Alhamdulillah mpaka sasa nimefunga Sana kiimani kupitia huyu sheikh na wenzake wanaofanya kz hii ya daawa inshaallah Mungu atakupa ulinzi wake hapa duniani na kesho akhera inshaallah
@nikrahayubu-sz3pwАй бұрын
Mie swala ya mtume na istaghfar sana
@SadamSarita-t7zАй бұрын
Asante sana sheikh wetu tunaomba kesho uwe mwananyamala taqwa
@saeedsaeed7381Ай бұрын
Masha Allah 🙏🙏🙏
@FauzaBwambale-lp1wpАй бұрын
Alihamdulillah, I believe for everything will preach shekhe
@AtusaMaajabuКүн бұрын
Nimeomba unitumia dua
@AtusaMaajabuКүн бұрын
Asalam shee mimi ni mkenya naomba unianikie hiyo dual inanimate inisaidie
@aminakassim83129 күн бұрын
Naombeni dua ya Mtume Muhammad saww
@kundeigang38796 күн бұрын
ALLAHUMMA SWALI ALA MUHAMMAD WAALA ALI MUHAMMAD
@bahatinahemed723Ай бұрын
Shekhe hizo dua mm sizijui naomba msaada nizijue kwani muongozo wako unanisaidia sana sitakusahau ulinivusha mahala, Mungu akulipe Shekhe.
@jumakhamis4483Ай бұрын
1. La ilaha illaAllah wahdahu la sharika lah, lahu`l-mulk wa lahu`l-hamd wa huwa `ala kulli shay`in qadir ×100 2. SubhanAllahi wa biHamdihi Subhanallahil Adheem ×100 سُبْحَانَ اللَّهِ وَبِحَمْدِهِ، سُبْحَانَ اللَّهِ العَظِيم 3.Allahumma innaka Afuwwun Karimun tuhibbul `afwa fa`fu `annee اللَّهُمَّ إِنَّكَ عَفُوٌّ كَرِيمٌ تُحِبُّ الْعَفْوَ فَاعْفُ عَنِّي 4. Mswalie mtume
@lugelosanga5798Ай бұрын
Mora akujalie maisha marefu
@shabankashindye6240Ай бұрын
Jazzakallahu Kyaran, umetusaidia sana. Allah akulipe kheri, nilikuwa nawaza nitapata wap hizi nyiradi, Allah akulipe kheri
@mwalimuathumani722Ай бұрын
Assalaamu waalaykum, Nahizo dua za mitume tuandikie kwenye mfumo huu-; zipo kwenye sura ya ngapi na Aya ya ngapi itakuwa bora zaidi.
@HusnaNduwimana-y2k2 күн бұрын
Shekh muda kufahamu sas kama adhan ya alfadjr inakaribia njo nambo na mimi nifahamu
Hivi ndio dini ndivyo inavyoeleweka kwa waislam, sheikh wafundisheni watu kutekeleza faradhi za Allah acheni kuwapa watu makorokoro ya kuomba dunia acheni mautapeli
@kyd-t1pАй бұрын
Dah
@maryamhassan1154Ай бұрын
Maskini weee pole Sana hujui ulisenalo Mungu akurehemu ndugu yng maana uhai wa kiumbe hawezi kusema kauli finyu km yako
@maryamhassan1154Ай бұрын
Innalilahi wainna ilayhi rajjiun
@selemankishema5780Ай бұрын
@maryamhassan1154 sikiliza mama yangu faradhi zimeachwa ndio unaona watu woote na masheikh wamekimbilia uko
@maryamhassan1154Ай бұрын
Kila kitu huwa kina hekma ata iyo faradhi unayo sema je una uhakika w kukubaliwa pasi na kuwepo vya sunna huenda ukatoka patupu kwenye faradhi lkn sunna ikakubeba