Hongera kwa somo zuri nataka kuanza kulima soko mtanisaidia kwa kuuza?
@zaynababdullah67056 жыл бұрын
Nimekipenda hichokipindi sana ilamm nikirudi ughaibuni tu nitakuja ila sjajuwa gharama zenu
@kangetakilimo62685 жыл бұрын
0717274387
@nenga-b8 ай бұрын
Nammi natak nihifunze kilimo kangeta kilimo
@faisalmohamed17635 жыл бұрын
Hongera brother kazi yako nzuri ila punguza huo msemo wa kangeta mara 1 inatosha.
@nickolasngodoki86274 жыл бұрын
Bana hiyo ni Brand yake sikiliza kinachokuhusu utaelewa somo usikereke na vitu vidogovidg kam hivo
@kangetakilimo62684 жыл бұрын
Ukitaja mara moja unakosea inatakiwa mara mbili mkuu
@allyally10774 жыл бұрын
Huyo ni mbulula achananae bro ss tuskilize kilimo tusitafute mazumburu kamahao, kwa sioni sababu ya yy kucomment kamahivyo kamavipi tumtafute apelekwe mirembe
@amosmajesi3302 жыл бұрын
Baada ya kuota ni mbolea Gani inafaa kuweka katika kilimo Cha tiki maji
@kangetakilimo62682 жыл бұрын
Itabid upate kitabu cha muongozo
@AnthonyMarkos-uq2dp7 ай бұрын
Drip laini rola bei gani na inapatikana wap jibu tafadhali
@augustinokambenga58853 жыл бұрын
Safi
@athumaniabdul7092 жыл бұрын
Kangeta mko wapi
@evagasper47725 жыл бұрын
Grama zikonje za dripu Kwa hekari moja
@kangetakilimo62685 жыл бұрын
0717274387
@MajaxiFx5 жыл бұрын
Naitaji hizo drip line
@suzanthomas90434 жыл бұрын
Tunaomba utupe namba ya simu
@beatricekamengekamenge55435 жыл бұрын
👏👏👏👏
@zaynababdullah67056 жыл бұрын
Naje hichokilimo kitanighalimu kiasigani
@rehemalugoma56384 жыл бұрын
Hamko watsapp
@florianmwaibabile53085 жыл бұрын
Hizo drops zinazotoshea hekari shingapi?
@kangetakilimo62684 жыл бұрын
Drip huwa znauzwa laki mbili kwa mita 1000
@ishimwemorgan65445 жыл бұрын
Naombaa muniweke kwenye groupe yenu ya kangeta kilimo naipenda kazi snaa plz my Morgan kutoka Burundi +25768182170 plz