Kilimo cha korosho, jifunze namna bora ya kulima zao la korosho, mbegu bora namna ya upandaji, uvunaji na faida zake... usisahau kuSUBSCRIBE chanel hii ili upate makala zaidi juu ya kilimo
Пікірлер: 14
@brianeskober72022 жыл бұрын
Bei ya mche moja ni shingpi
@mlelemafrancis8762 жыл бұрын
Naweza kupata wapi mbegu za korosho za muda mfupi?