KILA MWENYE PUMZI - Kristu Mfalme Milele Melodies Int'l Choir - Sms Skiza 6912341 to 811

  Рет қаралды 479,667

KRISTU MFALME

KRISTU MFALME

Күн бұрын

Пікірлер
@cindykemunto8127
@cindykemunto8127 2 жыл бұрын
Wow 🔥🔥🔥🔥🔥kazi safi sana hongereni sana Lawrence 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana Cindy
@gertrudeolisa3392
@gertrudeolisa3392 2 жыл бұрын
Lawrence... Mwenyezi Mungu azidi kukuneemesha kwa kazi nzuri unayoifanya ya uinjilishi kupitia kwaya zetu hapa 254.
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Amen asante Sana dada yng🙏🙏🙏
@modestorui5951
@modestorui5951 2 жыл бұрын
Naomba maneno ya part two
@cherymwende7220
@cherymwende7220 2 жыл бұрын
Esh kameja...sauti nayo kabarikiwa...naskia ni kama nimefika mbinguni nikiskia hiyo sauti... tumsifu yesu kristu...pongezi sana
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana jaman ubarikiwe sana
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri Yesu Kristo ni Mfalme milele astahili kutukuzwa na kuadhimishwa milele. Mbarikiwe
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@cosmasnthiganyaga4169
@cosmasnthiganyaga4169 2 жыл бұрын
nindekwe nyine, nyiniri Ngai Wakwa . Conglatulations milele melodies for nice songs
@emmanueldabali5588
@emmanueldabali5588 2 жыл бұрын
Hii dunia kuna watu mna vipaji aisee..hongereni sana wanakwaya,Iris pro..MOZEN PRO..NI 💥💥💥💥
@paulwachira2964
@paulwachira2964 2 жыл бұрын
wah nairudia mpaka nitosheke.SO NICE
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
😂😂😂Safi sana
@modestorui5951
@modestorui5951 2 жыл бұрын
Like. Yani mimi naupenda Sana wimbo uh. Lakini Naomba maneno ya part two ya lyrics yake.Amém.
@raphael8021
@raphael8021 2 жыл бұрын
Kameja,Tumaini, mnatesa aki,such nice voices,tuzidi kumtukuza Mungu
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana 🙏🙏🙏
@cecyshee791
@cecyshee791 2 жыл бұрын
Woooow mnatoaga wapi iyo art ya kujua vitu ztatukunywa ....nice job kameja mnifunze please I have a choir huku na tuanajua tu Gloria za kitambo 😅😅😅
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
😅😅😅 usijali one day yes.
@edwinwambugu4545
@edwinwambugu4545 2 жыл бұрын
Go go go.... sail to the farthest am loving what Kristu Mfalme Int'l choir you are doing this one i sweet keep it up.... hecko!
@ibrahimnyaga292
@ibrahimnyaga292 2 жыл бұрын
Hey....milele mmetenda haki..costumes ziko sawa... dancing... blending Kila kitu....Kamenja wewe 🔥 kuimba vernacular za Kenya so well
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Barikiwa Kaka Ibrahim
@wangarigithendu5519
@wangarigithendu5519 2 жыл бұрын
Wooooow this is so good great work it is endeleeni Na kazi nzuri Na nyimbo Tamu za kumsifu Mungu
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@marywaiganjo6840
@marywaiganjo6840 2 жыл бұрын
@ Bwana Lawrence Kameja .. Kazi safi pale .....Hongera Maestro
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana ubarikiwe 🙏🙏🙏
@denismatwi5941
@denismatwi5941 2 жыл бұрын
Mziki mzuri unaishi
@lusiansulle815
@lusiansulle815 2 жыл бұрын
NI MZURI SANAAAA👏👏👏👏
@mosesbett6597
@mosesbett6597 2 жыл бұрын
kiwekchini Kongoi Kiptrayat.🙏
@MonicaMbitheMusic
@MonicaMbitheMusic 2 жыл бұрын
Lawrence 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏rafik yangu
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏rafik yangu
@marywaiganjo6840
@marywaiganjo6840 2 жыл бұрын
Milele melodies Int.... Hongereni sana ..This was done different and I love 💕💕 it.... Imbeni tukuzeni sifa za Bwana
@SolomonMutende-y9p
@SolomonMutende-y9p Ай бұрын
Barikiweni sana kwaya ya milele melodies international kwa kazi nzuri,, I'm so blessed
@edgar-makori-sagero
@edgar-makori-sagero 2 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana, Kameja pongezi. "Nyasae omonene kare na kare"
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana edgar
@JacobNyabengi
@JacobNyabengi 8 күн бұрын
Nyasae atogiwe Karen na Karen amen.
@Mkaanguo-jn9
@Mkaanguo-jn9 2 жыл бұрын
Nyinyi ni 💪💪💖💞
@foundationministerschoir
@foundationministerschoir Ай бұрын
Being part of the crew for the audio production was an honor
@paulkivuti4623
@paulkivuti4623 2 жыл бұрын
Wanamilele good work it has taken ur tym ad commitment to get here.KEEP UP THE GOOD SPIRIT
@stanleywachira1008
@stanleywachira1008 2 жыл бұрын
Wow this amazing ,,keep it up
@judithnyangwara5260
@judithnyangwara5260 2 жыл бұрын
So good 👍 thanks
@mmagdelenekareithi9091
@mmagdelenekareithi9091 2 жыл бұрын
Great music, keeping soaring Milele...
@georgewambugu9393
@georgewambugu9393 2 жыл бұрын
Wambugu my bro nakuona
@francisabedneco5664
@francisabedneco5664 2 жыл бұрын
Wow.....Mimi sichoki kuusikiliza wimbo huu tena na tena. Lawrence, umebarikiwa sana na sauti nzuri ya kumtukuza Mungu. Mungu mwenyewe azidi kukuneemesha na kukulinda. Hongereni wanakwaya
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Amen bro ubarikiwe Sana aisee🙏🙏🙏
@felisterligwa
@felisterligwa 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏 hakika,kila mwenye pumzi na amsifu bwana.Asanteni sana kwa wimbo mzuri
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@joycekayanda1203
@joycekayanda1203 2 жыл бұрын
Lawrence hongera sana, Hakika sauti yako inaupako mno, Usiache kumuimbia Mungu, kwaya yote hongera sana kwa kazi nzuri
@maryflaviournafulasifuna6347
@maryflaviournafulasifuna6347 2 жыл бұрын
Wow🔥🔥🔥❤️❤️❤️. Inapendeza sana
@kelvinnyawili7971
@kelvinnyawili7971 2 жыл бұрын
Amazing Voice,Hongera Production Na Waimbaji Kwa Kazi Nzuri
@paulkavengih1536
@paulkavengih1536 3 ай бұрын
Yenyewe mungu ametubariki sisi waembu yaani tunaweza imba na lugha zote na ikuwe perfect
@CatherineKarwitha-b2z
@CatherineKarwitha-b2z 3 ай бұрын
Kameja's Songs my Favorite
@martinmuthengia954
@martinmuthengia954 2 жыл бұрын
Congrats my good people
@kennedymureithi6601
@kennedymureithi6601 2 жыл бұрын
Incredible ,proud of my country pple ,, Kidogo Tanzanians walikuwa wametukamba koo karibu tusahaulike ,, Shout out to Tanzanians we are coming for you kenya got talent , Kongole Embu Diocese
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@StudioiRisPro
@StudioiRisPro 2 жыл бұрын
😀at your service
@pascalinekanini1365
@pascalinekanini1365 2 жыл бұрын
Amazing 🥰🥰🥰
@monicahmutuku3305
@monicahmutuku3305 2 жыл бұрын
Wow wow, I have no words danced danced in my house. Congratulations and God bless you for the work.
@isaiahdamballa3201
@isaiahdamballa3201 2 жыл бұрын
I put this out to the world for the bunch of lazy singers who say lugha hii au ile ni ngumu to watch maestro Kameja do it perfectly well.Keep up Sir Kameja and the choir
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana ubarikiwe Sana isaiah
@marymimina
@marymimina 2 жыл бұрын
@@lawrencekameja9730 Hongera kwa kazi nzuri umetupa motisha ya KUWA linguistics....umefanya lugha tofauti zikawa tamu jinsi unavyotamka. Ubarikiwe sana🙏
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana dada yangu ni Mungu tu
@marymimina
@marymimina 2 жыл бұрын
@@lawrencekameja9730 Tunamshukuru Mungu aliyekupa kipaji Cha kuimba na kuelewa lugha tofauti Amina🙏
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
@@marymimina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe Sana dada
@winfredndunge6175
@winfredndunge6175 6 ай бұрын
Nimetafuta huu wimbo for the longest time😢, thanks to our pianist umenisaidia sana. Kameja huyu kijana anaenza kuona aje
@reinfridajohnakangumisa9752
@reinfridajohnakangumisa9752 2 ай бұрын
Hongera saana, nafarijika saana
@felistasmburugu
@felistasmburugu 2 жыл бұрын
Great great 👍👍🙏👍 Mungu awazidishie baraka zake. 🙏🙏. Kila mwenye pumzi na amsifu Mungu.
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Amen dada felista
@patrickacapel5494
@patrickacapel5494 2 жыл бұрын
Best🔥🔥🔥
@johnkellybron2127
@johnkellybron2127 2 жыл бұрын
Wow! This is amazing!!!🔥🔥🔥 great job tunawapenda sana ndugu zetu watanzania.Mwenyezi azidi kuwajalia baraka tele na neema pamoja na waimbaji wote ili mzidi kuieneza injili ya Bwana kupitia kwenye wimbaji
@shiimwaniki2536
@shiimwaniki2536 2 жыл бұрын
Kazi safi kutoka Embu Kenya
@ulircktarimo5869
@ulircktarimo5869 2 жыл бұрын
Well done congratulations big up
@empressblue4247
@empressblue4247 2 жыл бұрын
The music🔥🔥🔥🔥🔥
@vickynash372
@vickynash372 2 жыл бұрын
I am lost of words, my dear Kenyans this is such a shocker on us. Lawrence thank you for embracing our culture you are such a power house yaani unaimba lugha zetu bila kusita. Thumbs up for my fellow Embians this tremendous. Swai naye hatuangushi. Big everyone for the master Piece.
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana dada yangu Kenya ni kwetu sote kwakwel najivunia wakenya maana ni nyie ni kama familia moja nasi watanzania hakika tudumishe upendo na kuombeana hakika tuimbe na kumuimbia Mungu Kwa lugha zote ubarikiwe Sana dada yangu
@sue846
@sue846 2 жыл бұрын
For sure this is a shocker,
@beatricetemu6472
@beatricetemu6472 2 жыл бұрын
0
@beatricetemu6472
@beatricetemu6472 2 жыл бұрын
Ñ
@beatricetemu6472
@beatricetemu6472 2 жыл бұрын
@dorcasmwikali4829
@dorcasmwikali4829 2 жыл бұрын
this is so wonderful ,,,wanamilele keep the fire burning,,,,,, hongera sana sir kameja 🌹🌺
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana dada Dorcas
@loraineogweno3440
@loraineogweno3440 2 жыл бұрын
Wuuueeeh, leo sisemi kitu, Lawrence dear perfect Job , this imewin of all ,wanaembuuuuu hongera sana ❤️❤️❤️❤️💯💯💯🥂🥂🥂🥂🥂🥂❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️👌👌👌👌👌
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana jaman
@professormaxwellsimiyu3498
@professormaxwellsimiyu3498 2 жыл бұрын
Actually the song is wonderful guys keep it up,good work👏👏👏🤗🤗
@frednyandisi2375
@frednyandisi2375 2 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri ya huimbaji.
@josephineachayo5371
@josephineachayo5371 2 жыл бұрын
Kazi safi sana hongera Kameja and team
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana dada yangu ubarikiwe Sana
@felistermoseti8673
@felistermoseti8673 2 жыл бұрын
Waah avery nice song ,Nyasae omonene abasesenie .
@michaelmunyao4998
@michaelmunyao4998 2 жыл бұрын
Wow,. Sauti zapendeza kweli kweli,. Nitaishi kujiuliza swali moja tu,,. " UTAMU WA MUZIKI, NI NINI MFANO WAKE,? NAFASI YA MUZIKI NINI CHAWEZA KUIJAZA?? May The Good Lord Bless You All for your good Work,.
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@SweegHMs2dio
@SweegHMs2dio Жыл бұрын
Naomba Maneno ya wimbo uu
@kikemumbinda3225
@kikemumbinda3225 2 жыл бұрын
Moto moto sana... God bless all listeners world 🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎 wide
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Noma
@sylviarachami241
@sylviarachami241 2 жыл бұрын
Lawrence be blessed always. U are wonderful. 🙏🙏🙏💃💃
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante dada yangu ubarikiwe pia
@fransiscalupala685
@fransiscalupala685 Жыл бұрын
What a beautiful song❤a beautiful melody ❤❤beautiful everything jamaniiiiii
@stephenmusau1044
@stephenmusau1044 2 жыл бұрын
Powerfully music 🎶 congratulations 🎉🎉🎉👏 keep up
@kennedytapala7800
@kennedytapala7800 2 жыл бұрын
Woooow kazi nzuri sana shupavu
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Kabisaa
@josphinenashipae9993
@josphinenashipae9993 2 жыл бұрын
I love love loooooove this song.What a powerhouse🔥🔥🔥🔥🔥God bless you Lawrence and team
@jospinekavuli9384
@jospinekavuli9384 2 жыл бұрын
Wouuuw👏... wonderful song... I like it ad be blessed ,,, continue with that spirit 🙏🙏🙏
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Be blessed too
@jospinekavuli9384
@jospinekavuli9384 2 жыл бұрын
@@lawrencekameja9730 thank you kameja
@jospinekavuli9384
@jospinekavuli9384 2 жыл бұрын
Safiii
@dennisbaraka889
@dennisbaraka889 2 жыл бұрын
Very creative, I have listened more than 20 times and I'm not getting enough of it. Kudos
@risperkwambokaaminga775
@risperkwambokaaminga775 2 жыл бұрын
I love this boys voice
@emmanuelkibet1715
@emmanuelkibet1715 2 жыл бұрын
Kiwekchini kiptayat kongoi💥💥
@tellynkirote1
@tellynkirote1 2 жыл бұрын
Good work dear ones keep on that fire burning,congratulations❤
@jemutaianne7527
@jemutaianne7527 2 жыл бұрын
You guys nail it as always 👏🏿👏🏿🔥🔥...Iris Pro nyinyi ni wale wasee👍
@almasibet638
@almasibet638 2 жыл бұрын
Indeed
@onesmusnzioki6391
@onesmusnzioki6391 2 жыл бұрын
In deed incredible
@jacklinemuriuki3003
@jacklinemuriuki3003 2 жыл бұрын
This is good. I love the song.Keep spreading the word #kenyamoja
@Ann-be6zi
@Ann-be6zi 6 ай бұрын
Aki pliz moyo umeskia❤
@Modest-of6hv
@Modest-of6hv 6 ай бұрын
Ongeleni Kwa utunzi na faraja kwetu sisi kaka wew utunzwe daima❤
@mcprofharon731
@mcprofharon731 8 ай бұрын
Ive been listening to this song, today is the day ive known that our neighbors in Embu can do something such great. Big up to Kamenja and Swai. You are changing the narrative in Kenya.
@maryben9951
@maryben9951 2 жыл бұрын
Wow nice one, I like the theme of the song and the voice are well projected also the vocals are good more especially Lawrence. Congratulations
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Sana dada yangu ubarikiwe 🙏
@raphaelmuthoka
@raphaelmuthoka 2 жыл бұрын
Nice song
@kaburubrian7520
@kaburubrian7520 2 жыл бұрын
Nahisi kwamba huu wimbo kweli umetungwa na kuimbwa kwa ustadi wa aina yake. Napendezwa na vile ndimi zimechanganywa humo kuleta ladha za kikwetu. Mzidi kupaa anga za juu na kupaa pamoja nasi wasikizaji na watazamazi.🔥🔥🔥
@VERONICAJOHNNY-g8p
@VERONICAJOHNNY-g8p 3 ай бұрын
Mungu awe nanyi siku zote nyimbo nzur sana sana
@kristumfalme6037
@kristumfalme6037 3 ай бұрын
Aksante Vero God biess you
@ElectinMalala
@ElectinMalala 7 ай бұрын
Congratulations Lawrence and the whole team
@JJ55825
@JJ55825 3 ай бұрын
Lovely
@patrickorganist8554
@patrickorganist8554 2 жыл бұрын
Congratulations Mr Kameja and your team...soo amazing💥💫
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Asante Kaka ubarikiwe Sana
@peninahmwende5489
@peninahmwende5489 2 жыл бұрын
Waaah, this is a Hit song. Congratulations
@Annastaciakyalo245
@Annastaciakyalo245 2 жыл бұрын
Mmh..wonderful..Congrats and may God bless you for the wonderful job!
@upendomedia6853
@upendomedia6853 2 жыл бұрын
Ghae, Absolutely amazing ♥️
@Fridahkilonzo96
@Fridahkilonzo96 Жыл бұрын
Milele melodies Int'l! God guide you all through. In love with this callenge ❤
@atieno_oyoo23
@atieno_oyoo23 2 жыл бұрын
I really like the cultural diversity in this song..
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Be blessed
@atieno_oyoo23
@atieno_oyoo23 2 жыл бұрын
@@lawrencekameja9730 you too be blessed
@elizabethmandera6032
@elizabethmandera6032 2 жыл бұрын
Hey bro umeweza kweli may God grant u more en more
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Amen
@franciskironjo9369
@franciskironjo9369 2 жыл бұрын
Atleast my home side... The work is of another level
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@monicanis3737
@monicanis3737 9 ай бұрын
Waaaaooooo... Thanks for your good job and sweet voices in praising our God.
@mtotowamfalme2162
@mtotowamfalme2162 2 жыл бұрын
Viumbe vyote vimsifu Mungu. Good Job, God bless you
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe pia
@juliannjuki8337
@juliannjuki8337 7 ай бұрын
A well perfomed song. Hongereni sana. Asante sana Kameja
@StMonicaChoirJuja
@StMonicaChoirJuja 2 жыл бұрын
Aleluya! Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Hakika na asifiwe zaidi na zaidi
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Hakika na asifiwe zaidi na zaidi
@danielmuriithi7232
@danielmuriithi7232 2 жыл бұрын
Wow I wish tungekuwa pomoja.God's grace en love is visible within u guys.nitumaniwe iyo cd
@chainetv1479
@chainetv1479 2 жыл бұрын
nyimbo hizi tamu zinanitasa moyoni kabisa songeni mbele😄😄😄😲😲😲😲😲😲😲😲
@wangomary7375
@wangomary7375 2 жыл бұрын
Waooh this amazing ,good job guys
@NicholasMango-z1r
@NicholasMango-z1r 9 ай бұрын
Wow...this is amazing... hongera kwenyu nyote
@Fridahkilonzo96
@Fridahkilonzo96 9 ай бұрын
Glory to God. Thanks mwimbaji 🎉
@mwalimurichard2736
@mwalimurichard2736 4 ай бұрын
Song iko na pia touching
@annnjiru1869
@annnjiru1869 2 жыл бұрын
More grace ❤️
@adelinakigoye3248
@adelinakigoye3248 4 ай бұрын
Kilugha gani hiki part two sielewi😂 Ila wimbo umenoga sana
@emmymongina5420
@emmymongina5420 2 жыл бұрын
Woooow so amezing
@ElizabethMuthui-k5g
@ElizabethMuthui-k5g 6 ай бұрын
Pongezi wana wa mungu❤❤🙏🙏,,,na roho zenu zizidi kumtukuza bwana👏👏👏
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 2,9 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
WEWE NI MAMA: MTUNZI; RAY UFUNGUO. #Gifted voices FT. Lawrence Kameja.
6:59
TUNAISHI NAYE By. Shimanyi FM (Official Video)
4:35
KWAYA YA MT. BONIFACE(KMB) SOMBETINI ARUSHA
Рет қаралды 1,8 МЛН
St. Kizito Choir Riruta-NYOTA YA MATUMAINI (Official music video)
7:30
YESU KRISTU NI MFALME
5:09
Edwiga Upendo
Рет қаралды 429 М.
NYIMBO KATOLIKI SHEREHE YA KRISTO MFALME - 1 Hour | Non-Stop
49:38
Best Zabron Singers video mix 2023
22:13
Lenny KE
Рет қаралды 241 М.
Mt. Kizito Makuburi - Apewe sifa (Official Music Video)
7:02
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 3,4 МЛН
Asante Twakushukuru - Melodic Harmony Chorale Ft. Lawrence kameja (Official Video)
5:42
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН
TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja
6:25
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 4,8 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН