Jpm niraisi anaepaswa kuigwa na maraisi wengne japokuwa waliopita walikuwa ni wazur lkn yy ni zaidi magufuli oyeeee
@hidelphoncecelestine98784 жыл бұрын
Tumekumiss sana mzee wetu JK
@ismailahmed51334 жыл бұрын
Fresh,,,JK but huyu MWAMBA JPM,,zaidi yako hana kweleee mambo yanaenda kwa misimamo ,,,ulifanya unayo yaweze katika kipind chako ,,sio mbaya LAKINI HUYU JAMAA ANAFANYA ULIYO YAACHA NA MAPYA PIA kwahyo JPM Anapitia vyote kwa wakati mmoja,,,na yanaenda tuombe Mungu aendelee kumlinda ili tuyaone mazurii zaidi,,
@chayogasperi97834 жыл бұрын
🤜🤛 👏👏 💪💪
@abdulrahmanhassan92544 жыл бұрын
Yap kabisa John Joseph magufuli mwambaa huyo hayumbishwi
@salmadalaquimane23644 жыл бұрын
Kabisaaa akuna wa kumfikia wengne maneno meng vitendo f
@ramathedon40014 жыл бұрын
ata yeye magufuli hatayaacha mengine nawezie watakuja yaendelezs
@paulmzule48854 жыл бұрын
Mzee wa bring bring
@slyvesternzogera53404 жыл бұрын
shenzi waongo heading
@paulmzule48854 жыл бұрын
Sanaaa
@mtakamaonline77484 жыл бұрын
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 22-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
@samwelkibogoyo19584 жыл бұрын
Millard ayo unapotosha hakusema hivi amesema kikabila kila mtu alitaka isihame dar maana ni karibu na pwan wakati wa kichagua mji mkuu,,, ila wewe unaandika kichwa cha habari namna hiii