Usiache kutazama filamu yetu mpya hapa chini kzbin.info/www/bejne/h6KQiJ-NoJmdlZYsi=BbKlDT28ebGnSvMQ
@MahaSaeed-hf3gs6 ай бұрын
@@AdamLeoStudios nishaiona kaka yangu tamu sanaaa hadi rahaaaaaa godbless
@Sophieshaliz697 ай бұрын
Hongera Kaka Adam yaani mungu akubariki at vile ambavyo unajibu kila comment 🎉🎉🎉 alafu huyu ndio kanumba wa leo kazi safi🎉🎉ebu mlike hii filamu nyie watizamaji tafadhali hio ndo raha ya Adam jameni
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana!!!
@YusraNeema7 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@RajabuHayyan6 ай бұрын
Kabisa anaga mbamba
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Usiache kutazama filamu yetu mpya ya LAANA hapa👇👇 kzbin.info/www/bejne/a6i4haqgopaMgtk
@AnliAbudo7 ай бұрын
Fica por bem boss andam
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
@AnliAbudo thanks
@kassimdadi54067 ай бұрын
Naomba iyo audio ya come feel me ... please ❤
@Rizikimeali7 ай бұрын
Adam uko poa sana movies zako zinamafunzo sana....mm nimejifunza vituvigi sana kwa movies zako....kaka hata nikipata bwana sisemi kwa watu❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante kwa kujifunza endelea kufurahia kuwa hapa!
@ireneirene82417 ай бұрын
Asante kwa movie nzuri na mafunzo ...Kila siku ridhika na kidogo ulichonacho tamaa mbaya
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Umeona eh!
@glorymlawa70786 ай бұрын
❤fadhili mbuzi huenda Siku mmoja utamywa mchuz lakini cyo binadam jaman mwe
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Kabisa
@ashurajengela39267 ай бұрын
Kazi nzuri sana 👏👏 haya wale wakujifanya wakarimu kukaribisha karibisha watu hovyo sijui kusimulia simulia mashosti chukueni funzo apo mtakuja kulia
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Umeona eh
@salomemuturi90057 ай бұрын
MashaaAllah sinema Nxuri mafunxo kibao❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana
@DottoZawadi7 ай бұрын
Mungu akuongezee umri mrefu kaka Adam uzidi kutuletea vitu juu ya vitu🙏🏾 kazi imenyookaaaaa
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@sophiashamimah58957 ай бұрын
One love kaka Adam funzo zuri kabisa napataga kutoka kwa filamu zako❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@BentahOrao4 ай бұрын
Napenda movie zako kwa kua zina mafunzo🥰🥰🥰 Much love from kenya🤩🤩🤩
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Thanks a lot
@SekanaboPacifique6 ай бұрын
Hii ni fundisho kabisa kwa familia zetu,kweli Adam weye ni kiboko kabisa katika utungaji wa filamu zako.Nakufuata tano juu ya tano toka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante
@latiffatagalile72187 ай бұрын
Hii movie imejua kunigusa ni Movie nzuri sana jmni inamafunzo na kuna mijitu wanatabia kama hizo na tunaishi nao mtaani tupunguze tamaa jmani asante kaka etyu adam kwa movie nzuriii sanaa tusiache ku like na ku comment 🙏🙏
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana🙏
@MWEGOHA7 ай бұрын
moja ya film kali sana toka mwaka huu uanze, hongera sana Adam Leo🙏
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@ernestmwakalambo39387 ай бұрын
Kaka Adam hongeren sana kwa kaz nzur, tamaa siku zote haijawah kumuacha mtu salama shukran sana kaka
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
asante sana
@RozanaRobert-n3b7 ай бұрын
Adam mm nakupa maua yako 🍒🍒🌱🌱💐💐🌹🌹, ujumbe kwa wanawakee Ila mganga aliwapiga uswailini Kuna Mambo 🔥🔥🔥🔥
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Acha kabisaa🙏🙏
@Jajakanjaniri7 ай бұрын
One Love Team Adam Leo From Burund ❤❤❤❤ Much Respect Guys 🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@MariamMwachiberya7 ай бұрын
Nmechelewa ila nimefka,,kaz nzur Adam 🎉🎉❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana🙏
@MilkaSumbati2 ай бұрын
Kiukweli kaka movie zako zinanafunzo kweli tangu nianze kutazama movie zako nimejifunza mengi Mungu azidi kukupa nguvu za kutuandalia kazi nzuri🎉❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Amen
@kabuocristelle7 ай бұрын
Akika na penda sana filamu zako Adam ❤ adi na toka congo kukuja kuku tatufu ww. jameni na wependa sana 😢 mungu izidishe kuwa bariki.. mm apa mtoto wa Congo 🇨🇩🇹🇿
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana
@InukaUangaze-s3y2 ай бұрын
Mafunamzo mazuri sana kwa jamii Adam pokea mauwa yako kaka ❤❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana
@FloraNyambura-r5l2 ай бұрын
Kazi safi adam watching from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@Saumu2547 ай бұрын
😂❤❤ KAZ nzur Adamu Leo Alfu umelost😅😅
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Hahaha jamani
@AngelJuma-q2n2 ай бұрын
Adamu nina wewe we Kila sehemu unamnyima. Mkeo😂😂😂😂😂 any way unajua sana unatoa elimu nzuriii❤❤❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani sana!🤝
@LoiceKatana-ci1tx6 ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri yenye mafunzo nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante
@MwadawaMayengo23 күн бұрын
Kazinzuri sana Adam leo 🎉🎉🎉🎉🎉
@FakhiChapozo6 ай бұрын
Napenda movie za kuelimisha Sanaa Kuna kitu tumejifunza tamaa mbaya
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Ni kweli kbs
@WinneyEmmas7 ай бұрын
Napenda mno muv zako kaka adamu, unajua mno ❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@AishaAbdulahi-v5h7 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka adam🎉🎉🎉❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@MwadawaMayengo23 күн бұрын
Mganga kazinzuri sana 🎉🎉🎉🎉
@bennamush46167 ай бұрын
Huyu dada Tedi ni mzuri jaman mweeee filamu nzuri pia
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@Salama-df2uu7 ай бұрын
Jaman sisi wanawake tutaona mbinguni kweli lakin huyu dada ameyataka mwenyewe utamsifia vp mume wako rafiki yako pia mm namjaribu liwalo na liwe
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Hahahah jamani😂😂
@NaifinMohamed7 ай бұрын
Kweli kayataka wenyewe
@IreneRoom7 ай бұрын
😅😅😅
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
@IreneRoom unafurahia au sioo!!!
@aishasalim-90367 ай бұрын
😂😂😂Alafu mgangaa kazi yake anaijulia😂 c kwa kujeuza masharati😊
@tima56797 ай бұрын
Adam kazi zako azibohi mashallah Nakupenda buree❤🎉🥳
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana
@EssyCheskongo7 ай бұрын
movie nzuri jamani congratulations brother Adam ❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@IsayaMollel-pg6wc7 ай бұрын
Umetisha🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@HabonimanaFelix7 ай бұрын
Im from 🇧🇮nipe like zangu apo chini
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Enjoy
@NeemaChamayombee4 ай бұрын
Kaz nzuri sana kaka Adam hongera
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@AngelJuma-q2n2 ай бұрын
Tuombe mungu atupe maisha mazuri wanawake tuacha unafkiiii😂😂😂😂😂Yaliomkuta naomi anajua mwenyewe
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Umeona eh
@AngelJuma-q2n2 ай бұрын
@@AdamLeoStudios Kabisa😂🤣🤣🤣kaondoka na manundu mtoto mweupe
@sechekaweya63477 ай бұрын
Hatimaye nimefika, ni nzuri sana
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@JanetRiziki-ut2is7 ай бұрын
Nimejifunza kitu hapo daaah Adam barikiwa sana ❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Amen
@kulthoumkaita21817 ай бұрын
kazi nzur inafundisha sana na haya mambo yapo sanaaa ktk dunia ya sasa,haifai kusifia mume kw rafk yak maan moyo wa mtu ni msitu
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Umeona eh
@mezadawa53067 ай бұрын
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, malipo ni hapa hapa duniani pia tusiwe wawazi sana kwa watu wa karibu yetu wengine hawapendi mafanikio yetu na mambo mazuri hutafuta njia za kutupindua..
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana
@HappyNicholas-be2yn7 ай бұрын
Jamqn wakanza leo nipeni mauwa yenu🎉🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@SbahHiai7 ай бұрын
Filam iko vizur Sana hongeren wote❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@emillyajiambo47037 ай бұрын
Kazi nzuri kaka Adam hii kazi unaijua sana keep it up ❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana!
@BintHassan-o1y7 ай бұрын
Asante Adam kwa kuniletea Naomi hope Salma hakosi hpa😊😊😊
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@j.katura71622 ай бұрын
A beautiful story. Please, can you put English language subtitles for non-Kiswahili speakers to understand the movie, as well? Your viewership will increase astronomically! African movies for everyone!!!
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Thanks we work on it🙏
@ShuakaBilauti-p9u4 ай бұрын
Adam naomba uijibu hii comment please broo Nakukubali mpka mwakani🎉🎉
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Shukrani sana
@liylahahmed8297 ай бұрын
Kazi ipo🎬😀🙌
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Noma
@liylahahmed8297 ай бұрын
@@AdamLeoStudios yh mzur sanaa umetishaaaaaaa yani filam yke haina zogo safii wala kelele
@liylahahmed8297 ай бұрын
Mupeleke Azam tv hizi filam maana ni mzuri mnoo Adam
🤣🤣🤣mwanaume anamakusudu huyooo ameamua kumjambia naomi🤣🤣🙌 halafu anamwambia kuna kitu kimedondoka kutoka juu ahahaaaa ahahaaaa 🤣 🤣 balaa sana hongera bro Adam
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana sana!🙏🙏
@NaomiWambui-gx2qd7 ай бұрын
@mariampaulo umeniwai😂😂😂 na I comment ,,pia mm naomi some nimetiiiii😂😂
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
@NaomiWambui-gx2qd hahaha Naomi mwenye jina lakee😂😂
@bongocinema33127 ай бұрын
😂😂😂😂
@winfridaswila41267 ай бұрын
Movie tamu hii jaman🥰🥰Yaan mafunzo kama yote👌🙌
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@faridabikwa99987 ай бұрын
Waah imeweza mbaya❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@mariampaulo78947 ай бұрын
Kadanganywa na mganga 🤣🤣🙌 hii movie hataree❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Hahah shukrani
@CharoJohnson6 ай бұрын
Bwana naye hayo matho kiboko😂😂😂 sleeping eyes ❤❤❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Hahah
@scolasticanalle91057 ай бұрын
Kazi nzuri sana....Ila teddy alijiachia sana kusema mambo yake duuuh....hongera Adam 😊
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@paulinekombe37537 ай бұрын
Hongera Adam kwa kazinzuri much love from Kenya😊😊
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@paulinekombe37537 ай бұрын
Pamoja
@HashimKE-x8o5 ай бұрын
Adam nazikubali movie zako,,,kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪
@AdamLeoStudios4 ай бұрын
Asante
@elizabethmyombe73757 ай бұрын
Nimejifunza sanaaa kazi nzur ❤️
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@BenjaminMzumya-u7d4 ай бұрын
We mwamba unajuwa 🙏💪
@AdamLeoStudios2 ай бұрын
Shukrani
@AminaYazidu6 ай бұрын
😂😂😂😂wallah nmecheka jamani mtu mzm kujamba vibaya duhhh asante adam kwa kaz nzur broo nmechek san
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Hahaha endelea kuenjoy
@aishasalim-90367 ай бұрын
😂😂Yani mwana kuli search mwana kili geni pole sana Naomi😂na hongera mgangaa
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Hahah Mganga nomaa😂
@salmatuleteesehem71jmnmahm596 ай бұрын
Move nzuri sana hii yan inafundishi jamii haswaa hongera kaka
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Shukrani sana sana
@LydiaMatilda7 ай бұрын
Adam leo#Big up my super star ✨❤❤❤❤❤
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks🙏🙏
@zuenakhassim7 ай бұрын
❤❤❤ kaka adamu hongera kwa kazi nzuri
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@GeofreyLazaro-ri7su7 ай бұрын
Naomi ameitendea haki sana hiyo character,,japo nimejikuta namuonea huruma sana ingaw kayatak mwenyew,,inshort ni kaz nzur na ina mafunzo makubwa sana,,hongera kwa kazi nzuri sana kk,,,,,,,endelea kumtumia naomi ktk kazi zako,anajua sana huyo dada!!
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Sawa mkuu
@EmJesho7 ай бұрын
Kazi tam❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Thanks
@Nadyahassan52737 ай бұрын
Adam movie nzuri sana mpk naogopa wee huogopiii 😂😂
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Naogopa aisee! Watazamaji ndo wananifelisha
@Justin_Nano7 ай бұрын
Sio wote😮
@LeoFlix_7 ай бұрын
Msiache ku like na ku Comment jamani filamu nzuri sana hii🙏🙏🙏
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani sana
@agustinemsambila25017 ай бұрын
Kazi nzuli mr. Adam leo
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Shukrani
@sylvia39997 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉 Kaaba ni Kaaba
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Jamanii
@XtMash_77 ай бұрын
Mganga😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂waoshe kabisaaa🔥🔥🔥🔥🔥
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante
@IrankundaDevotte-yu4nm6 ай бұрын
Nawapenda San Kwa mafunzo❤❤❤🎉
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Asante
@RajabuHayyan6 ай бұрын
Tha mganga kauza code au 😅😅😅😅😅😅😅mganga kaijua hiyoooo😅😅🎉🎉 kaz saf sana
@AdamLeoStudios6 ай бұрын
Hahaha noma
@priscaluvanda29277 ай бұрын
Nzuri sanaa🎉
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana
@Ftwm-ew3up7 ай бұрын
Kali kwakweli hii dunia ya sai usiwahi amini mwanadam mungu tu ndio kila kitu ❤️❤️
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Umeona ehhh
@jamesjohn66857 ай бұрын
Move zako zinafundisha sana🙌🙌🙌🙌🙌
@AdamLeoStudios7 ай бұрын
Asante sana sana
@kingkiller-fn1cf7 ай бұрын
Jaman ndugu zangu mm naitwa msomali nimsanii wa adam leo studio naombeni sapoti yenu ndugu zangu mweze kupita nakusubscribed kwenye akaunti yangu jamani napia mpite kwenye akaunti yetu ya leo filx kuna movie mpia tumepandisha mkacheki ndugu zangu