Kam unaamin mnyama anaondok na points 3 gonga hapa nguvu moja 💪💪
@emanuelmfanga922029 минут бұрын
Uhakika mkuu
@LindaMbilinyi-n3nСағат бұрын
Inshallah tutashinda kwa uwezo wa Allah muumba mbingu na nchi🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@MURUJUMA2 сағат бұрын
Mungu ibariki simbaa
@johnsonthadei93142 сағат бұрын
🦁nguvuMoja
@monicadickson19652 сағат бұрын
Kila la kheri Chama langu SSC, Mungu awafanyie wepesi, mrudi na ushindi dhidi ya Tabora! ❤❤❤❤❤❤
@AnithaPhilmonСағат бұрын
Nguvu moja ❤❤❤❤
@JamaliNdwata2 сағат бұрын
Nguvu moja
@CharlesMadondo2 сағат бұрын
Ubaya ubwela kwenye beat 🎉🎉nomaaaaa
@Fadhilimwamlima24 минут бұрын
Simba nikitu kikubwa sana inacheza kesho lakini imeongelewa mwezi mzima 😅😅😅
@Ommybabaa47Сағат бұрын
❤️ BISMILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪 safar njema yenye Baraka Tele Inshallah mechi ya kesho ni nzuri sana upande wetu haijawatoke tarehe ipo vizur Sana UBAYAAA UBWELAA 🇹🇿 🇦🇪
@AllyMwinyi-rx8gr2 сағат бұрын
kwa uwezo wa Allah naamini tutashinda simba 3 tabora 0 inshaallah
@LindaMbilinyi-n3nСағат бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲
@DaniusDausonСағат бұрын
Kila la kheri 🎉 wakubwa tunaamini Kwa neema yake Mungu point tatu ni muhimu 🎉 Mungu azidi kutusimamisha imara katika mapambano
@JahaPeopleСағат бұрын
Eee mwenyez mungu naomba isimamie Simba ipate matokeo turud na point 3
@emanuelmfanga922028 минут бұрын
Amina👍🙏
@AzizaMayemba-td8po15 минут бұрын
Amina 🙏 mungu mwema
@AlfaniMichael26 минут бұрын
Mungu ibariki team yangu ikarud na point 3 tabora
@CarlosRule-p6vСағат бұрын
YESU wa ubaya ubwela tangulia simba ssc ubaya tukapate ushindi wa gool 3kwa zero
@petermchome846942 минут бұрын
Point 3 muhimu#simba Nguvu moja#ubaya ubwela#
@MwajumaMsogotiСағат бұрын
Kila la heri vipenzi vyangu tunawambea dua mungu atawasaidia mtashindat
@EstaTito-b6hСағат бұрын
Karibuni tabora mashabiki wenu tupo tuna wasubiri
@charlesainamensa4619Сағат бұрын
Kilala heri Simba sports club wakarudi na pointing tatu
@EmmanuelMwita-vr4qz7 минут бұрын
Kama tunaamini mapema tu tunapata pointi 3 gonga like 👍
@selemanifaikii1276Сағат бұрын
Mungu awe naye turudi na ushindi
@ibrahimuakwilombe19 минут бұрын
Safirini salama'mkatuwakilishe vyema'na mpate ushindi vs GSM Tabora utd
@KhamisiHussein-z5pСағат бұрын
Safari njema na yamafanikio
@JuteWaghetto30 минут бұрын
Kila la kheri makamanda
@ShukuruMakoko54 минут бұрын
Ushindi
@VascoMwasile-f4d11 минут бұрын
Ubaya ubwela
@RajabuMwelaСағат бұрын
Awesu yupo wapi
@AnnastaziaMajigeСағат бұрын
Kila la her chama langu
@ASHURAYAMBIСағат бұрын
Kila la kheri timu ya maana kbs
@ZakayoMgaya2580Сағат бұрын
Kesho nisku yakumuumbua yule mwanamke
@DM_156 минут бұрын
Nimemuona mtu kama jenerali moses
@ShabainBankintole39 минут бұрын
Hv kweny mabeg hua wanaweka nn safari ya cku mbili m2 anaondok na mabeg ma wili
@MgazaMhina2 сағат бұрын
Sema ukimuona Yusufu Kagoma muonekano wake unaweza sema hamna mchezaji lakini kazi anayoifanya uwanjani,ndio maana watu walitembea na mkataba wake