Tazama Tamthilia yetu mpya ya MAISHA hapa👇👇 kzbin.info/www/bejne/f2aniKh5rNSUa5Isi=nkCRa6PzP-d_Szjh
@alimasiallyalimasially52022 ай бұрын
Mama kijacho nimekupenda bre uko vzr nataman wanawake wote wangekuwa kama ww
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Umeona eh
@malichanda31462 ай бұрын
Nampendaga sana huyu Dada mchepuko yuko vizuri kwenye kazi
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@JanetRiziki-ut2is2 ай бұрын
Jaman ww mama kichacho.nakupenda bure yan.niwachache yenye moyo kama wako hongera sana dada maua yako 🌹🌹🌹🌹
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@SalegioIssa2 ай бұрын
Ongopa sana huyo jamaha noma sijui nipe nini uezo sina mwangu nomo tunakukubali huko moz adasco tz nona iyo 🎉❤ nakupenda mwamba nafyatilya sana movie zako zinanilimisha❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@JudithGeorge-mw7fe2 ай бұрын
Mmmmmh hadi nimejiskia ubaridi, bonge la move limejaa mafundisho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@InukaUangaze-s3y2 ай бұрын
Kweli hapo ni semina daaah😂😂😂😂😂😂Adam Mungu anakuona mafunzo mazuri kwa jamii❤❤❤❤❤it
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@NajmahShebe2 ай бұрын
Adam ukinyoa madevu upendezi....madevu yalikupendeza kwa hz movie zako.....❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Kumbe mke wangu muongooo eh😂😂😂😂
@NajmahShebe2 ай бұрын
Muongo sana usinyoe madevu upendezi...😂😂😂😂
@kasjunior91763 күн бұрын
Mama kichajo nakupendaka tokea kule kwa uko mchepuko wa Benlee. Nipo congo DRC ❤❤
@fatumakidoa40062 ай бұрын
Wanaume wote moto wenu utakuwa mwingi mno 😂😂ila adam kazi zako safi Maua yako ❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@JaelOkoth20 күн бұрын
Mmmmmnh kimada kweli kama jkna lenyewe .....mficha marashi mauti humuumbua .....pole sanaa eddy ila utovu wako umekuchongea maskini dada wa watu alivyokuwa na roho ya kipekee endelea vivyo hivyo.....movie nyingi zaidi ....hongera sana adam leo film
@nyanzirajeanmarie2 ай бұрын
Adam nice movie 🇧🇮🇧🇮tunawapenda sana
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Thanks
@OmanMobile-py5bqАй бұрын
Nimependa sana hivi move mama k namtanguliza Mungu sana katika kila jambo hamuachii Mungu hadi nasikia raha
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Umeona eh
@nesaahaji13292 ай бұрын
Kaka Adam leo umeyatimba vibaya mno 🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Kwakweli aisee
@victordeekenya353924 күн бұрын
Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 A good bongo movie ..
@LucyLackson-w5hАй бұрын
Mungu azidi kukusimamia Adam,..Kazi nzuri
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Amen
@SandyVusha2 ай бұрын
Adam usinyoe tena ndevu jamani😂pokea maua yako movie kali🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Asante
@victordeekenya353924 күн бұрын
Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 I love this acting , helen she hassee rgelight
@zsdhalhinai33672 ай бұрын
Yaani sina hamu na wanaume hiyo filam tu ila kitakachotokea hapo mtasababisha watu tushindwe kuaminiana na ndugu wa kweli
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Polee
@justinbilhah2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 MM nmeipenda ila bibi akiwa n'a ujauzito ni vibaya
@BvnLiquorstore2 ай бұрын
Nimecheka 😂😂😂
@noahchepe80362 ай бұрын
😂😂😂
@zawadichalale40472 ай бұрын
Mi nishashuhudia hiyo in realylife haya mambo ni kweli kabisa yapo
@noahchepe80362 ай бұрын
Movie kali sana hii😂 Hii mbinu waliyotumia adam na kimada wake ni mbinu ngumu mno siku ukijulikana hapatakalika
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Mnoooo😂
@اريناارينا-ق3ط2 ай бұрын
Haupendezi bila ndevu kaka🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Jamani basi si zitakuaaa
@RoseMutheu-rb2esАй бұрын
Mungu anakupea mwanamke mzuri ila michepuko jameniiiii 😅😅😅😅
@Zeinabmea2 ай бұрын
Adam usinyoe ndevu tena sahii unakaa vibaya ila kazi zako zina tufunza mengi sana hongera
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Sawaa na asante
@RaelAmunga2 ай бұрын
Adam ulikua umelewa Na unafanya upuuzi Kwa nyumba ya wenyewe😂😂😂😂😂😂pole Kwa.msiba
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Jamani nishapoa
@KhadijaDaniel-zr6ll2 ай бұрын
Napenda saaa Adam movie zako zinamafunzo ndani yake Allh akuongoze vyemaa kwenye kazi yako ❤❤😊
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Ameen
@MwadawaMayengo2 ай бұрын
Kazi nzuli kaka adam 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@Jasminadamu2 ай бұрын
Kazi nzuri sana,leo ndo nmemjua anaeweka sauti ya monde kwenye mpali😊
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Naam! Ndiyo huyo huyo!
@SaraaSaraa-i1j2 ай бұрын
Huyo ndoo adam bwana weeee❤❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana🙏🙏
@KhadijahDzame-mk7cnАй бұрын
Adam kazi nzuri Sana 🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Shukrani
@IddiMiraji-w8h2 ай бұрын
Nimeangalia movi hii kidogo ila Kali sana unajua kaka❤❤ ❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@salmaathumani93812 ай бұрын
Yan Mm Nkionaga Umepost movie KZbin lazima niangalie napenda sn walai 🥰🥰chukua maua yako🎉🎉🎉🎉
Nilishawahi kuota ndoto ndani ya ndoto nikaota sasa ndo mlichofanya nyinyi mnaigiza na mnaigiza tena eti atakung'ata 😂😂😂 🤣😂 Adam sio powa🙌
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukranii
@angeluspm54762 ай бұрын
The wife played so well in this movie. My heartfelt congratulations to her. Ndio maana serikali inatakiwa kuhalalisha ndoa za mitara (kuoa wake wengi) kama wahenga wetu walivyokuwa wakifanya. Awezaye aoe wengi na asiyeweza abaki na mmoja. Na hii iwe kwa dini zote na makabila yote. Hizi ni mila na desturi zetu zisizoendana na dini yoyote. Ndio maana Kenya, Eritrea na nchi kadhaa Afrika wamesharuhusu.
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Naam!
@angeluspm54762 ай бұрын
Maana bwana Adam, usingepata shida, warembo wote wawili wangekuwa wako kihalali kabisa! 😊😚😚👍🏼👍🏼
@ZulfatRamadhani2 ай бұрын
Jaman Adam wew n moto umefanya semina ya siku 3,umesahau Zawadi za mkeo mungu anakuona.Mim naendelea kuwa single mambo yenyewe ndo haya ntakufa mapem siwezi
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Jamani ingia tu kwenye mahusiano wanaume wapo!
@KhadijaKabunda2 ай бұрын
Kk unajua kazi nzuri Mungu akubaliki kwa kazi yako love ❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Amen
@hamisimwandu56752 ай бұрын
Mimi wa kwanza leo nipeni like nyingi kabisa hata kaka adam nimemuwahi 😂😂😂😂
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Enjoy
@فاطمهكينيا-ذ8ش2 ай бұрын
Haya nmewahi
@SalamaTaura2 ай бұрын
Chukua 🎉🎉🎉🎉
@TinaShimita2 ай бұрын
Uyu dada mwenye mimba anajua sana❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@FAITHCHIWAYA-yy4be2 ай бұрын
Adam una kipaji cha uigizajii hii haipingwi❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Sifa kwake Mungu🙏
@AlainMwalungwe2 ай бұрын
Mume mubaya odam shauri zuri sana mungu wa manabi akutiye nguvu
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Amen
@ndayishimiyenouria32472 ай бұрын
Unanitekenya 😂😂ila aka ka Adam bwan😂😂😂❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Ahahaha endelea kuenjoy🤝
@liylahahmed8292 ай бұрын
Uyu dada mpyaaa mzuri kwel❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@nicohkjacinta-ke9cv2 ай бұрын
eee adam bwana unajuwa kucheza much love anakupenda bwana we
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@FarajKenyaАй бұрын
😂😂😂 Gafla dada kageuka BEB… #Yankolowski🇰🇪🇰🇪
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Yaani we acha tu
@FarajKenyaАй бұрын
@ 😜😜😜😜 Yaani mi mwenyewe nilishtuka 😂
@Aisha-f2g2 ай бұрын
Adam jmn🤭 eti Oscar alete nini 😂😂😂😂 wanaume mbiguni mtaingia mkichechemaa😍😂😂
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Jamanii
@kasjunior91763 күн бұрын
So mwema kweli eti ange nifata baby 😄😄😄😄 alafu kikaendelea kujitoa ufaamu 😄😄😄
@YusraNeema2 ай бұрын
🎉🎉❤❤❤hongera sana ka Adamu movie ipi sawa sana ❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@shakilasharifa92 ай бұрын
Movies nzuri sana sana hongerani sana ❤️
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana sana
@NajmahShebe2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 duuuuh nilikuwa sjaimaliza kuagalia hii movie😂😂😂😂 Adam amenyimiwa helwa 😀😀😀😀😀
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Endelea ku enjoy
@ReginaMussaАй бұрын
Adamu yuko serious kweli 🤣🤣🤣 lakini ukikamatwa ck hiyo utajuta 😂😂
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Kwakwelii
@MaimunaNangabo2 ай бұрын
Wow just wow kazi nzuri sana bro utafika mbali sana ❤❤ congrats 🎉🎉🎉❤❤ ila huo wimbo wa mapenzi tutolee video yake plz🎉❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Sawa nitafanya hivyo
@tigejuma98652 ай бұрын
Good story good production Adam unaendelea vzur xna bro... keep on pushing the movie it's on another level....big up to our camera man...kaz nzuri xna....alafu Adam punguza Kula makande😅
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Hahaha thanks man🙏
@JudithGeorge-mw7fe2 ай бұрын
😅😅😅 eti osca akuletee mafail 2 duuh, eti anaingia kwenye semina ila wanaume 😱
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Acha kabisa
@mbarderonly58742 ай бұрын
Kali sana pia kubadili mwonekano kisanii ni ubwela naona umenyoa Hadi ndevu mzee😂😂
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@kamanohengimeering34492 ай бұрын
Congratulations bro Nafuatilia hii filamu
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Thanks
@Manuel-w3h1gАй бұрын
Nimependa filamu hii,kwanza ile wimbo tamuu
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Shukrani sana sana
@EshsRashid2 ай бұрын
Kkkkk mungu usinipe mume km adam 😢😢hongera mmk kijacho kwa uamuzi wako😅😅😅😅😅
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Umeona eh
@LoiceKatana-ci1tx2 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka kwa mafunzo mazuri aki wanaume kama hawa sijui wafanyiwe nini 😢
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Hatuelewi sisi wenyewe
@mezadawa53062 ай бұрын
Jamani Adam ameshave nywele na ndevu zake amependeza sana hebu tumpe maua yake ..🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Jamanii asante🙏🙏🙏
@SakinaHassani-xm7ti2 ай бұрын
Mmh acha kumuongopea bhan😂😂😂
@SelemanKazimili2 ай бұрын
Aaaah umetisha bonge la movie 🎥 Great lessons 🤙
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Thanks
@AghHh-v3f2 ай бұрын
Ubora mutu Awe sigle kabisa Adamo unawacheza kama karata 😂😂😂😂.Irakitakuramba Baday🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Jamaaniii
@khadijak-f7n2 ай бұрын
Hauna pahali ambapo hufeli kwenye filamu popote ukosawa aaaah nikweli umhusika mukuuu
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani Hadija
@موكاء-ظ9ج2 ай бұрын
Nzuri sana ❤❤❤❤🎉🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@saidiabdalahshabani9412 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂bg up snaa broo Kwa Kaz nzur
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@bakarially43362 ай бұрын
Hongera kaka kwa kaz nzuri,,
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@NoorEesa2 ай бұрын
😂😂😂😂 yaani adam unavyoshtuka utadhani hujui lolote kuhusu kimada wako😅😅😅😅kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤
@JeannetteManirambona-o6m2 ай бұрын
@@NoorEesa umeona eee
@NoorEesa2 ай бұрын
@@JeannetteManirambona-o6m kabisaa 😆😆 macho yangu yamuangalia Adam sana
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Asante jamani
@Seciliasteven2 ай бұрын
Acheni tamaa mwanaume mbona tunawapenda sana wanaume zetu uku majumbani kwani kaka amridhikagi jamani duuuh pole sana je inatoka part2 au
Ila uko poa sana bro,movie zako nazipenda sana,Ila huyo aliyeigiza your wife Yuko poa sana ,usiache kufanya Naye kazi, nimempenda bureeeeeeeeeeee.
@majomasliman78562 ай бұрын
Adam Inaonekana we mbaaaaya kwenye hiyo kitu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Au siooo
@FghgRyy2 ай бұрын
Kaka Adam kazi ni nzuri sana lkn kwann umlete kivuruge wako ndani ya nyumba jaman 😂😂
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Yaani nilijichanganya kwakweli.
@FghgRyy2 ай бұрын
@AdamLeoStudios pole
@MwadawaMayengo2 ай бұрын
Mimiwakwanza Leo.naombeni Lake zenu
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Enjoy
@TantineZuzu2 ай бұрын
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@umaima11782 ай бұрын
Pole mwari wangu huyu mke mwenzako sio wifi yako
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Kabisa kabisa
@MbaroukMbua-m3o2 ай бұрын
😂😂😂 alafu wanawake mungu alivotupa maono sasa kunamda moyo unakuambia kabisa piga simu huyu mwanaume Yuko kwenye uzinifu😂😂😂😂 tunawanyoosha na kuwaumiza michepuko Adam nimekupenda bureee❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Asante sana mama
@elizabethmyombe73752 ай бұрын
Nakubal Kaz zako bro🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@OmanMobile-py5bqАй бұрын
Yaleyale ya kwangu ila wanaume 🙌
@AdamLeoStudiosАй бұрын
Jamanii
@CatherineChalle-gb2ks2 ай бұрын
Adam kaombe Azam muvi zako ziwe zinarushwa sinema zetu
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Sawa
@SakinaHassani-xm7ti2 ай бұрын
Adam umejichanganya 😂😂😂 kumuita dadaako bandia bbye😂😂 kwa mkeo og😂
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Yaani
@sophiashamimah58952 ай бұрын
Hii imekuramba fully kaka 😅pole sana😂❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@Gshs-u1o2 ай бұрын
Maua kwa kaka adam uko juu bro nakukubali
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@ZubedaAlly-l9e2 ай бұрын
Ungejua we.dada
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Yaani
@neemakimaro62432 ай бұрын
Adam Ila Una ujinga Mwingi sana😂😂😂😂mara kukamulia ndimu,mara unauliza unaenda kunawa kwanza😂😂😂Yann tafran
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Au sioo yote ili nyie msahau madeni😂😂
@fatmahonjo1672Ай бұрын
Wewe Adam ni balaa mke mwingine et mndogo wako duuu😂😂😂
Haya Ni Maisha yangu kabisa bwana Adam...mwaka uliopita nlikua nimejiweka Kwa kisanga Kama hiki....ilichukua muds kabla make Wangu aniamini tena ...From Nairobi Kenya...true life story
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Pole sana mkuu
@sophiashamimah58952 ай бұрын
Good job bro❤❤❤❤mkeo ana moto safi jamani🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana sana
@Brianlitisiia2 ай бұрын
Yaani mwanamke mwenzie ako na mimba na bado amepanga kwenda kuharibu, daahh.. Wanawake sijui huwa na shida gani hasa wa morogoro 😂😂 Kweli mbaya wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Hii ni noma sana
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Na ndiyo maana yakamshinda😂😂
@Brianlitisiia2 ай бұрын
@@AdamLeoStudiosyaani venye umeipeleka hii movie I didn't expect kabisa. Kama ingekuwa zile movie zetu sai huyo mwanamke angeshaanza vimbwanga na mke wa Adam akaishia alafu Adam akajuta badae. Lakini wew umeipeleka vitofauti kabisa. HUO NDIYO UBUNIFU SASA BROTHER ❤❤❤
@SophiaJoseph-n4o2 ай бұрын
Wanaume Huwa wanatuangusha sana jamani unawezaje kuleta mchepuko ndani jamani
@AngelJuma-q2n2 ай бұрын
Kumekuchaaaaa ukuuuuuuuu njoooniiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Endelea ku enjoy🙏🙏
@bashirvencus85292 ай бұрын
Hi
@SalamaTaura2 ай бұрын
🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@DamianoIsombelo2 ай бұрын
Picha Nzuri sana mbarikiwe
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@khalidimzamiru94062 ай бұрын
Kazi nzuri sana🙌🏾🙌🏾
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Asante mno
@RajabuNassor-r4n2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 comments kwanz ndio upat like 👍
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Sawaaa
@naomikisaba57852 ай бұрын
Nnachompendea Adam anatoa ndef Hadi Raha,, sema naomba namba zako adam😊😅