Kaka nikiwa morogoro mjini kuja ulipo ni mbaki sana
@AlkebulanDumas22 күн бұрын
Shukran
@AtanasSteven17 күн бұрын
Tunaendelea kufuatilia kwa umakini sana
@Peterchila-un2lx22 күн бұрын
Wewe ni muongo sana
@francoismalenge137316 күн бұрын
Merci beaucoup mzee
@RichardShao-x4q6 күн бұрын
Naomba namba yako
@MusheheMohamed20 күн бұрын
Je iyo Pete naipataje madungwa
@AnnaGeorge-cp5iv11 күн бұрын
Tunakutumia
@kavirajanine489313 күн бұрын
Watuya tanga ni matapeli
@SamOoro-v6e23 күн бұрын
Ita kua aje..Kama mutu ana taka usaidishi kwangu...Nita Epuka vipi Ebu mwalimu uni shauri hapo..?
@allykk145922 күн бұрын
Sijakuelewa vizuri
@SamOoro-v6e22 күн бұрын
@allykk1459 Ni pale kwa mwisho wa video umesema Tue puke kusaidia watu ama nime sikia vibaya mwalimu...?
@hamidudigogo586322 күн бұрын
Huyu babu anakuliza kwamba kuna dalasa ulisema kuhusu kumsaidia mtu unaweza beba matatizo Yake SASA je akitaka kumsaidia yeye itakuaje ila Kiswahili chake ya KENYA
@SamOoro-v6e22 күн бұрын
@hamidudigogo5863 Ndiyo hiyo sasa tujue kama tukisaidia mutu shida zake Zita tufuata...?
@hamidudigogo586321 күн бұрын
@@SamOoro-v6e Babu atajibu mana yeye ndio mwenye mamlaka ya kujibu