Filamu yetu mpya hii hapa mbele kzbin.info/www/bejne/h6KQiJ-NoJmdlZYsi=BbKlDT28ebGnSvMQ
@فاطمهكينيا-ذ8ش5 ай бұрын
Una tufunza maneno mazuri sana Adam
@salomemakene44464 ай бұрын
Unapomwambia mwanaume maswala nyeti kama haya unatakiwa ujipange kutokea lolote tu mbele yako maana atahisi atakavyoona yeye
@Agnes-m8n3 ай бұрын
Jameni Adam hausamehe mwenzako 😂😂
@AngelJuma-q2nАй бұрын
Ila umejitetea sana mpaka nimeinjoy mimi daah ety twende ndani tukalale😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@costerlugwadi29836 ай бұрын
Unajua Sana bro Ni bahat mbya jamii bado haikupi saport Kama unavyo paswa kupewa Ila usjal soon watakuelewa tu ✊✊
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Amen
@ladislausfocus18305 ай бұрын
Adam sina shaka na kazi zako. Ni nzuri na zinaelimisha sana. Naomba jina la huo wimbo . Huo kama wa afro beat wa Nigeria. Asante
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Hatujauweka youtube tutauweka soon
@mamakenajma32576 ай бұрын
Kaz nzri Masha Allah series zako zina mafunzo sana hongera adam
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@bilingemote6 ай бұрын
Yani kazi unazotoa zina quality kweli. Na ukiangalia jinsi ilivyo kazi kubwa kutoa tamthilia ndefu. Mungu azidi kufanikisha kazi
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani sana! Furaha yetu ni kuona mna enjoy! Msiache kulike na ku share kazi zetu!
@reginajustini52716 ай бұрын
Jamn Adam Ni anatoa move nzr na zenye mafunzo kwenye jamii mbona like chache tumsaport jmn
@Chebet2546 ай бұрын
Kweli kabisa ana mafunzo mazuri sana
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Nashukuru kwa kuona hilo!
@JeannetteManirambona-o6m5 ай бұрын
Sana mno
@mearymeary-s9y4 ай бұрын
Yani wewe kaka move zako nzuri 😂 alafu Zina mafunzo pia
@saidshatta8276 ай бұрын
Mashallah broo hongeraa move zako zinamafundishoo sanaa
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani sana🙏🙏🙏
@NegritaKiwesi5 ай бұрын
Huyu Kaka ana kipaji Sana yaani siku hizi nazifatilia Sana movie zake big up
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asamte
@AmenaMm-r5t5 ай бұрын
Nimejifunza kit kwa filam mimi jaman ina mafunzo kwaiyo mwan ume ikiwa han nguv za kiume hakimbiwi tiba tunaz wenyewe ongeren san ❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante
@emillyajiambo47036 ай бұрын
Uzuri yenye huwa inafanya napenda filamu za Adam huwa anarply kila sms huna madharau kabisa bro kazi nzuri ❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani sana sana
@RizikiZiki4 ай бұрын
Aca niifwatiliye fuul movi maana vipande bitanisumbuwa kuvipata haraka❤❤❤move Adam 🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Endelea ku enjoy
@RizikiZiki4 ай бұрын
Asante @@AdamLeoStudios
@kiprotichpeter13866 ай бұрын
Movie iko na content nzuri ya mafunzo na kufurahisha sana,mungu akujalie miaka mingi Adamu
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Ameen
@MvuyahagaJohari2 ай бұрын
❤❤ thank you Adam
@AdamLeoStudiosАй бұрын
🙏🙏
@scolasticanalle91056 ай бұрын
Well done Adam.... Keep it up 🔥🔥
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Thanks, will do!
@shelyboyshely29286 ай бұрын
Kazi nzuri nimekukubali sana wewe mzazi kinywa chako kimetoa maneno mazuri
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Umeona eh mama kanena mazuri
@FlorenceMwangangi-c7s6 ай бұрын
Hongereni kwa kazi yenu nzury ......
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@zainajumaally3939Ай бұрын
Nice movie with a lot of messages
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Thanks a lot
@MigoFan-l5n6 ай бұрын
Hongera sana bro, hii movie inafundisha sana, much respect
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@LoiceKatana-ci1tx5 ай бұрын
Kazi nzuri sana Adam kwa mafunzo mazuri nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asantee
@zenakioga65676 ай бұрын
Ni zaidi ya somo kwa mwànaume na mwanamke hongera sn bro Adam Kazi nzuri na tunazidi kujifunza Allah bless you ☺️☺️☺️
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Amen
@farajyassir98226 ай бұрын
Big up team Adam 🎉❤..much love from 254...mi rehema nmemind🎉❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asantee
@Chebet2546 ай бұрын
Great work Mr ADAM 👏 kaka NYUKI nafurahia kukuona humu ❤❤❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@khadijak-f7n6 ай бұрын
Ke ! Daa Rehma , Umekosea hatakama lkn huwezisema direct kwa mwanandoa inallillahi sivyo umekosa tena sana
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Umeona eh
@BongeRegina6 ай бұрын
Jakosea KWASABABU inabd amwambie huyo hy mumew coz jamaa angeshitukia mkew yupo na watu wengin yupo sahih
@maryamsoud20596 ай бұрын
Afadhli amefunguka amesema kwli sio aende nje kuridhishwa na wengn
@AsiaSaid-tq4yw5 ай бұрын
Anahaki ya kusema dini.imeruhusu kabisa
@youngb86725 ай бұрын
Bora alimwambia ukwer bana.
@rigibsonKigola11 күн бұрын
i appreciated it
@AdamLeoStudios11 күн бұрын
Thanks
@JescahEddah6 ай бұрын
Big up bro
@bin.Ali_boy6 ай бұрын
I didn't see this movie before but this is one of the best movie ever
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Thanks
@rehemaluvuno60576 ай бұрын
Kazi nzuri sana😊
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante sana
@kanyarugano.eliefred7406 ай бұрын
Kutoka Rwanda tuko pamoja
@AminaMjeni-c7c6 ай бұрын
Ukweli unaumaaa eeeee😂😂❤🎉🎉
@bahatiomar52976 ай бұрын
Adam we ni moto sana Kaz nzuri nawapenda watu wangu
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@Muhsin-d3u6 ай бұрын
Ka Adam wakuja iliishia wap mm shabiki Yako kutoka Saudi arabia
@DevimwaijumbaMwaijumba6 ай бұрын
Jamani mm wakwanza leo lik at 5 tu
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Endelea kuenjoy
@IsackaGerald4 ай бұрын
Unyama sana kaka uko vivuri sana nimeionatuhii movie nitaanza kufuatirilia kila kazi unayo post kaka adam
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Asante
@JaffarIliasy6 ай бұрын
Wa Kwanza alfu ni mwanafamiliy mpya naomba like zngu😂🎉🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Endelea ku enjoy hakikisha una like na kushare mkuu
@apaelmbise6356 ай бұрын
Wa pili acha uongo
@OmanMuscut-ju3xp6 ай бұрын
Tu enjoy vipi mambo yenyewe meusi sasa hapa mnatufundisha nini. Wasanii wetu vio vyajamii mnatuangusha😢
@MajaniMeusi-l9b6 ай бұрын
Haya chukuwa like zangu izoo❤❤❤
@AbibaSalleh5 ай бұрын
Ninzuri sana.
@EsterEma-e8u4 ай бұрын
Mungu akujalie miaka mingi kazi nzur
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Amen
@MussaOthman-x6y6 ай бұрын
Mzee mama una tisha kwa ushauri 💐💐🏆💐💐🇹🇿
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Umeona eh
@FlorenceMwangangi-c7s6 ай бұрын
Ametisha sana Mashallah 🥰
@neemaneychricious64935 ай бұрын
Duuuhh broo adam unajua mpka cyo powaa kakaa hii series ni nomaaa snaa kazi zangu njema sana nikimaliz mb nawaz kuweka tenaa mana daaah wanikosha na kaz zako Mungu akupe neema zaidi uende viwango
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Amen
@noushaddammam88056 ай бұрын
big up adam ww ni kanumba part 2 usichoke kutuletea muvi zko unakubalika kaka ✌️✌️
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani sana sana
@graciembugua4 ай бұрын
❤❤❤❤ good job Adam
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Asante
@BoneshaIssa6 ай бұрын
Kazi iko poa hujawahi kutuangusha🎉🎉😂😂❤❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante sana
@NoorEesaАй бұрын
Kiukweli Adam movie zako nzuri sana ❤❤❤adi nalala saa tisa jamani 😮😮😮
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Asante sana kwakweli! Endelea kuburudika🙏🙏
@HadijaKenyaАй бұрын
Kaka Adam Leo mambo ya poa kwel na injoy Sana ❤❤❤
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Shukrani sana
@Aziza..Shaban6 ай бұрын
Nyuki wetu❤ kumbe uko na Adam pia. Kazi njema hongera
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani sana
@user-sarah1sarah6 ай бұрын
Anapigiwa😅😅😅😅uongo bwana anapigwaje 😂😂😂😂😂uyojaama anapigiwa yakwako wendani yakawaida Adam uwoooooooooooooô anatoka nduki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole sana baba
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Hahaa asante sanaa🤝🤝
@tiemahajimuindi80176 ай бұрын
Kazi nzuri...siku moja utavuna mazao bila kipimo...ipo SIKU, na inawadia
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani mno na tunashukuru kwa baraka🙏🙏🙏
@StevenMwarigha6 ай бұрын
Keep it up adam uko vizuri from kenya
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@mremajuma5 ай бұрын
Movie za ujamaa ni noma❤🎉... Kihoro pia ni kali
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante sana sana
@KizaMmunga-i4p5 ай бұрын
Hongera sana mama rehema kwa ushauri wako kwa mtoto wako
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Kabisa yaani
@CarlCare-yl4wi6 ай бұрын
Bonge moja la kazi bro from now on count me as a new member of this fam
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Ur welcome❤️
@halimamwakizondo87126 ай бұрын
Jamani hii kali ❤❤❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@LoizaLameckАй бұрын
Adam kazi nzuri sana mungu akubariki kaka
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Ameen
@mariamuhamisimwamrezi48326 ай бұрын
Nmekumiss Adam ww nafurahi kukona tena
@Seciliasteven6 ай бұрын
Yani kazi zuri❤❤❤❤❤ nakupenda sana🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante mno
@MwasitiHindu6 ай бұрын
Mimi na comment kabla sijatizama najua Adamu hana baya❤❤❤❤
@Lily-rn6xc6 ай бұрын
Umenena kpnz
@MwasitiHindu6 ай бұрын
@@Lily-rn6xc 💏
@DorinCherop6 ай бұрын
Together here
@MwasitiHindu6 ай бұрын
@@DorinCherop 💏
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Enjoy
@ashamwanganzi64006 ай бұрын
Kiufup nyote mmechepuka aisei😂😂😂😂😂ila n funzo kubwa san wallah
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante sna
@JeannetteManirambona-o6m5 ай бұрын
😂😂umeona eee wote wamechepuka
@joseambrosio15035 ай бұрын
Trabalho bem feito🎉🎉
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Thanks
@mirnababy50126 ай бұрын
Mungu akuzidishie zaidi mwana familia mpya hapa🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Amen karibu sana
@TightnotChome-fn2jy4 ай бұрын
Sisi wanawake tunamitihani yarabi Mungu atustiri😢😅❤
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Kabisa
@ernestmwakalambo39386 ай бұрын
Alafu usiongee namm kama unavyoongea na wapumbuvu wenzio huko nje 😂😂😂😂 kaka adam hongera xana kaz nzur.
@YasirkidGain6 ай бұрын
Mbona unampa pongez za Bure huyo
@FlorenceMwangangi-c7s6 ай бұрын
@@YasirkidGainWacha Wivu
@rashidikipangu95146 ай бұрын
@@YasirkidGain MWAMBIYE KWANZA
@rashidikipangu95146 ай бұрын
@@FlorenceMwangangi-c7s SIYO WIVU NIKWELI
@NeemaMbuji5 ай бұрын
❤❤❤❤❤Nawapend cn nyote mnanifulasha kiukweli
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani sana
@SubiraExzaverkihombo6 ай бұрын
❤❤Adam hongera unatufunza sana❤❤🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@AshaIssa-su9tr6 ай бұрын
Nzur xana Jaman hi move maua n ya kwako🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@MaryamM-zw4xv6 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asantee
@kadkadzo75436 ай бұрын
Big up🎉❤nyuki amefika huku 👌
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Yah nyuki yupo
@kibibiabdalla14516 ай бұрын
Sijachelewa...natumai ntafika kileleni😂😂❤
@neemamabena-xx5er6 ай бұрын
Waooooh naona mpya hii💓💓
@NasraNgoda6 ай бұрын
Hongera kwakazi nzuri sana❤❤❤❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante sana🙏🙏
@shebylossa8426 ай бұрын
Good job
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Thanks
@SalamaTaura5 ай бұрын
Kazi nzuri sana ❤
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@nassormohammed33706 ай бұрын
Kaz Safi blaza🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@اريناارينا-ق3ط5 ай бұрын
Kazi nzuri sana hongera🎉🎉
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante
@muniraahmedawadh26196 ай бұрын
Pamoja sana kaka
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@nancynjagi88786 ай бұрын
Much love ❤❤❤ from 🇨🇦
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Thanks
@موسيمحمد-ه5ظ1ف6 ай бұрын
Et kipande si kizuri kwa watoto 😂😂 ...watoto wenywe twasemaje❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Hahaha jamaniii❤️❤️❤️
@shafiahmadi-ls8nq5 ай бұрын
❤ sana movie
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani
@MargretSanat6 ай бұрын
Hiii ni faya much love from me ❤❤❤❤🎉🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Thanks
@lambertnimbona94375 ай бұрын
Filamu nzuri sana 🎉 Much respect from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante
@STANLEYKINYILI5 ай бұрын
Kenya Watching
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Thanks
@ZuwainaG6 ай бұрын
Hongera sanaa kazi nzur sanaa
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante sana sana
@SalomeNgussa-yn7gz6 ай бұрын
Kazi nzur Adamu
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante
@ShadidaAbdulla2 ай бұрын
Kaz nzr mashallah
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Asante
@apaelmbise6356 ай бұрын
Big up buddy
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Thanks alot
@JacklineDenice5 ай бұрын
Ongera xana kak kwa kuelimixha jamii 🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Asante Jacque
@FlorenceMwangangi-c7s6 ай бұрын
Mama Hongera kwa Ushaury wako mzury🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani sana
@Salma-g1m1x4 ай бұрын
Keep it up broo❤❤movies tamu sana
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Thanks
@saidiabdalahshabani9416 ай бұрын
Ukwer unauma ila nibola mwanamke akuambie ukwer Ili mtatue tatizo kuliko kunyamanza hf mwisho wasku mke kukusalit😢 hongra snaa broo Kwa Kaz nzur snaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante sana sana
@ZuwenaNassor-s2q6 ай бұрын
Big up kaka adamu🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani sana sana!
@TwanaFadhili6 ай бұрын
Adam nakupenda❤ sana naninapenda pia move zako mungu akupe Umli mrefu uzidi kutuburudisha
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Amen
@PaulKamanu6 ай бұрын
👍👍👍👍 nilikuwa nimess xna
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Endelea ku enjoy
@evalyinesalama25356 ай бұрын
Hongeren sana jamani ❤❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante
@sophiarashidi59035 ай бұрын
Hongera Sana adamu kazi yako nzuri
@AdamLeoStudios5 ай бұрын
Shukrani sana
@Justin_Nano6 ай бұрын
Tuko pamoja ndugu Adam❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani
@MusyokaMwendwa-t4g6 ай бұрын
Great job be blessed Adam🇰🇪
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Thanks
@CatherineMilanzi-l2n6 ай бұрын
Movi nzuri sana adamu yaani umegusa penyewe
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Umeona eh
@wemamgata2 ай бұрын
Kwani ulijuaje@@AdamLeoStudios
@lydianangolo59804 ай бұрын
Kazi nzur sana Adam 🤗movie zako ziko na mafunzo sana
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Shukrani sana sana
@George-qk8fw6 ай бұрын
Sinema zako nazipenda sana lakini unatuweka sana mashabiki wako. But napenda kazi yako