MAGUFULI - "NILINYWESHWA SUMU, KIKWETE ALINIFUKUZA, SIKUKATA TAMAA"

  Рет қаралды 1,207,642

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAGUFULI - "NILINYWESHWA SUMU, KIKWETE ALINIFUKUZA, SIKUKATA TAMAA"
Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 12, anazindua kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa..
Hafla ya uzinduzi huo inafanyika katika ukumbi wa mkutano wa Mwl Julius Nyerere jijini Dar na kuhuduuriwa na marais wastaafu, Dkt Jakaya Kikwete na Al Hassan Mwinyi....
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:www.youtube.co...

Пікірлер: 418
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 4 жыл бұрын
Haki siasa mchezo mchafu....ninani angeamini kwa mkutano huu kuna Maalim sefu...zitto.....Cheyo na wapinzani wengine........sisi wananchi tunatukanana uchaguzi wa serikali za mitaa hasira zimepandaaa wenzetu wanakula Bata ikulu........wananchi tushindaneni kwa hoja lakini upendo wa kizalendo uwepo. Oneni mfano wakizalendo leo.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Nandomana mm sitakagi ubishani wa siasa wala vyama,na hii mitandao ndoinachonganisha sana,mm sitakagi kuamini kwa haraka hivi vitu
@lexchumajr6732
@lexchumajr6732 4 жыл бұрын
Kwani hapo ni ikulu?
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 4 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 umesema kweli ndugu wananchi tunapendana sana lakini mitandao hii mmmmmm
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 4 жыл бұрын
@@lexchumajr6732 haijalishi iwe ikulu au si ikulu....kimsingi wote wako pamoja ..na wamekula pamoja ninani anaekula huku kakasirikaa???
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
@@kamalofanuel8120 na wengine ukisema kwenye hii mitando wanabisha,wanaona km viongozi wetu wa vyama tofauti wana utofauti mkubwa lkn sikweli wanatudanganya tu hata wanyoita waandishi wa habari nass tuna sikiliza tunaangalia,tunabaki kutukana na kugombana wao wamestarehe kimyaaaaa
@jacqulinekasondera5326
@jacqulinekasondera5326 4 жыл бұрын
Alikotoka ni mbali akitazama nyuma na asingekuwa MUNGU asingefika leo. MUNGU akutunze zaidi na zaidi, Ameeen!!!!!!!!!!
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Mungu yupo Kama ni njama,Basi Allah atoonyesha ukuu wake,unazani machozi na Dua za watanzania wengi siyo mchezo,Kama ahadi yk Mungu,bc Mungu ampokee baba huyu yaàni sijuwi tu nisemeje???mungu umetuwezaa
@humairamajengo6616
@humairamajengo6616 3 жыл бұрын
Mungu akupe kauli thabit baba yetu jembe letu kipenz cha watanzania mungu akulipe kwa kila ulichojitolea ktk maisha ya watanzania mungu akupokee 😭😭😭
@angelamarlow510
@angelamarlow510 3 жыл бұрын
Aaminaa
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 2 жыл бұрын
Nakukumbuka daima.utaishi ndani yangu .mungu akupokee katika ufalme wake.akuvishe Taji la ushindi.pumzika katika amani
@charlesmataba8344
@charlesmataba8344 4 жыл бұрын
DAAAAH SUITABLE SPEECH..........MUCH CONGRATULATIONS HONERABLE MKAPA!.......THE BEST STUDENT OF MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE'S PHILOSOPHY.
@juliusmlunge6896
@juliusmlunge6896 4 жыл бұрын
Pole sana Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli Baba ulianzia mbali sana mimi binafsi nimesigitika sana lakini Mungu alikua anakuhitaji uokoe taifa letu la Tanzania Baba MUNGU azidi kukubariki umetufundisha mengi sana.
@peterjacob2638
@peterjacob2638 4 жыл бұрын
Magufuri umeletwa na mungu ili uweze kuokoa watanzania, ila na ww umepitia mateso. lakini yote hayo yalifanyika ili kusudi la Mungu litimie. Hongera sana baba tunakuombea kwa Mungu ili utuvushe na kutupeleka nchi yenye asali na maziwa
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
@@rehemaibrahim8475 si wewe to
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 жыл бұрын
Walaaniwe wote waliomwaga damu ya Kipenzi chetu Rais John Magufuri.Adhabu ya Mwenyezi Mungu iliyompata Kaini kumuua Abeli nduguye na hasira ya Mwenyezi Mungu iwe juu yao wote Amini.
@jamesmasome359
@jamesmasome359 4 жыл бұрын
Huwa nakuelewa sanaaa Mwenye Enzi MUNGU you pamoja nawe. Amina.
@jacksonsimon4498
@jacksonsimon4498 4 жыл бұрын
Kweli MUNGU akulinde na akutunze
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 3 жыл бұрын
Amen
@majurajeremia6292
@majurajeremia6292 4 жыл бұрын
Hongera sana Rais mstaafu kwa Kitabu kinachoonyesha maisha yako tangu awali,jambo moja tu nakuomba kitafsiriwe kwa lugha ya kiswahili pia ili wananchi wengi wakisome halafu pia kuhamasisha lugha yetu kimataifa.MUNGU wetu akupe maisha marefu.
@emmaulotu9124
@emmaulotu9124 4 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubariki Rais wetu
@mariammwenda1822
@mariammwenda1822 4 жыл бұрын
Tuige mfano katika mshikamano na upendo wa viongozi wetu waliotutangulia
@Allystor
@Allystor 3 жыл бұрын
Naumia nalia siwezi. Eeh Mungu tupe nguvu na wape mwisho mbaya wenye kuwatendea mabaya watu wenye utu na huruma kwa taifa lao. Kama ni mkono wa mtu Mungu amlaani afe kwa kudhalilika vibaya na kama ni ahadi yako eeh Mungu basi mapenzi yako yatukuzwe. Amina
@bhukebhukeshabani5264
@bhukebhukeshabani5264 3 жыл бұрын
Eeeee. MUNGU WANGU KAMA RAISI WETU MAGU AMEPITIWA NA MTU. BASI MTU HUYOAFE KWA LAANA ILA KAMA NIMAPENZI YAKO. BASI JINA LAKO LITUKUZWE. MILELE NA MILELE
@dativambaga6206
@dativambaga6206 3 жыл бұрын
Yani kama mkono wa mtu huu mwaka haumalizi, atakufa kifo cha aibu na alaaniwe milele, kama ni mapenzi yake Mungu apumzike kwa Amani🙏
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@yjoo9807
@yjoo9807 2 жыл бұрын
Brocchini thanks. I am a Tanzanian trying to learn Italian...If u dnt mind I would like to meet u I feel like u positively touched my heart with ur comment....would like to be ur friend
@masetomuhafiwa4546
@masetomuhafiwa4546 Жыл бұрын
Kenge wewe Italian wapi kila siku post hiyohyo tuu fala wewe .. wewe utakua mbongo tena mnyakyusa.
@jumamustaph6253
@jumamustaph6253 4 жыл бұрын
hongera sana na pole kwa yaliyo kufika, mungu alihitaji ujetufanyia kazi hii.
@justinemathiasngwandu7715
@justinemathiasngwandu7715 4 жыл бұрын
Kumbe fikra za nchi hii kuwa na barabara zarami nchi nzima mzee Magu alianza siku nyingi kuiona Tanzania mpya Viva mzee MAGU .
@hamidafundi5890
@hamidafundi5890 4 жыл бұрын
Ulinzi ni wetu wanadamu, usalama ni kwa MWENYEZIMUNGU tu
@JustPeter-do9iy
@JustPeter-do9iy Жыл бұрын
Mungu anajua yamefka tuleomba skul zote
@princesslaurian1758
@princesslaurian1758 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka sana Rais wetu mpendwa Magufuli, Kweli tutazidi kumtanguliza Mungu. Tunakushukuru sana kwa ushauri mzuri sana na kazi njema. Kila mara ulitusisitiza "TUMTANGULIZE MUNGU" Vile vile ulitusisitiza tufanye kazi kwa umoja. "HAPA KAZI TU". Mungu akukumbuke kw mema yooooote uliyoyafanya duniani.
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 3 жыл бұрын
Rabi tufanyie wepesi katika kila mazito yetu na utuondolee dhiki na majonzi ndani ya nyoyo zetu hakika wewe ndiye mwenye kujua yaliyo katika siri
@ramadhanindaro6866
@ramadhanindaro6866 4 жыл бұрын
Nimeumizwa kwa hotuba hii mh rahis na nimejikuta nakupenda zaid mh rais wang
@dawaseif3699
@dawaseif3699 3 жыл бұрын
Yaan wee acha tuu na mm ni mwenzako
@theopistamganwa7752
@theopistamganwa7752 4 жыл бұрын
MUNGU akutunze zaidi na zaidi, Amina
@laurentmupira1280
@laurentmupira1280 Жыл бұрын
Tutamkumbuka daima!!! Hayati Magufuli!!!
@ivancharles5350
@ivancharles5350 2 жыл бұрын
Mungu akulinde huko ulipo rais wangu kipenzi
@chumanondochuma8012
@chumanondochuma8012 3 жыл бұрын
Umetuacha bila kitabu chako japo kuwa historia uliyoitoa hapa ikatutoshereze kwa jina lake mwenyezi mungu. R I P Jpm
@mathayochabon8897
@mathayochabon8897 2 жыл бұрын
Watanzani a mungu ni mungu.atatenda lolote juu ya maguful manabii mtume wachungaj waalim na wainjilist najua mnajua zaid ukuu wa mungu tumben tu.lolote atatenda hats sasa.we nu mathayo ktk yesu aliye hai
@ArafatHussein-e2b
@ArafatHussein-e2b 6 ай бұрын
Mungu akijaalia nitakwenda kuzuru kaburi la mzee wangu huyu, aliipenda sana TANZANIA pia alikua na maono makubwa sana kwenye TAIFA LETU TAKATIFU. 🇹🇿
@blessingsgeneral93
@blessingsgeneral93 3 жыл бұрын
Mzee Pumzika salama Sitokusahau na MUNGU Awabariki sana !
@edakalinga1104
@edakalinga1104 4 жыл бұрын
Mungu wetu wa mbinguni akuepushe na mabaya yote na wale wote wanao kupangia mabaya yawarudie wenyewe
@zachariadaniel3252
@zachariadaniel3252 4 жыл бұрын
Hakika mungu akuzidishie baraka raisi wetu jonh pombe magufuli .tanzania mungu katuona ndo maana katupa raisi imara na shupavu
@dullahshaaban9050
@dullahshaaban9050 3 жыл бұрын
Vita ya kupambana na mafisadi huwa ni hatari Sana ....maana waharibifu siku zote huwa hawana Imani na mungu huwa ni jeshi la ibilisi pumzika kwa amani raisi wetu amiiiina🙏🙏🙏🙏
@peacesamula9497
@peacesamula9497 3 жыл бұрын
Watanzania tunatakiwa kujitegemea sio kutegemea misaada kutoka nje, ni vizuri tupike wenyewe na tupakue wenyewe na tule na kuwasaidia wengine. Hivyo tulipe Kodi kwa uaminifu na tuwe na viwanda ili tujiajiri wenyewe, tuwe waadilifu, wapenda utu, na kumcha Mungu. Ndipo tutafanikiwa. Amen.
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Kweli my
@harrisonmulenga4578
@harrisonmulenga4578 3 жыл бұрын
My President, you were and you are still my best.
@deusmichael2290
@deusmichael2290 4 жыл бұрын
Mungu akubariki na akupe maisha marefu rais wetu...pole sana kwa changamoto ulizopitia😭😭
@nah7530
@nah7530 3 жыл бұрын
😭😭😭Ulazwe salama rais wawanyonge😭😭
@salmaseif8755
@salmaseif8755 3 жыл бұрын
Amiiin 🙏
@andrewwoiso5559
@andrewwoiso5559 4 жыл бұрын
Magu Mungu akuinue zaidi na akulinde Mr President
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 4 жыл бұрын
Mimi huwa nasisimka sana kuwaona viongozi hasa marais wastaafu wakiwa pamoja hivi. Zaidi sana wapinzani wenye ufahamu mzuri ambao mioyoni mwao wanapenda kuona ustawi na maendeleo ya watanzania wote wakishiriki hafla km hizi. Ni kuonyesha kuwa taifa ni moja hata kama mitazamo inatofautiana. Mungu anapendezwa na UMOJA, MSHIKAMANO na amani. Viongozi wote wa sasa na wajao baadae wazingatie sana juu ya kuona hali hii inadumishwa nchini kwetu.
@ElisiaJames
@ElisiaJames 6 ай бұрын
Baba angu kipenzi napitia wakati mgum kukusahaau kwa sababu ulikua ukombozi kwetu hasa kama wa Tanzania wanyonge ambao ulikua unatusikiliza,, mungu akulinde huko uliko na akumpumzishe kwa aman.
@eliudymhapu1750
@eliudymhapu1750 4 жыл бұрын
Safi kabisa mwanafunzi mwadilifu wa mzee MKAPA
@paschazianestorymatunda6490
@paschazianestorymatunda6490 3 жыл бұрын
Sir Magufuli you humbled yourself before anyone may you rest in peace
@jubhamayala9313
@jubhamayala9313 3 жыл бұрын
AMEN
@edinajames8402
@edinajames8402 3 жыл бұрын
Ee!! Mwenyezi Mungu umulaze mahala pema, Baba etu, Hakika ulikuwa Baba pekee,machonzi yametanda Baba Sauti yako hatuisikii tena, Ee!! Mola wetu
@awamiabbas222
@awamiabbas222 4 жыл бұрын
Kmbe hadi kuonekana barabara za lami kila kona ilokuwa na pendekezo la mh rais Magufuli enzi yupo katika wizara ya ujenzi tena naibu waziri Mungu akubariki sana
@justinemathiasngwandu7715
@justinemathiasngwandu7715 4 жыл бұрын
Aiseeh! Hata Mimi nimeshangaaa.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Awami kila zama na kitabu chake, ndio sisi wengine haturidhiswi wakidharauliwa viongozi waliopita na kumsifu tu Rais Magufuli ni lazima tujifunze kudhamini. ( Appreciate equiries)
@amouramour3421
@amouramour3421 4 жыл бұрын
Hh
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 3 жыл бұрын
Umepitia mengi babaaa pumzika Kwa amani Mungu kaona akupumzishe 😭😭
@adeliapeter2162
@adeliapeter2162 3 жыл бұрын
Hakika daa! Ama kweli aneujua umhimu wa mkia wa ng'ombe ni yeye mwenyewe, tumepigwa na sasa tutaelewa umhimu wako.
@khanjanki8207
@khanjanki8207 4 жыл бұрын
Hii ndio lugha yafaa bunge zakiafrica watumie si kizungu wote wanasikia hebu angalieni hapa ni kiswahili lugha hakuna mtu mweupe kwasababu hawaelewi lugha hii vizuri magufuli
@hagaramgini3522
@hagaramgini3522 4 жыл бұрын
We love u baba
@anthonyboniface1066
@anthonyboniface1066 4 жыл бұрын
Magufuri siwezi kukuelezea wewe ndio masii wetu tulie mtarajia Ahsante mungu mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Afrika
@uwishyakanduwe1562
@uwishyakanduwe1562 3 жыл бұрын
*Isaiah 57:1* The righteous perish, and no one ponders it in his heart; devout men are taken away, and no one understands that the righteous are taken away to be spared from evil. *Isaiah 57:2* Those who walk uprightly enter into peace; they find rest as they lie in death.
@anthonyfaru9908
@anthonyfaru9908 4 жыл бұрын
Global TV unavyojichukulia tofauti na tunavyokukulia ,Sis tunajua hapa ni kituo cha habari, jiamin utatupoteza
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Rest in peace dady Magufuli tunakukumbuka sana😭😭😭
@felixmnyagolo7819
@felixmnyagolo7819 5 ай бұрын
The very best speech ever,
@leonardmnyeti3925
@leonardmnyeti3925 4 жыл бұрын
Am real blessed with the speech , congrats Mr. President Magufuli.
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 4 жыл бұрын
Tanzania nchi nzuri sana,huu mfumo wa marais kupokezana kiti cha Urais unatupa heshma sana duniani
@buildtekconsultants9687
@buildtekconsultants9687 4 жыл бұрын
Na ndio maana sio afya kwenye mikutano ya hadhara kuwaponda watangulizi kwa kuwaona hawakufanya kitu na walikuwa wezi tu. Mbio hizi ni relay unakimbia mbio zako unampa mwenzako aendeleze mbio
@shamimukanju8402
@shamimukanju8402 6 ай бұрын
Ewe Mwenyeezi Mungu mpe kauli thabiti Dr. John Magufuli
@priscaafray3785
@priscaafray3785 3 жыл бұрын
Mungu mpumzishe mpendwa wetu haya machozi yetu yasiwe bure ufanye kitu juu ya Tanzania tukujue wew tuwe nahofu yakutenda uovu kwakuwa umesema waupanga atakufa kwa upanga jitukuze katika kiti chako baba usiache kutujulisha ujio wako
@AllyMwemeziAutoSpareParts
@AllyMwemeziAutoSpareParts 6 ай бұрын
Dah pumzika salama mzee wetu pombe magufuli nazidi kukuombeaaaa
@miriammsuya4454
@miriammsuya4454 3 жыл бұрын
umeondoka na madini yote baba hekima upendo huruma uchapakazi uzalendo yaani Mungu umetuwenza asante kwa muda wako
@disimasthomas9148
@disimasthomas9148 3 жыл бұрын
Mngu mkumbuke loho yake
@frankmwandu7296
@frankmwandu7296 4 жыл бұрын
Safmzee mungu akubarik sana
@robertjunior9916
@robertjunior9916 4 жыл бұрын
tuwekee hicho kitabu mtandaoni ili tukipitie , asante na hongera viongozi wote !
@priskachulla2178
@priskachulla2178 2 жыл бұрын
Tunakukumbka Sana baba mtetezi wa wanyonge
@jescandungurumoses935
@jescandungurumoses935 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema wakati wote na walahakosei lala salama magu tutakukubuka daima🙏😭💔
@johnkassonta3092
@johnkassonta3092 4 жыл бұрын
Mzee baba ongoza tu mpaka mungu atakapo kuhitaji na sikustf!!!!!!
@silasmakokha2264
@silasmakokha2264 2 жыл бұрын
Tuzidi kumkumbuka Rais huyu John Joseph pombe Magufuli.
@innocentdeckoks5142
@innocentdeckoks5142 3 жыл бұрын
Humility-Dr. John Pombe Magufuli, tutakukosa sana, duniani humu, lakini kuna mahali pema sana tutapatana.
@pillykimenyi846
@pillykimenyi846 6 ай бұрын
Umemaliza miaka mitatu tangu ututoke magufuli mtetezi wa wanyonge uliyezuia rushwa nguvu pum zika😢 kwa amani baba poleni wana familia
@magrethelisha5460
@magrethelisha5460 3 жыл бұрын
Daah Mungu kweli kwa hili umetuweza😭😭,,pumzika kwa Amani Baba 🙏🙏
@emmanuelkalega1037
@emmanuelkalega1037 4 жыл бұрын
Ubarikiwe Rais walikushindwa wakati ule hawatakuweza milele chapa kazi to.
@GaoaFelex-mx6vh
@GaoaFelex-mx6vh Жыл бұрын
Mungu alaze pema looo yako pema peponi, usia uliotuachia unatufanya kuwa majasili na pia bahaza ya mambo uliyo yasema tunayaona kwa macho, mungu akulaze pema peponi ameeni
@lizyjohn328
@lizyjohn328 3 жыл бұрын
Wewe ndiyo rais wangu utaishi kwenye moyo wangu
@fidelismushi8662
@fidelismushi8662 3 жыл бұрын
Mungu alitupa mwanaume,jina la Mungu likazidi kuinuliwa siku zote!!!
@rehemamlowe1464
@rehemamlowe1464 2 жыл бұрын
Mungu yupo hukum ni hapahapa duniani nawo walio husika walio panga wote hukum yao IPO
@Stephenraymond.
@Stephenraymond. 9 ай бұрын
RIP JPM 😢😢
@josephsilla2271
@josephsilla2271 4 жыл бұрын
Pole Rafiki, rais wangu Jpm Mungu anakupenda Sana.
@SofiaMvungi-zu5tg
@SofiaMvungi-zu5tg 6 ай бұрын
Ni miaka mitatu ss tangia ututoke lkn naona bado uko hai RIP mpendwa wetu
@juliusmlunge6896
@juliusmlunge6896 4 жыл бұрын
Mungu ninakuomba uzidi kumbariki Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli.Mungu ninakuomba uzidi kumbariki Raisi wetu Dr John Pombe Magufuli.Mungu ninakuomba uzidi kumkinga Raisi wetu na madui wote katika ulimwengu huuMungu ninakuomba uzidi kubariki afya yake ili azidi kuwatimizia au kutimiza yale malengo makubwa ambayo ni ya kuwaokoa wa Tanzania na umasikini AMEN.
@collincarlos7433
@collincarlos7433 4 жыл бұрын
Dah inauma
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 4 жыл бұрын
Kwa Magufuli Mzee Mkapa ni Baba yake.
@kambonapaul6293
@kambonapaul6293 3 жыл бұрын
Mwisho wa mawindo mbwa Hana thamani lakini tutambue magufuli atakumbukwa vizazi na vizazi kwa mema aliyokuwa akiitendea Tanzania Mungu akutangulie na Mwisho wa kiama upo kwa kila mmoja atahukumiwa sawaswa na matendo yake
@mchambawimakilasiku1349
@mchambawimakilasiku1349 3 жыл бұрын
Mzee Magu alikuwa anabwabwaja sana nafikiri ndiyo kilichomponza, unaweza ukamwonea huruma kwa hayo yaliyomfika lakini wasiwasi wangu ni kwamba baada ya kupata huo urais alijiamini sana na mdomo kuwa mrefu mno, alijisahau kuwa juu ya yeye kuwa rais wa nchi kuna baadhi ya mambo mengine huwaga hayaingiliwi na ukiingia huko utakutana na hell.
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 4 жыл бұрын
Pole sana rais wangu kwa yaliyokukuta.but sifa shukurani zetu ni kwa MUNGU yeye ndie aliyefanya yote hayo .mkapa alitumika kama chombo ili neno la MUNGU litimie kwako.
@christinawallasch1252
@christinawallasch1252 4 жыл бұрын
Very sorry Mr President about all problem you face in you way to Building this country, that's why you have big confidence and very strongly Man, Congratulations Man. God bless you in all you life.
@martineomego225
@martineomego225 3 жыл бұрын
JPM was the GOAT, I appreciate & I wish to be like him cause he lives among dead
@mombasa0076
@mombasa0076 2 жыл бұрын
Jembe limetangulia tukiwa bado tunalihitaji...... mungu muingize ktk pepo yako tukufu
@ngussam.buyamba8367
@ngussam.buyamba8367 4 жыл бұрын
Safi sana kuheshimu wahenga
@collincarlos7433
@collincarlos7433 4 жыл бұрын
Nimeguswa sana
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 3 жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema peponi baba yetu mpendwa😭😭😭🙏
@ibrahimahmedyunusu189
@ibrahimahmedyunusu189 2 жыл бұрын
tulipoteza kifaaa cha muhimu hapa nchin tanzania
@stokiamkuju4907
@stokiamkuju4907 2 жыл бұрын
R.i.p my president
@pillykimenyi846
@pillykimenyi846 6 ай бұрын
Kimwili siko nawe kiroho niko nawewe raha ya milele umpe ebwana na mwanga wamilele umwangazie apumzike kwa amani jembe🎉 la watanzania
@jacklindickson3423
@jacklindickson3423 3 жыл бұрын
Rais wa wanyonge umeondoka kweli tunaumia sana atuamin bb pumzika kwa aman
@BeatriceLyatuu-w8j
@BeatriceLyatuu-w8j Жыл бұрын
Rest in Piece KIONGOZI ambaye SAUTI yako MUNGU aliweka utiisho ndani yako
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 4 жыл бұрын
Ukovizuli mweshimiwa rais mungu akupe mwisho mwema
@edwardpeter4942
@edwardpeter4942 4 жыл бұрын
hongera magu
@RitaCosimas
@RitaCosimas 6 ай бұрын
Tutakukumbuka daima baba
@aminamussahmsumuka6558
@aminamussahmsumuka6558 3 жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema peponi baba ulinifanya niipende nchi yangu na wewe ndo raisi niliyekupenda hata aje Nani nitaendelea kukukumbuka
@bonvivant3704
@bonvivant3704 3 жыл бұрын
Raisi bora tuliowahi kupata Tanzania 😩❤️❤️
@abdallahmilaba5407
@abdallahmilaba5407 4 жыл бұрын
TANZANIA Mshikamano daima. Mfano ulioonyeshwa na viongozi wetu, naomba UIGWE na wananchi wote had chini kabisa ngazi ya mitaa na kaya. Kumbe AMANI ya Tanzania ni kitu kinachowezekana . Tukidumu hivyo maadui hawato tuchezea kamwe.
@KasindiPapi
@KasindiPapi 3 жыл бұрын
Mungu akupe nafasi yakuongoza uko, huongoze hata Malaika kama vile ulivyosema baba Magufuli. Mungu akuinuwe uko ili tukija uwekiongozi wetu tena.
@janethtimothy6480
@janethtimothy6480 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba yetu....uliyofany n mengi hakuna atakayeziba pengo lko. Nkupenda sana
@bonvivant3704
@bonvivant3704 3 жыл бұрын
💔💔
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 жыл бұрын
M/mungu ilaze roho yamarehem mahalipema peponi
@angelfortunatus117
@angelfortunatus117 3 жыл бұрын
Tunamwomba Mungu azidi kukupumzisha kwa Amani baba r.i.p😭😭😭😭
@zuberigwakula8531
@zuberigwakula8531 4 жыл бұрын
Natamani tuendeleze upendo kama huu wa kuona viongozi wakuu mkiwa pamoja, nchi yetu niyenye upendo na amani sana, tuache masiasa ya kujazana hasira kila uchwao
@melaniamelaniamasawe5954
@melaniamelaniamasawe5954 3 жыл бұрын
Dah pole kwa uliyoyapitia Mungu akulaze mahali pema pepon
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 4 жыл бұрын
Mwenyenzi mungu atakulinda sana. Vp.
@leahboniface8576
@leahboniface8576 3 жыл бұрын
Daaaaah mic uu dady 😭😭😭
@simoniwatisoni8334
@simoniwatisoni8334 2 жыл бұрын
Mungu no mungu
@danielonline3181
@danielonline3181 4 жыл бұрын
Mungu yupo pamoj nawe Rais wetu
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Kwa kauli hizi inaoneka hata kifo cha baba yetu hakikua cha kawaida mana akiwa waziri ali nyweshwa sumu
JAMAA AMCHANA MAGUFULI - "Achia FEDHA, HALI NGUMU"  MAGUFULI AMJIBU!
20:35
Global TV Online
Рет қаралды 494 М.
LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA"
23:26
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 41 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,3 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 3,9 МЛН
DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
11:32
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 41 МЛН