And im listening this back again in 2024 !!❤❤Sifa na heshima nakupa wewe...🙏🙏🙏
@MabulaDegrosi7 ай бұрын
Mimi ni mmoja wapo ambaye mungu ananitimizia maombi yangu hakika sifa ni kwake
@JulineAwuor11 ай бұрын
So inspiring ❤❤ proud to be a Catholic forever 🥰🥰🥰who is here with me 2024
@DancanOtua-h8w4 ай бұрын
❤
@winfridadominic72823 ай бұрын
me
@guyrogermbo6412Ай бұрын
Je confirme
@FreddyMgaya-jc9nj Жыл бұрын
Apewe sifa Mungu daima kama umeupenda huu wimbo mwaka huu 2023 like ❤
@farajakapinga-ic1ks4 ай бұрын
❤❤
@AzamaKasiti3 ай бұрын
Njooo
@MoureenMagretАй бұрын
Apewe sifa milele❤
@jayeventstv313Ай бұрын
Tunateeembea kwenda 2025,aaaah hallelujah, tunatembea bila vitumbwi🦵🦵🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖💝 Ariririiiiiiiiiiiiiiiiii huuuuu huuu uuu. Apewe sifaaaaa MILELE🙏🙏🙏🥰
@sharonmerongo273Ай бұрын
❤❤❤Amina 🙏
@sharonmerongo273Ай бұрын
Haiya 😅 ni James 😊I really love the song what a coincidence
@jayeventstv313Ай бұрын
Huku ni sifaaa tuuu kwake Rabana 2024 ending in syle.WanaTeam strong piga like.
@nyagwangacornelius94936 ай бұрын
Mungu aneemeshe hii kwaya na wote wanaosikiliza wimbo huu. Baraka tele🙏
@cosmasbiringaninekajibwami28933 ай бұрын
❤amena. Bwana apewe sifa 🎉
@themirrow34332 жыл бұрын
My favourite song 2022 who is listening with me......
@bernardmarcelline76232 жыл бұрын
God Bless.
@sylvia4302 жыл бұрын
Am here 🔥🔥🔥🔥🔥
@constantmukhebi93442 жыл бұрын
Here I am
@franciskagunda34612 жыл бұрын
Me
@gilbertbaraka71022 жыл бұрын
Here I am
@Josephinekokihzg14 күн бұрын
Utukufu tunampa Mwenyezi Muumba
@charlesrongo3615 Жыл бұрын
kiukweli huu nyimbo umenifariji sana kipindi nilipata matatzo ya ajali na kipindi hicho mke wangu nae kanikimbia kaniacha n watto Sina msaada wowte zaidi ya mungu ... nikikumbuka haya mapitoo jmn Mungu yu mwema
@joshuandiema99084 жыл бұрын
Utunzi wa hali ya juu Sana,Sauti zilizokomaa,mchezo pia waambatana Na nyimbo,hongera ,Sauti ya Pili tamu Sana,natazama kutoka Jimbo la Eldoret,Kenya.
@lekimenchogodfrey98257 ай бұрын
I just can't have enough of this song....bahari haiwezi kutuzuia.....na maji yanageuka kuwa ukuta...tunatembea bila vitumbwi.
@QueenMhangaКүн бұрын
Ni kweli mungu apewe sifa usiku na mchana bila kuchoka.
@uncleba7156 ай бұрын
Mt. Kizito Makuburi is the greatest Catholic choir of all time. 🙌 Love from Kenya. ❤
@FebroniaMassawe-ny4ck3 ай бұрын
Kwa kweli mnaimba toka vilindi vya mioyo yenu..Mungu azidi kulilinda Kanisa Katoliki Dunia nzima..Barikiwe sana, Amazing Voices I love it.
@elinaselias91392 ай бұрын
2024 sifa na utukufu ni kwa Mungu
@benedictokapere36413 ай бұрын
Na hakika utukufu, sifa na heshima vyote ni mwenyezi mungu aliye kimbilio letu
@ericktarimo81574 жыл бұрын
Zachariah Gerald lymo ....mungu akuzidishie ujuzi aisee Huu wimbo ulituliza kichwa mkuu
@zachariagerald2 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼
@olwitvincent Жыл бұрын
Eee, Catholic has good songs and am proud of being a Catholic
@ImeldaMuriungi3 ай бұрын
Anyone here 2024😊🎉
@NDANUIgnatious3 ай бұрын
Here we are❤
@elizabethgithinji7345 күн бұрын
November 2024
@GastonMunuo3 ай бұрын
Amen nqbarikiwa sana na nyimbo za injili
@marcelinochannel54957 ай бұрын
Anyone from tiktok 😂😂😂😂Ndio kujuaa hii Wimbo.....😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@wambedeivan73465 ай бұрын
Me also
@zabronatanass84255 ай бұрын
@@wambedeivan7346p❤
@zabronatanass84255 ай бұрын
@@wambedeivan7346😊😊😊😅
@kelvingichana91532 жыл бұрын
Sijui Mimi nitoke Kenya niende Tanzania I love their songs
@sylvia4303 ай бұрын
2024 apewe sifa
@NaomiDaniel-tw2cb7 ай бұрын
Huyu aliepiga kinanda duuh Yani km napaa niko mbinguni kabisa
@honestmosha86514 жыл бұрын
Hakika sifa na utukufu apewe Mungu wetu wa majeshi.Nimebarikiwa sana na wimbo huu.KMK
@marymillicentnjeru434 жыл бұрын
Huu wimbo umeniinua. Sifa kwa Mungu
@josephgitagano45333 жыл бұрын
MUNGU MWENYENZI AWABARIKI KABISA NYOTE.MWAAAAA!
@jacquelinemaina652311 ай бұрын
Bahari haiwezi kituzuia tunapita bila mitumbi, my favorite part
@vickylayda63364 ай бұрын
Talanta yako iko juu itunze kwa ajili yake aliyekupa amina
@Penny4312 жыл бұрын
Am not a Catholic but this song is my favorite
@NorahA-r5c12 күн бұрын
Welcome to our denomination
@waswawanjala24802 жыл бұрын
Tanzanians u r really blessed.. I'm Catholic damu. From kenya
@billgussy60992 жыл бұрын
Your are very blessed too Kenyans..
@paulineTwubahimana-rh9vt8 ай бұрын
Can you please tell me me the meaning of the song
@ChesomeMatrice-je5ub2 ай бұрын
Wow!!! Hongera Wana mtakatifu kizito Makuburi 🙏🙏🙏
@tintanyawira31033 ай бұрын
Pokea shukrani zangu kwa kuniwezesha nishinde❤🎉
@doreenandcollins34354 жыл бұрын
Makuburi twakupenda Sana Mwenyezi Muumba awazidishie na kuwabariki
@MosesMetuo-rp7tu2 ай бұрын
God bless Kenya,East Africa, Africa and planet earth.
@JamesSifuma-kn1ys25 күн бұрын
Yes, Mimi ni mmoja najivunia. Kuwa. Mkatholiki.
@ClistineWaikipiАй бұрын
Sifa na utukufu apewe Mungu
@valeriamukama11 ай бұрын
Am her 31 Dec 2023 sifa na utukufu vyote ni kwa mungu
@YohanaCharse-q4i16 күн бұрын
❤❤❤❤❤ utukufu kwake Mungu mwenyezi
@Bosderatus1064 ай бұрын
sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu
@eventiusevodius6521Ай бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri , mungu abariki kazi yenu ya utume
@ianmutua-rt9wo Жыл бұрын
I am not a Catholic but this song is so sweet
@felixkiboi22502 жыл бұрын
Proud to be a Catholic. Glory be to God,,,🙏🙏🙏🙏
@johnleon2014 жыл бұрын
Sifa na Utukufu vyote ni Kwa Mungu……… Eeh Mwenyezi unaweza🙏🙏. Mungu awabariki sana KMK you never disappoint Kwa kweli
@HeroIlunga3 ай бұрын
Sifa kwake mungu wangu
@buyambakassaja-wn2rt18 күн бұрын
Sifa na utukufu kwa Mungu
@upendokambenga16776 ай бұрын
Yaani sichoki kuusikiliza huu wimbo,mbarikiwe sana kwa kutuinjilisha kupitia nyimbo zenu
@sammymwangimburu2578 Жыл бұрын
Apewe Sifa 🙏🙏👌 lm listening the song nikiwa away from Home 🇰🇪🔥 Currently at 🇨🇩💥 Nice Song 👏👏👏🙏🙏
@eugeniamwakamba369 Жыл бұрын
Ok
@partohpartoh1449Күн бұрын
Apewe sifa daima milele
@AmeldaKavishe-ry9ow Жыл бұрын
Ata maombi uwa unajua unaongea nn na mungu sio furugu asate Roma naipenda dini yangu ya baba na Mama mungu atende mujiza ndani ya makanisa pasije makaingiliwa na muofu shetani
@HeleniEmmanuel3 ай бұрын
Asante mungu kwe wama
@PetroBUBALAWISOBA3 ай бұрын
katolic
@veronicakomba304 Жыл бұрын
NAJIVUNIA SANA KUWA MKATOLIKI NYIE,YAAAAANI NAIPENDA SANA IMANI YANGU HADI SIELEWI KITU MTU VENYE MTU ANASEMA.,NAMPENDA KRISTO
@ericanyange59672 ай бұрын
I love this song ❤❤❤
@De_Tiger_Alex.Ай бұрын
apewe apewe weee so nice
@awesomeworldchanel4 жыл бұрын
Apparently, The Best Choir in East and Central Africa😍😍 ❤❤❤
@cutphilipo47323 жыл бұрын
Nawapenda mmnooo Hadi naumwa MUNGU awainue zaid na zaid,
@mathewalfred87763 жыл бұрын
Nice
@lilyomwoyo6277Ай бұрын
Lovely song to our Lady. Well Des and team....
@mogirecatherine72923 жыл бұрын
The male voices my God!!!Apewe,apewe,sifa mungu....waaaaaa!I love this.
@akumuvalentineАй бұрын
Asifiwe kila mara ,tumpe utukufu
@edgarmboya8 ай бұрын
Nyie watu wa Mungu mnatisha sana kabisa nawapenda sn
@dorahlidoroh4473 Жыл бұрын
Still watching this ...who else 2023
@AlexandreKanyole6 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana. Asante sana 🙏 kwa mtunzi.
@naomnzilia303Ай бұрын
Am listening this now 10/24 ...such a master piece
@johnkamaupresenter4 жыл бұрын
Wow! Hiii ni tamu saana
@hellenmutanu36693 ай бұрын
God is all faithful.glory be to him
@melkiorylasway642711 ай бұрын
Amakweli sifa na utukufu vyote nikwa Mungu
@GUSTAVCHAKI5 ай бұрын
Asanteni sana wana wa mungu kweli nimeamini imani yangu ipo kwenye kipimo mungu awabariki sana wanakwaya hawa
@denniskirui13903 жыл бұрын
Job well done st. Kizitos .mungu kweli ni mwaminifu.Apewe sifa,heshima na utukufu.
@urlbanuskioko594427 күн бұрын
Blessings ....what a sweet song
@coxswainexecutive8902 Жыл бұрын
Apewe sifa🥰
@TAVETADEO4 жыл бұрын
My all time Choir......! I wish itengenezwe video nyingine ya wimbo huu ambayo imetumia technologia ya kisasa zaidi..The audio is Super, and I think hakuna wimbo mwingine mzuri kaka huu....Mungu aendelee kuwajaza vipaji
@jamesdamian72563 жыл бұрын
Mungu apewe sifa
@gaspergafumbe69553 жыл бұрын
Good comment. Mungu anaweza
@maxwellgichia93932 жыл бұрын
Kweli apewe sifa kwa makuu yoteee AMINA
@stephenmathege51792 жыл бұрын
Ikiundwa nyingine itapoteza Radha,coz ata video yenyewe Iko katika hali poa,naipea nyota Tano😘
@ClausperZone3 ай бұрын
God did that
@hongerazabron17594 жыл бұрын
Ukweliii mnawezaaaaa sanaaaa mungu awanuee ivo ivo
@rutisimbeyanawapendaburekw61413 жыл бұрын
Nawapenda bure
@rutisimbeyanawapendaburekw61413 жыл бұрын
Ani natamani na mm niembe kama nyie
@JosephaMweleli Жыл бұрын
Mko sawa kabisa
@joymo2799 Жыл бұрын
Still here today.. Tazama Mungu ni mwaminifu on February 3rd in 2023
@emmanuelpetrol57314 жыл бұрын
Am watching from Malawi,though I have a problem with language but voice production of this choir (Mt Kizito Makuburi) is very nice almost our continent is only this choir.
@DaudiMazengoMasterDTEM3 жыл бұрын
Can I be your Swahili teacher?
@elizabeththananga36233 жыл бұрын
Salute Malawi guy 👋👋👋
@elizabeththananga36233 жыл бұрын
Thiz iz Kenya proud of Malawi
@wilfridaokock95515 ай бұрын
Beautiful song. Thank you Seminarians.🎉👏 Sina kitu cha kulipa wewe Mungu wangu🙏🙏🙏
@GloriaLamaro3 ай бұрын
Brother I like the way you enjoy that song,
@stgabrielkoibarakcatholicc53643 жыл бұрын
Napenda wimbo huu sana....sifa na utukufu kwa mungu milele na milele
@cyruskariithi45932 жыл бұрын
Uimbaji wa hali ya kumtukuza Mungu kwa talanta alizotupea. Kazi ya kuhubiri injili iendelee
@gregorybundala49636 ай бұрын
Utunzi wenye utulivu sana ❤❤
@rosekashamba5023 Жыл бұрын
Mungu ni mwema...wimbo wangu nilioingia nao kwenye sendoff yangu...unanibariki sanaa
@witnesssamwel-nu9vt Жыл бұрын
safiiiii sana sana kwaya
@kennethmunene82582 ай бұрын
❤❤❤❤ from kenya
@radiomariatanzania4 жыл бұрын
Halleluyah
@mafundishoyakikatoliki8943 жыл бұрын
Amina
@AmeldaKavishe-ry9ow Жыл бұрын
Roma naikubali kwa nyimbo zenye nizam Sana azina ukicha ata mungu anasikiliza naanabariki kwakweli
@MariaJoseph-d1s3 ай бұрын
Nawapend san mt kizito mnanibariki mno na nyimbo zenu
@yohanawambura91644 ай бұрын
Apewe sifa MUNGU
@margaretochieng8085 ай бұрын
We stand in awe of your Power and wisdom Majesty enthroned above Lord
@jameskigondoke61333 жыл бұрын
Tazama MUNGU wewe ni mwaminifu na hakika unatimiza ahadi yako maana wewe ni mtumbwi tunavuka
@ElizaMutie-pm1tt5 ай бұрын
Sifa nautukufu zimrudie mungu
@MartinManthi-bz6vk5 ай бұрын
Avery blessing song God bless the Singer's amen
@deodaniel66511 ай бұрын
nakoswa na nyimbo hizi asanteni sana na mbalikiwe
@LinaCadet-x8y7 ай бұрын
Makiburi thank you so much l love you enjoy family lord beautiful the best friend 💖💗💗💞💞🎉❤🎉❤❤🎉❤🎉 God bless you everyone 🎈💓💓🎉❤🎉❤🎉❤🎉
@PulkeriaTarimo-x6gАй бұрын
❤apewe sifa daima
@PerisMokeira Жыл бұрын
Nilipokua kwenye bahari ulituliza mawimbi nikavuka ng'ambo kweli wewe ni mweza,utukufu na heshima nakupa wewe Mungu🙏
@margaretochieng8085 ай бұрын
Almighty Father we come before your throne of Grace recognizing that there is nothing too hard for you Lord
@thomasnduva9662 Жыл бұрын
Kweli Mungu amewajali Sauti za kumuimbia.nawaombea kila la heri.siku moja naombaga Mungu niweze kufika Kwa kanisa yenu tuambudu pamoja.all the way from Machakos jirani wa Padre kioko muoki
@StelamarisNduki-mq4jd8 ай бұрын
So nice voices,nice song , congratulations to to u,sifa na utukufu ni kwa mungu
@agnesnjoki8152 Жыл бұрын
My favorite song in 2023 October, Mungu ni mwaminifu. Utukufu ni Kwa Mungu
@gracebuhatwa63595 ай бұрын
Kwa imani najiungamanisha na huu wimbo nipone joints and bone