HAWARA | Full Movie

  Рет қаралды 68,024

Adam Leo Studios

Adam Leo Studios

Күн бұрын

HAWARA | Full Movie
Ni filamu inayomuelezea mwanadada Susu ambaye ameamua kumsaliti mume wake na kuwa na mchepuko nje. Baada ya mume wake kufanya uchunguzi anakuja kugundua na kuanza kufuatilia hilo.
JEe mume wake atachukua uamuzi gani baada ya kumjua hawara wa mkewe, fuatilia filamu hii yenye kisa cha kusisimua..
Kwa filamu nzuri kama hizi hakikisha una subscribe chaneli yetu ili usipitwe na mambo mazuri.
#film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #hawaramtamu #hawara

Пікірлер: 287
@jacklineminja-fg9ji
@jacklineminja-fg9ji 6 ай бұрын
Wa kwanza mm jaman like zangu hapa kama unamkubali adam leo tujuane kwa like
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani sana
@FurahaPetro-ly8jc
@FurahaPetro-ly8jc Ай бұрын
Mwanaume hodari sana huyo hongera zake kwa kuwaacha wote wakiwa salama na yeye salama nimependa sana hiyo😊❤❤hongereni sana adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Shukrani
@costerlugwadi2983
@costerlugwadi2983 6 ай бұрын
Yani mkeo kabisa af anamlilia hawara Daa! Kaka filam zako zinafanya tuogope kabisa kuingia ndoani vijana 😢 nahis yatatukuta vilee Hongera mno Kaka unajua 🤝
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Pole kikubwa ni kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo🙏
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 6 ай бұрын
Daaah 😂😂😂ila nimeipenda hii ya kado n huyu shaffy wallah hakuna kama hawa tena
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Wametisha
@christowelugyimbi2878
@christowelugyimbi2878 6 ай бұрын
Hongera sana Adam Mungu aendelee kukuinua Kwa viwango vya juu sana kaka.
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Ameen
@liylahahmed829
@liylahahmed829 6 ай бұрын
Nzuri sana imetulia na inafunza....Hongera sanaa Adam⚘️⚘️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani sana
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 6 ай бұрын
Umeigia chakile kaka pole sana KBS ndodunia hiyo mzunguko ila wewe nimu wamaana sana napenda movie zako nzuri sana KBS ni ushauri mzuri sana KBS ❤😊🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@GetrudaAndrea-ny4ku
@GetrudaAndrea-ny4ku 6 ай бұрын
Duh! Kazi nzur sana na inatufunza piah,,🙏
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 6 ай бұрын
Na mim naomba like please 😢😂😂❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Endelea kuenjoy!
@SalimSalim-m9w4o
@SalimSalim-m9w4o 6 ай бұрын
Adam vp mimi nimempenda uyo demu nataka kumuoa​@@AdamLeoStudios
@OZWIMsabato
@OZWIMsabato 6 ай бұрын
Kunakit sijajua mta akiomba like anatak zanini
@IRENEMENGI
@IRENEMENGI 6 ай бұрын
​@@OZWIMsabatohta mimi sijui
@ggvv9970
@ggvv9970 6 ай бұрын
Suzy nimtakayote ukosa yote 😂😂😂 kazinzuri washirika wote❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani sana
@busatitv
@busatitv 6 ай бұрын
Big Up sana Kazi Nzuri Mnoooo mpo good 👍
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Tisha familia🤝🤝
@lavidaloca_255
@lavidaloca_255 22 күн бұрын
Nimefatilia sana SUSU hajui kuigiza uhalisia unamshinda kabisa🙌🏾
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 22 күн бұрын
Sawa mkuu
@ChristopherLucky-m5h
@ChristopherLucky-m5h 6 ай бұрын
Love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇿🇦🤗
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 6 ай бұрын
kado actor kitambo sana nakubali sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Yupo na anaupiga mwingi
@SalmaSalma-e8g4k
@SalmaSalma-e8g4k 6 ай бұрын
Leo nimejifanya😂😂😂 funza kt movie tam sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@Justin_Nano
@Justin_Nano 6 ай бұрын
Ila sauti iko chini kidogo boss wangu 💓 Adam, film ni nzuli
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@Mwanamisi-q6y
@Mwanamisi-q6y 6 ай бұрын
Nimwahi niko w 2.....kz nzuri mashallah ❤🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@George-qk8fw
@George-qk8fw 6 ай бұрын
Nafurahi sana kutuletea picha mpya kwa wakati❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani endelea ku enjoy
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 4 ай бұрын
Hii movie Ina FUNZO kubwa sana ...aisee aya maisha asa ya mahusiano ni ya kuwa nayo attention sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 3 ай бұрын
Kabisa
@Ftwm-ew3up
@Ftwm-ew3up 6 ай бұрын
Ss wanawake sijui tunakosea wap jmn kazi zuri adam ❤🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Yaani acha tu
@FlorenceMwangangi-c7s
@FlorenceMwangangi-c7s 6 ай бұрын
Hongereni sana 🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani sana
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 6 ай бұрын
🎉❤ wewe unatisha KBS movie zako nzuri sana 💪 barikiwa kinjana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante
@DizzoOg
@DizzoOg 6 ай бұрын
Move kali san wanao mkubali shafii gong like ap ❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shafiih noma
@subbyraibrahimu250
@subbyraibrahimu250 6 ай бұрын
nazipenda sana muvi za adam leoo 👏👏❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@Justin_Nano
@Justin_Nano 6 ай бұрын
Tuko pamoja Adam leo❤,ila series ya utamu tunaisubiri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Sawa
@jacklinepeter4158
@jacklinepeter4158 6 ай бұрын
Mapenzi mapenzi oooh mimi saivi sijioni nikimpenda mtu tena na namuomba Mungu anisaidie kikombe hicho kiniepuke
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Pole
@jacklinepeter4158
@jacklinepeter4158 6 ай бұрын
Asante
@MshangamaJuma
@MshangamaJuma 6 ай бұрын
duuu mzngira kama yangu duu imenigusa love🎉❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Pole
@SelemanKazimili
@SelemanKazimili 6 ай бұрын
Doh ila ahsee Adam bro unatisha kaka piga kazi bonge la movie ubarikiwe bro🎉🎉
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante
@Salama-df2uu
@Salama-df2uu 6 ай бұрын
Wallah move nzuri sana hongeren sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani sana
@VeronicaDamas-in9yx
@VeronicaDamas-in9yx 6 ай бұрын
Kazi nzuri kaka ❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
🙏🙏
@VeronicaKalinga-r9d
@VeronicaKalinga-r9d 6 ай бұрын
kaz nzur kaka Adam 🎉🎉🎉❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 6 ай бұрын
Nipeni like zangu kabla sijawashitaki 😂😂😂😂 from Oman
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Duh
@kibibiabdalla1451
@kibibiabdalla1451 6 ай бұрын
Movie nzuri sanaa❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 6 ай бұрын
movie kali sana hii nimeinjoy
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante
@BeatriceMlau
@BeatriceMlau 6 ай бұрын
❤🎉kaz nzur
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante
@kijeneema4527
@kijeneema4527 5 ай бұрын
Leo nzuri mmezingatia muendelezo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Shukrani
@nadianyamuraka
@nadianyamuraka 6 ай бұрын
Wa kwanza jamani😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante endelea kufurahia kazi zetu
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 6 ай бұрын
Kazi nzuri from Oman brother Adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks
@MamuMkut
@MamuMkut 6 ай бұрын
Good job my broo Allah akupe afya njema ufke mbal zaid 🤗
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Amen
@user-SD2super8
@user-SD2super8 6 ай бұрын
Kazi nzuri sana Adam leo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@jatunemafoto
@jatunemafoto 6 ай бұрын
Kazi nzr kakaa❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante
@TantineZuzu
@TantineZuzu 6 ай бұрын
Kwa nini wana wake wenzangu rakini wamoja wamoja siote kwanini hamutosheki na wa ume zenu kwani munakuwa mumeolewa nawo kwa ku nguvu ama ?? Mujuwe wanawake wengine mimi munaniuzi 😢😢😢❤❤🇧🇮🇧🇮
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Yaani tabu tupu!
@ZenaKambi-d6n
@ZenaKambi-d6n 6 ай бұрын
Andika lakini sio Rakini 😂😂😂
@AyubuTimotheo
@AyubuTimotheo 6 ай бұрын
Kazi nzuri sana Adam
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@jobsimpamba71
@jobsimpamba71 6 ай бұрын
Hapa nimegifunza kitu mwanamuke nama nimalaya hauwezi kumubadirisha asanteni jamani❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Jamani
@kybtzearthmoney9984
@kybtzearthmoney9984 6 ай бұрын
Si hata basi ujue kuandika kwanza
@ZenaKambi-d6n
@ZenaKambi-d6n 6 ай бұрын
​@@kybtzearthmoney9984mwenzio anawai kukoment muache buana 😂😂😂
@kybtzearthmoney9984
@kybtzearthmoney9984 6 ай бұрын
@@ZenaKambi-d6n 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ElvinakaremboKahindi
@ElvinakaremboKahindi 6 ай бұрын
Kado my G💥
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
🔥🔥🫡🫡🫡
@josephkombe1569
@josephkombe1569 6 ай бұрын
move iko poa sana ♥♥♥
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
🙏🙏🙏
@tiemahajimuindi8017
@tiemahajimuindi8017 6 ай бұрын
Sinema nzuri sana, keep it up good work
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks
@suzanjames2795
@suzanjames2795 6 ай бұрын
Nakukubal sana kakangu Adam leo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 6 ай бұрын
Amen ishiwa 😂😂😂😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Si ndio eh
@SALIMHINZANO-f7m
@SALIMHINZANO-f7m 6 ай бұрын
Kazi nzuri
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante sana
@bennamush4616
@bennamush4616 6 ай бұрын
Dah imebidi nicoment mara mbili mbili mapenzi yanauma jamani hii story imenigusa sana 😢
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Yanauma mno
@jamesmaro7665
@jamesmaro7665 6 ай бұрын
Nakubal jesca 😂😂😂barii😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
🔥🔥🔥
@margaretandei6186
@margaretandei6186 6 ай бұрын
Present ❤️
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl 6 ай бұрын
Dada ana sura nzito.....ila Adam hongera kazi nzur❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante wewe mwenye sura nyepesi
@Khadija-ne8ul
@Khadija-ne8ul 6 ай бұрын
​@@AdamLeoStudios😂😂😂
@talitaWirish
@talitaWirish 6 ай бұрын
Asante sanaaa karibu
@kybtzearthmoney9984
@kybtzearthmoney9984 6 ай бұрын
Sijapenda😂😂😂
@ZenaKambi-d6n
@ZenaKambi-d6n 6 ай бұрын
Mpe yako nyepesi kisha umsaidie kutisha wtt mtaani kwenu 😂😂😂
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 6 ай бұрын
Good job ❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thank you so much
@ElizabethBaraka-ml9yy
@ElizabethBaraka-ml9yy 6 ай бұрын
Safi.sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@ginafaruque5335
@ginafaruque5335 6 ай бұрын
Nakukubaly sana Adamo leo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@monicamsile2284
@monicamsile2284 6 ай бұрын
Ndoa inasiri kubwa sana, na wanaojua siri ya ndoa ni wanandoa wenyewe,
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Kabisa
@FurahaPetro-ly8jc
@FurahaPetro-ly8jc Ай бұрын
Shoga ake nae yuko vizuri kwa ushauri nimeshacheka leo😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Enjoy
@STANLEYKINYILI
@STANLEYKINYILI 5 ай бұрын
Kenya Watching, twapenda
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Asante
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 4 ай бұрын
Mume ana subra na kweli wakipenda huwa wanapenda
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 4 ай бұрын
Ni kweli kabisaa!!!
@JustinaSaidikalaitaJ.S.Kalaita
@JustinaSaidikalaitaJ.S.Kalaita 4 ай бұрын
Dah!!! inauma sana😢😢😢😢
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 4 ай бұрын
Mno
@elysefuraha4588
@elysefuraha4588 6 ай бұрын
Good job❤❤ from🇧🇮
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks
@kimoyoleteipa81
@kimoyoleteipa81 6 ай бұрын
Wah!sio mimi talaka angekuwa ashaipatia kwao
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Umeona eh
@thalesyokim1730
@thalesyokim1730 6 ай бұрын
Adam je t'aime trop mon frère
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 6 ай бұрын
😂😂😂wanawake tujifunzi kitu apo hatari sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Umeona eh
@Patrickmutawa
@Patrickmutawa 6 ай бұрын
The movie is nice brother
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks
@everlinekenga437
@everlinekenga437 6 ай бұрын
Nimewahi leo likes pia❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Endelea kuenjoy
@MsallamDule
@MsallamDule 6 ай бұрын
Jamani wee Dada mbaya wewe
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Umeonae h
@MwasitiMsasu
@MwasitiMsasu 6 ай бұрын
Wa mwisho leo
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Enjoy
@bennamush4616
@bennamush4616 6 ай бұрын
Kweli nimeamini wanawake tunatafutaga kifo wenyewe 😢
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Kabisa yaani
@justinemakalo7684
@justinemakalo7684 6 ай бұрын
Oya ilo jina muhusika Shafii mkundi mmetoa wapi kunajamaa nimesoma nae anaitwa shafii mkundi
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Haha tumebuni tu
@noushaddammam8805
@noushaddammam8805 6 ай бұрын
yani adam ninacho pendea muvi zako zinafuza jamii pili muvie zako ni full HD yani unaangalia muvi moja mpaka mwisho akuna cha 1A wala 2 B
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@AminaMshirazi
@AminaMshirazi 5 ай бұрын
Umeonaee 😂
@tobiaselwak
@tobiaselwak 6 ай бұрын
Imagine don't play with lady's kwamakin sana I feel your pain bro but I have learnt alot of things in this video
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks a lot🙏
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc 6 ай бұрын
Nakukubal kaka hujawah fel
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@liylahahmed829
@liylahahmed829 6 ай бұрын
Hehehe iyo kileleni ndo mtihni😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Hahah yaani
@liylahahmed829
@liylahahmed829 6 ай бұрын
@@AdamLeoStudios 😃😃😃😃😃😃
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 6 ай бұрын
Adam leo mambo vp mtu wangu😅
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Poa kabisa
@IRENEMENGI
@IRENEMENGI 6 ай бұрын
Cado jaman handsome ebu Adam mwambie akate iyo minywele yake 😅
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Eti eh
@kimoyoleteipa81
@kimoyoleteipa81 6 ай бұрын
Tazama amekirudia kosa la pili! Kweli "mwonja asali haachi kuonja mara ya pili!"
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Kabisaa
@Saumu254
@Saumu254 6 ай бұрын
Hii kali ya mwaka yaan nianglie na mume hapa mi ntaitwa malaya hatotaka kujuwa hii ni movie😅😅😅😅😅
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Hahaha jamani
@kybtzearthmoney9984
@kybtzearthmoney9984 6 ай бұрын
Mimi hata natafuta namna ya kuiondoa mume asiione
@HazikaukymelodyMelody
@HazikaukymelodyMelody 6 ай бұрын
Adam tunakupongeza kwa kusimamia kipaji cha ndugu yetu na tena hapo alipo yupo kwenye mikono salaam kura siku tunamuona anazidi kukua tuna watatoa sana tuna mfatilia ndugu yetu cosms kwaiyo endelea kaka kumpigania kumshika tunaimani na wewe adamleo tuna kupenda endelea kumsaidia ndugu yetu cosms
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani tupo pamoja atafika mbali bila shaka!
@kadkadzo7543
@kadkadzo7543 6 ай бұрын
Njia mbili zilimshinda fisi sembuse binadamu😂vile vile mtaka yote hukosa yote, na majuto ni mjukuu huja mwishoni😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Umeona eh
@emillyajiambo4703
@emillyajiambo4703 6 ай бұрын
Wanawake Looh mna nini wajamani 😂😂😂😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Yaani
@nicohkjacinta-ke9cv
@nicohkjacinta-ke9cv 6 ай бұрын
adam im back nice movies leta mob
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Thanks
@MekiAli-ub4ld
@MekiAli-ub4ld 6 ай бұрын
Tuangalieni mafunzo n sio kuomba like 😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante
@rosemtwaki
@rosemtwaki 5 ай бұрын
Nikweli kbsa Et utasikia nipen like ili iwej sasa badara uangalie kz
@AnnAnn-i4x
@AnnAnn-i4x 5 ай бұрын
Mimi hawa watu hunichosha kila siku like za nn😅
@ShabaniHakizimana-mi5mp
@ShabaniHakizimana-mi5mp 5 ай бұрын
Safi sana
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Shukrani sana
@MMoriet
@MMoriet 3 ай бұрын
Wanaume wezangu kuchunga mke. Kubali presha au ugojwa ingine tu yyte juu lsma umie. Akili ni hapo moja hatanielewa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Ni kweli kabisa
@Ceciliamphande
@Ceciliamphande 5 ай бұрын
❤ kutoka cape town Africa
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Shukrani
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 6 ай бұрын
Susu susu kweli😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Asante
@auntmakochela4202
@auntmakochela4202 6 ай бұрын
😂😂😂 janamke jangili hili Yaan hata halijui linataka nn hapa Duniani 😂😂😂😂 bora walivyoondoka wote 😅😅😅 akili ikukae Sawa mbwa ww😂😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Yaani
@chrisnoelcomedy1589
@chrisnoelcomedy1589 5 ай бұрын
bro wewe mukari sana nimekukubali
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Shukrani
@ZuberKivava
@ZuberKivava 6 ай бұрын
Nakubar
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Shukrani
@ZawadiMasha-r9b
@ZawadiMasha-r9b Ай бұрын
Shakaa 😂😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios Ай бұрын
Asante
@nyukimovies
@nyukimovies 6 ай бұрын
Susu noma
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Noma
@فاطمه-ج6ن7س
@فاطمه-ج6ن7س 6 ай бұрын
Mtaka vyote hukosa vyote tamaa mbaya
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Kabisa
@Jackymomanyi
@Jackymomanyi 6 ай бұрын
Adamu ebu niambie nani kaimba huu wimbo nimeipenda nataka niupate please
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
Safellon
@AminaMshirazi
@AminaMshirazi 5 ай бұрын
Ila Huyo mwanamkee ni mbaya😂😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Jamani
@goodluckmhagama5363
@goodluckmhagama5363 5 ай бұрын
Bro tafuta wanawake wazuri Tuwez angalia movie kwa raha asa m inaanza Tuh naona manzi mbovu naaacha😂😂
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 5 ай бұрын
Jamani
@antoinettebilewane7953
@antoinettebilewane7953 6 ай бұрын
❤❤❤❤
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 6 ай бұрын
❤️❤️
@jemimahmwa8849
@jemimahmwa8849 15 күн бұрын
Jamani kwani nguo ya huyo mwanamke ni moja TU kweli hawara ni hawara tu
@AdamLeoStudios
@AdamLeoStudios 15 күн бұрын
Ndo hvyo
PENZI LA KIDENTI |  Bongo Movie 2024 Full Movie
50:37
Adam Leo Studios
Рет қаралды 22 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 25 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
UJINGA BASI | Full Movie
56:13
Adam Leo Studios
Рет қаралды 48 М.
LAANA YA MAMA MOVIES
1:09:28
Sanau Swahili Movies
Рет қаралды 297 М.
DEVIL'S HOUSE | Full Movie |.
1:10:32
CHIBU TV
Рет қаралды 63 М.
FAKE LOVE 1 Chande Full Movie
1:11:10
Taswira Media
Рет қаралды 160 М.
KILELENI | Full Movie
1:15:49
Adam Leo Studios
Рет қаралды 173 М.
AIBU YANGU |1 | Love story❤️😘
31:01
Adam Leo Studios
Рет қаралды 173 М.
JOTO | FULL MOVIE
58:49
A7 FILMS
Рет қаралды 151 М.
LATIFA | Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
42:53
Adam Leo Studios
Рет қаралды 39 М.