Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba uibariki timu yetu iende ikapate ushindi katika mchezo wa kesho Amina.
@MagrethCostantine14 күн бұрын
Mungu uwe pamoja na simba yetu ishinde vema
@RomieGodson14 күн бұрын
Ee Mungu wetu tunae kuamini tunakuomba utujalie ushindi katika timu yetu tufikie malengo AMINA
@MayPchaula14 күн бұрын
Ameeen
@MwajumaJackson-y8d14 күн бұрын
Amen
@rashidsaleh154314 күн бұрын
Amiin Amiin
@SarahMathias-v1g15 күн бұрын
Love you simba❤❤
@Sundaymjeda-f4f15 күн бұрын
Mungu atubaliki mechi tushinde simba nguvu moja
@Benjamin-n5u15 күн бұрын
Bravo game wanaitaka lakn wataingia kwa tahadhari kubwa njia pekee ya kumshinda Bravo ni Simba kwenda kucheza kwaajili ya kutaka point tatu akicheza kwa defence au kutafuta sare au suluhu itawaCOST simba coz Bravo atapata mwanya wa kutawala mchezo
@thomasphilip725815 күн бұрын
Simba hawezi kwenda na mindset ya alama wanataka 3 ikishindikana moja
@stanfordaradini522015 күн бұрын
Kikubwa ushindi kwnza, vingine nimajaliwa.mungu ibariki simba ibariki Tanzania
@AletasMbawala-si5kj14 күн бұрын
Usiwaze mwanang watapamban
@JosephEmmanuel-eb7gj14 күн бұрын
Kwamba ukidefance hupati ushindi ni akili ya wabongo tu kutokuuelewa mpira lkn ukikutan na timu inayoforce ushindi kama una quality ni jambo pejesi kuwafunga ukifanya mid au low block maan wanakuja kwako kwao kunabaki waz ukipata mpira upiga kweny space za pembeni vibelenge kam mpanzu na kibu wanatembea mfano gori tulilowafunga waarabu
@Benjamin-n5u14 күн бұрын
Itakuwa ngumu kama simba ataenda kwaajili ya kulinda na kutegemea tu counter attack kwan hii itampa bravo nafasi kubwa ya kucheza na kusababisha wachezaji wa simba kufanya makosa ikiwemo fouls mbalimbali,hivo simba akafunguke na tahadhari iwe kubwa kwani bravo anaamini na anajua kuwa yeye ni mdogo kwa Simba hvo simba akacheze kulingana na uwezo wake kama inavofahamika
@MwanaishaMohamed-kg2bx14 күн бұрын
Kila hatuwa dua hakika simba tutashinda Tu kwauwezo waallah
@ZakaliaGodeni15 күн бұрын
Ee mwenyezi mungu🤲 uwajalie nguvu na ari ya upambanaji wachezaji wetu watambue wote kuwa simba🦁 ni timu kubwa apa africa mungu kasimame upande wetu hio siku ya mechi ushindi ukawe kwetu amina🙏🦁❤❤❤❤
@iddiramadhan15 күн бұрын
Kila la khery mnyama Simba sports club siku ya tarehe 12 Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@user-cheedycheedy14 күн бұрын
Mungu twakuomba tupate ushindi katika mechi yetu hii 🤲
@ewaldambrose613614 күн бұрын
Simba,the next level..Viva Tanzania..Viva Mama Samia
@frankshirima402914 күн бұрын
Usituleteee siasa huku za kijinga
@NanchilangaNanchilanga14 күн бұрын
Mama samia katokea wap tena kweny Tim yet
@CarlosRule-p6v15 күн бұрын
YESU kanambia ushindi nilazima
@IshakMukadam14 күн бұрын
Simba sport Mim ni mtoto wa mwenyekiti wa Simba Mwanza nawapenda
@janethelly498615 күн бұрын
Kila la kheri timu yangu pendwaa❤❤❤ Mungu awaongozee
@JessyJ-h4l14 күн бұрын
Nguvu Moja❤
@OscarLema-t1v15 күн бұрын
Ubaya ubwela Simba nguvu moja
@othmankhalid267915 күн бұрын
Nani anaelewa hii nyimbo Rabi kweli unajua kazi yako ndugu yangu yaani hiyo back ground wakijua ujembe wake watalia sana. Sim a nguvu moja twende zetu
@rashidsaleh154314 күн бұрын
Kila la kheri Mnyama,Simba Nguvu Moja
@WilleSaitabau15 күн бұрын
Mnyama nguvu 💪🦾💪🦾 moja tunawategemea sana
@paschaljemedal476915 күн бұрын
My lovely team❤❤❤❤
@AbuuAyubu-t7c14 күн бұрын
Kibu na mpanzu watawakimbiza bravo ateba atafunga moja tu gem itaisha moja kwa simba bravo 0
Mpanzu ni winga mkorofi sana akitoka timu pinzani hupumua
@FuneyJojo15 күн бұрын
Bravo timu ya kawaida kwa simba mechi yetu na wao hapa ilikua ngumu kwa vile utopolo walichafua uwanja ndio maana tulipata ushindi wa tabu lkn awana uwezo wa hivyo
@DanielBaraka-j9p15 күн бұрын
Kabisa ndugu yangu ni ukweli
@iddiramadhan14 күн бұрын
Kabisa
@TatuDimatheo14 күн бұрын
Mungu mwema tutashinda tu
@laurentmyeule85914 күн бұрын
Nashaur kocha afanyie kazi pia namna ya kufunga Kwa mastraka wetu Ili kuwaongezea confidence...
@omarysaid872514 күн бұрын
Simba nguvu moja leo Bravo anakufa chuma 2-0
@laurentmyeule85914 күн бұрын
Kesho
@MzeeBabu-s6y15 күн бұрын
mungu hiba liki Simba langu ubaya ubwela paka tuna beba kombe
@EmmanueljeremiaMauta15 күн бұрын
Mungu aifanye jumapili iwenjema kwenu wachezaji wote scc simba
@renatusblandes113115 күн бұрын
Kila kheri, Mwambieni kocha watu pembeni wakimbize sana na pia ndio nguvu za Bravo
@HusnaNyakundi15 күн бұрын
Mungu yupo nasi tunalitaka kombe
@ashuraally906414 күн бұрын
Allah ndo kila kitu kwa uwezo wake tutashinda
@Rojamoo-y9o15 күн бұрын
Tupo na ninyi popote mlipo tunawapenda sana ninyi ndo kioo cha soka tanzania atakaenuna anune tu ukweli utabaki kuwa ndo huo mpooooo hapo
@SilvesterApolo15 күн бұрын
Mpanzu na kibu wakimbize sana ball,zimbwe na Kapombe mfanye overlap na kurudi faster
@bensonashery236015 күн бұрын
Hii game.ngoma na kagoma wakiwa sawa 100% tunashindaa
@iddiramadhan14 күн бұрын
Inshaallah 🤲
@ShukuruMakoko14 күн бұрын
Ushindi
@BarakaDominick-e3x14 күн бұрын
Nawaombea ushindi
@MalikiKavindi14 күн бұрын
Ubaya ubwela,point 3 mhimu
@ayubuMasalika-d4i14 күн бұрын
Hatumuachi mtu salama
@Robert-o5z5h14 күн бұрын
Wachezaji pambaneni tuponyumayenu
@CharlesFadelis-te5fp14 күн бұрын
Ubaya ubwela
@josephsangawe766615 күн бұрын
Tafuteni mziki mwingine mzuri wa mwaka 2025
@florentinigawday109415 күн бұрын
Ndo maana cyo kochaaa,ACHA ujuaji
@TomasiklistophaMwinuka14 күн бұрын
Sisi Dua na sala kwapamoja timu yetu ipate point tatu kesho Simba nguvu moja
@RichardMlua14 күн бұрын
Ubay ubwelaaaaaaaa
@RaytonNyasanga14 күн бұрын
Nikpambana tu
@FuneyJojo15 күн бұрын
Kocha mechi aitaji lotetion panga kikosi kilekile cha game iliopita na mpanzu usiwe unamtoa unaaribu kikos