkilemile3221 5 жыл бұрын
barikiwa sana maths binafsi na balikiwa na ww
@rosealpha1139
@rosealpha1139 Жыл бұрын
dada martha nakupenda sana mungu akubariki
@sarahjonass2023
@sarahjonass2023 5 жыл бұрын
Napendaaaa sanaaaaaaa nyimbo zakoooo bcoz zinafarijiiiii sana kwa wale walio wanyonge wa moyooo
@emilianamalamia9802
@emilianamalamia9802 4 жыл бұрын
Yaani mtumishi wa Mungu martha unanibariki sana, Mungu akutunze sana, Ila kucha hizo rangi, Ukikaa bila urembo huo unapendeza zaidi
@lawmarcusmwakagenda355
@lawmarcusmwakagenda355 6 жыл бұрын
Dada Angu nimekujua kwa upya zaidi ubarikiwe Sana kwa Kila statement yako imekolea munyu nimependa kukusikilza napenda nikuone. Umemwinua Mungu kwa dhati
@jeremiathadeo5060
@jeremiathadeo5060 5 жыл бұрын
Amina na barikiwa sana m2mishi wa mungu mungu akuimalishe uzidi kufanya Huduma ya mungu
@davidmgaya8230
@davidmgaya8230 5 жыл бұрын
Nakeshaga mpaka kucha nikisikikizaga nyimbo zako
@janethjustin5574
@janethjustin5574 6 жыл бұрын
umejibu vizuri sana mama yangu zaidi mafuta ya roho mtakatifu yawe juu zaidi kwako my love mam
@joycelameck7484
@joycelameck7484 3 жыл бұрын
Amina,amina
@abednegomuema5601
@abednegomuema5601 5 жыл бұрын
So lovely Martha.
@mishelimaiko6414
@mishelimaiko6414 6 жыл бұрын
you are strong woman thanks mwaipaja kweli kuongea sana ina madhara makubwa sana
@lydiamacheso3907
@lydiamacheso3907 6 жыл бұрын
Amen.. Mungu akutie nguvu nyimbo zako hunbaliki
@julietilugome2909
@julietilugome2909 6 жыл бұрын
napenda sana nyimbo zako Dada Martha baarikiwa sana
@susanaatienoochieng3753
@susanaatienoochieng3753 4 жыл бұрын
Nabarikiwa sana kila wakati nkiskia hizo neno zako na wimbo zako na barikiwa sana amen
@zainabumwidini6020
@zainabumwidini6020 6 жыл бұрын
nyimbo zako hunibariki sana martha,inuliwa zaidi na zaidi
@tadeikilumbe4533
@tadeikilumbe4533 6 жыл бұрын
ubarikiwe Dada yngu kiukweri nabarikiwa NA nyimbo zako xna na vilevile najisikia faraja xna kukusikiliza hta kuongea unaongea pointi xna na nyimbo zako za message nzri na sauti yko kweri ya udhuni ndni yko sauti ya furaha xna ubarikiwe yaani nashindwa hata kuelezea nice
@jeannekasayi3772
@jeannekasayi3772 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada Martha! Nakweli Mungu alikufundisha kunyamaza, na akawe upande wako katika maamuzi yako
@sylvesteramwai7192
@sylvesteramwai7192 6 жыл бұрын
Kazi yako nzuri Sana dadangu ,,,,,,naiheshimu sana nikiwa hapa kenya,,'naiona kesho yangu'
@heavenlightemanuel5434
@heavenlightemanuel5434 6 жыл бұрын
Be blessed Martha
@jovietyjosephaty5955
@jovietyjosephaty5955 6 жыл бұрын
kwanz we mzuli saut nzul
@felisteremmanuel4745
@felisteremmanuel4745 5 жыл бұрын
Amina Barimiwa sana kwa kila kitu
@williethdelight8979
@williethdelight8979 6 жыл бұрын
Nakupenda mtumishi wa Mungu. Hakika Mungu huvinua vinyonge. Songa mbele mama
@asiimweanthony9057
@asiimweanthony9057 6 жыл бұрын
Nakupenda dada Martha, hakika nyimbo zako zinanivusha na kunibariki sana
@StellaS-ek7ex
@StellaS-ek7ex 5 жыл бұрын
Nakupenda sana
@veronicamgeni1313
@veronicamgeni1313 5 жыл бұрын
Yaan nmeenjoy sana kuckiliza kikaango iki nmependa sana maneno yako yana busara sana nakupenda sana Dada I wish I day yes in name of Jesus ntainuliwa
@carloskitheka5401
@carloskitheka5401 5 жыл бұрын
You are my all time best gospel artist.,be blessed dada.
@saradolaso9730
@saradolaso9730 6 жыл бұрын
God bless you mama
@adamzakaria2463
@adamzakaria2463 6 жыл бұрын
Amina Dada Nakubal Nyimbo zako nzur zinabarik
@emmyykatindasa9613
@emmyykatindasa9613 3 жыл бұрын
Dada nimependa uimbaji wako nyimbo zako zinanibadilisha
@castrosiame6390
@castrosiame6390 5 жыл бұрын
Nimependa kusikia unaishi na Mme God bless you! Wachache sanaaaaaa! Kama ww
@shanihebuka5850
@shanihebuka5850 6 жыл бұрын
Nyimbo zako n nzur martha ,mungu akuzdshie baraka
@anastaziamartin8824
@anastaziamartin8824 6 жыл бұрын
wow!nawapenda wew na mdogo wako,mungu awarehem na kuwainua!
@upendomkuwele3592
@upendomkuwele3592 4 жыл бұрын
Nakupenda saana Martha. Don't give up my sister
@Hellenah_Sufii
@Hellenah_Sufii Жыл бұрын
Very humbled Lady ❤. Nakupenda bure Martha
@rajabuhasan3856
@rajabuhasan3856 5 жыл бұрын
mungu akutie nguvu katika kaziyeke rakini angaria usipende kuinuriwa nawanada mutumaie mungu tu wanadam niwamuda mufupi rakini mungu akikuinua hayupo mwanadam wakukusha amina urikiwe sana dadayangu
@caromutia8738
@caromutia8738 9 ай бұрын
Martha uko mwerevu sana❤
@corazoneaquino6390
@corazoneaquino6390 4 жыл бұрын
You are a strong woman,much love woman of God.
WAISLAM WATAKIWA KUSHIKAMANA| MAULID IWAUNGANISHE
1:41
EastAfricaTV
Рет қаралды 13
BABY MAMA GIFT V/S BEBII GIFT🚗; OBINNA DECLARES HIS LOVE😍 FOR DEM WA FACEBOOK, BUYS HER DREAM CAR
7:45
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,4 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
MARTHA MWAIPAJA  ALIVYO WASHA MOTO LIVE@ ERICK STUDIOS
0:46
ERICK STUDIOS
Рет қаралды 79 М.
Dj James Presents Martha Mwaipaja Mixtape Volume Two (Audio Link 👇)
1:23:28
Dj James The Rockstar ⭐ TV
Рет қаралды 800 М.
TAZAMA ELSHAMAH WASHIRA AZUNGUMZA MENGI NA BELLA TV TZ
12:17
Elshamah Washira
Рет қаралды 25 М.