KIMENUKA..!! MWIGULU NCHEMBA AUNGANA NA MAKONDA, AWATAJA WANAO MTUKANA RAIS "NAWAJUA NI WAPUMBAVU"

  Рет қаралды 9,649

seto tv

seto tv

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@ashaali7154
@ashaali7154 5 ай бұрын
Nchemba na Makonda Magufuli aliwapiga chini sasa wamerudishwa hasira zao ni kwa viongozi wengine sasa Mh. Rais awaone hawa kuwa hawakuwa watu wema.
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 5 ай бұрын
Kuwataja na kutowataja hakuna maana yoyote lakini tunaomba kwanza muwataje waliokuwa Hela za waliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya Arusha tangu mwaka 2000 mpaka Leo mbona hamuwataji mpaka leo
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 5 ай бұрын
Kamani 😮😮😮 mwiguru na makonda nyiyee niwanafiki sana ccm niyenu wenyewe leo mnaanza kuvuana nguwo ili tu mama samia raisi wa nchi awaone ni watu wema kwake ili awape uwongozi 😮😮😮😮 sasa uchawa wenu autaleta maana yoyote kwetu watanzania kwani mwiguru na makinda ni wachumia tumbo tuunafiki wenu utaonekana tuu
@leonardfungo
@leonardfungo 5 ай бұрын
Maisha yamezidi kuwa magumu zaidi hapo Mwigulu usitudangaye labda kwake anayefikia kuwa na pesa mpaka ananunua timu za mpira analipa mishahara wengine kwa fedha za kigeni kweli kwa upande wake yupo vizuri sio Watanzania
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 5 ай бұрын
Yote hiyo si ni mikopo ambayo wananchi watalipa? Acheni kudanganya wananchi.
@KenedyMwaipaja
@KenedyMwaipaja 5 ай бұрын
Huo ni mpango mkakat wote hao wanazusha vitu then wamtoe kiulain kwenye kuchuku form 2025.. nyie subirin picha limeanza salata😂😅
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 5 ай бұрын
Hela za kuwa lipa waliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya Arusha zikowapi
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 5 ай бұрын
Watajeni kwanza waliokula Hela za kuwa lipa waliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya arusha
@bwanapima8473
@bwanapima8473 5 ай бұрын
Hawa watu wachukuliwe hatua stahiki wakome na wasirudie tena
@luthermartin1098
@luthermartin1098 5 ай бұрын
Mbona unadandia hoja? Acha alieanzisha atutajie
@FortunataNguma
@FortunataNguma 5 ай бұрын
Wale wale tumewachoka
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 43 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 56 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 29 МЛН
billnass nyimbo mpya(official video
3:35
TUKUYU TV M
Рет қаралды 3
Foreign Ministry’s Diplomatic Rebuke: UN Must Stop Netanyahu!
4:26
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 43 МЛН