Kimenuka! Chadema Waandamana Kupinga Tundu Lissu Kupigwa Risasi, Tazama Ilivyokuwa

  Рет қаралды 253,251

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 163
@globaltv_online
@globaltv_online 7 жыл бұрын
SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YETU UWE WA KWANZA KUPOKEA HABARI KILA ZINAPOTOKEA
@bakaringomandodo3880
@bakaringomandodo3880 7 жыл бұрын
Global TV Online nabado tutaandamana tz nzima
@godfreydavis3448
@godfreydavis3448 7 жыл бұрын
Global TV Online dodfrey davis
@elishajulius1049
@elishajulius1049 7 жыл бұрын
Global TV Onli ne
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 7 жыл бұрын
Global TV Online nyie ni wapumbavu mnaandika kingine kinaonekana kingine mbayaa zaidi mnatumia picha za uongo
@shabaanhaji4257
@shabaanhaji4257 7 жыл бұрын
Godfrey Davis
@betuelgome9315
@betuelgome9315 7 жыл бұрын
tuiombee nchi yetu iwe na amani na wale magaidi wote mungu atawaadabisha LISSU UGUA POLE
@pascalinajohn5207
@pascalinajohn5207 7 жыл бұрын
Jamani mnasema hamogopi polis sasa hii nchi ikichukuliwa na chadema. mapolis wapi watakaokuja kulinda nchi yetu sihaohao mnaosema hamuwaogopi ndoo watawafanyia kazi.tuache siasa chamsingi nikumwombea Lisu apone nahao watu walofanya hicho kitendo tunaomba wasakww mchana na usiku.Sisi tanzania hatujazoea mabo kana haya.Bali tuna yasikia nchi nyingine.
@subramashs2236
@subramashs2236 7 жыл бұрын
pascalina john nawashangss
@vanceboy4635
@vanceboy4635 7 жыл бұрын
hakikaaaa
@dianabosco1295
@dianabosco1295 7 жыл бұрын
mungu awe pamoja nanyi
@adnanramadhanjunuzage1629
@adnanramadhanjunuzage1629 7 жыл бұрын
haya bana
@akademkkz
@akademkkz 7 жыл бұрын
Amani ndio kitu cha msingi
@saidali2553
@saidali2553 5 жыл бұрын
Safi sana wana chadema
@sufiansalim370
@sufiansalim370 7 жыл бұрын
M/mungu ndo muweza wakilakitu hivyo bc ulipangalo mwanadamu kwake hakina nanasi maana mkono wa m/ mungu ni mlef sana! Ishlhha atapona 2
@جميلهخميس-ط5ث
@جميلهخميس-ط5ث 7 жыл бұрын
Mungu awasamehe hamjui mlitendalo ila ipo siku kitaeleweka tu
@j.m.illulah4070
@j.m.illulah4070 7 жыл бұрын
Hapa ndipo unaweza kuona uwezo wa akili za wapinzani wetu zimefikia wapi sasa wanajua nani kampiga lisu, kweli itachukua muda sana kupata upinzani Tanzania
@qaraiserq6532
@qaraiserq6532 7 жыл бұрын
Mtanganyika Broadcasting una mawazo yaliyo ganda umevuta bangi Leo?
@paulyohana9937
@paulyohana9937 7 жыл бұрын
NDIYOOOOOO
@kapingageorge7635
@kapingageorge7635 7 жыл бұрын
sema usiogope sema sema usiogope semaaaaaaaa
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 7 жыл бұрын
Upuuzi tu mimi naona baada ya kumuombea mtu apone mnabinuka mijimama na mijibaba
@saidibadawi469
@saidibadawi469 7 жыл бұрын
hatari sana kwa hili.
@saidomary4950
@saidomary4950 7 жыл бұрын
Yani mh nape yuko vizuri sana kasema ukweli sana yani mungu akupe ujasiri wa kusema ukwelj kwenye uongozi huu
@mirajihazard2117
@mirajihazard2117 7 жыл бұрын
Said Omary nape amesema ukweli Gani
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 жыл бұрын
Said Omary kasema ukweli nape, pumbafu CCM myakufa siku si zenu
@lucymgulunde7329
@lucymgulunde7329 7 жыл бұрын
+Olivia Seth usitukane kwa sababu hata haita saidia chochote unahukumuje we we usije ukahukumiwa mbele za mungu kipimo upimacho kitapimiwa.tizama kipindi polisi walivyo uwawa kwa mfululizo miezi miwili iliyo unategemea hawakua na uchungu na wenzao? naje? na wawo wang'e ikashifu ccm.? fikilia unavyo tuma comment. yako nin? unafanya sina chama chochote ila wakati serikari IPO ktk uchunguzi nyie mnao comment inatokea mwaukumu watu pasipo kujua.nin? unafanya jaribuni kuchunga ulimi maana kiungo kidogo lakini kina madhara. yatupasa kumuombea mwenzetu apone kwa wakati huu lakini tunatusi na kukashifu chama kingine(ccm) haisaidi jamani
@omarysuleiman4752
@omarysuleiman4752 7 жыл бұрын
Hongera nape kasema ukweli kwan ata wew yalikukuta kaka
@loycesalumsalum8238
@loycesalumsalum8238 7 жыл бұрын
kibiti wamepigwa hivi,kwann hamkuandamana?
@kapingageorge7635
@kapingageorge7635 7 жыл бұрын
tofautisha reaction na mapokeo ya tukio kama lile la shambuliz la lisu haswa ndani ya chama cha upinzan so huku miamko ndani ya huwa mikubwa na reaction na mapokeo katika mahali ambapo tukio limetokea na hakuna muingiliano wa siasa huku miamko huwa midogo
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 7 жыл бұрын
Loyce Salum usikute wao ndio pia wanahusika na mauaji ya askari wa kibiti
@nyhamapagi9694
@nyhamapagi9694 7 жыл бұрын
+kapinga george mshenzi nini acha ushabiki wa kijinga
@nyhamapagi9694
@nyhamapagi9694 7 жыл бұрын
+kapinga george mshenzi nini acha ushabiki wa kijinga
@aishashedadi2347
@aishashedadi2347 7 жыл бұрын
hamna kz za kufanya?
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 жыл бұрын
Nimekumbuka mbali sana mie
@loycesalumsalum8238
@loycesalumsalum8238 7 жыл бұрын
acheni serikali ifanye kazi,maandamano hayawezi kponya cha msingi ni kumwombea
@dominickmibazi1437
@dominickmibazi1437 7 жыл бұрын
asanteni makamanda kutuwakilisha
@lucymwakalinga822
@lucymwakalinga822 7 жыл бұрын
Mungu Mponye kamanda wetu
@humphreykessy172
@humphreykessy172 7 жыл бұрын
kuna mbunge wa chadema alisema mauaji ya kibiti.yataendelea.nchi.nzima,sijui alikuwa.ana maanisha nini?
@swahilibrotherhood
@swahilibrotherhood 7 жыл бұрын
Vichaa hao
@mackenzie2562
@mackenzie2562 7 жыл бұрын
Jonathan Mpandujilll
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 7 жыл бұрын
Jonathan Mpanduji ww ndo namba 1
@benamsaki4958
@benamsaki4958 7 жыл бұрын
tatizo akili zetu zimejaa ipinzani na c ubinadamu! watu wanavamiwa na kuuawa familia karib yote lakini maandamano hakuna! maandamano ni haki vila kuvunja sheria lakini maandamano haya yana upendeleo! akili zetu zikue tuache siasa tuwe na ubinadamu! M/ Mungu cmama na mtu wako Amina!
@zairathsaidyally8336
@zairathsaidyally8336 7 жыл бұрын
uwiiiih jaman andamanen kabisaa tumechoka kuonewaaaaaaaaaa
@khadoojomary.562
@khadoojomary.562 7 жыл бұрын
Tundu lissu semaaaaaaaaaaaaaaaaa
@likmaniyusuf4182
@likmaniyusuf4182 7 жыл бұрын
kwani hamtumii akili nyie chadema?yaani badala kumuombea mwenzenu apone mambo mengine yatafuatia!mnaleta viherehere vyenu
@fantmpango5506
@fantmpango5506 7 жыл бұрын
Kina mama na makamanda wote wa dar nimewapenda bure. Kumbe inawezekana!
@halimambwego8287
@halimambwego8287 7 жыл бұрын
Kazi ipo
@madhuru2554
@madhuru2554 7 жыл бұрын
Wazimu mtupu wenyewe Kwa wenyewe mnazorotana si upuzi huu. Muna ushahidi Gani kama CCM imetumia risasi Kwa tundu lisu?
@kissatuagusto2246
@kissatuagusto2246 7 жыл бұрын
....Magufuli wewe piga kazi tuuu...!!!ndugu zetu kibao wamekufa kibiti Hakuna alieandamana wala kuchangia damu..
@musugurikasimumasatu3666
@musugurikasimumasatu3666 7 жыл бұрын
yanga yafanya usajili mpya
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
hawa chadema ni majehu aseme nn mwenzenu yupo anaugua hsptal badala ya kufanya maombi apone mnakimbia eti sema usiogope
@lucykipanta7494
@lucykipanta7494 7 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu niko pamoja nyie
@prettyidashaban6284
@prettyidashaban6284 7 жыл бұрын
Nimependa hapo hatuogopi mapolic😃😃
@mustaphyassin5320
@mustaphyassin5320 7 жыл бұрын
Wapumbavu kweli hawa mbona wanakimbia sasa kama hawaogopi
@markd3964
@markd3964 7 жыл бұрын
mustaph yassin unaem tetewa hujielewi. kaz tunayo c ktoto.
@omarymazingara7510
@omarymazingara7510 7 жыл бұрын
wanashabikia vibaya!!! akipata tatizo mtu wa chama chao wanasingizia police.. police wako sawa wamesomea kazi yao vizuli wanaifanya kwa ufanisi... wanasema haogopi police funjeni amani muone police kama watakaa kimya!! sio kila kitu ni siasa tu. hayo ni matatizo jamani
@sirnyoniinspirationstv5327
@sirnyoniinspirationstv5327 7 жыл бұрын
Yanaanzaga hivyohivyo,unakuja kushangaa wameongezeka
@maryshirima3049
@maryshirima3049 7 жыл бұрын
superbrain jojo .....hahahah saaafiiii
@mdashomwamba679
@mdashomwamba679 7 жыл бұрын
Mh! 😱
@salimmguza8585
@salimmguza8585 7 жыл бұрын
Poleni wa tz mushakua Kama kwetu kenya
@hudhud2022
@hudhud2022 7 жыл бұрын
Salim Mguza MMungu awahifadhi na maandamano hayo Allah Kareem awalinde
@kulwashabani7689
@kulwashabani7689 7 жыл бұрын
kwani mapolisi ndio wamempiga Lisu?
@haithamjuma6686
@haithamjuma6686 7 жыл бұрын
Duh
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
@sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 жыл бұрын
Africa
@asiamwarabu7510
@asiamwarabu7510 7 жыл бұрын
Pipoooooz power
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 7 жыл бұрын
hao wanaipinga serikali au wanawachokoza askari kwa nyimbo zao hizo?
@gidiongaspa319
@gidiongaspa319 7 жыл бұрын
Hayo ndiyo yenu
@ladislausriwa4315
@ladislausriwa4315 7 жыл бұрын
Kama maandamano yanasaidia kupatikana Wahalifu polisi wa nini? Ombeni muandamane mwaka mzima polisi wafanye kazi nyingine.
@ladislausmkamate7960
@ladislausmkamate7960 7 жыл бұрын
saf sana wajina.. popote ulipo agiza kinywaji nakuja kulipa.. coz hii nchi kila baya litakalotea lawama ni kwa polic.. wakifanyi mazur hakuna anaesimma kuwapongeza.. wakiuliwa hakuna anaesimama kukemea.. hiv hawajui polic ni wa2 kama sisi.. hii nchi bhana.. wengi bado hawajajua umuhimu wa jeshi la polic ndo mana kelele nyingi.. kila kitu police..khaaa 🤓🤓
@mabulamashaka6032
@mabulamashaka6032 7 жыл бұрын
Wote makamanda bhana, ila kamanda anajiamnin
@siamollel9725
@siamollel9725 7 жыл бұрын
Jamani watu wanaandamana kwa amani kuonyesha kiasigani wameu.ia na haya,mnawapiga mabomu,mmngetumia nguvu hiyo kukamata waalifu
@shabanimoneyshabanimoney2145
@shabanimoneyshabanimoney2145 7 жыл бұрын
Uandixhi wacko wa kichwa cha hbr cot mzuri...tunapenda kupata taarifa kupitia hapa ivyo kichwa cha hbr kiendane na hbr...mbona hayo maandamano ya kawaida..ila akili zenu waandishi mnakuza mambo.
@mussatendeli6909
@mussatendeli6909 7 жыл бұрын
kampeni zilisha isha makuzi nyie na bado mtaisoma tu namba
@yasirhamad9808
@yasirhamad9808 7 жыл бұрын
Mungu tudhalilishie hao wapuuzi wanaojifanya miungu watu.
@edwardsoteli5261
@edwardsoteli5261 7 жыл бұрын
KUPIGWA LISASI KWA TUNDU NI UHALIFU KAMA UHALIFU MWINGINE HIVYO KUANDAMA KWA AJILI YA UHALIFU HAISAIDII KUWAPATA HAO WAHALIFU KIKUBWA MWENYE TAARIFA YA NANI KAHUSIKA AVISAIDIE VYOMBO VYA ULINZI ILI HAO WATU WAKAMATWE VINGINEVYO KWA KUANDAMANA TU HAISAIDII KITU
@nghoshamlyabope2105
@nghoshamlyabope2105 7 жыл бұрын
kuandamana haitoshi kikubwa ni kumwombea mtavunjika miguu bule.
@msafiriandrea3523
@msafiriandrea3523 7 жыл бұрын
Hakimungu niwakushukuliwa kwakuwa ameyaokowa maisha ya lissu
@msafiriandrea3523
@msafiriandrea3523 7 жыл бұрын
Yanii unauwa mtu kisa5555555555
@atheistblood8568
@atheistblood8568 7 жыл бұрын
maandamano gan ya kujificha??
@frankyboniphace5368
@frankyboniphace5368 7 жыл бұрын
Mnachokitafuta mtakipata
@suzyjames4968
@suzyjames4968 7 жыл бұрын
tundu aseme nn hku anaumwa baada tumwombe mmekalia kusema tundu sema wabongo mmmh
@hassanmirambo5671
@hassanmirambo5671 6 жыл бұрын
Hapo sijaona mwanaume hata mmoja wote nyie wsnawake nikimaanisha gari ya polisi moja tu yena haijai ikifika hapo hasimami hata mtu mmoja,hiyo yote ni uvivu wa kufanya kazi tafuteni kazi wala hamtakuwa na muda mchafu wa kujitafutia vilema
@daudimaguha9447
@daudimaguha9447 7 жыл бұрын
Cku zote nasema bangi imewekwa cdm, waulizeni lowasa, mbowe, sumayi, kutangaza Nia tu imekuwa tabu, eti kwakuwa ni mnyiramba, nawewe lisu wenzako walisha wekeza, unleta nia cdm bado watakutengua tu
@deewallance9354
@deewallance9354 7 жыл бұрын
Tumien hekima not kukurupuka mtashindwa Kila cku hata kama ushindi ulikuwa wetu.
@chizaezekiel1081
@chizaezekiel1081 4 жыл бұрын
Aseme nn
@khamiskhamis2936
@khamiskhamis2936 7 жыл бұрын
Mbona mmekimbi AlAfu kakikundi
@elizanormal7660
@elizanormal7660 7 жыл бұрын
Mkatafutee ada za watoto wajinga nyie
@hamzakipwata8006
@hamzakipwata8006 7 жыл бұрын
Mbona 2
@mariethajailos4854
@mariethajailos4854 6 жыл бұрын
wa ccm wajinga tu nani anayeisoma namba wote tunaisoma namba mafuta bei chuvi sukukari veio alafu mazao bei ya chini alafu uma semana hapa kazi tu
@vanceboy4635
@vanceboy4635 7 жыл бұрын
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh
@haniballbashirw2731
@haniballbashirw2731 7 жыл бұрын
Ivo ndio inavyotakiwa mdogo mdogo kuna siku kiteleweka
@sumosaid3497
@sumosaid3497 7 жыл бұрын
✌✌✌✌
@richardmichael7708
@richardmichael7708 6 жыл бұрын
Ayaa machadema machochezi kwelii
@rashidsaid7461
@rashidsaid7461 7 жыл бұрын
Tundulisu fuwata nyayo za maalim Seif
@scayzuu9609
@scayzuu9609 6 жыл бұрын
HICHI CHAMA KIMETUMWA KUVURUGA AMANI NCHINI KWAKWELI.
@onlysiyetv1314
@onlysiyetv1314 7 жыл бұрын
global munazingua munaweka picha ya kava tofauti na uharisia
@kevinkidabaga9910
@kevinkidabaga9910 7 жыл бұрын
nyumbu ni myumbu 2
@fatmaikopoa34
@fatmaikopoa34 7 жыл бұрын
tz sasa mtihan
@nghoshamlyabope2105
@nghoshamlyabope2105 7 жыл бұрын
kikubwa ni kumwomba mungu apone Kamanda wetu.
@deewallance9354
@deewallance9354 7 жыл бұрын
Mara nyingi unapoleta vurug au unapohis adui yako ndo amekuloga kiumbe Kuna mwingine kaingilia kati nakuwavuruga. Mnapokua na presha hata kushindwa tena ndo huko,
@stevenmasare4708
@stevenmasare4708 7 жыл бұрын
tuko pamoja wanangu wa ukawa
@daudimaguha9447
@daudimaguha9447 7 жыл бұрын
Hamza, wewe Mwenyewe hujasema jina lako sahihi, unamtia hamasa Nani wewe
@nyawawawanyawawa935
@nyawawawanyawawa935 7 жыл бұрын
Ninyi kweli wengj wao ni Manyumbu. Embu wacheni Polisi wafenye kazi yao. Hatimaye tutawaona ni ninyi mmeleta mapichapicha haya ili mpate pahara pa kufanyia siasa na huruma kws wananchi. Wish Mh Tundu a quickly recovery
@mackenzie2562
@mackenzie2562 7 жыл бұрын
Ismail T. Nyawawa visheke sha
@mackenzie2562
@mackenzie2562 7 жыл бұрын
Ismail .vishike
@onesmomwacha9594
@onesmomwacha9594 7 жыл бұрын
Ismail T. Nyawawa wewe mwenye ubongo wako kuna mavi
@omarymazingara7510
@omarymazingara7510 7 жыл бұрын
mimi chadema siwaelewi?!police wamefanya kosa gani.. acheni siasa hizo! sasa hapo mnafulaia au? tumuombee duwa kaka yetu kwa dini zote ili apate kupona aludi mwenzetu hayo ni matatizo jamani sio siasa hizo.. mungu amponye mh.. wetu mimi namkubali sana jamani
@philemonnestory3216
@philemonnestory3216 7 жыл бұрын
Kweli ismal ubongo wake una kinyesi cha mlevi
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Жыл бұрын
Chadema wehu viongozi wanatumiwa
@nathaniazori3697
@nathaniazori3697 7 жыл бұрын
Katika dunia hii mzizi mkubwa wa vita na machafuko yanayo sababisha wat wakose amani ya kweli ni siasa, Libya,Kenya,Somalia na mataifa mengine what is siasa madaraka, power ,less hii hatari wananchi tuwe makini tusifuate tu upepo tutaumia sisi
@armstrongnjamanjama2683
@armstrongnjamanjama2683 7 жыл бұрын
Wamekua wakenyaaa
@linamkumbi5355
@linamkumbi5355 7 жыл бұрын
Armstrong Njama Njama Plz pima la kuongea bro!!!
@mahamudchikumba9970
@mahamudchikumba9970 7 жыл бұрын
Mmmmmmm.pawe na aman to
@mackenzie2562
@mackenzie2562 7 жыл бұрын
Mawazo Chikumba
@khamiskhamis2936
@khamiskhamis2936 7 жыл бұрын
Amna kitu kitu mbona kwanza mko kakikundi aisii wa Tanzania awadanganyiki tena kibiti ndg zetu wamekufa wangapi na viongozi wa CCM adi maaskri nyumbu wakubwa nyie
@hamisi8
@hamisi8 7 жыл бұрын
hongereni makamanda kwa kutumia haki yenu kupinga utawala dhalimu wa magufuli unaokandamiza demokrasia
@hajijuma5080
@hajijuma5080 7 жыл бұрын
Amenurika kifo kwa sababu ni msema kweli hata mungu shahidi, kwahiyo risasi haziwezi kushindana na mkono wa mungu juu ya lisu
@donasmanyama21
@donasmanyama21 7 жыл бұрын
Haji Juma kwel kabsa mungu akiwa upande wetu hakuna wa kupinga
@wemamwakisenge6189
@wemamwakisenge6189 7 жыл бұрын
M
@salimmapande4668
@salimmapande4668 7 жыл бұрын
Upi udhalimu wa utawala wake???
@likmaniyusuf4182
@likmaniyusuf4182 7 жыл бұрын
hamisi we ni wazim kiuhalali
@nabakitz83
@nabakitz83 7 жыл бұрын
HIYO STAILI INAITWA "ZERO BRAIN" KWA KISWAHILI NI "KUKURUPUKA"
@yusufumahanyu5097
@yusufumahanyu5097 6 жыл бұрын
Anae ixapot ccm Huyo nimfungwa alie hukumiwa kifo anaxubili kunyongwa,pumbavu
@happytemu9530
@happytemu9530 7 жыл бұрын
hamueleweki
@kipendatunu8699
@kipendatunu8699 7 жыл бұрын
Naona sasa mumekua kama wakenya
@furahajonas839
@furahajonas839 7 жыл бұрын
be careful
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 7 жыл бұрын
akili ni mali kwa mwenye kutambua
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
Mh
@mamahamida6807
@mamahamida6807 7 жыл бұрын
Mbona watu wachache sana?
@hapakazitu7364
@hapakazitu7364 6 жыл бұрын
Kama mnazuia watu kufanya kazi zao
@blacknature7637
@blacknature7637 7 жыл бұрын
Hamisi m zuberi Niko pamoja Na wewe kimoyo sio kimaneno unajuwa kuzungumza
@omarychediel1307
@omarychediel1307 7 жыл бұрын
Atasema yote sababu uwovu umezidi
@evancejesu659
@evancejesu659 7 жыл бұрын
hakuna kuogopa mtu
@amourhaji8249
@amourhaji8249 7 жыл бұрын
Upuuzi tupu!!!
@dignapius6873
@dignapius6873 7 жыл бұрын
mmezowea kutuonea sasa haiwezekani tena.
@irenernest8920
@irenernest8920 6 жыл бұрын
Tanzania ilikofokia n kubaya saana
@mariethajailos4854
@mariethajailos4854 6 жыл бұрын
mm naumia sana kuonachama chetu kuonewa
@user-vv5xd3ye4i
@user-vv5xd3ye4i 7 жыл бұрын
wanaoandamana wote mapumbu tu
@danielymlelwa5520
@danielymlelwa5520 6 жыл бұрын
Mnanuka mavi tu hapo
@barakahenrique2593
@barakahenrique2593 7 жыл бұрын
kama mbwaa kexhapigwa xxa
@Mjukuuwanombo
@Mjukuuwanombo 7 жыл бұрын
Doh sasa hiyo cover inahusikaje hapo???
@shabanijuma9187
@shabanijuma9187 7 жыл бұрын
wandishi nao wachochezi tu
@Manjanjagara
@Manjanjagara 7 жыл бұрын
bomu moja la machozi hapa mtatafutana
BREAKING: IGP ATAJWA SAKATA LA BONGE KUTAKA KUTEKWA..
8:34
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 4,5 М.
Kupigwa Risasi Tundu Lissu | Maelezo ya Waziri Bungeni
7:40
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 185 М.
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 10 МЛН
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 25 МЛН
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 56 МЛН
Mahojiano na Tundu Lissu
27:29
KTN News Kenya
Рет қаралды 87 М.
WAZEE WA IKUNGI WAONGEA MAZITO WAKATI WA KUMPOKEA TUNDU LISSU
14:00
Chadema Media TV
Рет қаралды 183 М.
YESUUUUU!!!!...Tundu Lissu AMZUNGUMZIA Trump, UCHAGUZI wa Marekani!!
17:08
YANGA WAPEWA MAJIBU NA BODI YA LIGI | UWANJA WA KMC KUUTUMIA
17:42