KILIMO CHA MAHARAGE: UPANDAJI, MBOLEA NA UTUNZAJI

  Рет қаралды 61,281

AGALUS  TV

AGALUS TV

Күн бұрын

Kilimo cha maharage kinalipa. Zingatia kanuni bora za kilimo hasa kwenye matumizi ya mbolea

Пікірлер: 338
@FazawaTanga
@FazawaTanga Ай бұрын
assant kwa somo zur swar je kwa eka moja mbolea kiasi gani niweke
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Mfuko mmoja na nusu Hadi 2 utegemea na njia upandaji
@anellyilomo2799
@anellyilomo2799 3 жыл бұрын
Asante kwa somo Zuri nmelielewa sana, naomba kuuliza katika shimo Moja unaweka Mbegu ngapi za maharage
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Tunashukuru kwa ushirikiano wako bt katika shimo ni mbegu 1 hadi 2 . Barikiwa🙏🙏🙏
@abbyadams8691
@abbyadams8691 2 жыл бұрын
Kwa uzoefu wangu na utaalamu ni vema kuweka mbegu 2 katika shimo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pamoja🤝
@JohnJohn-sb5lv
@JohnJohn-sb5lv Жыл бұрын
Somo la leo ni zuri sana Niko pa1 nanyi had mwisho wa kipind
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@ezekieljob8679
@ezekieljob8679 8 ай бұрын
Asante Kwa maelekezo Mazuri sana ninaswali namna ya kuweka mbolea ya matunda maana umesema unaziweka zote Kwa pamoja ya kupandia na kuzalishia zote tatu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Na za matunda utakua umeweka pale pale. Maharage ni zao la muda mfupi saana ndugu so itafanya tu Kaz Wala ucjali
@ezekieljob8679
@ezekieljob8679 8 ай бұрын
Asante sana ndugu nimekuelewa
@rosesesala9131
@rosesesala9131 Жыл бұрын
Asante sanaa Kaka angu ,,mungu akubariki sanaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amina ndugu 🙏🏿
@Truth4lite
@Truth4lite 3 жыл бұрын
Asante, very beneficial.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa 1 bt kama hujasubscribe naomba ufanye ivyo usipitwe na masomo yajayo
@LimbuMasunga-ds2tj
@LimbuMasunga-ds2tj 4 ай бұрын
Nashukuru kwa somo zuri,lakini naomba kujua namna ya kutambua magonjwa kwenye maharage na mazaoengine pia
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Video ya magonjwa kwenye maharage na dawa zake kzbin.info/www/bejne/gXXdaodpec10gck
@ezebiuskoni8321
@ezebiuskoni8321 Жыл бұрын
Asante kwasomo rako sas minikama umeniacha nyuma kido Koo inatakiwa upande vyote kwawakati mmoja marage uchanganye namborea uwezi kuweka mborea wakati marake yameotaa arafu ukatumia mborea mojaa tuu can kunatatizo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Maharage ni zao la muda mfupi Sana. Ukipanda uje UWEKE mbolea apo lazima utaachana na ukuaji. Pia mbolea za Chumvi izi zitaunguza mche wako. Ndyo maaana kama mbolea tutatumia za maji yaaani booster. Ivyo ni vizur uchanganye mbolea na uo ni uzoefu ndugu
@ezebiuskoni8321
@ezebiuskoni8321 Жыл бұрын
@@AGALUSTV saw Koo zamaji unaweza kutumia naizo nikama zipii
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ndugu yangu majina ni mengi Sana ya mbolea sasa naona Kama tutakuchanganya tu. Ni vizur ukaenda duka LA Pembe jeo lililo karibu nalo atakupa alizo nazo maana zipo za matunda, majani n. K
@JacksonMwangi-bf8bz
@JacksonMwangi-bf8bz Жыл бұрын
Asante Kwa SoMo nzuri Mimi nmepanda Kwa kurusha natayali yameota naomba kuuliza vp naweza kurusha mborea ya dapu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Hapana tumia Mbolea za kwenye majani
@peterndella9536
@peterndella9536 Жыл бұрын
Asante sana kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa pia
@devothakiwola6461
@devothakiwola6461 8 ай бұрын
Tqfadhal naomba kujua tarehe nzuri za kuanza kupandaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Utegemea na eneo ulilopo maaana Hali ya hewa hutofautiana eneo moja na lingine
@devothakiwola6461
@devothakiwola6461 8 ай бұрын
@@AGALUSTV iringa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Apo uliza wenyeji mara nyingi uwa tuna panda mvua zinapo enda kuisha
@allynaas86
@allynaas86 3 жыл бұрын
Asante unatoa elimu nzur
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pamoja bro
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 7 ай бұрын
Kilimo cha maharage haswa katavi kuna udongo mzuri sanaa nafikili waliwahi fika katavi watanielewa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Hakika sana ndugu
@janemgimba2168
@janemgimba2168 Жыл бұрын
Barikiwa kwa maelekezo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amina ndugu nawe pia
@shanimbaraka2600
@shanimbaraka2600 3 жыл бұрын
Great great somo ,
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪
@MdabuloDispensary
@MdabuloDispensary 16 күн бұрын
Nashukuru kwa somo zuriii sana, naomba kuuliza inatakiwa kupanda punje ngapi za maharage?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 16 күн бұрын
Mbili mbili Hadi 3 hutegemea ubora WA mbegu
@ZaithoonZaithoon-er9gy
@ZaithoonZaithoon-er9gy Ай бұрын
Me nko morogoro na sijawah kujiingiza kwny kilimo nahitaji zaid masomo yako je maharage morogoro yanakubari.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Yes Tena vizuri tu ndugu
@januarykiraba1605
@januarykiraba1605 5 ай бұрын
Ekari moja inahitaji mbegu kg ngapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Debe 2 ivi uwe nazo
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Yani Kaka nawapenda Sanaa bando langu litakua linaisha vizuli
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
🤝😁😁🙏🏿Pamoja ndugu
@JafaryMatiasi
@JafaryMatiasi 3 ай бұрын
Naomba kuuliza je naweza kupanda mahalage pamaja namahindi nikapata mavuno mazuli
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Hapana Usifanye ivyo
@JafaryMatiasi
@JafaryMatiasi 3 ай бұрын
@@AGALUSTV shimo moja la inafaa kuweka punje ngapi za mahalage
@hawamkumbwa6490
@hawamkumbwa6490 2 ай бұрын
Naomba kufahamu nafasi za upandaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Sm 15 kwa 15 na sm 40 mistari kwa mistari
@petertemu957
@petertemu957 2 жыл бұрын
Good idea for agriculture
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Your welcome
@victorodhiambo5757
@victorodhiambo5757 Жыл бұрын
@@AGALUSTV mbegu gani nzuri ambapo Ina chukua muda fupi,sehemu yenye vua chache
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Mfano mikoa ipi
@hadiazuberi4961
@hadiazuberi4961 10 ай бұрын
@@AGALUSTV kaka naomba kuuliza shamba lenye.harithi.ya.mchanga.linafa.kulima maharage?.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Linafaa TU .ni huduma TU
@FRANSIscoJASTNI
@FRANSIscoJASTNI 6 күн бұрын
Alaf mmesema wakat wakupand tunachanganya mbolea yakupandia nayakubebeshea matunda kwawakati mmoja au tofauttofaut
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Ni sahihi ndugu
@FRANSIscoJASTNI
@FRANSIscoJASTNI 5 күн бұрын
Mim bad sijakwelewa hapo yan nachanganya hiyo mbolea kwawakati mmoja.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 күн бұрын
@FRANSIscoJASTNI ndio ndugu
@user-wp2nt8lc5w
@user-wp2nt8lc5w 5 ай бұрын
asanteeeee
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Barikiwa sana
@mumberematsundo5780
@mumberematsundo5780 2 жыл бұрын
Jambo Mimi ni mkulima inchini Congo mupakani n'a Uganda hatuna mbolea uku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Okay poleni sana Tuzid wasiliana
@odethaneema
@odethaneema 2 ай бұрын
Waoo nimependa mnavoreply kwa kila mmoja mmoja,,mbarikiwe mnoo,, sorry namm niko na swal kdg et,, vip mbegu n lazima ninunue kwenye maduka ya kilimo au hata mbegu za nyumbni zaweza kutumika na mavuno yakawa mengi??? Asant nasubiria jibu lako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Si lazima. Mbegu Ata izo za sokoni AU nyumbani, ila ziwe nene yaani umbo kubwa, zile ndogo ndogo hazifai kwa mbegu, yaani chambua vizur, pia ziwe zimekauka vizuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Si lazima. Mbegu Ata izo za sokoni AU nyumbani, ila ziwe nene yaani umbo kubwa, zile ndogo ndogo hazifai kwa mbegu, yaani chambua vizur, pia ziwe zimekauka vizuri
@DiraMedadi
@DiraMedadi 3 ай бұрын
Naomba kujua mbegu za maharage ambazo ni zenye mavuno bora nazpataje
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Maduka ya pembejeo
@user-vt8qq3vj7e
@user-vt8qq3vj7e 3 ай бұрын
Mie natakakupanda maharage kwakuanda vituta .nifahamishwe umbali wa tuta natuta
@samwelgaspar7361
@samwelgaspar7361 2 жыл бұрын
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@PiusThadeo-li9oe
@PiusThadeo-li9oe Жыл бұрын
Safi sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Tupo pamoja ndugu
@witnessbonaventura8755
@witnessbonaventura8755 3 жыл бұрын
Naomba kujua mbolea hizo zoteyaani ya kupandia na ya matunda zote kwa pamoja
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Yes kwa pamoja maana maharage yana chukua siku 3 tu kuanza kuota hivyo mbolea inabid iwepo mapema
@MdothakassimmarkoMarkoka-hn6df
@MdothakassimmarkoMarkoka-hn6df 10 ай бұрын
Nimbengu gan ambayo inaweza kunipa faida
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Mbegu zipo nyingi ndugu. Tembelea tu duka la pembejeo
@IddiPetersangwa
@IddiPetersangwa Ай бұрын
Naomba kujua kati ya shimo nashimo na inakuaje
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Shimo na shimo ni sm 15, na Kati ya mstar na mstar ni sm 40
@petertemu957
@petertemu957 2 жыл бұрын
Naomba kujua kama eneo la tarime litafaa kwa ajili ya maharage
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Yes linafaa tu ni huduma tu
@suzanmgaya7460
@suzanmgaya7460 2 жыл бұрын
Hapo kwenye mbolea ya kuku nakubali mwamba duh yaani shina moja unaweza toa kilo moja
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Oooh sawa sawa Tupo pa1🙏🏿👏🤝
@ElishaDamas
@ElishaDamas 6 ай бұрын
Ikiwa tayar mmea umeota nitumie mblea gan kwa ajili ya mavuno bora
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Mbolea y matunda ya majani
@LizaBiro-u4e
@LizaBiro-u4e Ай бұрын
Mbolea huwekwa mara ngap? He yanapotoa maua yanaitaj mbolea? Na niaina gan yambolea?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Mbolea ni wkt wa kupanda tu.mbolea zingine uwa zile za maji za kwenye majani.kipindi cha maua hapana maana unaweza pukutisha maua
@jafarijuma7376
@jafarijuma7376 5 ай бұрын
Mbole unaweka weka je maana watu wengine wanasema usichanganye mbolea na mbegu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Kwa maharage haina shida. Mbona mahindi tunaweka
@ElishaDamas
@ElishaDamas 6 ай бұрын
Ni mbolea gan ya matunda kwa maharage inafaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
YA, CHUMVI CHUMVI AU YA MAJI KWENYE MAJANI
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Mbolea za maji jinsi ya kuchagua kzbin.info/www/bejne/n3Wui5ZmYtKCaKs
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 ай бұрын
Mbolea za maji zote kzbin.info/www/bejne/n3Wui5ZmYtKCaKs
@mugabemigani7484
@mugabemigani7484 Жыл бұрын
Katika kila shimo unaweka mbegu ngapi na kutoka shina moja kwenda jingine ni umbali gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Mbegu 1/2 umbali ni sm 15/15 ni shimo kw shimo na 40 AU 60 mtari kwa mstar
@FRANSIscoJASTNI
@FRANSIscoJASTNI 6 күн бұрын
Asnte san mimi ni Franc nipo Mkowa warukwa wilay yankas naomba kuuliza naona yamepandwa kwamistar sas hiy mistar upan wamstr namstr ni sm ngap?
@FRANSIscoJASTNI
@FRANSIscoJASTNI 6 күн бұрын
Pia nakuhu dawa zakupulizia maharage yasiathilike nahatua zake. Nap naomba maelekezo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Sm 15 shimo na shimo na sm 30 mstari kwa mstari
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Dawa zipo nyingi aina tofaut kulingana na wadudu, na za ukungu. Tembelea duka la pembejeo
@FRANSIscoJASTNI
@FRANSIscoJASTNI 6 күн бұрын
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
@FRANSIscoJASTNI tupo pamoja
@user-fq8dv8fd6v
@user-fq8dv8fd6v Жыл бұрын
Je unaweza kutumia mbolea ya samadi
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Iwe ya kuku AU nguruwe. Maaana Samad ya ng'ombe Inachelewa kufanya Kaz wkt maharage yanakua kwa haraka sana
@user-ut7xd3en6r
@user-ut7xd3en6r 9 ай бұрын
Me na swali umesema tunaweza kuweka mbolea zote kwenye mahalage yaani shimo moja swali langu ni kwamba nawaka mbolea za dokana peke take au nachanganya zote na za asili
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Wewe tu kulingana na rutuba ya shamba lako. Kama Unatumia za dukani peke Yake sawa tu
@user-kn8tc6hk7y
@user-kn8tc6hk7y 8 ай бұрын
Hakuna mbolea za maji unaZoweza kuzitumia Kwa Kupulizia kwenye majani ya maharage kama hukutumia mbolea hapo awali
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Zipo ndugu cha msingi tembelea duka LA Pembe jeo WATAKUPA walizo nazo
@user-wp2nt8lc5w
@user-wp2nt8lc5w 5 ай бұрын
Ni kama zipi mtaalam​@@AGALUSTV
@elizabethasajile9380
@elizabethasajile9380 2 ай бұрын
sema huzijui ruhusu ubongo wako ujifunze
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Sawa ndugu Elizabeth Asajile ila sababu si ivyo unavyo FIKIRIA. Sababu kubwa ni za kibiashara.....TUKIANZA kutaja majina ya mbolea umu tutakua tunafanya matangazo ya iyo mbolea. Nafikiri umetuelewa vizuri ndio maana tunajiepusha na Hilo kwa kuwa waambia watu watembelee dukani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Zipo kwa ajiri Ya matunda, kukuzia na za kupandia. Pia zipo zinazo fanya Kaz zote 3 apo. Kwa msaada zaidi tembelea duka LA pembejeo na Umwambie unahitaji mbolea ya maji kwa ajiri Ya kazi gani
@user-pv9hq3mi4w
@user-pv9hq3mi4w 4 ай бұрын
Mbegu nzuri nitapataje ? Mm Niko Arusha!! je sehrmu za kabuku (Tanga) maharage yatakubali?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Mbegu Ata sokoni. Ila YAWE ya mwaka jana. Uko waweza lima
@emanueladam7442
@emanueladam7442 3 жыл бұрын
Naomba kipimo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Sm 10 kwa sm 50
@HamisFengu-lz7hq
@HamisFengu-lz7hq 2 ай бұрын
Kwa ukunda wa pwani kama wilaya ya kisalawe inafaa kupanda mwezi Gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Mvua inaanza kuisha tu ule UNYEVU nyevu. Sasa apo waweza fuatilia ni mwez gani
@hussenmishamo1963
@hussenmishamo1963 3 жыл бұрын
Mbengu gan nzur za mahalage
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Zote nzuri hutegemea na uhitaji wa soko lako . soko lako wanapenda aina gani ya maharge
@uamshosikuzamwisho
@uamshosikuzamwisho 6 ай бұрын
Tunaomba kujua vipimo kiasi gani Cha mbolea wakati wa kuchanganya kati ya Dap na can
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
1:1
@revocatusmartine7159
@revocatusmartine7159 6 ай бұрын
Mbole aina ya DAP na CAN ukishachanganya unaweka kiasi gani katika shimo la mbegu moja na pia kwa shimo la mbegu mbili
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Kifuniko cha maji/soda
@VenanceMwakijale-br4vn
@VenanceMwakijale-br4vn Ай бұрын
Katika hili naomba maelekezo maeneo yakisalawe
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Ulimaji ni ule ule ndugu fuatilia maelekezo vizur na ukayatumie ktk eneo lako
@user-dz1tt6gk5z
@user-dz1tt6gk5z 6 ай бұрын
Umbali wakupana na ni weke punje ngapi kwa kila shimo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Sm 15 kwa 40
@user-sf6rj9jy5n
@user-sf6rj9jy5n Жыл бұрын
Mbolea gani inatumika kuzalisha maua kwenye zao la maharage
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Mbolea kama CAN ni nzuri kwa matunda,pia zipo mbolea ZA MAJI NYINGI TU KWA AJIRI ZA MAUA Na mtunda
@VenanceMwakijale-br4vn
@VenanceMwakijale-br4vn Ай бұрын
Mimi naishi kisarawe
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Ok
@robertkisiri1273
@robertkisiri1273 3 жыл бұрын
Asante kwa video nzuri. Ukilima kwa kufuata hatua zote za kitaalamu, mavuno yanaweza kufika gunia ngapi kwa eka moja???
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Gunia 3 hadi 5 ni gunia za debe 6
@jdecorations8222
@jdecorations8222 2 ай бұрын
Kwa makadirio heka moja inaweza toa kilograms ngapi za maharage???
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Waweza vuna zaidi ya Kg 400
@happytitus8921
@happytitus8921 3 жыл бұрын
Samahani naweza nikapanda maharage halafu mbolea nikaweka baada ya zao kuota au kuna madhara
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Mbolea za chumvi chumvi zina tabia za kuunguza miche Ni vzuri kuoandia zote au kama utaweka baadae kua makini weka kw kiwango kidogo na uweke mbali na mche kdogo miche isiungue
@lynnharry7359
@lynnharry7359 Жыл бұрын
Kiasigani cha mbolea ya matunda kinatosha kwenye hecre 1?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Nusu mfuko yaaani 0.5 kg japo Itategemea jinsi ya KIPIMO chako kwa njia ya mistari mbolea hadi mfuko 1 waweza tumika
@imeldanashon6347
@imeldanashon6347 2 жыл бұрын
Vp naomba kujua mbolea ya n, gombe yanafaa naomba mwenyekujua anjb jmn
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Inafaa japo iwe imevunda vizuri🙏
@MosesDavid-zo7ui
@MosesDavid-zo7ui 8 ай бұрын
Dawa zinazohitajika katika kilimo cha maharage ambazo unaweza kutumia ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 ай бұрын
Ni za wadudu na ukungu hizo ndyo muhim
@user-tq1kt4je4p
@user-tq1kt4je4p 11 ай бұрын
Wakati una weka mbolea pamoja na mbegu unatakiwa kuweka mbolea kiasi gani kwenye shimo mfano dap
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Kifuniko 1 cha maji AU soda AU juice
@jacksonbasenile-nu8bf
@jacksonbasenile-nu8bf Жыл бұрын
Ogera sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa pia
@joharijj2164
@joharijj2164 3 жыл бұрын
Je maharagwe yatafanya vizuri maeneo ya bungu, bungu ipo pwani waweza itizama kwa map, halafu soko la maharagwe lipo?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Nashukuru kwa taarifa 🙏🙏
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 3 жыл бұрын
Nimependa naomba kujua backup ya Serikali inatusaidiaje wannachi tuweze kuingia shambani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Sijajua
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV kuna kipindi kile wanakamata kamata wacheza pool ilipendeza sana wangeandaliwa mashamba yanayohodhiwa na wanakijiji bila kuyaendeleza hata kwa kilimo wapewe hawa wasiokua na kazi wayalime. Hivyo kwakua hawakuwafanyia hivyo tungefikiriwa wengine wenye nia ya dhati ya kulima kwa condition ya misimu si chini ya mitatu palimwe mbona tanzania tungelisha mataifa ya nnje
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@VenanceMwakijale-br4vn
@VenanceMwakijale-br4vn Ай бұрын
Mbolea kiasigani kwa heka 1
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Mfuko mmoja na nusu
@emanueladam7442
@emanueladam7442 3 жыл бұрын
Ni kipimo gani cha mbolea kili shimo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Kisoda 1 kwa mbolea za kisasa mikono miwili
@abrahamsingano5372
@abrahamsingano5372 2 жыл бұрын
Spacing kati ya mche na mche
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Sm 3/5 mche kw mche kwa sm 15 mstari kwa mstari🙏
@user-yq4bf9wy1v
@user-yq4bf9wy1v 11 ай бұрын
Endapo ukifuata kanun vizur mapato yake yanakuwaje lakn nataka kujua juu ya matumiz ya viwatilifu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Fuatilia video hii apa mchanganuo wote Mtaji na faida ndani yake kzbin.info/www/bejne/jIbVdYZ4qMSEebs
@WiliamObedi-mv3fr
@WiliamObedi-mv3fr 11 ай бұрын
niaina gan ya mbegu inatoa mavuno kwa wingi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 11 ай бұрын
Mbegu zote ni nzuri hutegemea na eneo na matunzo yako
@mwajumayunus419
@mwajumayunus419 3 жыл бұрын
Hivi hekarr moja ya maharage inatoa kipato cha kiasi gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Debe 15 had 30
@stominluvanda4638
@stominluvanda4638 Жыл бұрын
Shina na shina na msita kwa msitali kiss gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
15 shina kw shina na 30 AU 40 mstar kw mstar
@MdothakassimmarkoMarkoka-hn6df
@MdothakassimmarkoMarkoka-hn6df 10 ай бұрын
Je udongo ukiwa mwekudu unaweza kutumaia mbolea gani vile
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Udongo haupimwi kwa rangi yake. Ukiitaji kupima udongo na Aina y mbolea Muone mtaalam wa Kilimo aliye karibu nawe
@januarykiraba1605
@januarykiraba1605 5 ай бұрын
Umbali wa kupanda shina Hadi shina, mstsri hamstari ni centimita ngapi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Sm 15 ni shina kw shin na sm 40 ni mstar kw mstar
@robertnyelele9896
@robertnyelele9896 Жыл бұрын
hekamoja ya mahalange unaweza kutoa.junia ngap
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Utegemea vitu vingi ndugu
@AlienVoice_tz
@AlienVoice_tz 6 ай бұрын
He kwa Dar es Salaam naweza kulima maharage
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Ndio waweza
@JosephatSarwat
@JosephatSarwat 5 ай бұрын
Umbali kati ya mstari na mstari halafu shimo na shimo ni ngapi?.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Shimo kw shimo sm 15 na kw umbali ni 30 had 40
@JosephatSarwat
@JosephatSarwat 5 ай бұрын
@@AGALUSTV asante
@arenyutenga1052
@arenyutenga1052 2 жыл бұрын
Jee ni Mbegu ghani ya Maharage iliyozuri kwa kupata mavuno mengi? Jee maharage napaswa kupanda mwezi wangapi na kuvuna mwezi wangapi ??? By Utenga naomba unijibu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kwa eneo la wapi yaan upo wapi
@shabanngonwe4642
@shabanngonwe4642 3 жыл бұрын
Nifahamishe umbali kati ya shimo hadi shimo na mstari hadi mstari
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Unavyo tumia njia y kuchora mistar uwa tunakadiria tu bt mstar kw mstar sm 30 adi 40 shimo kw shimo apa hatupigi mashimo uwa tunarusha mbegu 2 au 1 kw kadirio la umbali sm 2 adi 5
@abdallahmzuzuri3527
@abdallahmzuzuri3527 3 жыл бұрын
Kama tutapanda kwa mstari hivyo. Je mbolea zinazo takiwa tutaweka kwa mfumo gani?
@fadhilitweve7305
@fadhilitweve7305 2 жыл бұрын
Naomba kuuliza hizo mbolea nachanganya kwa ratio gani (ya matunda na ya kawaida)
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kupandia kg 50. Matunda kg25 na kuku zia kg 12.5
@richardmsuya2645
@richardmsuya2645 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV hizi zote tatu zinawekwa wakati wakupanda?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ndyo zinachanganywa ndudu 🙏
@richardmsuya2645
@richardmsuya2645 2 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🙏🤝
@kapasimoses98
@kapasimoses98 2 жыл бұрын
Je? Mbolea za booster za kupinga kwenye majani za resho ya 19:19 10 Npk
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
, apo Sasa twende tu dukani ndugu🙏
@flevouronlinetv133
@flevouronlinetv133 3 жыл бұрын
Samahan ndg je hekal moja unaweza ukapata gunia ngap kitaalamu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Kwa mazingira mengi kiuzoefu ni Kati ya 7 hadi 12 za debe 6 pia wa weza pata hata zaidi ya 15, japo hutegemea vitu vingi
@stevenmbilinyi4526
@stevenmbilinyi4526 3 жыл бұрын
Je Mimi nalima kwenye harizi ya kichanga manyara je harizi I inakubali maharage na kitaka kupima udogo napeleka wapi kuupima
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Tumekujibu kwenye swali lako la awali
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Tumekujibu kwenye swali lako la awali
@fidelayubu2175
@fidelayubu2175 3 жыл бұрын
Ekari moja inaweza kutoa magunia mangapi ya kilo 100
@ibrahimfarouq8339
@ibrahimfarouq8339 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV Acha masihara mjomba
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝
@yusufusudusudu3173
@yusufusudusudu3173 3 жыл бұрын
2/3 nikias kidogo sana nawakati sisi tunalima bila utaalm wowote tunapata gunia 5/6 we mtihan
@user-mq5ly7kr8x
@user-mq5ly7kr8x 4 ай бұрын
Ata mimi nililima Hekari moja Nkapata Gunia 7 na sijaweka mbolea​@@yusufusudusudu3173
@winifridalugembe2528
@winifridalugembe2528 2 жыл бұрын
Je umewahi kutumia mkojo wa sungura kama mbolea na kukinga wadudu?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Yes ndugu
@charityezekiel3525
@charityezekiel3525 3 жыл бұрын
Kwenye shimo moja unaweza kuweka mbegu ngapi??
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Mbegu 2 tu
@user-fr6ml5pu3h
@user-fr6ml5pu3h 10 ай бұрын
Hekali moja ya shamba la maharage ikitunzwa vema inatoa kilo ngapi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Zaidi ya gunia 15++
@dhinatsimbano8854
@dhinatsimbano8854 3 жыл бұрын
Je ardhi inayofaa kwa kilimo cha maharage inaweza kufaa kwa kilimo cha soya?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Ndyo inafaa
@dhinatsimbano8854
@dhinatsimbano8854 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV Na kipindi cha kuotesha maharage ndo kipindi sahihi cha kuotesha soya? Na je mbolea za maharage ndo hizohizo za soya?
@monysulloo5904
@monysulloo5904 Жыл бұрын
Samahani kaka,nikiwa nitapanda maharage Yale ya njano mwezi huu was kumi na moja katikati yataiva VIZURI
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Inawezekana ndugu vp utakua unamwagilia au
@monysulloo5904
@monysulloo5904 Жыл бұрын
Samahani naomba namba zako
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Ok
@gracebenjaminnapokeakatika9565
@gracebenjaminnapokeakatika9565 2 жыл бұрын
Samahan naomba ushauri nataka nipande kilimo mseto yaan maharage na alizeti je inawezekana?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Yaaah japo mahindi weka mbali mbali 🙏🙏
@MohamedHassan-zs4jx
@MohamedHassan-zs4jx 3 жыл бұрын
Mm nimexhambanda tayar nina kama wk naweza kuweka mbolea?,na kama uwezo wng mdogo naweza kuweka mbolea moja t ya keni
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Kama ulipanda mbalimbali waweza weka lakini kama ni karibu sana kua makini waweza umguza miche yako
@joharijj2164
@joharijj2164 3 жыл бұрын
*mohamed* umewahi panda Tena? Je soko lipo?
@ellykibale190
@ellykibale190 3 жыл бұрын
Somo zuri,umesema samadi ya kuku ni nzuri zaidi.. Nimewahi kusikia samadi ya kuku ni kali sana,Je Ni kweli? Kwamba unahitaji kuipunguza makali? Naomba kujua namna ya kuitumia samadi ya kuku na Kama Ni kweli mpaka uipunguze makali,Je unaipunguzaje?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Thnx. Bt samadi ya kuku inatakiwa itolewe kwenye mfuko kama ni mbichi ikae wazi ipumue kwa muda kdogo ata mwezi ivi apo ukali utapungua
@ellykibale190
@ellykibale190 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa 1
@laureenlumumba9819
@laureenlumumba9819 3 жыл бұрын
Mbolea ya jamii ya keni, no mbolea kama gani hio? Usaidizi hapo kidogo kiswahili imenipitia. From Kenya.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Kwa Tanzania 🇹🇿 ni mbolea ina itwa CAN cjajua kwa uko Kenya 🇰🇪 ndugu
@salimLempakany
@salimLempakany 2 жыл бұрын
Kenya pia ni CAN
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hatujajua kwa uko ila iyo ni mbolea ya Matunda tusaidiane jina la iyo mbolea kwa uko🙏
@shadrackjacob800
@shadrackjacob800 2 жыл бұрын
Sawa muelimishaji , naombakueleweshwa dawa ya ukungu kwenye maharage.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Izi dawa Zipo nyingi sana. Ushauri ni vizur tu ukaenda Duka la karibu nawe ukamwambia atakupatia haina shida ndugu
@yothampetro6755
@yothampetro6755 Жыл бұрын
Kwahiyi minjingu ndo sahihi
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Hutegemea na eneo yaani Aina ya udongo C kila sehemu utumika iyo. Kwa hiyo angalia eneo lako mbolea ipi utumika kupandia
@bornifacecharles2
@bornifacecharles2 Жыл бұрын
Je kuchanganya mahind na maharage wanaita kilimo mseto inatakiwa upande kwa mahindi yakiwa na mtu gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Usawa futi 1
@bornifacecharles2
@bornifacecharles2 Жыл бұрын
@@AGALUSTV shukrani na je yako karibia kuweka mbelewele haitakiwi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Weka tu ILa matunda
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Inafaa
@WiliamObedi-mv3fr
@WiliamObedi-mv3fr 11 ай бұрын
je nmikoa gan nilafiki kwa kilimo cha mahalage
@karimjuma7442
@karimjuma7442 Жыл бұрын
Mbolea nishingap
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Aina gani ya mbolea ndugu
@winstonkachema1731
@winstonkachema1731 3 жыл бұрын
Heka moja ya maharagwe Una uwezo wa kuvuna gunia ngapi endapo utazingatia hatua zote
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
10, hadi 13
@revocatusmartine7159
@revocatusmartine7159 6 ай бұрын
10 had 13 mara 3 had 5 za debe sita kipi n kip?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Ndugu izo ni idadi za gunia Kuna kadirio la chini kabisa....
@johnnico7114
@johnnico7114 3 жыл бұрын
Mbolea ya CAN iwe kwa uwiano gan
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Sijakuelewa una maana gani? ni kiasi gani au uwiano ?
@vickmlumbe7534
@vickmlumbe7534 3 жыл бұрын
Mimi ninamaharange aina ya kingoma mtanisaidia soko
@djredtiger1088
@djredtiger1088 2 жыл бұрын
Kipatochakekwahekamoja ni kipi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Mchanganuo wa mtaji na faida yake👇🙏 fuatilia somo hili kzbin.info/www/bejne/jIbVdYZ4qMSEebs
@johnnditi9079
@johnnditi9079 2 жыл бұрын
Kwa wilaya ya NJOMBE ni kijiji gani wanalima zao la maharage
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kiukweli kwa uko hatufahamu ngoja tuzidi kufutilia Kujua zaidi
@tukaiadventures3782
@tukaiadventures3782 2 жыл бұрын
Je urea inafaa kukorogea kwenye maji alafu utumie kwa Bomba kunyunyuzia shambani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Inafaa japo c njia nzuri. Ni vizur ukatumia mboles za maji
@user-es7tf7gd3u
@user-es7tf7gd3u 10 ай бұрын
Je mbolea ya kubebea inawekwa wakati fan?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Apo wkt w kupanda
@VEVO-africa
@VEVO-africa 3 жыл бұрын
Inachukua mda gan toka kupanda hadi kuvuna
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Miez 4
@VEVO-africa
@VEVO-africa 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV xawa xhukran
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa 1
SIRI YA KUTOBOA KWENYE KILIMO CHA NYANYA
7:41
MINJA KILIMO
Рет қаралды 1 М.
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 37 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 57 МЛН
FACTS ABOUT NYOTA BEANS FARMING
3:29
NYOTA BEANS FARMING
Рет қаралды 1,3 М.
Kilimo sawa: Ukulima Bora wa Maharagwe ya Kawaida
15:25
Kilimo TV
Рет қаралды 37 М.
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 37 МЛН